Huyu sheikh ni chemchem ya elimu Allah atuwekee tufaidike na elimu Allah alomjaalia.
@abdulbandari15515 ай бұрын
Wanakataa technology na swala wanatumia saa..
@muhidinally37535 ай бұрын
Sheikh Mselem Ali Allah akuweke tupate faida ya dini ya Allah. You are very eloquent. Hakika hili halina ubishi. Yaani kwa mtazamo wa watu wengine ina maana mwaka mmoja kuna sehemu una siku nyingi na sehemu nyingine una siku chache very impossible. Turejee kwenye Quran miezi 12 imewekwa ili tupate ufahamu wa tareikh, matukio na tuongozwe kwenye ibadat za msimu. Tunakushukuru Sheikh. Allah akupe jazaa
@braqutourssafaris46725 ай бұрын
Sasa Kwan Saudia anaangilia mwez au wana kalenda yao?tayr Wana ijua idy had ya elfu 2030 kisha halafu kat yenu nyie na wakina ibn baz na ibn taimia Bora ni wap yaan wao Wana sema Kila watu Wana muandamo wao ila nyie Ndio mpinge.
@Aamadu-vc2vv4 ай бұрын
Maashaa Allah inapendeza sana Allah akufanyie wepes ktk kueneza ukwell katika dini yetu
@AwadhiMakere15 күн бұрын
shukran sheikh wetu tuko pamoja unaelwka sana
@Zanzibar-e4h5 ай бұрын
Shekhe mselem fundi ALLAH akuhifadhi
@TalibKombo4 ай бұрын
Allwah akupe maisha marefu tuzidi kufaifika inshaallwah
@RizikiJuma-k8oАй бұрын
Mashallah sheikh Allah akuifadh na ikikuitajia bc namuomba akupe mwish mwema
@fatmaZakiya5 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu sheikh uzidi kutuelimisha, amiin
@abuuaisha61105 ай бұрын
Amiin yaarabal aalamiin
@chiamamy81675 ай бұрын
Amiin
@Allyrumhy-ji2vo5 ай бұрын
اللهم علمنا ما لا نفهم،،وفهمنا ما علمتنا،،،بارك الله فيك.
@khamismussa62585 ай бұрын
Masha Allah, ipo haja masheikh wasome elimu za kidunia pia
@BIGBOSS-hl3bu5 ай бұрын
Huyu sheikh ni genius sio lavel ya mashekh wapenda Dunia ,Basi shekh utakuta mwakani hawa hawa wanaanza kubishana Hilo Hilo tena ,wekeni kwenye vitabu na app maalumu ambazo mtu akiuliza mwambie NENDA karejee kitabu flani au app
@Khatib-xp6fp5 ай бұрын
Tofauti ya shehe huy na wengin ni kwamba wengin hawana geography kichwan
@Abdullatifkilupy-tn6ii5 ай бұрын
😂Asante sana. Ni hakika usemalo
@SaidMasoud-cs8kp5 ай бұрын
Shekh mselem kwa hoja ya mwezi hawamuwezi kwa sababu yeye mashallah methodologies 🤲🤲🤲🤲allah amzidishie
@saidsoudamiri40545 ай бұрын
mambo ya kisheria ni dalili na sio akili yako binafsi. Dunia hatuwezi kuwa na terehe moja hiyo geography ya wapi na level gani? Shekhe kasoma geography level ipi ? University au form four. Acheni kuona watu hawana akili na akili mnazo nyinyi tu. Basi tuseme maswahaba wote walikosea kufunga Arafa na kufunga Ramadhani.
@TuhabarishaneTv5 ай бұрын
Wew unaijua hyo geography au unababaika2 mana geography form one tena mada ya pili2 the solar system ndio inaeleza mambo hayo kapitie na wew
@abuuaisha61105 ай бұрын
Nimefurahi sana kwa bayana yako sheikh kuhusu siku ya arafa
@SaidshariffShariff5 ай бұрын
Masha-Allah ndugu zangu tuketi chini tusome zaidi. Shukran sheikh Msellem
@abdulhamidisiraja49305 ай бұрын
Mashaallah, shukran shekh msselem allah akulipe
@mwajumaabdallah10875 ай бұрын
Nampenda sana kwaajil ya Allah hyu shekh jmn,nataman angekuw ht mjomba wangu
@ZamilHussein5 ай бұрын
Mashaallah Jazaakaallahu khayr. Allah akhfadhi Shekhe wetu tunakupenda sana KwA ajili ya Allah
@FahmiAl-mauly4 ай бұрын
Allah ampe umri mrefu tupate faida zaidi inshaAllh
@MohammedMuya-b5d5 ай бұрын
JAZAAKALLAH KHEIR SHEIKH ……clear and concise
@anwarabdallah70955 ай бұрын
MashaAllah shk mselem uko vizuri.
@KhalfanJuma-lm4je5 ай бұрын
Allah akubarik shekh mselem nadhani asofahamu kapata faida
@أمخالدالعلوية-ل5ي5 ай бұрын
ما شاء الله تبارك الرحمن رب يحفظك يا شيخنا ويطيل عمرك في طاعته ويرزقك حسن الختام
@SARAHKATAGIRA5 ай бұрын
Shekhe uko vzr sn Allah akulipe usiwe kama amir Farid au shekhe faridi anatpotsha
@salummbarouk42165 ай бұрын
Mashallah waliokuteuwa kuwa bingwa wa tafsiri qur an Africa mashariki walipatia mashallah Allah akuhifadhi
@hassani-dj3pt5 ай бұрын
Mashaallah sheikh wetu mselem Allah akuhifadhi
@JumaBagelle5 ай бұрын
Allah akuzidishie umri uzidi kutuelimishaa jazzakallahu kheri
@عمرانالمعمري-س4ظ5 ай бұрын
Mjadala haujamaliza na wala haumalizi, jambo la kuzingatia ni kufuata haki na ndipo unapopatikana ujira kutoka kwa ALLAAH. Tunamuomaba Allaah atuongoze katika haki anyoiridhia.
@YunusAhmed-k4u5 ай бұрын
Jambo la kuhuzunisha zaidi ,ni kwamba kuna mtu atasikiliza haya na bado atapinga. Allah atuongoze insha-allah sote.
@allymusira21535 ай бұрын
Allah akulipe kila la kheri sheikh msellem ally
@ABDULLATIFHAJIALI5 ай бұрын
maashaallah mungu akuhifadhi ila tuelimiahe kidini zaidii
@MaulidFadhil-qi2dh5 ай бұрын
dah! sijui km umenielewa vizuri? bin alliy uko sawa allah akuhifadhi maalim
@takdirmahmoud5 ай бұрын
Mashallah,, Sheikh Msselem mm nakuelewa sanaaa,, uko fasaha sana,, Allah akuzidishie kheir
@ZamilHussein5 ай бұрын
Mashaallah Jazaakaallahu khayr
@KhayratMansour5 ай бұрын
Maashaa Allaah, mwenye moyo wa ufahamu na afahamu .
@AliChwaya5 ай бұрын
Mimi na kalendar ya dunia iliyoandaliwa mpaka mwisho wa dunia ilhal hatujafika tena bas umeniokoa sana sheikh mselem
@riyadhalamukenya95575 ай бұрын
( ذَٰلِكَ فَضْلُ اللَّهِ يُؤْتِيهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَاللَّهُ ذُو الْفَضْلِ الْعَظِيمِ ) الجمعة (4) Al-Jumu'a Hiyo ni fadhila ya Mwenyezi Mungu anayo mpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kubwa.
@Mohamed-oo8qj5 ай бұрын
Mashallah allha azid kukuweka nawat waeukimike
@allyabubakari59405 ай бұрын
Masha allah sheikh allah akuifadhi
@ismailsoud36345 ай бұрын
Sheikh wewe unajitahidi kuweka sawa, lakini wengine wanafanya fitina kuufitini ukweli. Allah akuzidishie u fasaha.
@OthmanJuma-nw5km5 ай бұрын
Allaah akuzidishie kheri
@muhammadiabassi6565 ай бұрын
ماشاء الله انت تمام الله يبارك فيك
@MariamUmande5 ай бұрын
Shukran sana sheikh wetu
@ismailfarah34635 ай бұрын
MashaAllah Tabarakalah barakalafikum!!!
@AthumanFamau5 ай бұрын
Allah atuifadhi sherk Kwa elmu unayoitoa mashaallah
@latifahali82285 ай бұрын
Masha Allah sheikh umesema ukweli
@munirajuma12705 ай бұрын
Sina la kusema zaidi. Allah akulipe Kila la kheri
@MvuoniJuma5 ай бұрын
Nashukuru shehe kwa taaluma hiyo masshhallh
@SaideAliSaide-d4o5 ай бұрын
Asalam alaikum shehk nakupenda kwa ajili tá alha na nakuelewa sana unapi tafsir kitabu sua alha wewe ni nfassa
@MawazoPembe5 ай бұрын
Mwenyezimungu akuifadhi sheee
@hajjiomary23835 ай бұрын
Allah akupe afya na na aendelee kukupa msimamo
@swafiirbulbul8195 ай бұрын
Baarakallaahu Fykum.. 🎉🎉🎉
@mustymasoud52145 ай бұрын
Apo kwenye Lailatul qadir.. maelzo yake. Kma hujaelew bas huez elew tena. Allah akubark sheikh wetu.
@YunusAhmed-k4u5 ай бұрын
Nimefurahi sana , bayana itaendelea kuwepo kwasababu Allah anayaona yote haya. Masha-allah
@ramadhanichampunga93045 ай бұрын
Lailatul-qadr haiwezi kutumwa tofauti ,kwa hoja ya mfano huu aliotoa , lailatul-qadr ni siri ya Allah kama ikitokea kwa tareh 23 basi wengine itakuwa tareh 22 na wengine tareh 21,
@IssaJuma-rk5qb5 ай бұрын
Mungu ampe maisha marefu
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui5 ай бұрын
Huijui Dunia vizuli shekhe Allah akuongezee ufahamu
@SaeedMohammad-sw7jq5 ай бұрын
Tuelezee wewe sheikh
@SaidMasoud-cs8kp5 ай бұрын
Mtu methodology alafu unasema hajuwi dunia unawenge ya ni huyu nishekhe alafu methodology alafu unasmea hajuwi dunia 😂😂😂😂
@YunusAhmed-k4u5 ай бұрын
Geography haidanganyi rejelea kwa Qur'an
@allykhalfan95135 ай бұрын
شكرً يا شيخ ومعلمنا بفتوى المتميز برك الله فيك
@yahfatmudswiddiq22715 ай бұрын
shekh shekh shekh baarakalhahu fyika
@khairatkheir77765 ай бұрын
Jazzakallah kheir sheikh
@officialkamdudu5 ай бұрын
sasa wakati muandamo unaingia saa moja jioni wale ambao kwao ni saa 6 usiku huo muandamo wanaupataje ?
@husseintaib23075 ай бұрын
Uniformity si hoja hapa. Inakuwaje killa mwaka mwezi unaonekana Saudia pekee, na sisi huku nchi zote Afrika ya Mashariki tunashindwa kuuona. Mtume SAW angekuwepo, tusingepata mgawanyo huu, kwa sababu tungelikua tukifuata Muandamo wa uhakika sio bandia.
@mwaminihassanhassan9224 ай бұрын
Mgawanyo ulikua tangia enzi za mtume s.a.w na nisehemu ya kujifunza
@masoud74865 ай бұрын
Mimi na swali je uislam una myaka 1445 je katika myaka 1000 wakislamu walijuwa vipi kama ni arafa . Ao eid kwa wale hawa kuwepo makkah
@seifabdi92485 ай бұрын
Na Mimi ni swali, mwaka 1000 uliopita waislamu walikuwa Wanapanda kwenye minara wakiadhini na sasa mnatumia speaker 🔊 ni mini imebadilika? Miaka 1000 usafiri kwenda Makaa ulikuwa mnatumia ngamia kwa mamiezi kufika na miaka 1000 baadaye unasafiri pia kwa kutumia ndege ✈️mini imebadilika. Saa hizi miaka 1000 baadaye mawasiliano iko mkononi mwako kokote dunia I ukitaka kuona na kujua habari yoyote unaipata kupitia simu 📱 yako kwa sekundi chache, je unaweza kulinganisha na miaka 1000 uliopita? Uislamu inafungamana na mwendo na wakati uliopo. Na vipi Mambo yatakavyo kuwapo miaka 1000 ijayo wakati Mimi na wewe hatutakuwapo duniani?
@AhmedSaid-hg5uj5 ай бұрын
Allahu Akbar allahu Akbar allahu Akbar
@fadhilyassin57725 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh yaan umeongea fact na ina make sence kabisaaa
@muhammadiabassi6565 ай бұрын
حفظك الله ورعاك
@yasinsuleiman24025 ай бұрын
Allah akujaze kheri nyingi sana
@OmarSaid-nt2xd5 ай бұрын
Mwenye masikio nasikiee
@HalimaFarahnuru-nj1ei5 ай бұрын
Huyu shekhe yupo vizuri sana waislam tunakwama wapi kwa nini tusifuate tarehe za kiislam
@AhmadSalim-dm4uk5 ай бұрын
Shekhe kwani hija mtume alifaradhishiwa mwaka gani na je kabla ya hija mtume alikua hafungi swaum ya arafa na je kma alikua afunga alikua atumia kigezo gani?
@JumaHamad-pe7he5 ай бұрын
MaashaaAllah
@MuhammadAbdalla-pq1bz5 ай бұрын
mashallah maneno mazuri lkn....pia kuna hadith ya qurayb.,.هكذا أمرنا رسول الله ...hiyo nayo tutaiweka wapi twaomba faida zaidi
@salummbarouk42165 ай бұрын
Kabisa hii chemchem Allah amuifadhi
@KhamisJuma-mu4rm5 ай бұрын
Nlikua nawafuata mashekhe wa kisufi kwenye hizi funga lakini tutakomana hapa inshaa a llah
@ahmadSeif8605 ай бұрын
Soma kwanza ndo muhimu sio kufuatafuata tu
@AsiaMariam-tk8lk5 ай бұрын
Mashallah upo vizury sana
@SalimKhatib-w5u5 ай бұрын
Allah AKULIPE KILA LA KHEIR
@RamadhanRamadhan-cx3tj5 ай бұрын
Allah bless Mselem
@abdisalim79005 ай бұрын
Sote hatuwezi kuwa wahanga wa Saudia,ambao mmeshaamua hvyo endeleeni kufuata mkondo
@abuusuhaibmchumi5 ай бұрын
Weye muhanga wawapi? mn ndounafahamishwa ila ndohayo una yako tu basi ila uelewa ndohuo
@YusuphIshaka18 минут бұрын
Kua muelewa wa dini na usiwe muelewa wa kuafata watu wako ila mwenye imani na akili bc hapa aemeelewa, nikupe mfano kupindi sheikh mkuu wa dar-es-salaam hajawa na wadhifa huu wallah aliwahi kutoa clip na tunazo akisema hivi hakuna arafa mbili na akatoa ushahid wa aya na hadithi lkn ck aliyochaguliwa wallah alidiriki kusema maka wana arafa yao na cc tuna ya kwetu, sasa ww mbumbu uliekua hutaki kusoma hapo tafakari kilichombadikisha maamuzi ni imani kujua au madaraka ya dunia?
@ibrahimirakoze865 ай бұрын
Kwa kweli majibu yak sheikh yanaelewek saaana Allah atuelimishe pale ambapo tutakapoanguka
@elallymoussa29805 ай бұрын
Mpk sasa mwaka 2024 mtu kama hajaelewa masuala Haya sifkirii km ataelewa tena zaidi ya kubishana tu . Ahsante sheikh msellem kwa Elimu ya ziada najua yashaelezwa Haya ila wafuasi ni kawaida kuyaanzisha upya na kuona mijadala inaendelea.
@ghostreaper94865 ай бұрын
Endeleza tu Uwahhabi kwa Kondoo majahala wala usijali
@saidkhatib91465 ай бұрын
Allah akulipe ujumbe umefika
@habiybothman32865 ай бұрын
Sijamuelewa bhdo kwa maana tarehe ya uislam inabadilika baada ya maghrib je hapo pakoje kwa Dunia kufata tarehe moja
@ramygichero10165 ай бұрын
Mashekhe kazi kufuga madevu hamjui muongelee nini na kwawakatigani kadhia Gaza ndo namba moja sasa unaongelea ubishani wa Arafa kila mwaka tushazoea waislamu tuna uelewa na mambo ya mwe'i
@binseif22165 ай бұрын
Shida mawahaby mpka saudia awatangazie lkn ukionekana kenya au uganda hawawezi kufunga wala kula eid mpka wawasikie wa saudia
@lmdos43824 ай бұрын
ndipo hoja yako ilipioshia hapa?
@SharafuAli5 ай бұрын
Masha Allah
@KombHaji-dr5pd5 ай бұрын
mashekhe hawa niwaongo san hawana uadilif kwaza wambieni watu kuwa saudia hutangaza mwezi kwa mujibu wa kalenda wanayo iyita wenyewe um qura hili hawalisemi nikinyume na sun za Mtume muhammad s.a.w manraiba bisunati fahuwa mini
@mwaminihassanhassan9224 ай бұрын
Elewa kwanza
@SelemaneArabeArabe-wd8fb5 ай бұрын
Asipo mwelewa check nselemo ntu uyo ni kiziwi.
@latifahali82285 ай бұрын
Bora umesema mana siku zote hao nasheik wetu lzm wawe na eid yao. Saiv dunia kila mtu anakuwa mjuwaji na kupotesha watu tu
@HusseinPaula5 ай бұрын
Ushahidi wa kalenda upo maana tarehe ya idi na arafa ili tangazwa hata kabla ya muandamo wa dhulhijjah
@Abdallah-i1d5 ай бұрын
Aslm Alykm, Na wale ambao kwao ni juma tano cc ni juma nne?
@OmarMohamed-yq9lg5 ай бұрын
Amir farid pia amsikilize huyu sheikh
@SaadIbnmuwath5 ай бұрын
Walioko suudia washajua mwakani eid itakua lini huo mwezi waliuona lini?
@Muharram-c5n5 ай бұрын
Baaraka llahu fik
@suleimanali69395 ай бұрын
SASA SHEKH MSELEM TAREHE ZA KIKAFIRI WANAFUATA KALEDA
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui5 ай бұрын
Shekhe isabuzamwezi nihiszbu azipokama yamwezi mwezi siku 29 au30 jua ni30 31jua kilasiku lipo mwezi kunasiku hainekani
@AliKhatibu-d2e5 ай бұрын
Apo umechemka Sheikh umeshindwa kutofautisha
@shahamzanda58575 ай бұрын
Shida ni bado hatujaulewa usuhuba baina ya Allah na Mtume wake. yaani sisi hujitia umma wa Rasulullah s.a.w kwa muonekano tu ila hatumtaki Mtume wa Allah. mambo yako wazi tunajadiliana kila mwaka, watu hawaswali, wake zetu, watoto wetu, mama zetu, baba zetu, dada na kaka zetu marafiki zetu kibao hawaswali sisi tunajadili kile tunachokijua kila mwaka.
@abdulbandari15515 ай бұрын
New year for example
@SalumJuma-iz2gj5 ай бұрын
Nimekuelewa sanaa lakini km ss mwzi tumeuona na kesho tunafunga lakin saudia hawafung mpaka wauone kwao sasa ap tunakua tushapisuana tarehe inakuaje apo?
@SalumJuma-iz2gj5 ай бұрын
E
@darajanida5 ай бұрын
shekh hapo ufahamu umekupiga chenga kidogo allah atuongoze insha allah
@HashimSalim-qj7zn5 ай бұрын
Pole kwa maradhi ulio nayo
@lusakaone77825 ай бұрын
Pumbavu wewe huyo ni sheikh sio sheikh ubwabwa
@mussakiongo70285 ай бұрын
Rabda hajamsikiliza Kwa makini
@darajanida5 ай бұрын
@@lusakaone7782 kumtukana muislamu mwezako ni ufasiki na kupigana nae ni ukafiri ni maneno ya bwana mtume muhammad s.w.a.allah akuongoze sote insha allah
@darajanida5 ай бұрын
@@mussakiongo7028 nimemsikliza viziri sana ndo mana nikasema hivo nilivo sema
@madhuru25545 ай бұрын
Mashaallah
@MdUsman-nz6sd5 ай бұрын
Allah ampe umri mlefu maana kaniwekea sawa wabishi