No video

ARAFA NI LINI//MZIWANDA AMALIZA MJADALA NA SUFI WENZAKE.

  Рет қаралды 31,392

Fauz Production

Fauz Production

Күн бұрын

Пікірлер: 184
@kitosio
@kitosio 2 ай бұрын
Sh. Mziwanda ALLAH AKUPE REHMA NYINGI SANA SANA KWA KUTUELIMISHA
@abdulbandari1551
@abdulbandari1551 2 ай бұрын
Mashallah
@kijazkijaz8781
@kijazkijaz8781 2 ай бұрын
Mashaallah...al akhy mziwanda allah amuongoze aingie kwenye sunna AMIIN
@tbm7tv257
@tbm7tv257 2 ай бұрын
Amin
@hansimassirhassan8154
@hansimassirhassan8154 2 ай бұрын
Maasha Allah sheikh muharam mziwanda umefafanua vizuri kabisa Allah ukuzidishie kheiri
@AbuuMussa-pd1xo
@AbuuMussa-pd1xo 2 ай бұрын
Allah azidi kukuonngoza akutoe Hadi kwenye maulid in shaa allah naomba sote tuitikie dua kwa ndugu yetu atoke kwenye Uzushi
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Amiin
@kijazkijaz8781
@kijazkijaz8781 2 ай бұрын
Ameen
@mupenzikassim127
@mupenzikassim127 2 ай бұрын
Ameen
@AshrafBunu
@AshrafBunu 2 ай бұрын
Ameen
@omaryissa2562
@omaryissa2562 2 ай бұрын
amiiin
@kitosio
@kitosio 2 ай бұрын
Sh. Mziwanda Tunakuomba uitowe Kwa lugha ya kiarabu ili waelimike wingi. Sisi A. Mashariki Tayari ishatosha sanaaaaa. Na Mufti WA Misri pia yupo hapo2 ulipopagusa. ALLAH AKUJAALIE ELIMU YA JUU ZAIDI.
@yusufmwinjuma5425
@yusufmwinjuma5425 2 ай бұрын
Dah kwahili sh mziwanda umenena vizuri mno allah akulipe kheri
@HusseinMohammed-kk9ts
@HusseinMohammed-kk9ts 2 ай бұрын
Mashallah sheikh Allah akupe kila la kheri inshallah
@abdulhamidhaji5056
@abdulhamidhaji5056 2 ай бұрын
Dah ! Leo sheikh mziwanda umeniosha Allah akuzidishie na wasioitaka siku hiyo waitake inshaallah
@mkude
@mkude 2 ай бұрын
Maashaallah ALAAH AKUHIFADHI sheikh mziwanda
@user-sk7im6yz3u
@user-sk7im6yz3u 2 ай бұрын
Hongera sana shehe mziwanda kwa kuwa mkweli
@Khalidniya380
@Khalidniya380 2 ай бұрын
Sheikh Mziwanda ndio Sheikh wa Sufi ambae huwa namkubali ntamuombea dua In Sha ALLAH atoke kwenye mambo ya Bid'a Mimi nampenda kwajili ya ALLAH
@mohammedsaid3045
@mohammedsaid3045 2 ай бұрын
Km yy sheikh wa sufi ww sheikh wa pamba?
@user-ps7kv7lp4m
@user-ps7kv7lp4m 2 ай бұрын
Mashaalah, Allah akulipe ishaalah ,wewe ni chuma
@Twalibmringo-tz3ed
@Twalibmringo-tz3ed 2 ай бұрын
Yes,the best explanations
@SalminiAmur
@SalminiAmur 2 ай бұрын
MashaALLAH shekhe muharami mziwanda ALLAH akuifhathi kwa kutuwelewesha
@salimtz6
@salimtz6 2 ай бұрын
Mungu ampe Kheir atoke kwenye chaka la ahlu bida'a na masufi wenzake
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Amiin
@kijazkijaz8781
@kijazkijaz8781 2 ай бұрын
Ameen
@ramadhanichampunga9304
@ramadhanichampunga9304 2 ай бұрын
Hmmmm
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Maashaallah tabarakallah shehemxiwanda Mdogomdogo Allah akulete kwenye suna. Kwahurumawake nawengine maahehewabidaa Allah awaokoe...Amyn
@khamisswalehe
@khamisswalehe 2 ай бұрын
hivi nyie masalaf Allah ndio kawaongoa dunian kuliko watu wengine toeni jibu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
@@khamisswalehe jijazie ww kamaunalijuahilo jipange nawe uwache miuzusgi uwe salafi
@khamisswalehe
@khamisswalehe 2 ай бұрын
@@HanifaOman-oo4pl wala tuzaakiu anfusakum
@ramadhanichampunga9304
@ramadhanichampunga9304 2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bau4c4iwZ9d_aqssi=UuDDT4yRJblDgHFK
@ramadhanichampunga9304
@ramadhanichampunga9304 2 ай бұрын
Hili jambo lina khilafu ,sio usalafi wala ubidaa ,vijana chipukizi kwenye dini msishike misimamo bila elimu tosha
@Allybinamour
@Allybinamour 2 ай бұрын
barakallah, allah akulipe kheri kwa kusimama katika haki.
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 2 ай бұрын
😂 anachemsha mpaka mtangazaji haelewi
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 2 ай бұрын
Kwa mwenye kusikiliza kuelewa ...anajua kabisa sheikh kavuruga
@Allyjumaally-ex9vg
@Allyjumaally-ex9vg 2 ай бұрын
Allah akuzidishie shekheletu
@user-vn3bd2pc8k
@user-vn3bd2pc8k 2 ай бұрын
Allah akuongezee shekhe mziwanda
@mohamedamour4050
@mohamedamour4050 2 ай бұрын
Wewe shekh mziwanda nijibu mtume aliifunga arafa kabla ya hija ufarazishwa je aliifungaje na hakukua na mahujaji katika viwanja vya arafa niweke sawa.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 ай бұрын
Masufi wamebadilisha "siyamu yaumul tisia" 😂😂😂
@Until835
@Until835 2 ай бұрын
Na iyo ndio sifa kubwa za masufi kubadilisha maana .. 😢
@ramadhanichampunga9304
@ramadhanichampunga9304 2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bau4c4iwZ9d_aqssi=UuDDT4yRJblDgHFK
@ramadhanichampunga9304
@ramadhanichampunga9304 2 ай бұрын
Haya mambo yana khilafu sio usalafi wala ubidaa vijana chipukizi kwenye dini msishike misimamo bila elimu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 ай бұрын
@@ramadhanichampunga9304 hakuna ikhtilaf wowote, mtume amesema tufunge yaumul arafa ni nini huelewi
@jafarbalagha441
@jafarbalagha441 2 ай бұрын
Mziwanda anaiona Nuru sasa mashaAllah
@MikidadiMchawi
@MikidadiMchawi 2 ай бұрын
Shehe vizuri Ila swali langu kwako ni kwamba arafa ilikuwepo ksbla ya mtume
@abdallahmkali3251
@abdallahmkali3251 2 ай бұрын
Sheikh Mziwanda Allah akuhifadhi hakika umetoa elimu nzito
@rajabumuyumbu4586
@rajabumuyumbu4586 2 ай бұрын
Allah Akuhifadhi mziwanda
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 2 ай бұрын
Mziwanda uko vizuri chapa mwendo
@swafiaismail-ji1op
@swafiaismail-ji1op 2 ай бұрын
Mashallah ya sheykh wallai hpo hkna tena mjadala watakao kataa n kibri tu kukataa ukweli allah akuhifadhi sheykh
@MusaHaruni
@MusaHaruni 2 ай бұрын
Masha Allah si masha allah
@jumaothman4411
@jumaothman4411 2 ай бұрын
Mashallah haki umeisema mwalimu
@aliissahaji33
@aliissahaji33 2 ай бұрын
Jee inakuwa mwezi ngapi hiyo siku, hakuna siku isiyokuwa na tareikh, jee ni tarehe ngapi..... Ahsante
@WakaliFashionTz
@WakaliFashionTz 2 ай бұрын
Tareh 9 dhul hijja
@HusseinOmary-xx6rx
@HusseinOmary-xx6rx 2 ай бұрын
Amakwli mawahabi wanaufaham mdogo yani anavyozungumz shekh nitofauti n wanavyoelewa
@hassankichondo7718
@hassankichondo7718 2 ай бұрын
Manshaallah naomba na mufiti aisikie huyo kripu jaman ili waislam wa tanzania tuwe kitu kimoja inshaallah
@mandanokibwana6897
@mandanokibwana6897 2 ай бұрын
Maa shaa Allah, maelezo mazuri Sanaa,, jazaakallahu kheiran
@AlIrshaad-j
@AlIrshaad-j 2 ай бұрын
Maa shaa Allah hayyaakallah
@geofreyidebe1216
@geofreyidebe1216 2 ай бұрын
Allaah, akubarik na akulpe kher, wewe n mwalim fasaha, umeeleweka vyema kabsaa!!!
@MusaDadi-pd3jd
@MusaDadi-pd3jd 2 ай бұрын
Mashallah Jazakallahu khaira
@abdullahyahaya7092
@abdullahyahaya7092 2 ай бұрын
Mashaallah
@khalidally3588
@khalidally3588 2 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah
@BakariBinuri
@BakariBinuri 2 ай бұрын
Shekhe Allah akulipe
@JUMAKANYEBWE-hy7ge
@JUMAKANYEBWE-hy7ge 2 ай бұрын
Mwisho watajuwa Laila tul kadir ni moja tofauti masaa
@nassorsuleiman451
@nassorsuleiman451 2 ай бұрын
Ikiyondok alfajir ya nchi husik wengine hawatoipata
@KassimMohamedMussa
@KassimMohamedMussa 2 ай бұрын
assalamu alaykum shekh Allah akubari tumekuelewa vizuri
@TwalibHaji-nd7gd
@TwalibHaji-nd7gd 2 ай бұрын
بارك الله فيك
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx 2 ай бұрын
Kwaio Arafa watu wafunge kwakuangalia mahujajj kisha warud kwenye tarehe zao, hii haipo sawa
@HamzaShomari-cs7cj
@HamzaShomari-cs7cj 2 ай бұрын
Allah akulipe sheikh
@amazoneissa9940
@amazoneissa9940 2 ай бұрын
mashallah
@Allyjumaally-ex9vg
@Allyjumaally-ex9vg 2 ай бұрын
Umemalinza utata shekhe anayebisha aendelee naubishiwake lakini ukweli upo waz alhamdulillah
@hamsohamso9634
@hamsohamso9634 2 ай бұрын
Well explained
@faridaally-jp1gx
@faridaally-jp1gx 2 ай бұрын
Ma shaa Allaah
@masudiabdallah264
@masudiabdallah264 2 ай бұрын
Mziwanda hajui kama siku ya Arafa ilikuweko kabla ya watu kusimama viwanja vya arafa
@jamilabadru8087
@jamilabadru8087 2 ай бұрын
Maa sha Allah
@sophiamtego7887
@sophiamtego7887 2 ай бұрын
Mashallah
@NuurulHudaa
@NuurulHudaa 2 ай бұрын
We umekosa kuelewa Arafah ni sehemu na wakati Sehemu ndo ni moja peke yake ama wakati ndo funga yatekelezwa.....na kila mmoja atafunga na wakati wake
@user-mg9fg6vc9w
@user-mg9fg6vc9w 2 ай бұрын
Hii Dini Tunako Elekea Naona Wazi Kabsa Wazungu Wanakaribia kuitoa Mikononi Mwao Wallah Tena Tusipokua Makini Tayari Mbengele mbengele!!😢😢😢
@khamisswalehe
@khamisswalehe 2 ай бұрын
we dini ya Allah ina answari wake acha kelele wajua nini kuhus siri za Allah ww ...
@HakimRamadan-kl1hx
@HakimRamadan-kl1hx 2 ай бұрын
Maansha Allah
@JUMAKANYEBWE-hy7ge
@JUMAKANYEBWE-hy7ge 2 ай бұрын
Ata mwezi nihivyo nisikumoja tu tofauti masaa
@mustafahkapopwa-bi7yb
@mustafahkapopwa-bi7yb 2 ай бұрын
sasa kama mwezi ni umoja kwa nini tufuate mpaka uyo wa Makkah ? imeisha tokea Yemen wame uona qabla ya hao ma wahabi wa makkah hawa kufunga ,
@AbuuwoozaAbbakar-ru8tg
@AbuuwoozaAbbakar-ru8tg 2 ай бұрын
ألله أكبر.....جاء الحق وزحق البطل....
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 2 ай бұрын
Mziwanda nakukubali lkn siyo swaum ya rmdhn, hiyo ina hukumu yake tofauti na hiyo ya arafa.ahsanta.
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 2 ай бұрын
Watu wanaofuata Saudia imekula kwao... Fuateni muandamo ktk nchi ZENU na sio nchi zingine. Halafu Kila nchi Ina mufti. Ni kwa nini tunakuwa na wasi wasi?
@hajikaoneka2827
@hajikaoneka2827 2 ай бұрын
Shekh mziwanda Allah akilipe umewafahamisha wenzako wa bidaaa
@MwamvuaMwamvua
@MwamvuaMwamvua Ай бұрын
Australia wanatanguli masaa kama manane wao vipi.
@user-zf2zg2ps5j
@user-zf2zg2ps5j 2 ай бұрын
ALLAH akuongoze uache bida'a
@makinibwika1427
@makinibwika1427 2 ай бұрын
Sheikh Mziwanda ushamaliza utata na ambaye bado analeta ubishi kwahili tujue alishika namba ngapi shule na madrasa
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Jibu la mziwanda sahihhi kabisa. Jibu la. Mttume lipo wazi waislmu leoo hawataki ukwellii tunfta matamannio. Ya naffsi ttuu.
@ramadhanichampunga9304
@ramadhanichampunga9304 2 ай бұрын
Haya mambo yana khilafu
@husseinshamte7129
@husseinshamte7129 2 ай бұрын
Hapa hakuna majibu kuna ujanja ujanja mwingi tu wa Lugha ya Kiarabu ila Fat'wa hakuna
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 2 ай бұрын
Tupe fat'wa yko shekhe
@elallymoussa2980
@elallymoussa2980 2 ай бұрын
Aliekuwa hakufaham hapa atakuwa ni mbishani tu
@yahyadenny4368
@yahyadenny4368 2 ай бұрын
Ulimwengu wote siku ni moja yaani masaa 24
@AishaMsumi-ft1yf
@AishaMsumi-ft1yf 2 ай бұрын
Ukop sana
@muhammadal-bimani8120
@muhammadal-bimani8120 2 ай бұрын
Shekhe sasa watu hao waliofunga miaka mia mbili nyuma walijuaje kuwa mwezi umeandama huko Makkah? Jibu suali kabla kupoteza watu
@khamisswalehe
@khamisswalehe 2 ай бұрын
mwalimu hawa mashekh wanapuyanga sana ila mim nasubir siku ya qiama ndio nitWajua washekh na wanafiq na mayahud wala sina haraka
@husseinshamte7129
@husseinshamte7129 2 ай бұрын
Hio يوم yenyewe ni تاسع ذى الحجة mbona jambo lipo wazi hilo 😂😂😂
@answaryhussein256
@answaryhussein256 2 ай бұрын
Huyu ni mlenda huwa unavutika popote alipo mvutaji
@mustafapandu5189
@mustafapandu5189 2 ай бұрын
Mziwanda hapa unesema kweli umeamua kutoendekeza ushabiki wa makundi hapa umeamuwa kuwa mkweli na muwazi japo wenzako wa kundi lako watakutukana.
@asiabaruani280
@asiabaruani280 2 ай бұрын
Umechemsha Sheikh mziwandaa
@fatumasaidimmependezamjeng8994
@fatumasaidimmependezamjeng8994 2 ай бұрын
@aliissahaji33
@aliissahaji33 2 ай бұрын
Hiyo siku ni mwezi/tarehe ngapi?
@ahmadiomari6913
@ahmadiomari6913 2 ай бұрын
Sufi leo umenena sana Hahahahhaha. Masufi tatizo ucha Mungu umewatoka sana masilahi mbele
@khamisswalehe
@khamisswalehe 2 ай бұрын
Masalaf wanajidai watu wa Allah tutawaona nyie siku ya kiama mimi wala sina lakusema tutawaona masalafi wote siku hyo watakavyoingia pepon bila ya hesabu
@khamisswalehe
@khamisswalehe 2 ай бұрын
masalaf tutawaona siku ya kiama mkiingia pepon bila ya hesabu
@answaryhussein256
@answaryhussein256 2 ай бұрын
Funga ya arafa inahusiana na mwezi Tisa wa mwandamo wa mwezi wa nchi Gani?
@zaichande3412
@zaichande3412 2 ай бұрын
Ok
@user-sv3yx6ne2x
@user-sv3yx6ne2x 2 ай бұрын
Hii video niyazamani na ishajibiwa kitambo
@IsmailiIdarusi
@IsmailiIdarusi 2 ай бұрын
Nani kaijibu ndugu
@SofySJalina
@SofySJalina 2 ай бұрын
Shekhe vip kuusu suna ya ndevu
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 2 ай бұрын
Hizi ndio elimu sasa sio ubabaishaji anae pinga akapimwe akili
@abasimwinyibovu3090
@abasimwinyibovu3090 2 ай бұрын
Shekh mziwanda mimi hujanishawishi naona kama unalazimisha kila miji ina miandamo yao
@Atw0ka735g
@Atw0ka735g 2 ай бұрын
Kila Elmu ina mjuzi wake. Sheikh ww huo ndio uwezo wake wa kielmu kutokana na uelewa wake na mafundisho yake. Maswala ya kielmu yajibiwe kielmu si kibubusa na mchezo mchezo, na kuona ikhtilafu zilizoko hazina mashiko.
@awadhally1052
@awadhally1052 2 ай бұрын
Shehe anajibu kielem lkn nyie masufi ni majitu wa bidaa
@babuallyabdallah2964
@babuallyabdallah2964 2 ай бұрын
Hata wewe ni bida'aa kwa sababu wakati wa mtume hukuwepo. ​@@awadhally1052
@aminaaidarus2387
@aminaaidarus2387 2 ай бұрын
Shekhe suali langu ni. Kuna nchi saudia iko nyuma wao wako mbele watafuata vipi. Wao ndio wametangulia tarehe 9 na saudia watafuata sasa wafanyeje
@aminaaidarus2387
@aminaaidarus2387 2 ай бұрын
Saudia kutangulia ni suala lengine lakini nchi ambazo ziko mbele wafanyeje
@user-hr9kb7ev1i
@user-hr9kb7ev1i 2 ай бұрын
Aslm Alykm, nyinyi munao comment hamuja muelewa Sheikh mziwanda yupo sawa na masufi C na mawahabi
@elallymoussa2980
@elallymoussa2980 2 ай бұрын
100%
@Yahya-rb5pi
@Yahya-rb5pi 2 ай бұрын
Shekhe apo umeishwa maneno sio taaluma yako
@husseinomary2768
@husseinomary2768 2 ай бұрын
Sheikh huo ndio ukweli umemaliza
@Rijaal-xj7yd
@Rijaal-xj7yd 2 ай бұрын
Arafa ni eneo. Kwa hiyo ukienda kusimama siku yeyote haitokua siku ya arafa. Ni lazima iwe tarehe 9 dhul hijja. Yaum arafa ni tarehe 9. Sio jumanosi au jumatatu nk. Shekhe amekwepa tarehe akasimama kwenye siku ya wiki.
@highhigh7476
@highhigh7476 2 ай бұрын
Masaa?
@RidhiwaniWaziri-wt6pw
@RidhiwaniWaziri-wt6pw Ай бұрын
Kweli kabisa
@masoud7486
@masoud7486 2 ай бұрын
Mimi naona hawa washke wote taka kupoteza watu elimu ya dini hamna na ya duniya je Fiji wata funa arafa nadu duwa cama muna fuata siku za ukimwi ao xm basi siku yenu ya arafa yenu ime wekwa na pope.
@AlkadoNkundwe-wb3of
@AlkadoNkundwe-wb3of 2 ай бұрын
Madhehebu ni ukafir,, watu wa madhehebu ni makafiri
@muhammadal-bimani8120
@muhammadal-bimani8120 2 ай бұрын
Mtume hakusema tufunge kwa sababu ya kisimamo. Kwa sababu haiwezekani tumia akili kidogo tu. 1. Watu wa nyuma huko walijuaje kama huko Makkah umeandama? 2. Zile nchi matlai yao wakati watu wako hapo katika kisimamo wao ni usiku wafunge vipi? Hayo maelezo yako hayana kichwa wala miguu. Jibu hayo masuali mawili kati ya mengi
@OmmyMabele
@OmmyMabele 2 ай бұрын
Allah akulipe shehe nyookeni hivyo hivyo maana dini ya Allah haitaki konakona
@AshirafuKashoga-ly9fk
@AshirafuKashoga-ly9fk 2 ай бұрын
Shekhe nimekuelewa munyezimungu Azidi kukupa uelewa
@hamedomar2401
@hamedomar2401 2 ай бұрын
Siku moja haiwezi kuwa na Tarehe 2
@awadhjamal3430
@awadhjamal3430 2 ай бұрын
100% arafa ni siku siyo trh
@Haydar00181
@Haydar00181 2 ай бұрын
Sheikh Mziwanda nimekuelewa Mashallah. ila umeegemea kwa nchi zinazochelewa, jee na miji inayo itangulia Suudia kama miji ya mashariki mwa Russia na china???
@signtv9848
@signtv9848 2 ай бұрын
hakuna mji unaotangulia saudi
@signtv9848
@signtv9848 2 ай бұрын
we upo dunia gani
@mkude
@mkude 2 ай бұрын
Hiyo miji inatotangulia watafunga kulingana na hiyo siku watakayoamka nayo Saudi wakichelewa lakini ndo siku hiyo hiyo.
@abdallahsaid4997
@abdallahsaid4997 2 ай бұрын
Vichekesho eti hakuna mji unaotangulia Saudia yaani waislamu tumedidima kisayansi namna hii
@jumafaki2891
@jumafaki2891 2 ай бұрын
ni kweli funga inafuatana na siku sehemu za china huko ndio siku zinatangulia je tufuate huko au tusubiri saudia
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 2 ай бұрын
Sasa siku yenyewe ya Arafa ndio ile wanayosimama makkah??? Waliuona mwezi au waliutangaza tu
@JUMAKANYEBWE-hy7ge
@JUMAKANYEBWE-hy7ge 2 ай бұрын
Hivyo hivyo pia ramadhan
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 2 ай бұрын
Sh ww ni mzur ila umezungukwa na masufi na hao ndio marafiki zako na mtu huuliziwa rafiki yake ndio jibu hupatikana kuhusu yeye wallahu aghalamu
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,3 МЛН
HISTORIA FUPI YA KHALIFA MUSSA YA ELIMU YAKE
28:29
KHALIFA MPYA TV
Рет қаралды 2,3 М.
Waliofariki katika ibada ya Hijja wafika 1000 hakuna Mtanzania
6:15
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 93 М.
WAKRISTO HAWANA UZALENDO WA NCHI YETU | UST. ILUNGA H. KAPUNGU
26:08