Рет қаралды 18,944
Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassani ya kuwataka wateule wake kuheshimu katiba, mipaka ya nafasi zao na kuwa wasiri, imeibua mjadala miongoni mwa wachambuzi wa mambo ya kisiasa na kiutawala.
Hayo yanajiri muda mfupi tu baada ya Rais Samia kuwaapisha mawaziri watatu kufuatia mabadiliko madogo aliyoyafanya katika baraza lake la mawaziri kwenye Wizara za Ulinzi, Tamisemi na Mambo ya Nje.
#AzamTVUpdates #RaisSamia #BarazaLaMawaziri #Uteuzi