Wow! I am impressed! Watu kama kijana huyu ndio tunawahitaji huko ngazi za juu serikalini. No joke. Thumbs up Humphrey!
@HKBW110 жыл бұрын
Mr. Polepole ni mzalendo wa kweli na mwenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko ya kweli kwa manufaa ya Taifa la Tanzania. Namshukuru kwa kutokuwa na mfungamano na chama chochote cha siasa kwani sote tunapaswa kusimama kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu kwanza.
@benmabebajr.65519 жыл бұрын
Wow...Huyu kijana kweli kajitambua. Anajibu maswali kwa ufasaha hata kama halijaulizwa vizuri. Hii ni hazina ya Tanzania, Mungu ambariki na yeye akawa sehemu ya maendeleo ya Tanzania kwa nafasi yoyote atakayohudumu.
@petermdoya36903 жыл бұрын
Nimerudia zaidi ya mara 50 kutazama
@acrestv86366 жыл бұрын
Nakubaliana sana na Comrede Polepole .... Asante sana kwa elimu hii comrade
@chrispineclement41648 жыл бұрын
positive minded! man is so brilliant
@axelb55789 жыл бұрын
smart, wise and smart damn this dude should be a raisi of tz in 5 years
@solomonadams63374 жыл бұрын
Alphid bole bole nyinyi watang'anyika mutuachie wazinjibar tupumue means hatutaki muungano na nchi yoyote ile duniani mimi nilikusikia unasema do or die lazima muun'gano ukuwepo???na mimi nakuambia hata wazinjibar wakifa robo tatu lakini inshaallah Zinkibar lazima iwe Sovoreign State kama ilivyokua hapo b4 ok guys???freedom and war...
@AmonJohn9 жыл бұрын
Huyu kijana ana akili hatari, anasema ukweli na hamwogopi mtu, Mungu amtangulie na kumlinda ... Tunasonga polepole ...
@mboyajackson45747 жыл бұрын
Huyu sio mkweli, America wao wanaruhusu wageni watakaokuwa raia wa America kujiunga na jeshi, police, magereza, kufanya kazi na FBI,CIA,Secret Service, wizara mbalimbali, kugombea public offices kama state Governor (Governor wa California Arnold Schwarzenegger), state representative, judges, mayor, senate and many more. Kitu kimoja ambacho hawaruhusu ni kugombea urais tu.