napenda sana kipindi chenu ila saa nyingine mtu hajamaliza kujibu tayari mwingine kashaaingiza swali, hasa John
@MikaChavala9 жыл бұрын
Nadhani ni vyema kuweka picha za watu mnaowazungumzia ziwe zinapita ila watazamaji wawe aware na kile msemacho... Good show by the way
@mwanatumuhassan34149 жыл бұрын
what a great show yaani sikua Nataka iishe Master j ako na confidence na anajua anacho kusema..
@stewartmillanzi71987 жыл бұрын
Master Jay upo vizuri....nimependa uwazi wako....this is very good.
@terrykapinga78198 жыл бұрын
nimecheka sana kwenye ndio na hapana...salama n MJ you guys are so funny 😍
@elizabethstephano30827 жыл бұрын
nyamazsha hao salama wanaboa na maswali yao
@lilianmathew17169 жыл бұрын
show iko pouwa.salama na master j.mmetisha mbaya
@felixmsale92446 жыл бұрын
MUBA sio FANI yako hiyo ya kuuliza maswali unaharibu kipindi.
@felixmsale92446 жыл бұрын
Salama hiki kipndi ni kizuri mno mno unaharibiwa na hao vijana wako Muba na mwenziwe hawana nidhamu wanaingilia mazungumzo halafu anaboa sana sana
@MKobe_2545 жыл бұрын
2019 mwezi wa tano, niko hapa.. interview moto like was done yesterday... i used to like Master Jay nakuenzi baba... I like your personality
@marthambennah53449 жыл бұрын
I love this mkas i can say
@Jemedali9 жыл бұрын
We muba ufai hapa daah yaan utangazaji siyo fan yak
@dianaketegwe81479 жыл бұрын
master j engineer daim kumbe upo vzuri by de way i lav de interview mpo juu crew nzma yz mkasi thumbs up
@ngolobulugu95256 жыл бұрын
Diana Ketegwe ,
@hamidarashid84249 жыл бұрын
Asanteni kwa show.
@herikaniugu9 жыл бұрын
Muba uko vizuri, we piga kazi tu
@imanifado15549 жыл бұрын
best show... saluti salama na wengine... mkasi inspire me 👌
@mbonikajembe6729 жыл бұрын
masta j anapenda kucheka
@muhibukesh71219 жыл бұрын
Nimeenjoy kinouma..asante kwa show..
@mackenziengolo7mabula1328 жыл бұрын
ahahahhaha mchaga kwa ela noma....master jay kaulizia posho mwishomwisho
@bizimanasaid76784 жыл бұрын
Daa Salama ehhhh kiukweli mubaa anatuchanganya saaana plzzzzz ss wengine twajifunza kupitia vipndi vyenu Ila mubaa doooohhhh
@jescarrabson84759 жыл бұрын
Salama nyamazisha huyo Muba.....anaboa
@nicksonmbonye75957 жыл бұрын
Mbona salama anachamba sana
@ruthkamgwawa45919 жыл бұрын
Very determined man
@fatherofmagickingkijukuu72719 жыл бұрын
muba punguza kujibu maswali baki kuuliza tu kama usipojali pls
@samsonbomani84599 жыл бұрын
Kipindi kizuri sana,,,, binafsi nakipenda na nawaeshimu wote,,, Salama,John, Muba,,,,, lkn naomba Muda apunguze kidogo story,,,,
@kyannickk2be9 жыл бұрын
smart guy
@mnuquer9 жыл бұрын
mubah anauliza swali halafu anajibu mwenyewe!!! #weirdo
@dorisonesmo88146 жыл бұрын
Shikamoo Master J 1993 duh! sikuwa hata na dalili ya kuzaliwa😁
@amosmwangela18787 жыл бұрын
natamani angemuongelea Marlon Linje na Allan mapigo
@slayingtee60446 жыл бұрын
2018
@edwardkasubi14956 жыл бұрын
hawa ndio waliokuwa wakiwasumbua mamoniter na mamonitress darasani akina Muba mpaka SALAMA anasema MUBA kausha
@hassandre64346 жыл бұрын
Anyone 2018
@emmachichi51789 жыл бұрын
muba hawajui lolote ww chapa kazi.
@fahadfahmy9 жыл бұрын
Nadhani Robert Kiyaya leo umekisema nilichokisema mimi before,Muba hii si fani yake lakini ndio riziki tu imeshapangwa.
@mjombajomba29379 жыл бұрын
Team Mkasi: Kwanza niwapongeze kwa kipindi kizuri chenye kuelimisha, kufurahisha, kuhamasisha na kutujuza habari zaidi za ma-star tuwapendao. Pamoja na kazi nzuri muifanyayo nina mapendekezo kadhaa kuhusu kipindi chenu ambayo naona ingependeza zaidi kama yangefanyiwa kazi; mosi ni lugha, kumekuwepo na matumizi ya lugha ya matusi katika baddhi ya vipindi vya hasa kutoka kwa host mkuu yani Salama mf. katika kipindi na MasterJ alitumia neno "fuck you" tena mara mbili hadi J akauliza kama inaruhusiwa. Hii haipendezi na inafaa kuachwa mara moja. Pili, kuingilia mazungumzo bila mpango maalum. Hapa namuongelea Muba zaidi. Jamaa anaingilia mazungomzo kila wakati. Zaidi maswali anayouliza huwa anazunguka sana na kupoteza mvuto kwa sisi watazamaji. Muda mwingine anakua kama anataka kumsaidia muulizwaji kujibu. Hii haipendezi na infaa kufanyiwa marekebisho haraka kama mnataka kipindi cheni kiendelee kufanya vizuri. Tatu, matumizi ya "kiswanglish". Sina tatizo na waulizwaji kuchanganya lugha ila kwa nyie waendesha kipindi inabidi muwe na "standard" yaani lugha ya kutumika katika kuhoji. Nimeona John karudi na "swagga" za kuongea kiingereza zaidi hii inaharibu kipindi badala ya kuendeleza. Hili ni wazo langu binafsi. Ni matumaini yangu haya yatanyiwa kazi. Kila la kheri
@neymangare71269 жыл бұрын
Mjomba mjomba nimependa comment yako, yani huyu Muba anapoteza ladha ya kipindi kabisa, sielewi kwanini Salama aliangalii hili jambo coz sio mara ya kwanza kutokea
@bityhbeti17579 жыл бұрын
eteyopeua
@salf8made4467 жыл бұрын
Mjomba jombammm
@jumbomchomvu59679 жыл бұрын
mnafanya na siasa humo humo
@fahadfahmy9 жыл бұрын
Muba unamaudhi aghhhh
@rabiayahyamahrouqi81889 жыл бұрын
muba😆😆😆😆
@pauljoseph40629 жыл бұрын
Show ipo poa ila creativity zaidi muhimu, the place inabid iwe busy flan hivi hata na wateja wengine cz muba anaingilia fani si yake angepata vichwa vya kunyoa wakat anapiga swal moja moja si mbaya
@rasheedmsenga72015 жыл бұрын
Daaaaaaa upo sahihi sana Paul
@santycalvin24076 жыл бұрын
Naponywa ndo maana ya Nakijwa
@happymsacky21157 жыл бұрын
Mm
@joesimba6 жыл бұрын
27:14
@ahmedalminshad12118 жыл бұрын
Hahaha, Vifaranga
@petermiradi82415 жыл бұрын
chidma
@altafvellani32149 жыл бұрын
It's awful to watch this guy muba haelewi , kigugumizi anapiga interview
@eliazaripro55326 жыл бұрын
28:42
@joesimba6 жыл бұрын
29:05
@pauljoseph40629 жыл бұрын
Show ipo poa ila creativity zaidi muhimu, the place inabid iwe busy flan hivi hata na wateja wengine cz muba anaingilia fani si yake angepata vichwa vya kunyoa wakat anapiga swal moja moja si mbaya
@pauljoseph40629 жыл бұрын
Show ipo poa ila creativity zaidi muhimu, the place inabid iwe busy flan hivi hata na wateja wengine cz muba anaingilia fani si yake angepata vichwa vya kunyoa wakat anapiga swal moja moja si mbaya