MKE AFUKUZWA KWENYE NYUMBA, MUME AOA DADA WA KAZI, NAMPENDA DADA WA KAZI

  Рет қаралды 3,120

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@KanotMapesa
@KanotMapesa 11 сағат бұрын
Hyu sio yule wa kpnd kile alifumaniwagwa na mkewe?
@bonicurtius8108
@bonicurtius8108 6 сағат бұрын
Ndio huyu
@HappyUgulumo
@HappyUgulumo 11 сағат бұрын
Ndoa Zina vurugika sehem ndogo sana yawezekana huyo Mzee hajawah mwambia mama wa watu kama Kuna vt vina mkera
@PendoPeter-rr4jk
@PendoPeter-rr4jk 11 сағат бұрын
Kama movie
@SaadiyaMohammad-og5bg
@SaadiyaMohammad-og5bg 6 сағат бұрын
Jamani mapenzia baba amipata misukosuko yafaa amuowea huyo dadawakazi
@JovinJosephat
@JovinJosephat 10 сағат бұрын
Ndoa ina siri kubwa. Kwa maoni yangu hakuna aliye sahihi zaidi ya mwingine. Maana taarifa nyingi tunaziona kwa huyo baba tangu amefumaniwa. Kwa vyovyote vile kuna mambo mengi yamesababisha ndoa hiyo kuparanganyika. Wahusika ndo wanaofahamu ukweli
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 10 сағат бұрын
kama ni kwel bc wewe uitwae mke wa mume yoyote yule bc tubadilike maana kwa stail hii wafanyakaz wa ndan wataachanisha ndoa za wengi..ifike mahal wake wajue majukumu yao kwa wanaume zao; hii inaumiza sana kwakwel duh mke kama mke huwez kuvumilia haya😢😢😢😢
@patelokoh5828
@patelokoh5828 6 сағат бұрын
Hivyo ingekuwa yeye , Mama wa nyumba angechukuliwa na house boy? Weee rufia mkeo .
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 10 сағат бұрын
unaweza ukajiapiza milele kumiliki dada wa kaz maana kwa habar hizi unashikwa na woga kabisa
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 5 сағат бұрын
Mibaba hii haina adabu eti haina aibu dada wa kazi ni mwanao vishawishi vya nini
@njuka3515
@njuka3515 4 сағат бұрын
Sio kweli no maigizo
@ZulfaEdward-d3b
@ZulfaEdward-d3b 4 сағат бұрын
Niatar sana duuh
@wittyhery10
@wittyhery10 8 сағат бұрын
Huyu mzee Ni mchafu huna hata aibu mpaka wajuukuu wanakusikiliza
@rehemajuma9002
@rehemajuma9002 4 сағат бұрын
Kwani wewe mume huezi kubeba mwenyewe ndoo ya maji amekuhudumia miaka mingapi wewe mpaka sasa huna aibu mzee
@TressyAngel-bs5cv
@TressyAngel-bs5cv 3 сағат бұрын
Uyu mzee ni mbwa kabisa atamkumbuka mke wake
@SaadiyaMohammad-og5bg
@SaadiyaMohammad-og5bg 6 сағат бұрын
Wanaumea akitaka lake hey anahakikisha anapata laini kaka usitowea aibu zamke wako waheshimu watoto wako
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 11 сағат бұрын
Huyu mzee ni malaya tu hiyo siyo sababu yakumuacha mkeo ni tamaa umarayatu
@JovinJosephat
@JovinJosephat 10 сағат бұрын
Binafsi siwezi kumhukumu huyu baba moja kwa moja maana ndoa zina siri nyingi sana. Yawezekana hata hiki anachoongea huyu baba kikawa siyo chenyewe. Lakini pia kunyamaza kwa yule mama aliyeondoka kuna mambo mengi ndani yake. Haya mambo ya ndoa ukiyafikiria kwa mihemko unaweza kumhukumu mtu bila makosa. Kwangu mimi naona hakuna aliye sahihi zaidi ya mwingine
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 9 сағат бұрын
Ulikuwa utamwelewa huyu Mzee...au Sema Kama huwajui wamama waharibifu wa mjini
@rosemaryKalega-c5s
@rosemaryKalega-c5s 43 минут бұрын
Igizo lingine tena
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 10 сағат бұрын
Umalaya wako tu.huna lolote
@TunauzaSimu-fn2ff
@TunauzaSimu-fn2ff 4 сағат бұрын
Wanaume hawakomi! Nae huyo ajitayarishe atachukuliwa namwenhine na mwengine
@MalengaMalenga-o3l
@MalengaMalenga-o3l 3 сағат бұрын
Asante
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 10 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 47 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,7 МЛН
ZUCHU ALIVYO WATUKANA WATU WA MBEYA, KUNGWI ATOA FUNDISHO ZITO
12:46
لماذا تحريرها كلها ممكن؟ - بودكاست مع تميم
3:46:56