duh pole sana na hongera kwa kupata mtoto maan hata mimi nilitaka kuibiwa mtoto.hata kama mtu hupati mimba usibe jamnh watoto wapo wengi sana unakuta wanazaliwa mama ka mterekeza hospital au kafariki una mchukua una mlea .
@TheodoraChaki14 күн бұрын
Mungu mwema sana kwa kupatikana huyo mtoto yaani mamake alikuwa na wakati mgumu
@MankaJuddy13 күн бұрын
Jamani kumbe kuna wanaume wanauhitaji na watoto kiasi icho mm niliozaa nao wanakataa watoto.
@RizikiMbembela-b6h14 күн бұрын
Mungu ampe mtoto uyo mama jaman
@DorcusMulokozi14 күн бұрын
Jamn 25 na unaiba mtt😢so sad aisee😢😢
@HanifaOman-oo4pl14 күн бұрын
Allhamdulillah. Namkumbuka yule dada aloibiwamtoto. Kalibia miezi mi3 sasa bola kapatikana salama. Pole mama kwa subra ya mudamlefu
@gracewilliam410214 күн бұрын
Huyo mama apewe maua yake kwa kwel ata uwenda mume hana mbegu jamani Mungu ampe mtoto
@lellovenance570212 күн бұрын
apewe mauwa yake kwa kuiba watoto jamnh ujaibiwa dada wewe ungejua maumivu yake. ange chukua watoto wapo wengi wa vituo vya kulelea watoto