MKE WA WAZIRI MKUU MSTAAFU TUNU PINDA AFUNGUKA ALIVYOKOSA UHURU BAADA YA MUMEWE KUWA WAZIRI MKUU

  Рет қаралды 27,990

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

4 ай бұрын

Cheza sasa kupitia shorturl.at/jqzU6 na ushinde
Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Пікірлер: 35
@EsterPaul-uc7ny
@EsterPaul-uc7ny Ай бұрын
Hongeraa sanaà mama angu hakika nimependaa sanaaa uchapakazii wakoo natamani Sanaa siku mojaa nifikee kwakoo mama angu
@user-oj1ro8ih1g
@user-oj1ro8ih1g 4 ай бұрын
Hongera Sana Mama Allah akusimamie ktk shughuli yako uliyoianzisha. Upo vizuri mama yanngu
@madinajanethchamshama9999
@madinajanethchamshama9999 3 ай бұрын
Hongera sana Mama Pinda Huna Baya na mtu ❤ nakupenda sana . Mungu akutunze na akulinde siku zote
@StephenTossi-tj2uv
@StephenTossi-tj2uv 4 ай бұрын
Mama nimekupenda you are real African woman. Si mtu wa kujiinua
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 4 ай бұрын
Barikiwa Sana mama pinda na Mzee pinda mungu awabariki kwa kujitolea kulea albino
@collinsulomi1008
@collinsulomi1008 4 ай бұрын
Hongera mama, Naomba kazi mama hata ya udereva. Asante
@martinemasunga5802
@martinemasunga5802 4 ай бұрын
Kipindi kizuri lkn matangazo daah hovyo kabisa kwanni msiyapangilie vizuri, halafu yana sauti ya juu. Kiufupi yameboa sana.
@rosetasuleiman6799
@rosetasuleiman6799 4 ай бұрын
Sasa matangazo kila muda ndo nini?
@user-vy5ei1xl4p
@user-vy5ei1xl4p 4 ай бұрын
Mwanachi digital mmeashindwa kupangilia matangazo yenu hadi kero
@user-dv6fx5ec5u
@user-dv6fx5ec5u 4 ай бұрын
Hongera sana Mama ❤ ila wewe ni mzuri sanaa
@user-wt9uf6gc7n
@user-wt9uf6gc7n 4 ай бұрын
This woman is so Real………. Nimempenda kwa kweli
@aminaomary5567
@aminaomary5567 4 ай бұрын
Jamani matangazo ya nini yanaboa tu
@edithandunguru3405
@edithandunguru3405 4 ай бұрын
Mama ulishusha sana mabega. You were the best. Tulisali wote St Anna Kinondoni Hananasif, ulikuwa wa kawaida sana mama
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 4 ай бұрын
Mshauri bwana yako awe mmojawapo katika kugombea urais mwaka 2025 ana uwezo mkubwa
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 4 ай бұрын
Matangazo ya biashara, ni muhuni ki-bishara, lakini yakipangiliwa ovyo ovyo, hata habari inayotangazwa, inaonekana ya ovyo, kwani hupoteza utamu wa habari husika, na kuifanya nayo ionekane kama ni ya ovyo !
@raphaelhans3052
@raphaelhans3052 4 ай бұрын
Nafuu umeona pia 😂😂😂😂
@ruthdavie1175
@ruthdavie1175 4 ай бұрын
Mnaboa na haya matangazo yenu buana khaaaaaaaa😢
@neemakabale6047
@neemakabale6047 4 ай бұрын
Ssfi sana
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 4 ай бұрын
Wangapi Ndo wamemjua Leo Hii???🤣🤣
@ngwashgold5459
@ngwashgold5459 4 ай бұрын
Mimi hapa
@WilsonMgwilanga-bj9li
@WilsonMgwilanga-bj9li 4 ай бұрын
Haya matangazo yana keraaaaaaaaa
@emanuelayubu5021
@emanuelayubu5021 4 ай бұрын
hivi huyu mama mnayemhoji, mlimwomba ridhaa ya kurusha haya matangazo kiholela hivi?
@josephineseruhere-cv4wc
@josephineseruhere-cv4wc 4 ай бұрын
Hongera Mama Sana na Mungu akubariki we na familia yako kwa Maamuzi ya upendo kwa Jamii
@elinamishoo9541
@elinamishoo9541 4 ай бұрын
Mungu akujalie lengo lako litimie.
@marygregory7566
@marygregory7566 4 ай бұрын
Nimekupenda mama una moyo mzuri
@danielsimwanza1046
@danielsimwanza1046 4 ай бұрын
Tafuten mfumo mzuri wa matangazo yenu
@josephineseruhere-cv4wc
@josephineseruhere-cv4wc 4 ай бұрын
Mungu awasamehe hamjui mlitendalo
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 ай бұрын
na kweki mama tunu alikua mshamba balaa enzi za cbe
@SaidHamis-yz1vt
@SaidHamis-yz1vt 4 ай бұрын
Mama shikamoo
@ubongosahihi
@ubongosahihi 4 ай бұрын
Mamaaaaaaaa Ushamba Tena 😂😂❤
@user-md7ug5dd9r
@user-md7ug5dd9r 4 ай бұрын
Matangazo bila mpangilo makera .
@user-wx3im7dz7u
@user-wx3im7dz7u 4 ай бұрын
🫡
@godfreyally-ps3fo
@godfreyally-ps3fo 4 ай бұрын
Haya matangazo vipindi vyenu mtakua mnaangaria na familia zenu 😠
@huldamichael4445
@huldamichael4445 4 ай бұрын
Matangazo yanaboa
@crytonsijaona6164
@crytonsijaona6164 4 ай бұрын
Yaaani nyinyi MwanaichiDigital mnnaendesha Channel yenu kama Zama za kale. So unprofessional unprofessional.
Hoja kuhusu jina yaibuka shauri kuhusu Kombo, Wakili Madeleka afunguka
7:24
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 34 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 182 МЛН
TT Comedian Movie's KATUMBAKU _Full Movie
1:00:49
TT Comedian
Рет қаралды 4,7 МЛН
Ufunuo Choir - Maisha Yangu (Official Music Video)
8:21
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 87 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 34 МЛН