MKE WANGU ALIOLEWA NA MWANAUME MWINGINE KISA UMASIKINI WANGU EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 47,933

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

#0766998994 #0788871769 #0788871769 #

Пікірлер: 176
@Rucy-se5ki
@Rucy-se5ki 8 ай бұрын
Jipe moyo mtetezi wako yuhai hata mimi nilikataliwa lakini namshukuru Mungu amenitia nguvu mpaka xaxa naendelea na maisha na watoto wanasoma jipe moyo mtoto wa Mungu Mungu hajakuacha yuko pamoja nasi sema aminaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 Ай бұрын
Very good my brother Hero of Jesus Mungu akubariki sana.
@arubalydia224
@arubalydia224 Жыл бұрын
Duuh hakika namtukuza Mungu Kwa ajili yako Kaka nikikumbuka aliko kutoa mhhh.. from Saudia Arabia YESU aendelee kukutunza🇰🇪🇰🇪👌🇸🇦 japo head line kidogo imezingua
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Жыл бұрын
Aaaamen kupitia historia ya maisha yako kakangu kiukweli niliwahi kusema Yesuuuu nisaidie nisije nikakata tamaa ktk maisha yangu,kwa sababu kupitia shuhuda za maisha yako kaka Pascal Cassian nilijikuta na nimejikuta imani yangu inazidi kupanda kwa viwango vya juu!!really Yesu ni mzuri jamani,kumtumikia Mungu kuna faida!!
@joshuamollel6993
@joshuamollel6993 Жыл бұрын
Ameen na mimi tawahi kujikatia tamaa, kabisa ni mwiko kwangu nimepita mengi na bado napita na nitatoboa tu! Ubarikiwe ba Mungu mtumishi hii elimu ni kubwa sana utupatia , nimejifunza na wakati huu nilikuwa nimekaa mahali nashika tama namuuliza mungu kwanini nateseka lakini kumbe siri ya maisha sio kumlaumu Mungu, bali ni kuchukua imani ya ushindi kutojikatia tamaa!! Na sasa imetosha Mungu Atanisaidia mbele.. 🙏
@olivenjeru5033
@olivenjeru5033 Жыл бұрын
Amen.. Pastor.. Am blessed by your testimony.. Yes... I will never give up..... In Jesus Name
@magogelameck1501
@magogelameck1501 Жыл бұрын
Ahsante Mungu wangu nitakutegemea wewe katika kila njia zangu kamwe sitokata tamaa Amina.
@patiencehumbled3519
@patiencehumbled3519 Жыл бұрын
Kwa jina la Yesu sitokata tamaaa,nimefanya nimefanya kazi miaka mingi sijafanikiwa kusave kitu,lakini round hii nitafanya kazi mpaka niwe Boss
@Imatheboyclassic-un6ql
@Imatheboyclassic-un6ql Жыл бұрын
Amina mungu akubariki
@graceb2398
@graceb2398 Жыл бұрын
We go through tough time but when we hold on our father in heaven fight our battle 🙏🙏🙌
@AnnastziaSimon
@AnnastziaSimon Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi somo limenigusa mno,kuto kujiona Mimi wa thamani kuliko mwingine,na kutokujikatia tamaa kwa Hali yeyote zaidi kuto kumdharau MTU aliyeumbwa na Mungu AMBAYE kaniumba Mimi pia🙏🙏🙏🙏🙏
@zzy5590
@zzy5590 Жыл бұрын
Asante Kwa ushauri muzuri ubarikiwe sana hata kma uko kwa changamoto kali mungu yupamoja na ww pst 🙏🙏🙏 amen na akupitishe kwa hayo yote in Jesus name 🙏🙏🙏
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Жыл бұрын
Kwa neno lako hakika nimepata faraja na nguvu ya kuendelea kumwamini Mungu wangu aliye hai, barikiwa sana🙏🙏🙏
@EdinaMaturike
@EdinaMaturike Жыл бұрын
Barikiwa na Bwana mtumishi,jamii inahtaj kusikia haya!!Bwana akuinue kuendelea kumtumikia ktk roho na kweli.
@Amina-h3h
@Amina-h3h Жыл бұрын
Amen be blessed, kwa kweli nmejisikia wa maana sana kwa maneno yko pastor mungu akuzidishie hekma
@davidadorwa258
@davidadorwa258 Жыл бұрын
Ev pascal your testimony is real ablessing and touching may God continue blessings you, because you are mirror to the family.
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Жыл бұрын
Aaaamen hallelujah kristo nisaidie nisikubali kukata tamaa ktk maisha yangu,ktk jina la Yesu!!
@sharonetsisiche5184
@sharonetsisiche5184 Жыл бұрын
Ev pascal MUNGU akubariki,ujumbe mzuri,,nakumbuka pia nami nilipata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 16,kwa ajili ya mazingira ya kutokuwa na wazazi,,lkn yule mwanaume alinifukuza mtoto alipo fika mwaka mmoja na miezi saba,,kisa simjui baba aliye nizaa, akasema aezi ishi na mtu hajui aliko zaliwa,,,n kweli sijui hata sasa,lkn yule mwanaume aliye niokota kwenye Street alinipenda vile ,na tumeishi naye miaka 13,,tuna watoto,natunapendana,lkn yule hadi leo hajawai pata mke,
@avitusrwegoshora939
@avitusrwegoshora939 Жыл бұрын
Amen
@sharonetsisiche5184
@sharonetsisiche5184 Жыл бұрын
@visionofeagle1329 asante kaka, tulisha peana kanisani
@sharonetsisiche5184
@sharonetsisiche5184 Жыл бұрын
@visionofeagle1329 asante kaka nawe pia
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Msamehe jamani sharoni,muombee naye apate mke,jarĩbũ kumfungua maana machozi yako ndio yamemkufunga
@sharonetsisiche5184
@sharonetsisiche5184 Жыл бұрын
@@UsafiMichael-mc8kt kwa kweli sina kinyongo naye hata ,,nilishamsamehe kitambo,,wala sijamfunga tabia zake mbovu na maovu yake ndio yamemfunga,
@ScolaMwanjoka
@ScolaMwanjoka 5 ай бұрын
Amina Baba naomba maombi yako Baba Kila Jambo ninalofanya aliendi na Namshukuru MUNGU amenipa uduma ya kuimba .lakini uduma hii aiendi mbele..naomba maombi yako Baba
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 Жыл бұрын
Amen Amen, be blessed Man of God for the great and powerful message.. I will never give up 🙏 .
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg 4 ай бұрын
Ameen mtumishi Asante sana umenipa uwsho na helium mzr kwani skujua iyo soda aliteseka sana nayeye OK najipa moyo konde ...nitasimama tena kwa ujasiri
@EssauMahundi
@EssauMahundi 3 ай бұрын
Mungu akuariki akutunze kwasemina nzuri uwezo wa mafanikio yoteee yanamwanadamu mwenyewe
@FaithMueni-tu8hg
@FaithMueni-tu8hg Жыл бұрын
Wow my favorite drink seven up siri dio hiyo God bless you servant of God🙏🙏
@gib3888
@gib3888 Жыл бұрын
Ameeen, mtumishi wa mungu may God bless you sitakufa moyo najua ipo siku mungu atafanya njia pasipo na njia kwa maisha yangu 🙏
@RoseEster-z6j
@RoseEster-z6j Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi umejua kuniponya moyo wangu yani umejua kunifariji sana na kunifanya niwe mpya
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 Жыл бұрын
Mungu akulinde saan mtoto wetu ubarikiwe sana 👏🤲🙌🏾 i 🔥
@Charee_de4494
@Charee_de4494 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri mtumishi,kisasi ni ya Mungu .Msamaha ni ufunguo wa baraka ili waliokuadhibu wapate kujua uzuri yake.❤❤❤❤
@Crabtree1844
@Crabtree1844 Жыл бұрын
Amen, karibu mtumishi Paschal.
@sylvestermichael3711
@sylvestermichael3711 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri
@alamagatasanga1805
@alamagatasanga1805 Жыл бұрын
Mtumishi wa Bwana hongera Sana,ila Nina swali hapo biblia inasema alichokiunganisha mungu mwanadamu asikitenganishe wewe umesema usikate tamaa unaweza pata mwingine imekaaje hapo
@wafulaallen1527
@wafulaallen1527 Жыл бұрын
I watch you daily from Uganda
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Жыл бұрын
Amina kweli nyuvu ya kuamini nguvu ya kutokujikatia tamaa ni njia pekee ya kufikia mafanikio,Yesu nisaidie!!
@Akinyisafi
@Akinyisafi Жыл бұрын
Amen Amen brother kwa haya mafunzo mazuri sitakata tamaaaaa
@moseskundu5950
@moseskundu5950 Жыл бұрын
Tuko pamoja mtumishi wa mungu.nakuelewa zaidi😊😊😊
@christinakamwela9368
@christinakamwela9368 Жыл бұрын
Asante sana, neno hili limenifanya nijione Nina nguvu mpya tena
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Ameen soma Isaya 40-28
@nancylydia8053
@nancylydia8053 Жыл бұрын
Hakika mtumishi , huu ujumbe umenibariki sana, matumaini yangu yamekuwa chini sana kimaisha ubarikiwe
@EsterBernardoVumo
@EsterBernardoVumo Жыл бұрын
Amen Mungu Azidi Kukutia Nguvu Ya Kushinda Na ya Ulimwengu
@blessingcharles-lc1rr
@blessingcharles-lc1rr 2 ай бұрын
Yaaani mtumishi leo umeomgea vizuri Nahisi huo ndio wito wako ulioitiwa kuwa tiwa watu moyo kwa ushuhuda wako Na sio kupondea wakristo wenzako
@kedricksiame6167
@kedricksiame6167 Жыл бұрын
Hapo siyo sahihi unapo ongelea kuwa kama mtu ameolewa au kaowa na akasumbuiwa eti ana weza kuja kupata mwingine hapo siyo sahihi soma Mathayo 19 na 1wakolitho 7
@CleverGalaton-tz
@CleverGalaton-tz 9 ай бұрын
Kaka kama unapitia maandiko sawasawa soma Story ya Ayubu alipoteza mke, Mali, na watoto kabla hajakufa Mungu alimponya Ayubu na alirudishiwa vyote mke na watoto, Mtumishi Kuna namna anaongea uhalisia
@yohanamp-ec7im
@yohanamp-ec7im Жыл бұрын
Nazielewa sana kauli zako pastor MUNGU azidi kukusimamia
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 8 ай бұрын
Amen ubarikiwe san mtumishi
@shadyaomary
@shadyaomary 8 ай бұрын
Nimependa mafundisho haya Pascal wewe ni shujaa wa mungu
@fredrickngwalolela3889
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa kunitia moyo na kutusaidia vijana
@adelinaelis
@adelinaelis Жыл бұрын
Yan ujumbe huu ni mzuri sana nimepata nguvu mpya ya kuendelea mbele
@gashkanay4870
@gashkanay4870 Жыл бұрын
Axnte sana mtumixhi wa mungu 🙏🙏🙏umenibarki sana ata mm nilikua inmekata tamaa kulingana n hali ya maisha nilio pitia 😭😭😭lakini nimejifunza kutokata tamaa leo
@naomesitina5455
@naomesitina5455 Жыл бұрын
Amen 🙏 l was in bad life you the person who changed my life god bless you now l am good thank you lord for the blessings
@olivenjeru5033
@olivenjeru5033 Жыл бұрын
👌👌👌👌👌🇰🇪🇦🇪 Asante Pastor ubarikiwe sana.. Changamoto ni mingi... Pia sisi wengi tumejamia nchi zingine kwa Sababu ys madharau ya wengine.. So encouraged.. You are adorable father
@zzy5590
@zzy5590 Жыл бұрын
Amen amen pst God bless you amen😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@johnssaimon450
@johnssaimon450 Жыл бұрын
Asante EV P, swali yule mkewako wakati unapata ajali upo nae hata sasa?
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafunzo mema..kuanzia leo sitajikatia tamaa nitaishi nieleze upendo wa Yesu Kristo alie hai makuu ametenda kwa maisha yangu
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Ameen ubarikiwe
@janetisaac1084
@janetisaac1084 Жыл бұрын
Ameeeen,ubarikiwe Sana,Mungu akuinue zaid
@annann8214
@annann8214 Жыл бұрын
Ameen mungu nipee nguvu nisikate tamaa Kwanza kwa ndoa
@ElipendoElias-no6ki
@ElipendoElias-no6ki Жыл бұрын
I hope ulioa mke mwingne ambaye yuko nyuma ya mafanikio hayo,Mungu akubariki sana napataga nguvu sana nikikuckiliza maana kwa Hali yakibinadam kwa ule ushuhuda wako ni kweli lazma mtu angefkiria uwez pona lkn nnvokuona ss na pale uvokuwa kitandani mi napata nguvu sana ya kuamini kwamba Mungu anaweza na nguvu zake hazichunguziki,Mungu aendelee kukuinua mtumish wake
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 9 ай бұрын
Hakuwa amefunga nae ndoa
@silvesterlameck-h3d
@silvesterlameck-h3d 11 ай бұрын
Neno la ushuhuda wako limenipa nguvu mpya kama tai ,barikiwa sana mwana wa MUNGU
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Mini ni mzuri sana kwa jina la YESU
@aliaalia
@aliaalia Жыл бұрын
Amen 🙏 mtumishi, be blessed
@GraceOtieno-vo3sj
@GraceOtieno-vo3sj 8 ай бұрын
I love your story it's very tauching
@marybwire1949
@marybwire1949 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa yote Mutumishi 🙏🏽🙏🏽
@evamusuruve3196
@evamusuruve3196 Жыл бұрын
Very powerful message mtumishi 🔥
@fozfoziya9317
@fozfoziya9317 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi nimejifunza kitu kikubwa sana
@amisiwapole3144
@amisiwapole3144 Жыл бұрын
Mungu wetu akubaliki saaana mtumishi. Leo, ume nikosha sana na mafundisho haya. Ni kama ,ulikuwa ukiongelea maisha yangu nilio yapitia.Amen!!!
@AlexanderManyika
@AlexanderManyika Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@SaraAa-m9r
@SaraAa-m9r Жыл бұрын
Amen amen 🙏🙏 powerful be blessed bro
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 Жыл бұрын
Pole saana njamani 👏🙏
@AsterieJonasyaya
@AsterieJonasyaya Жыл бұрын
Ameen mtumishi nikweli watu tunakata tamaa sana
@estamarodaofficialtz5233
@estamarodaofficialtz5233 4 ай бұрын
Ameen ameen🙏🙏🙏
@omanqqwe4061
@omanqqwe4061 11 ай бұрын
Amina mungu akubariki sana ❤❤❤❤
@phaniceariviza4399
@phaniceariviza4399 Жыл бұрын
Paschal usisahau talaka sio dhambi lkn kuolewa au kuoa baada ya ndoa ya kwanza ni dhambi
@georgevicent6849
@georgevicent6849 Жыл бұрын
Uko sawa kabisa
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 9 ай бұрын
Ila nimeelewa hey hakuwa amemuoa alichumbia
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 Жыл бұрын
Hiyo niukwli kbs mngu nimwema awalinde kbs 🤗🥰🙏🙏
@HellenPallangyo-m5q
@HellenPallangyo-m5q 9 ай бұрын
Mungu akubariki saaana
@upendomollelu7260
@upendomollelu7260 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe
@goodluckjoseph3540
@goodluckjoseph3540 6 ай бұрын
Good message 🖐️🙏💪
@JoyceFungo-c8k
@JoyceFungo-c8k 8 ай бұрын
Ameen ubarikiwe mno
@justinkatiba8828
@justinkatiba8828 Жыл бұрын
Amen
@JacksonKasine
@JacksonKasine 8 ай бұрын
Nashukuru sana mtumishi
@DavidKampate
@DavidKampate 21 күн бұрын
Mbons alivimilia sana wakati unaumwa,alikuuguza Hy
@eddygad2858
@eddygad2858 Жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
@meckitilidatushabe
@meckitilidatushabe Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Kaka angu huwa unanibariki sana
@MussaKamingoge
@MussaKamingoge Жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi
@didierhakizimana6536
@didierhakizimana6536 Жыл бұрын
Amen Amen
@stellapetro2617
@stellapetro2617 9 ай бұрын
Amina mtumishi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Wanaume mna uongo mwingi wakati wa kutafuta wachumba ndiyo maana wake zeenu mkikosa wanawaacha,Badilikeni
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg Жыл бұрын
Amina
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@yustasebastian2359
@yustasebastian2359 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@Sospeter-l9v
@Sospeter-l9v Жыл бұрын
🤲🤲🤲🤲🤲🤲ukweli kabisa ubarikiwe sana
@bettykimetto4291
@bettykimetto4291 8 ай бұрын
Amen Amen Amen
@ThomasiMichael
@ThomasiMichael 10 ай бұрын
Amina atamm xikat tamaa
@neemajoseph5158
@neemajoseph5158 Жыл бұрын
Amen 🙏
@EmilyRichard-qs2fj
@EmilyRichard-qs2fj 6 ай бұрын
Unanitia nguvu Sana brother
@toshaecha7313
@toshaecha7313 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@Zacharia-pv6yb
@Zacharia-pv6yb 2 ай бұрын
Kweli
@RebeccaObadia-km7kx
@RebeccaObadia-km7kx Жыл бұрын
Pole.bro
@neemasanga5273
@neemasanga5273 7 ай бұрын
Ameni
@ombeniyohaneaustin8415
@ombeniyohaneaustin8415 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri amen
@selestinimassawe3601
@selestinimassawe3601 Жыл бұрын
God bless you man of God
@beatricechengula3612
@beatricechengula3612 11 ай бұрын
Amen Amen Amen nimejifundisha kitu
@aloyamlumbuti
@aloyamlumbuti Жыл бұрын
Kabisaaaa mtumishi
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 Жыл бұрын
Amen 🙌🏾🙏🙏🙌🏾🙌🏾
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Жыл бұрын
Aaaamen hallelujah
@AliceMwendwa-lg4pt
@AliceMwendwa-lg4pt Жыл бұрын
true ❤
@RenathaCosmas-m3t
@RenathaCosmas-m3t 9 ай бұрын
Ameen Ameen
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 Жыл бұрын
Amina. Nimepata nguvu kwa tatizo nililo nalo. Nitajipa moyo na kusonga mbele.
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Жыл бұрын
Pole sana
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Tatizo gani mtũmĩshĩ tushirikishe tuombe kwa Umoja huenda Mũngũ akabadili
@joshuaadam2998
@joshuaadam2998 Жыл бұрын
❤❤Amen sana❤❤
@sarahkitindi3420
@sarahkitindi3420 Жыл бұрын
Ameen
UNABII WATIMIA KWA MATHA  KIZAZAZI CHA NYOKA  EV PAACHAL CASSIAN
1:02:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 21 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 27 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 7 МЛН
UKIFATA HAYA KATIKA NDOA YAKO IMEFANIKIWA |●PASTOR JOHN BENJAMINI
5:47
Pastor Francis Kenneth Ngwale
Рет қаралды 24
HII NDIO NJIA YA KUWA TAMBUWA WATUMISHI SHETANI NA WA MUNGU EVPASCHAL
13:45
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 6 М.
Paschal Cassian  Ona WanavyoMwabudu Official Music Video 2017
9:10
Nellson Chimfweta
Рет қаралды 303 М.
PASCHAL CASSIAN- MWANAUME NI MWANAUME TU!
5:22
Joakim work production
Рет қаралды 1,7 М.
CASSIAN ATOA MANENO MAZITO MSIBANI KWA MAREM DIDA EV PASCHAL CASSIAN
43:30
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 4,3 М.
Cassian achinja  nyati na kula nyama yake evpaschal cassian
18:35
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,8 М.
CASSIAN ATANGAZA UPENDO HAZALANI KWA AIRINI WOYA WA BONGO MOOV EV PASCHAL
1:07:34
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 19 М.