Jamn mm ni kijan lakn huu wimbo una ujumbe wa kwel kabsaa na wa2 tumefumbwa macho kuna manabii sasa wanatumia mafuta ,maji na miujiza ambayo kiukwel na kwa akili ya kawaida unaon kabsaa ni shetani🙏🙏🙏🙏😭😭😭
@Samvoice-tx1fj16 күн бұрын
Eee MWENYEZI MUNGU tunusuru na ghadhabu yako!!! Kweli tumekwishaa!!
@user-ii1qk9xn9zАй бұрын
Jumbe za kweli hazina wafuasi wengi. Nuru ilipokuja ulimwenguni watu waliikimbia na kwenda gizani kwa sababu waliogopa matendo yao maovu kufichuliwa. Nuru ya Yesu iko ndani yako Mtumishi endelea kuangaza.
@Happy-wg7ex8 күн бұрын
Ukweli kabisa
@EmilyEmily-fz3yq27 күн бұрын
Tulie ply saivi hii nyimbo asubuhi hii like hapa tujuane
@Dieudonnekasongoilunga27 күн бұрын
tuna muchukuru Mungu kwa iyimwimbo Mungu akubariki❤❤😂😅😢
@JeremiahArkaswai-nf1gv3 ай бұрын
kumbe ni wewe ndo umeimba wimbo huu Mungu wangu na akubariki sana mtumishi wa Mungu aliye hai
@damasmasyaga2115Ай бұрын
Wimbo umejaa neema ya Mungu sana. Ubarikiwe kazi njema.
@kokombwana86252 ай бұрын
This song reminds me when I surrender my life three years ago in Iringa
@user-xd7fv6yl3o4 ай бұрын
Mwiinjilishaji wangu wa muda wote.❤ Mungu akupe nguvu upambanie injili ya haki.
@StyvenMbisu4 ай бұрын
Ni hivyo ndivyo nyakati za mwisho watu watakuwa hawapendi kukemewa wakitenda dhambi!!! Lakini wenye Imani wataishi kwa Imani barikiwa Sana mtumishi wa Mungu kuisema kweli!! Aliye n'a sikiyo n'a asikiye !!!
@maxwellodindo3262Ай бұрын
Such a powerful song, everyday when i wake up after sending my prayers then listen to this song ''Ona Wanavyomwabudu and ''TURUDI'' then leave for work... my all time gospel songs.
@Pendopasilika5 ай бұрын
Hongera sana MTUMISHI wa MUNGU hii nyimbo Kama imetungwa ni Jana ilivyo nzuri inapako wa MUNGU kwelikweli endelea kumuhubili HUYU MUNGU
@Pendopasilika4 ай бұрын
Barikiwa mwana wa JEHOVA ♥️♥️
@evalynstarehe19416 ай бұрын
Due to public demand this man should do a concert in Kenya , this song carries great msg
@thepresidenttobe54814 ай бұрын
Devil worshippers deleted this song and many lovely ones from his channel. We've to lift him to our Almighty God in prayers. He's now uploading them for the second time
God bless you man of God , I heard this song today and was very attracted but I was told my boss hate the song so much , suddenly he switched it off😭😭😭
@Mikeallyradjubu4 ай бұрын
I just come across your songs but you are my best musical to God be honour and Glory Thank you somach my God bless you🙏🙏🙏🙏🙏
@RobsonEnock8 күн бұрын
Tuko pamoja mjoli wa kristo yesu zidi kulihubili neno la mungu.by k/ tibu kwaya ya matendo mema anglikana nyamanoro mwanza tz barikiwa
@MussaMathias-mn4xnАй бұрын
Ev. Mussa Mathias, nimebarikiwa sana ❤.Mungu akuinue ktk uwimbaji wako
@user-ms2wq5zh3h6 ай бұрын
Wherever you are be blessed man of God.nimebarikiwa sana na nyimbo zako.kwanza Ile ya nikulipe nini.inanitoa machonzi ju inanikumbusha venye mungu aliniponya na sina cha kumlipa.unanibariki sana. nawe pia endelea kubarikiwa na mungu.
@GraceOtieno-vo3sj6 ай бұрын
I just come across your songs but you are my best musician .......TO GOD BE HONOUR AND GLORY
@EverlyneMwikya-bk9ci6 ай бұрын
Wow such a message is not to get or read from anywhere newer days devil doesn't want pole to be opened they're eyes Asantehene mtumishi was Mungu May God bless you and keep you to proclaim His word
@IreneNakholi19 күн бұрын
hope so watu wa pst ezekiel,kanyari mmeskia...believe inGod
@deniskitui6605Ай бұрын
Be blessed,am greatful for the powerful message that God has communicated through this song
@musindiamuyano99584 ай бұрын
Pastor ningependa ututolee makanisa ya kuzimu ukiwa nzima sababu huu uliopo ni mfupi kweli barikiwa
@odilsioftdesteriajoaquim20 күн бұрын
Amen jaman ninahamini ata yesu wakimpinga Ivo Ivo kama wewe unafanya kazi Fanya kazi TU si nimbo za umbeya na huu wimbo sio wa injili ata kidogo Nye ndo mashetany
@ezekielsonda3335Ай бұрын
Mungu awabariki ote mnao elewa kumbe WA wimbo huu kutoka Kwa pascal Cassian hongelen na Mungu atubariki wote
@paulantony564814 күн бұрын
Bitter truth yenye watu hawataki kusikia..... Soo 🔥🔥🔥🔥🔥
@user-rm4es1is3u2 ай бұрын
His voice, Glory and honor to you Jesus
@user-ep7ih3ps1k2 ай бұрын
Tunayo macho lakini hatuoni.... Mungu atusaidie
@MarcelineMwelu25 күн бұрын
Amen baba mungu akupe maisha mema
@MussaMathias-mn4xnАй бұрын
Mungu akubariki Kwa nyimbo za tahadhari kuhusu Injili batilifu
@TresorTure4 ай бұрын
Haleluya ! Tu me tambua kwamba wewe ni mupomonadji wa ma shetani kwelikweli tu !
@JulietShamalaАй бұрын
Mungu tuurumie
@wandiamuemawinfred4054Ай бұрын
Ooh God such a powerful song ......may God bless you 🙏
@RosemarySebastian-ek9gi2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi kwa kuinjilisha kupitia nyimbo,watu wanataka miujiza kuliko kusoma neno
@KingfreedomFreedomАй бұрын
Deus te a bençoem todos que Então a ouvir esse canção
@ruthmwamburi7562 ай бұрын
God bless you my brother,i was lost lakini nimejua kweli sasa
@piusngesa16583 ай бұрын
Mungu akubariki mtumshi hii wimbo imeguza moyo wangu
@collinskirui2 ай бұрын
Great message. Be blessed mtumishi wa Mungu.
@BenjaminWakhungu-oo7ug3 ай бұрын
Man of God be blessed kama si wewe singejua haya kwe
@JoyKagendo-td5ow2 ай бұрын
His voice says it all❤he's blessed 🙏
@agnessndabhalu2 ай бұрын
Hakika Mungu atufungue Ili tumwabudu MUNGU WA KWELI
@AminaDaffa5 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi WA mungu.
@AnnSituma-mk4hdАй бұрын
Amen this real teach me many things
@naendwammbaga39642 ай бұрын
Nyimbo zako ni nzuri sana
@Jo-kx8le26 күн бұрын
This song, ooh Lord❤❤❤
@celestineivayo13433 ай бұрын
Napenda sana nyimbo zako pascal Mungu akubariki
@user-tp5dn3jb9g2 ай бұрын
Bora nife maskini nikaurithi uzima wa milele shetani anawaonea wivu watu wa mungu ili awe nao kama anajiamin apambane mwenyew
@SamwelJoseph-yk3cw2 ай бұрын
Mimi sitakufa maskini nitatawala duniani na hata mbinguni sawa sawa na neno la BWANA lisemavyo.
@estermwakatundu30283 ай бұрын
2024 nabarikiwa sana na huu wimbo🙏🙏
@ElyseeKapinga-jk7po29 күн бұрын
Is cool my boy
@SteveIlunga-qx8wi2 ай бұрын
Ubarikiwe saana mtumishi wa bwana.
@namayamsanii63082 ай бұрын
Good one. You've hit the nail on the head
@glorychris92975 ай бұрын
Mungu aendelee kukulinda uzidi kusema kweli
@AnnSituma-mk4hdАй бұрын
Jamani messages za juu wimbo ni moto asiye sikua afungue maskio
@DanielSimiyu-w6k21 күн бұрын
Am danie i like this song
@AemoAsffd-it7cq6 ай бұрын
Sema ukweli kaka watu wameacha mungu
@SaimonDavid-li5yq4 ай бұрын
MUNGU akuongee ulinz
@DannishZania-OfficialYouTube5 ай бұрын
Naupenda huu wimbo sana mtumishi ahsante
@oscarwhite52607 ай бұрын
Never gets old much blessings
@ZephaniaLaizer-vk1it2 ай бұрын
Nkwel bro
@JohnSimbeye-ww4uc4 ай бұрын
Encouraging song, God bless
@francoismalenge13734 ай бұрын
Amen Amen Amen pasteur ❤❤❤❤
@janetnabie3673 күн бұрын
Wau!
@duka81432 ай бұрын
Mungu akulinde
@SelinaDorcas2 ай бұрын
Great 👌 song
@JoseMswahili3 ай бұрын
Naomba wachungaji kama huyu wengine waungane kuliokoa taifa
@lwengeugalama34504 ай бұрын
Amina this is the reality
@josphatmwangi29405 ай бұрын
Powerful song
@JoseMswahili3 ай бұрын
I love you Cristian
@victormathiaswarioba55957 ай бұрын
Am blessed
@harrietajiambo2295 ай бұрын
Nadhani kila mtu amepata message ya huu wimbo
@SamwelJoseph-yk3cw4 ай бұрын
Wanasikia lakini hawaelewi maana MUNGU wa dunia hii amepofusha fikra zao isiwazukie nuru ya injili ya kristo, lakini saa inakuja tawala za dunia zitakuwa tawala za mwanakondoo
@SelinaDorcas2 ай бұрын
@@SamwelJoseph-yk3cwhiy ni kweli
@ministerwillan2 ай бұрын
Kali bro
@freregedeonndolo7 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana
@mfalme90673 ай бұрын
Wanamwabudu
@ShimirimanaJolie-uo3wl5 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@MlokoziVerus3 ай бұрын
Fichua tumechoka
@AnnSituma-mk4hdАй бұрын
Kweli tunayo macho lakini hatuoni
@PhabianYasih6 ай бұрын
True
@JulianaNzunda2 ай бұрын
Kweli
@DJBAOBAB-kb8zn6 ай бұрын
❤
@user-bm7td4yf1w7 ай бұрын
Amen
@NzingaNguyu4 ай бұрын
People they don't understand themselves ,whom their be4 God