mkiwa - k sal feat feroouz

  Рет қаралды 1,151,600

delp307

delp307

Күн бұрын

Пікірлер: 1 200
@Brownsteve-Music
@Brownsteve-Music 11 ай бұрын
Huu ni mwaka 2024 Aisee lakini bado ni hiit plzzzz like kama unaisikiliza now
@aylabeachhouse7717
@aylabeachhouse7717 9 ай бұрын
still hit
@aylabeachhouse7717
@aylabeachhouse7717 9 ай бұрын
still hit
@aylabeachhouse7717
@aylabeachhouse7717 9 ай бұрын
still hit
@stevechampion6559
@stevechampion6559 9 ай бұрын
true
@brianbabat1134
@brianbabat1134 Ай бұрын
Mi saiz nausikilizaaa
@danielbabere137
@danielbabere137 Жыл бұрын
Hii ngoma itabaki moto milele daima. Wenye tunaingalia🎉 2023 tujuane kwa likes
@evansokari4541
@evansokari4541 Жыл бұрын
It's 2023 and this is still a master piece.
@jabirhiba9421
@jabirhiba9421 Жыл бұрын
Bonge la nyimbo
@edgaphabian407
@edgaphabian407 Жыл бұрын
YA UKWEL HII
@saml.4120
@saml.4120 7 ай бұрын
So sad they don't make songs like this anymore
@kassimnamogo1721
@kassimnamogo1721 11 ай бұрын
Nani karudi Tena hapa mwaka 2024 kuja kucheki huu unyama Basi gonga like za kutosha
@aylabeachhouse7717
@aylabeachhouse7717 9 ай бұрын
tupo
@jamesbenjamin4556
@jamesbenjamin4556 10 ай бұрын
2024 🔥 🔥🔥ukiwa kwenye nafasi ya kumsaidia mtu msaidie. Mungu atakubariki
@MwamvitaHashim
@MwamvitaHashim 7 ай бұрын
Yani naangalia uku nalia. Kwani. Nilptia. Mateso ayo naumia sana yaniiii rlp wazazi wangu. Mungu awapumzishe❤
@Elickkosani
@Elickkosani Ай бұрын
Pole sana ndugu
@makiadekabura5513
@makiadekabura5513 5 жыл бұрын
Kama bado unasikiliza hiyi nyimbo 20019 2020 gonga like hapa please guys because hii song kitambo saaana guys imekugusa my life homie peace ✌ for my nigga nayisikiliza toka Chicago Illinois USA 🇺🇸
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 2 жыл бұрын
Pamoja sana mzee wa Obama village, Illinois US
@DrAbdi-rv4hd
@DrAbdi-rv4hd 6 жыл бұрын
Turudini kuangalia tena 2019 jaman hii ngoma Kali nynyi
@makavutheprince5924
@makavutheprince5924 5 жыл бұрын
Naipe dasana
@thadeyhenry9473
@thadeyhenry9473 5 жыл бұрын
Sopoa
@morzcharlzen6432
@morzcharlzen6432 5 жыл бұрын
Tuko pamoja
@gabrielmakundi9095
@gabrielmakundi9095 2 жыл бұрын
2022
@omarylazaroomarylazar8421
@omarylazaroomarylazar8421 5 жыл бұрын
nikwer yatimaa adekii mlio na mama zenu waheshimuni Sana mana sisi wengine atuna WA kuita mama wala baba mungu nimwema Siku zote
@sadickmohammed2423
@sadickmohammed2423 5 жыл бұрын
Daaah pole sana
@netochuhila5532
@netochuhila5532 4 жыл бұрын
P 1
@allymohammed7708
@allymohammed7708 4 жыл бұрын
Pole sana kaka
@nasmaomary1764
@nasmaomary1764 3 жыл бұрын
Nikiwa mwenyewe najua yatima pekeyangu kumbe tupo wengi maisha magumu sanayakutokua na wazazi wote jamaniii
@BwedoFrank
@BwedoFrank Ай бұрын
Hii ni aina ya track zinazoishi inasikilizika mda wote na mwa ka wote nife mimi ufe wewe afe na mwengine na wengine hii ngoma watakao kuwepo miaka ijayo pia watasikiliza much respect back in time ..
@gospelextramusic6734
@gospelextramusic6734 Жыл бұрын
Hii ngoma siku moja nimejibanza kwenye nyumba ya jirani nikiwa nmefukuzwa kwenye mji ambao nikikua nikitunzwa yaan nikiwa ka houseboy nibaada ya kuwazika baba na mama😭😭😭😭😭😭 nikiwa nimechoka ndipo kwa jirani wakaplay hiii ngoma daaaahh😭😭😭😭 nilijikuta nalia kwa sauti kuuu hadi watu wote pale wakatoka nje. Nikawaeleza kilicho nisibu usiku ule ingawa sikueleza kwamba wimbo umenichochea zaid..., ila Mungu amenitetea na amenitoa mbali🙏🙏🙏🙏
@JumaAdam-wk5ix
@JumaAdam-wk5ix 11 ай бұрын
pole sana mungu yupo nawe p1, hatamm kuona huu ujumbe wako umenitoa machozi San pol ndugu tens sana
@JulesMugisha
@JulesMugisha 9 ай бұрын
Pole manzee. RIP kwa wazazi🙏🏾
@jovinatusemmanuel7223
@jovinatusemmanuel7223 27 күн бұрын
hakika Mungu hamtupi mja wake 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@placidesenga6449
@placidesenga6449 Жыл бұрын
Mkiwa 😭😭😭😭kuishi bila wazazi. Ningeweza ninge omba baba yangu arudishwe duniani. Février 2023
@petronilasteven6278
@petronilasteven6278 7 жыл бұрын
Daah huu wimbo una nikumbusha mbali nilivyo kuwa mtt mateso niliyo pitia hii nyimbo ilikuwa ina niliza 😢😢😢😢😢😢 . Ahsante mungu
@fbhj443
@fbhj443 6 жыл бұрын
Petronila Steven tuko wengi mumy nlikua nkikumbuka wazaxi wangu naimba hii nyimbo
@bettymwasa1079
@bettymwasa1079 6 жыл бұрын
Petronila Steven pole sana
@mumbayeashata993
@mumbayeashata993 6 жыл бұрын
Dah hii ngoma imeniliza Sana Mimi na mshkaji wangu somu wangu tulikua na majina ya kufanana afu sote tulikuwa hatuna wazazi dah tumesota Sana utotoni mixa kulala vibadani au msikitini, basi tulikuwa tukisikia hili goma tunasoneka Sana. Poleni Sana mayatima nyote kwani kazi ya Mungu haina makosa
@kilamegroup2968
@kilamegroup2968 6 жыл бұрын
inaumiza sana tuliopoteza wazazi wtu
@awashii2313
@awashii2313 6 жыл бұрын
Petronila Steven pole
@yusuphlusinde9832
@yusuphlusinde9832 Жыл бұрын
Nilikuwa nalia sana nikiuskilza huu wimbo baada ya kumpoteza babaangu
@ALOYCE007
@ALOYCE007 4 жыл бұрын
Mungu awalinde wazazi wetu wote popote walipo sema amen kisha gonga like 05//4//2020🕌⛪🌍🌏🌎🙏🙏🙏
@jacobsifukwe7291
@jacobsifukwe7291 2 жыл бұрын
Amina
@skulfees5453
@skulfees5453 2 жыл бұрын
Amin Amin
@mrmarshalvideos3999
@mrmarshalvideos3999 Жыл бұрын
Amin ya Allah Walaze Mahala Pema Peponi 😭😭😭
@officialbombdropper9435
@officialbombdropper9435 Жыл бұрын
2023..same message live long mom and dad❤
@godfreysilwimb4576
@godfreysilwimb4576 Жыл бұрын
Amein
@mohamedisarafi5308
@mohamedisarafi5308 5 жыл бұрын
Kama unaangalia 2019 #gonga like tujuane👍👍👍
@emmabenad8593
@emmabenad8593 5 жыл бұрын
Pole mjomba
@idditwahiru4604
@idditwahiru4604 4 жыл бұрын
Pamoj
@xeby889
@xeby889 3 жыл бұрын
2021
@aminayusuph5753
@aminayusuph5753 9 жыл бұрын
feruzi unapaswa kupongezwa nyimbo zako huwa zinaniliza pole ninapo zisikiza hongera sna umejitahidi .
@llyassaabdalla2431
@llyassaabdalla2431 5 жыл бұрын
mamb
@arafaj979
@arafaj979 4 жыл бұрын
Jamani imenikumbusha mbali
@OmbeniJoel
@OmbeniJoel 10 ай бұрын
Naiskilizia moyon ngoma wale walioptia baadh ya yanayoimbwa tujuane...❤
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Mungu anijaalie nirudi tz Kwetu nitarekodi nyimbo za zamani , nasikiliza kwenye sabufa , zinaliwadha sana Uzi nyimbo
@ummiaziza7742
@ummiaziza7742 5 жыл бұрын
Insha allah
@Humphrey_1204
@Humphrey_1204 10 ай бұрын
Tunaoskiliza huu wimbo 2024 tu like apa 🎉❤❤
@aylabeachhouse7717
@aylabeachhouse7717 9 ай бұрын
tupo
@amiridaudi9233
@amiridaudi9233 5 жыл бұрын
Kama unaangalia hii ngoma 2019 gonga like tutambuane,,,,
@thomaskaruri681
@thomaskaruri681 5 жыл бұрын
Mwanangu ngoma. Bado hipo juusana
@cosmaselias187
@cosmaselias187 5 жыл бұрын
Daaah!kwel wanaweza ludi waimbaji kama hawaaaaa?
@nelsonmwavuo6124
@nelsonmwavuo6124 2 жыл бұрын
Big-up sana bro
@isayabendera3034
@isayabendera3034 Жыл бұрын
Unyam sanaa
@AhazyStanley
@AhazyStanley 9 ай бұрын
Wasafi ndo wamenileta hapa mida hii❤ 2024/03/21❤😢
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
Feruz doesn't just sing for fun he sings what really affects the society. Thr first time I heard I couldn't hold my tears I felt like the message was specific for me. It's like Feruz had my thoughts. Big respect bro
@fahadalaba
@fahadalaba Жыл бұрын
😢😢
@yirgayemyirgah7820
@yirgayemyirgah7820 3 жыл бұрын
Ferooz anatakiwa kupewa tuzo kama mfalme wa chorus jamaa amependezesha nyimbo nying sana
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Unaniliza Huuu wimbo, unanikumbusha malehemu mpendwa mamaangu , wenye wazazi muwapende muwaheshimu wengine tunatamani kuita mama lakini ndoo ishakuwa , unabaki unaliatu
@fbhj443
@fbhj443 6 жыл бұрын
Ali M1966 😢😢😢😢
@dogohemed9629
@dogohemed9629 6 жыл бұрын
Ali M1966 dah huwa inaniuma sana kumpoteza mama angu .R.i.p mum
@kassangaibrahim3476
@kassangaibrahim3476 6 жыл бұрын
Ali M1966 dah pole sana
@fofomohammed6253
@fofomohammed6253 6 жыл бұрын
Wakwanza Mimi natamani kuita Baba lakini ayupo
@ziadasalim3055
@ziadasalim3055 6 жыл бұрын
Kwel kabisa
@jumanzige9644
@jumanzige9644 3 жыл бұрын
namkumbuka marehemu bibi yangu😢😢😢 ALLAH ampe raha zote za peponi, 2003 alilia kuusikiliza wimno huu na kunambia , siku hizi watotyo wanaimba nyimbo zinaumiza sana
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 2 жыл бұрын
Kama nawewe unaangalia hii ngoma tamu Leo hii siku ya ijumaaa yatalee 11 mwaka 2022 gonga like wanangu mungu atu bress satano hii nadakika zake 32
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 2 жыл бұрын
Noma sanaaaaaa Huwa haiishi kunitoa chozii hizo ndo nyimbo...
@najimnassour
@najimnassour 2 жыл бұрын
htri sana
@mungakhamisi777
@mungakhamisi777 Жыл бұрын
Amina
@fednandkisinda5663
@fednandkisinda5663 Жыл бұрын
Ngoma inaeleweke san
@isaacjohnson2076
@isaacjohnson2076 7 ай бұрын
Tareh 12 mm. Kali sana
@maulidhamis-9447
@maulidhamis-9447 10 ай бұрын
Huyu dogo ni blaza wa mtaani kwangu kiufupi ni blaza angu mana ni mkunwa kwangu ila alijua kuigiza 2024 gonga like
@aylabeachhouse7717
@aylabeachhouse7717 9 ай бұрын
kabisa
@ChitindiAmidu
@ChitindiAmidu 4 ай бұрын
Naomba noo Yake bro
@MeedyBakari
@MeedyBakari 3 ай бұрын
Kama ni blaza wako tuambie yupo wapi
@ramadhanimpapalika7131
@ramadhanimpapalika7131 2 ай бұрын
Nilisikia alifungwa eti kweli?
@denismakweba3870
@denismakweba3870 8 жыл бұрын
siku zote huu wimbo kwangu nikma mpya!! ulifanya vizuri sana ~~~best ever~~~
@alhajjabdallah631
@alhajjabdallah631 6 жыл бұрын
Amazing
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
This song always shed my eyes with tears whenever Feruz reach the hook. May Allah forgive my mom and my dad and grant them safe place in Janah inshaallah
@ismailmohamed9264
@ismailmohamed9264 2 жыл бұрын
Amin Amin Akhy
@abdibilali4186
@abdibilali4186 2 жыл бұрын
AMIIIIIN
@nelsonmwavuo6124
@nelsonmwavuo6124 2 жыл бұрын
So sad indeed...bt sorry my brother
@bobleeswagger7416
@bobleeswagger7416 2 жыл бұрын
lets pray for our late parents I lost my mom and dady when am stil kid this song was my favorite every word from farooq related with me
@yudadaniel6102
@yudadaniel6102 2 жыл бұрын
UJUMBE MZURI SANA. JAPO KITAMBO SANA HII NGOMA.
@fakihmohd8506
@fakihmohd8506 5 жыл бұрын
😭😭😭😭chozi chini nyimbo haizeeki mpk Leo hii imenitoa chozi big up ferooz🙋👌👌
@kennethbahebenginilla1657
@kennethbahebenginilla1657 5 жыл бұрын
RIP bibi yangu mpendwa Zeituni Said Ngamange,naikumbuka siku anafariki hii nyimbo ndio ilikuwa ktk chat Mei 24 mwaka 2003
@ramaccr7525
@ramaccr7525 5 жыл бұрын
Kila nikisikia iyi ngoma nakumbuka maisha nilio pitia magumu kishenzi lakini mungu mkuu sasa ivi niko zangu usa
@fathimafathima3888
@fathimafathima3888 4 жыл бұрын
Danyimbo,inanirinza,inanikumbusabibi angumzababa,namzamama 😭😭😭punzikenikwamanii
@lauriankisala-cz3fp
@lauriankisala-cz3fp Жыл бұрын
sio utani kaka,, songs za zamani cjui znanin ndani yake,, ni nzuri sana Yani huzichoki
@FabiDthree-ro1ms
@FabiDthree-ro1ms 8 күн бұрын
Walikuwa waimba kweli awa sshv wanimba matusi
@husseinomary4466
@husseinomary4466 5 жыл бұрын
Mziki Safi unavuta hisia zamaisha nakuwaza yote unayopitia, sio huu utumbo wasasa unahamasisha ngono tu gonga like yako Kama unaamini mziki waheshima ulikua huu
@fahadalaba
@fahadalaba 3 ай бұрын
Kaka skuizi hakuna tena nyimbo, kuna biashara ya mziki 😢
@JimieWaManchester
@JimieWaManchester Ай бұрын
Nimejipata nikiiskiza hii nyimbo Leo daaaah Dunia hii😢
@deogratiusjoachim5526
@deogratiusjoachim5526 4 жыл бұрын
Kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamini William Mkapa, kimenikumbusha kutafuta huu wimbo. RIP baba Mkapa.
@omarysadiki9923
@omarysadiki9923 8 ай бұрын
Song hili linanikumbusha wakati nafukuzwa kwenye kakiwanja wa mzee nikiambiwa alikua adaiwa kwaiyo Nisepe nikatafute pakukaa. Nilienda Mwanza japo nilikuwa sijui naendafikia wapi mfukoni nikiwa na buku Saba..... Ndugu mikosiiiiiíi
@riyamaramzy3968
@riyamaramzy3968 3 жыл бұрын
2021 bado naskiza nyimbo hii nikiwa mzima Alhamdhulillah, Nyimbo hii inanipa uchungu wa ajabu💔 Mungu awarahamu wazazi wetu waliotutangulia awape kaul thabit, nawalio hai Mungu awape umri mrefu wenye afia🤲
@hamzajuma1439
@hamzajuma1439 2 жыл бұрын
Ameeen
@suleZanzibar14
@suleZanzibar14 Жыл бұрын
Amiin sister Mungu akupe wepes inshaallah
@mgosimkome9242
@mgosimkome9242 Жыл бұрын
Hii nyimbo Ina ujumbe mkubwa, Hakuna msanii wa zamani aliimba nyimbo za kipuuzi Kama za sasa. Waliimba nyimbo zinazogusa jamii na ndo tafsiri ya msanii kioo cha jamii kuona matatizo yalioko na kuyamulika. Sio siku siku msanii anaimba nyimba nzima hakuna hata ujumbe. Mungu awabariki wasanii wa zamani.
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Жыл бұрын
Huu wimbo namkumbuka marehem baba 😭
@MwagodiHebron
@MwagodiHebron 2 ай бұрын
This song sends me far...I wish all children should live with their parents until they are independent!
@sojinkuba3190
@sojinkuba3190 7 жыл бұрын
mama ningeweza ningekuludisha duniani
@fbhj443
@fbhj443 6 жыл бұрын
Soji Nkuba 😢😢😢😢
@RaymondMhallilah-ed3se
@RaymondMhallilah-ed3se 4 ай бұрын
Big up to Father P Utabaki kuwa mwandishi bora wa Muda wote Japo wengine hawajui lakini umeandika hit nyingi sana ikiwemo hii Alikufa kwa ngoma ya Fa Dunia mapito ya matonya Na nyingine nyingi
@theophillusmusau4654
@theophillusmusau4654 12 жыл бұрын
Hii zaidi ya halwa na tende K Sal na mkurugenzi ferouz
@han_sunofficial8086
@han_sunofficial8086 Жыл бұрын
Huu ndio mziki ulioenda shule 💥🔥🔥🏆
@athmanbakari5932
@athmanbakari5932 5 жыл бұрын
Ferooz is the best, much love frm Kenya 254.#still here 2019.
@israelisponsor8755
@israelisponsor8755 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@hasnuumchezo3483
@hasnuumchezo3483 6 жыл бұрын
Anaeangalia hii 2019 yupo?
@issanyenyere8074
@issanyenyere8074 5 жыл бұрын
Nipo
@muganzababingwa2434
@muganzababingwa2434 5 жыл бұрын
Hasnuu Mchezo iko Kama mimi pamoja sana kijana
@mussanaveda3600
@mussanaveda3600 5 жыл бұрын
Hasnuu Mchezo adi 2020
@webcorporationlimited8578
@webcorporationlimited8578 5 жыл бұрын
tupo mpaka 2020
@annamohammed9455
@annamohammed9455 4 жыл бұрын
Sana2 enzize2 kitambo
@youngrapper3830
@youngrapper3830 3 жыл бұрын
HUKU MJINI HAKUNA SHAMBA NAAMBIWA SILIMI,,,,,,,,,I FEEL PAIN WHEN I LISTEN THIS LINE.....................
@samuelniyongabire6969
@samuelniyongabire6969 2 ай бұрын
Iyinyimbo ikanikumbusha babu yangu ferooz respect 2024 wenyemoyo safe mola anawafahamu sijuui wee umwo nduugu nyimbo nzuli snaaa hadi leoo 😢😢😢😢😢
@stylistofficial1405
@stylistofficial1405 Жыл бұрын
Kifo cha baba angu kime fanya maisha yangu kuwa magum sana tofauti na wakati alipo hai 😢😢 huu wimbo naona ni wangu kabisa 😢 2023
@mrmarshalvideos3999
@mrmarshalvideos3999 Жыл бұрын
Pole sio Wewe tu sote tupo hivyohivyo tulipo fiwa nawazazi wetu maisha yali kuwa mabaya kiasi kwamba unatamani kufa hadi sasa bado maisha nimabaya 😭😭😭
@NiyonkuruFidel-dr6wl
@NiyonkuruFidel-dr6wl Жыл бұрын
Uyu wimbo ni kiyo kwa Jami iyi kila Mutu ata ji tizama ,n'a hii wimbo ni kati ya wimbo cace saaana watu wali tunga enzi hizo zaa 2005 - 2006 wakati huyo watu wali jalibu ku tafakali mbele ya kutowa wimbo ¡!! Na ndiyo maaana mpaka Sasa wimbo huuu una mugusa yeyote anaye usikiliza .
@JUMAHUSSEINSINUNDO
@JUMAHUSSEINSINUNDO Жыл бұрын
Duu wimbo uu nimekmix wazazi wang xnajins mipango ya mola🎉 4:21
@abbasshabani670
@abbasshabani670 6 жыл бұрын
daa wimbo huu unanikumbusha mbali sana mwaka flan hivi nikiwa mdogo mateso ambayo nilipitia nyumba yapili ilibiwa nikaambiwa ni mm
@Xuliela
@Xuliela 14 жыл бұрын
Beautiful song. I loved it from the first time it was played on East African Fm. It was always brings tears to my eyes.
@luckybenladen6908
@luckybenladen6908 5 жыл бұрын
jaman tulud nyuma kama tunachek hi nyimbo Kali 2019 tujuaneeee
@fredrickmbaruku7827
@fredrickmbaruku7827 4 жыл бұрын
Rafiki yangu wazazi wake walivyofali Kwa ajari tu maisha yalibadilika ndugu walichukuwa Mali akaacha shule aliingia mtaani na kuwa chokolaaa mwishowe aliuwawa Kwa kuiba simu...RIP Emma natambua sio kosa lako😭😭
@karimismail7896
@karimismail7896 3 жыл бұрын
Subhanaallah
@skulfees5453
@skulfees5453 2 жыл бұрын
🤔🥲🥲
@ahamadiabdallah1943
@ahamadiabdallah1943 2 жыл бұрын
Inauma sana
@santusmagaiga5779
@santusmagaiga5779 Жыл бұрын
Eeeeeee bwana eeeeeeeeeee😭😭😭😭😭
@mrmarshalvideos3999
@mrmarshalvideos3999 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@asddsa5076
@asddsa5076 6 жыл бұрын
Nikiwaga na stress huwa nakujaga uku kutafuta song kama hizi huwa zinanifariji nakumbuka nilipotoka nahapa nilipo kwasasa 10 . 01 . 2019 Mungu nimkubwa
@allymohammed7708
@allymohammed7708 4 жыл бұрын
Tupo pamoja bro
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 2 жыл бұрын
Daaah, this song man ! Well, hiki kiitikio ni the best ever kiitikio cha muziki wa kizazi kipya.
@mungakhamisi777
@mungakhamisi777 Жыл бұрын
😭😭😭😭too much emotional 😭😭😭 14march 2023 still have feelings for this song
@bugaleejustine4990
@bugaleejustine4990 2 жыл бұрын
Dah man hii Ngoma ijumaa nahiskiliza lakn bado ni fire unananisha wakata mauno kama wasafi
@phildaka4611
@phildaka4611 3 жыл бұрын
I used to play this song introspecting my journey in life...but I guess not all gutter rats will die in the gutters..whatever we pass through there is a sovereign God who knows best. Keep pushing and stay focused in life after all life is a juice of different tastes some sweet and some sweeter
@matih.k1338
@matih.k1338 3 жыл бұрын
😊💯
@shadiaahmed8193
@shadiaahmed8193 3 жыл бұрын
Kweli .
@msakadoobongeladada-uh3sk
@msakadoobongeladada-uh3sk Ай бұрын
huyu jamaa anaidai mziki.... huu wimbo ni mkubwa sana 2024 ila bado wimbo ni 🔥🔥🔥
@PKB10
@PKB10 17 жыл бұрын
bongo tumetulia big wabongo
@noxiummgenge6963
@noxiummgenge6963 8 ай бұрын
This song came from the heart of Ksal, dope music when growing up mpaka sasa bado ni hit
@zerokize
@zerokize 15 жыл бұрын
dis song reminds me on june 03 2009, when 7 people died in car accident includin ma mom , i knw how it fells, back in the days i thought nothin 'bout it so u, take away from u 1 of ur family imember t's not easy ma friends, i'm tellin u the truth is not easy!!!
@abdullihmaulid7859
@abdullihmaulid7859 5 жыл бұрын
sorry guy
@aishaomary6434
@aishaomary6434 4 жыл бұрын
Sorry dear
@melkonjalika4727
@melkonjalika4727 3 жыл бұрын
Sorry
@revtuntufye
@revtuntufye 3 жыл бұрын
I know the situation 😢😢
@cyberspatial-gt3gb
@cyberspatial-gt3gb 2 жыл бұрын
Sorry 😥😥
@eliudyangomwilembebamaono
@eliudyangomwilembebamaono Ай бұрын
R.I.P wazazi wangu huu wimbo unaniliza sana 😭😭😭😭
@athumanmpera3006
@athumanmpera3006 5 жыл бұрын
Kama unaangalia2020 gonga like
@ummyhawah9896
@ummyhawah9896 4 жыл бұрын
Yes
@nassorcholo1658
@nassorcholo1658 4 жыл бұрын
Naikubali sana
@frank.fredrick9065
@frank.fredrick9065 3 жыл бұрын
Kama Baba mweshimu
@sojinkuba4746
@sojinkuba4746 5 жыл бұрын
Mkiwa mie najikongoja mtoto wako sina pa kukimbilia fungua mizimu mama nikaee vizuri
@hassanmassawa1107
@hassanmassawa1107 6 жыл бұрын
The way ferooz sing, its from his heart
@santusmagaiga5779
@santusmagaiga5779 Жыл бұрын
Daaah brother leo umenitoka 29/6/2023 saa 11:00 , eee mungu namuombea pumziko la milele 🙏🙏🙏 sisi ndugu Baki tunaomba moyo dhabiti wa kulinda wanao na mali zao wazipate bila kubaguliwa 😭
@emanuelwilson1071
@emanuelwilson1071 4 жыл бұрын
Anaeskiza hingoma 2020 gonga like Kama Mungu amekupa uhai had Leo bdo unaskiliza he Ngoma #mkiwa🙏😭
@rogatesiamlay9366
@rogatesiamlay9366 2 жыл бұрын
2022
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 3 жыл бұрын
Watu awajui kwanin feruz hii nyimbo aliimba kwa hisia, sana. Sababu ya, kwanza feruz ni yatima long time sana ata maisha ya, mziki wake yalisababishwa na hisia ya vifo vya wazaz na maisha magum ya, mtaa. Blessed keyz Allah anayajua haya nakutakia baraka tele ninja.
@muhammadomar1787
@muhammadomar1787 2 жыл бұрын
This song used and still relate to many of us.when wasanii walikua kioo cha jamii and reflect everything about societies daily lives.maneno ya busara,hekima,kuburudisha,kutia moyo,kulainisha nyoyo,kufanya watu kurudi kwa mungu,mafunzo tele yasiokua na kikomo,ubinaanadamu,kutenda wema,kusaidiana bila ya kubaguana.May God make it easy for all of us.
@veronicakatembwe366
@veronicakatembwe366 Жыл бұрын
Well said aisee
@SunnahAmry
@SunnahAmry Жыл бұрын
Ningeweza ningeomba mamaangu arudishwe duniani 😭😭😭😭😭 2023
@kibasamohamedi253
@kibasamohamedi253 7 жыл бұрын
duh nyimbo ujumbe mzur. inauma mpk baxiii
@skulfees5453
@skulfees5453 2 жыл бұрын
Hii ngoma aisee sina la kusema ila nimeteseka sana pindi maza alitangulia mbele za haki nimepata shida sana 🥲😭😭 waombeeni wazazi wetu waishi maisha marefu sirahisi niko na mengi ya kusema lakini tumuachie Mungu
@mohammedaltoobi4303
@mohammedaltoobi4303 7 жыл бұрын
Mziki zamani tu Asa hv KIKI zimejaa hakuna kaz kaz kuuza sura tu
@arafatakida4940
@arafatakida4940 6 жыл бұрын
محمد التوب
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 2 ай бұрын
Hizi ndio bongo fleva classic... 2024 nausikiliza kama Babu sasa! Wakati nilikua naingia ma concerts ya pale Diamond jubilee
@jobjoab9913
@jobjoab9913 5 жыл бұрын
2019..still feeling this. RIP mum and Dad
@josephkilelepoli5285
@josephkilelepoli5285 4 жыл бұрын
Dah
@syndi8517
@syndi8517 4 жыл бұрын
@@josephkilelepoli5285 66yy6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy6yy6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy6y6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy6yyyyyyyyyyyyyyyyyy6yyy6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy66yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy666yyyyyyyyyyyyyyy6y6yyyyyyyyyyyyyyy6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy666yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy66yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy6yy6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy6yyy6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy6yyy6yyyyyyyyyyyyyyyyy6yyyy66yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy6y6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy66y6yyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
@ndaulinendaulina5715
@ndaulinendaulina5715 2 жыл бұрын
So sorry for your loss. What happened?
@jobjoab9913
@jobjoab9913 2 жыл бұрын
@@ndaulinendaulina5715 sickness took them away.
@ben2themusic
@ben2themusic 2 жыл бұрын
R.I.p mom
@WardaSalehe
@WardaSalehe 27 күн бұрын
Mwisho wa mwka weka makopa dunia tunapita tusijisahau❤❤❤
@abuukissoabuuchannel3908
@abuukissoabuuchannel3908 5 жыл бұрын
Ujumbe mzurii sana vyakale dhahabuu 14/6/2019
@neyinnocent6975
@neyinnocent6975 3 жыл бұрын
Tupo pamoja mohamedi safari mm nimeanza sikili 2004
@shamulahbiira2006
@shamulahbiira2006 5 жыл бұрын
Inanikumbusha alivyo nitesa mama Wa kambo
@lilianbunjulu1281
@lilianbunjulu1281 7 жыл бұрын
Nakumbuka mbali sana nyimbo nzuri sana big up k sal and ferooz japo fedha mulipishana nazo ila heshima mumeijenga sasa hizi hakuna bongo frevour zaidi ya uhuni na ufremasoon
@arafatakida4940
@arafatakida4940 6 жыл бұрын
Lilian Bunjulu happy
@yohanasimon5190
@yohanasimon5190 6 жыл бұрын
ferooz rud kwa game, great vocal manZee joo
@stevemwash8679
@stevemwash8679 2 ай бұрын
One love Ngoma ya ki sure
@mahangilamboje8417
@mahangilamboje8417 6 жыл бұрын
Big up sana kijana huu wimbo uliimba aiseee
@fundiwakupaua
@fundiwakupaua 3 жыл бұрын
Noma sanahiii,sikiliza nyimbo kwamakini alafu ashumu wew ndiyo mkiwa umepitia Ayo na unawaza wazazi warudi iliuwenao pamoja
@aishaissa2512
@aishaissa2512 2 жыл бұрын
Nyimbo za zamani ninzuri jamani zinamafunzo kwa jamii🙏
@Kibaba12
@Kibaba12 7 ай бұрын
"Mjini hakuna shamba lakini naambiwa silimi" 📌
@RomwardWM
@RomwardWM 6 жыл бұрын
Ferooz 😢😢😢 duuh nilijua hutopotea kwenye music lkn leo hii umepotea
@FabiDthree-ro1ms
@FabiDthree-ro1ms 8 күн бұрын
Ndo maisha kila kitu kina mwsho 😢
@AgogoPais-xo9rh
@AgogoPais-xo9rh 10 ай бұрын
❤nitaipenda Ngoma i milele Mr Kasi niko Moz
@khamisadam5974
@khamisadam5974 5 жыл бұрын
Nyimbo hii inatukumbusha mbali kuna filamu moja Iliniliza ilikuwa ya akina Chiku na Kapili pale.kaka Alipofariki km kunamtu anakumbuka like
@edithajovinary9961
@edithajovinary9961 4 жыл бұрын
Waliumia Sana kwenye ile movie
@AA-pd4pz
@AA-pd4pz 2 жыл бұрын
20 years this song. Man wabongo si tuna talent kimziki .hii ni rap 💯
@abdallakonyezo7197
@abdallakonyezo7197 6 жыл бұрын
Ferooz I salute u bro kazi nzuri sana
@WITNESSMLAWA
@WITNESSMLAWA 11 ай бұрын
204 ❤❤❤ Bado uu wimbo ni kioo kwa jamiii
@peterkaranja2155
@peterkaranja2155 5 жыл бұрын
Great jam, lot's of true life meaning I appreciate your music Feroooz and team
@walagamasele9460
@walagamasele9460 Жыл бұрын
Daa !! Wapi feruz !! Namkubali Sana huyu jaamaaa !
@felixsawema6921
@felixsawema6921 5 жыл бұрын
Hii ngoma aisee inatia simanzi...duuh imenifanya nimkumbuke my dady..r.I.p dady
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 6 ай бұрын
Ferooz 😢 2024 ngoma bado mpya
@danielkaristo1697
@danielkaristo1697 3 жыл бұрын
2021 hii hapa tujuane kwa like bonge la meseji huu wimbo utaishi miaka 1000000000000000000. 🙏🙏🙏
@omyboy4568
@omyboy4568 7 ай бұрын
This song always remind me my late young brothers,I loved them but Allah love them more, may their souls rest in peace 🙏🙏
Ferooz ft. Juma Nature - Bosi  (Official Video)
5:26
Bongo Records Ltd
Рет қаралды 903 М.
ametoroshwa - bizzman
5:43
delp307
Рет қаралды 649 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
DAZ Nunda   Barua
5:26
JUNIH TZ (GUCCI MONEY Tz)
Рет қаралды 274 М.
Shida za dunia - DR JOSE CHAMELEONE
4:32
Jose Chameleone
Рет қаралды 10 МЛН
20% - Tamaa Mbaya
5:33
EastAfricaTube
Рет қаралды 2,1 МЛН
Tmk Wanaume -Umri
4:43
Mziiki
Рет қаралды 1,4 МЛН
Abdifatah yare iyo Ikraan Caraale
13:17
Shiine Media
Рет қаралды 2,8 МЛН
Je Utanipenda? Mike Tee feat Mad Ice
4:30
Mike Tee
Рет қаралды 102 М.
Afande sele - Nitarudi vipi/ Nitarudi na roho yangu
5:25
BE BOY TV
Рет қаралды 296 М.
Spack & Tundaman - Nipe Repoti
5:01
reggaealmi1
Рет қаралды 5 МЛН
FADDY DADY  NIMEUPATA VIPI OFFICAL VIDEO
6:00
DjLUCH “KILLERTZ” MOPS
Рет қаралды 277 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН