😂😂😂😂😂😂 , mkojani movie ni nzuri sana turetee naya uchawiii kidogoo tumezimisiii
@user-vt5ug9uu7y4 ай бұрын
hii move dhuli sana ila mm nilikuwa nakuomba mkojani gang utuletee move yakichawi nimemiss mauchawi yako kama unaamini weka like zangu kwaza kutoka tabora
@BenjaminMbwangi-s3d4 ай бұрын
Like ya nini
@RamsideMousah4 ай бұрын
Daaaah gape la samofi linaonekan kbs hyo nafas ya Rasta angekuwa samofi ingetisha sn
@kassimabussa65833 ай бұрын
Hi sehem Rasta ameicheza vizuri sana Mzee wa hekima nawafatilia nikiwa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@abdulmohd68804 ай бұрын
Dah!!! Inanickitisha kwl yan, yan hii part ya huyu Rasta, Samofi ndio angeitendea haki zaidi😀
@AboubakaryMasoud4 ай бұрын
Ni kweli maana huyu ni dailect ni mpole lakini samofi hapa ingekuwa utata tu
@AishaHassan-l3k4 ай бұрын
Wewe ndo hujui huyo ndo director mkubwa sasa,.
@dorcasresiato89294 ай бұрын
Kweli kabisa apo wangempa samofi
@jumasalim13734 ай бұрын
Muandishi ndio alikusudia hio part ipewe mtu kama mtinda athman ambae ndio director mkubwa wa mkojani ndio maana samofi hayuko na akiweko atakua na character nyengine
@jackoboabunuasi-hb4qc4 ай бұрын
Samofi sijui Yuko wap
@saumuzimba11604 ай бұрын
kazi nzuri sana mtoto na baba kayatimba mkojani na hizi shati unatoa wapi swaga balaa ❤😂😂
@naibusanga94164 ай бұрын
Rasta kafit safiiii mkojani
@Saif-y7m1y3 ай бұрын
Mkojani broo asante San unaweza Akuna wa kukufikia bro Mungu akubaliki popote ulipo ❤❤❤
@nelsonandanyi3 ай бұрын
Kijiko Handsome boy! Tunakuvulia kofia msee
@Asma-m1j4 ай бұрын
Utanitaka tu 😂😂😂😂weeee mkojani umenichekesha sna
@InnocentArmadillo-do9vm4 ай бұрын
Mkojani gang kazi nzuri sana. Mtoto good job
@gayanestory43574 ай бұрын
❤❤❤
@mayaashassan39184 ай бұрын
😂😂😂😂utanielewa to mkojani mtt atakufunza adabu
@ZuuYassin-zo3bs4 ай бұрын
Na ayo mavazi uliovaa ka mtungi wa gesi😂😂
@joesplatnumz4 ай бұрын
Mkojani kapata pasua kichwa mwenzake 😂😂😂😂😂😂dogo balaa
@evelnjuma18344 ай бұрын
Nzuri sana tunawapenda sana ❤🇹🇿
@VeronicaKalinga-r9d3 ай бұрын
kaz nzuri 🎉🎉❤❤
@jaymapepefatma59363 ай бұрын
love from Mozambique 🇲🇿❤
@ndaymustafa7113 ай бұрын
Tumemisi za kichawiiiiiiiiiiiiiii😮 but Oro in oro yu wa good 👍
@farlykunga85993 ай бұрын
Rasta yupo vzur...🎉
@dorcasresiato89294 ай бұрын
Samofi angeweza kuwa kakaake mtu, wangebishana na mkojani sana
@muniraahmedawadh26194 ай бұрын
Huyo mtoto wa mkojani wa moto kweli pia anajua
@ManenoPeter-np4rl4 ай бұрын
Daaah 😂😂😂😂 nimechk sanaa
@sidebraizoy20704 ай бұрын
😂😂😂kiumbe tena wakati mwanao, sema humu mkojani kwa Dogo umepoa 😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@zamaliabdulkarim55984 ай бұрын
Mkojani hii ni kali sana sana 👍
@amamossi42033 ай бұрын
Raster nimekukubali na umepata mtetezi kwa anco yako😊
@JerryKachenga3 ай бұрын
Samofi ni bonge la kiungo Yan patner ynu inakaa pow sana sas cjui unakwama wap
@mariamfritsi49434 ай бұрын
Mkojani ana kipaji sana kwa kweli, eti kiumbe kileee 😂😂😂 nimecheka hadi basi. 21.07.24.
@Jamal4111154 ай бұрын
Safi mkojani episode isipoe hii moto
@yussufchumy63454 ай бұрын
Nitadili na ww na jamhuri mkojani 🎉🎉🎉🎉
@alitante42794 ай бұрын
Huyu bdo mbichii namkunjaa vzr 😂😂
@abdulazizitwalib58594 ай бұрын
Mkojani kayatimba 😂😂. Chorobi mwamba
@AhmedMohamed-mw3ev4 ай бұрын
Mkojani mrejeshe samofi hii sehemu ya rasta angekaa samofi ingekuwa tamu sana mkojani unafeli
@Raphaelmsagath-rn7ee3 ай бұрын
Yaani sio Siri mkojani dogo anajua kuitendea haki part like father like son Iko good
@NzogelaKashindi4 ай бұрын
Rejesha samofi itakua hariiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PrinceAmos-y8t4 ай бұрын
Movie nzuri sana mkojani ❤❤❤😂😂🎉🎉😢😢😮😮😅😊😊
@KhalfanAli-ye6mf4 ай бұрын
Kijiko mm nitakuchangia man moves hii umekuja n mahusiano
@BethnessMbuya3 ай бұрын
Jamani mkojan mbona ujatuleteaga tena mwendelezo wa ubaya
@winielema-lf9kz4 ай бұрын
Hapa mkojani kapata kiboko yake kazi anayo
@TarascoMwitumba4 ай бұрын
Samosi wap mkojan
@Sidee-o5d4 ай бұрын
❤
@saulyboy33343 ай бұрын
😂😂mtoto hamna apo kwakweli wamekuhalibia mtoto kabisa niamini mimi
@SalimoAmisse-lx2xo4 ай бұрын
Yes
@gastonerobert20264 ай бұрын
Motooo
@abuuqamar584 ай бұрын
Kesi imeisha baba😂😂😂😂 kapumzike baba
@TarascoMwitumba4 ай бұрын
Safi wap mkojan
@ngoshaog12553 ай бұрын
🔥🔥🔥
@julitabonganda15494 ай бұрын
Wa kwanza leo
@TwahaKiligo-x3h3 ай бұрын
Wakwanza kufirwa au
@silvergold58554 ай бұрын
Mkojani 🙌🙌
@DickisonDesdery4 ай бұрын
Mkojani unatoaje vitu vikari wakati tuko kanisani 😢😢
Mkojani umeyatimba round hii na mtoto huyu maana unajifanyaga mjanja Sana wewe yaani nimefurahi Sana kuona umeyatimba
@Essymyugo4 ай бұрын
Kesi imeisha ama bado😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@Officiajamimavoicetz4 ай бұрын
Et Jaman Samofi ametoka mkojan gang!?
@patrickokot64784 ай бұрын
Mkojani bwana samofi na chandimu hatuwaoni
@FaridaAbushirMussa4 ай бұрын
Mambo ni moto 😅
@abuuqamar584 ай бұрын
Hakuna kesi😂😂😂😂
@MR_RAMSATZ4 ай бұрын
Nakubali kaka mkojani
@HamimMambo4 ай бұрын
Samofi Samofi yupo wapi😮
@meninamerry11434 ай бұрын
Samofi uko wapo😊😢
@jumastephano26884 ай бұрын
Mkojani namkubli sana
@jumastephano26884 ай бұрын
Dogo anakipaji sanaaa
@ManenoPeter-np4rl4 ай бұрын
😂😂😂 mkojani kakutan
@Zahara-or3cf4 ай бұрын
Tunamtaka samofi
@LovelyMountainLandscape-dd4xe4 ай бұрын
Chandimu 2namtaka
@moseskiponda53773 ай бұрын
Hivi, samofi alikwenda wapi jameni?😢😢
@abuuqamar584 ай бұрын
Kiumbe kileeee😂😂😂
@julitabonganda15494 ай бұрын
Duuh😂mtoto kiboko😂😂
@Chombezaflava3 ай бұрын
Imechangamka sa a 🤣🤣🤣
@leeheyon4 ай бұрын
here fams gang 😊
@LionGaho-wh3te4 ай бұрын
Samofi yuko wapi
@rasakakaombwe3 ай бұрын
Nafasi ya samofi na tini inaonekana
@Jamal4111154 ай бұрын
Mwache mtoto aseme mkojani 😂😂😂😂
@NassibUkasha3 ай бұрын
Samofi Yuko wap
@XhebbyMandevu-u1h2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ibrahlissu27104 ай бұрын
Samofi angekaa kwenye icho kipande cha uncle
@susieemmy56153 ай бұрын
Kwel iyo part ilifaa samofi😊
@Captainome3 ай бұрын
Mkojani samofi umemwacha wapi chandimu bloody Nangwa ndio angefiti na huyoo dogo
@rukiaabdul71914 ай бұрын
Mtoto sio mchezo..
@mkinga0853 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 chorobi
@LovelyCows-dq2uv4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@GabrielSky644 ай бұрын
Chorobi😂😂😂
@mtaakwamtaa34444 ай бұрын
SAMOFI SAMOFI SAMOFI
@Venass-Ja4mediaTz4 ай бұрын
Wakwanza mm
@IssaKengwa4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mkojan
@RakmaRakma-o9b2 ай бұрын
🙏🙏🙏❤️❤️🇧🇮🇧🇮
@Jumashadhil3804 ай бұрын
Huku Muache Kuomba Like Sasa
@EmmanuelMbise-bg3jx4 ай бұрын
Sekunde ya 17
@CapitalSite-v3t3 ай бұрын
❤❤❤❤🎉 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗼 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗺𝘂𝗵𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗲𝘁𝘆 𝗺𝗸𝗼𝗷𝗮𝗻𝗶🤣🤣🤣
@ramadhankakai73033 ай бұрын
Movie inapoteza uhalisia mpaka inakuwa too much..Hata kama ni kuigiza hakuna mtoto anayeweza kumtawala babake kwa kiasi hicho...hii siangalii ishajazwa uigizaji wa kitoto