Makonda wewe ni raisi baada ya Samia nakuelewa sana na mungu akufungulie milanga
@gibsonjosephat635210 ай бұрын
Huyu jamaa Makonda kila nikifikiri apewe Uongozi gani nakosa jibu kwani anafaa kila eneo. Kwenye Urais kuna watu wamejipanga tayari. Basi Mungu mwenyewe atamuweka anapoona
@neemanziku540310 ай бұрын
Makonda tunakupenda hakika Mungu akupe afya njema ww ni jiwe la Tanzania
Makonda baba mama samia hajakosea kumchagua nalia kwa furaha 😥😥😥
@samsonkingdom-xc8cg10 ай бұрын
Magufuli alie boreka
@AlbethaGasper10 ай бұрын
Yaani sijui watumishi hao wana roho gani, yaani hata wakifa wao watu wasiwazike watupwe tu mheshimiwa
@mussakimaro558810 ай бұрын
Huu mziki chongolo asingeweza makonda oyeeee
@lusajomwakalinga581310 ай бұрын
Mpe mtaalamu aongee kwanza
@HassaniMsangi10 ай бұрын
Mama Samia mpe makanda cheo kikubwa zaidi ya hiki
@emmanuelmlowe-ew7gx10 ай бұрын
Et jaji anasema watu wasiende kwamakonda waende mahakamani,hii kazi anayofanya makonda itafanyika na nani?.mahakiM na majaji wanawaza kupiga hela tu.tumwache makonda afanye kazi yake.Nimbunifu sana.
@lutegomakoyeluhahula36110 ай бұрын
Yawezekana ujio wa Makonda pato lako limepungua huko.
@AnaniaBulaya-rc3jv10 ай бұрын
Hawa watendaji wako makonda hawana weledi.haiwezekani kifaa ch mamilioni mengi jengo la milioni liwashinde mwaka sasa.