hatareeeee sana, machozi yananitoka. nakumbuka d.d.c magomeni kondoa near makulumra shule ya msingi 1982.
@pascalkazungu87985 жыл бұрын
Hizo tungo ni kweli haziwezi chuja mpaka kesho. Mpangilio wa sauti, ala, ujumbe n.k. ama kweli muziki ulikuwa wa zamani. Hakika mimi naikubali Sikinde. R.I.P wote walio tangulia Kinyasi, Mlenga, Teacher, Abel Baltazari,Gulumo na wengine.
@jumakiduka46254 ай бұрын
huu wimbo ulinitoa machozi alipofariki kaka yangu ,shemeji alipofukuzwa alipokataa arithiwe na mtu mmoja ktka familia, Ahsante Mlimani park kwa tungo zilizoenda shule, vijana wa sasa hswana muziki
@sangomamourice35392 жыл бұрын
Ukishasikia nyimbo za kisasa huzielewi unatafuta MB zako unakuja kusikiliza music unakufariji na kukuliwaza kisha tunapambana tena jmn hawa wakubwa wakijua mnoo
@swalehkoja78688 жыл бұрын
Nyimbo zilizokuwa zinaenda sawa na maisha ya kila siku. Mawaidha tosha.
@ramadhanimadoweka64587 жыл бұрын
Haya mambo yalikuwepo, yapo na yataendelea kutokea. Jamaa walitunga everlasting song.
@JumaIddi-q9l12 күн бұрын
Wee acha jamani mm huwa nalia tu na sichoki naposikliza hizi tungo tena kama nipo job ❤❤❤😅😅😅
@juliethndomba6397 ай бұрын
Enzi hizo nilikuwa kibinti kibichi 👌 sasa nimekuwa jishangazi
@philipshija36514 ай бұрын
Hii nyimbo inanikumbusha tukio fulani la kifo lilitokea mjini kwetu Mwanza nikiwa nasoma Lake Secondary School kuna Mwanamke mmoja baada ya kufiwa na Mumewe aliekua Manager wa kampuni fulani,alidhulumiwa kila kitu na ndugu wa mumewe. Ilikua gumzo kuubwa saana Mwanza mjini miaka ile ya 1980s
@raskenneth19813 ай бұрын
Mnanionyesha njia ya kwetu,na hata mimi ambae ni mama yao leo mnanikana.
@unclesaleh32573 жыл бұрын
Hakika ndugu yangu, muziki ulikuwepo zamani ujumbe mzuri Sana.
@allisaidndunyage71337 жыл бұрын
Zamani nyimbo zote zilikuwa zina rekodiwa RTD,kabla ya kurekodiwa zilikuwa zinasikilizwa na watalaam wa lugha na maadili ya Kitanzania. Nyimbo zote zilizokuwa hazifai, zilikuwa hazirekodiwi na hazipigwi katika kituo chochote cha redio, labda katka kumbi za starehe. Hivyo nyimbo zote za zamani mpaka leo zina maana na ujumbe unaoeleweka mpaka kesho.
@gilbertmasaki7957 жыл бұрын
Alli Said Ndunyage .Nyimbo za Ujumbe .Kweli.
@aishamahundi8137 жыл бұрын
Alli Said Ndunyage kwel
@julianpeter71656 жыл бұрын
siku hizi kuna basata kila kitu kinaendeshwa kisiasa tu
@noelmarapachi18086 жыл бұрын
Alli Said Ndunyage kwanza hakukuwa na kituo kingine cha RADIO zaidi ya RTD na Sauti ya Zanzibar, kwahiyo hakukuwa na mahali pengine pa wimbo kusikika zaidi ya kwenye kumbi za dansi
@lusajomwakalinga13745 жыл бұрын
Alli Said Ndunyage we acha tuu
@iddachikando93044 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo yaani unaisikiliza na inakupa funzo sio za kizazi kipya
@sunyareh2 ай бұрын
Wewe unaye tumia line yangu ya simu na kuiba Kila kitu na kunifungia mtandao kujipna una power sana nakuombea ufe ndiyo nitapata kuishi mwizi mkubwa
@dolophinamwakapalila7503 Жыл бұрын
Dorophina D. Mwakapalila Nikisikiliza huu wimbo huwa machozi yananitoka huwa nakumbuka mbali sana
@walterkudoyi7151 Жыл бұрын
Great music by Cosmas Tobias Chidumule , Hassan Bichuka and the legendary DDC Mlimani Park.
@HAMISIMAKAMBA Жыл бұрын
Muziki wa zamani hua unanikumbusha maisha niliokua napitia naona mchozi yakinitoka
@augustinemhanga55306 жыл бұрын
No words "Super lyrics and instruments".... Muziki ulikuwepo zamani, maish yalikuwa zamani, Old is Gold
@felixmagulu61422 жыл бұрын
Huu wimbo hautakuja kuchuja, Haya mashairi yanaigusa jamii moja kwa moja
@charlesmjomba86647 жыл бұрын
Nyimbo ni mafunzo kwa family's nazipongeza waliozimba ,,,
@josephzaganzwa44754 жыл бұрын
kama ni mila tuache tuache kwa sababu madhara yake nimakubwa,wengine mlikuwa mnaniita mke wengine shemeji , wengine wifi lakini hayo yote mmeyasahau kama msiba niwakwetu sote, bonge la ujumbe hii ndio miziki yenye maisha marefu.
@asteriawilson43768 жыл бұрын
zilpendwa hazitakaa zisahaulike kamwe hata mwanamziki wa namuna gani nyimbo zilikuwa gold na zitaendelea kuwa gold
@hoseagabriel46986 жыл бұрын
Asteria Wilson I
@meleniafrancis94624 жыл бұрын
Nyimbo za zamani hakika zinatukumbusha mbali sana aiseeee
@tinershayo53973 жыл бұрын
hizi nyimbo za zamani zina madili mazuri sana na zina maono
@maglansangenoi4 жыл бұрын
jamani kama ni uimbaji na ujumbe zamani waliimba na kufundisha sana.
@lamecktheonest2255 жыл бұрын
Dah,! Chozi limenitililika nimekumbuka mbali sana
@SeifKisomaАй бұрын
Hakika muziki ulikuwa zamani
@jumbempalasinge35288 жыл бұрын
Siku izi wanabana sauti na kusifia madem na matusi kibao yaani huwezi kusikiliza nyimbo mbele ya wakwe zako.
@jipememanoni7236 жыл бұрын
Hakika nyimbo hizi zilikuwa na ujumbe mzitoo sana ndo maana hszichuji mpaka Leo znaonekana mpy
@abdimassawe24877 жыл бұрын
hawa ndiyo baba ya muziki.
@moshyjanga51819 жыл бұрын
Hats tanga bado halijaishaaa a munaanza kugawana Mali ya marehemu mume wangu eheheheeee........acheni bwana ujumbe usiopitwa na wakati
@godfreymagomba78655 жыл бұрын
Bichuka siyo mchezo huyu mzee sauti yake bado mpaka leo hii ni stereo.
@zakiadaudi24016 жыл бұрын
Hii nyimbo nikisikiliza najikuta na😭😭😭
@makamevuai61324 жыл бұрын
SIKU HIZI HAKUNA NYIMBO ETI UTASIKIA NYEGE NYEGEZI UJINGA MTUPU MAMBO YALIKUWA ZAMANI.
yakuwa Mali hiyo haswa ni ya watoto NA msimamizi ni mama ambaye Leo mnanikana dah bonge la ujumbe jamani Mali zinatutoa kwenye utuu tuache unyanyasaji tutafute Za kwetu
@judithmcharo1326 жыл бұрын
Mbona mumesahauuu,yakua Mali hiyo haswaa,niyawatoto na msimamizi ni Mimi mamayao,ambaye Leo mnanikanaaa......daah
@jangamagili26016 жыл бұрын
Judith Mcharo usiombe.....hata Tanga bado hilaishaa muna anza kugawana mali ya marehemu mume wangu hehee ninapouliza yamekuwaje.......... dah
@judithmcharo1326 жыл бұрын
Yaani...acha tuu
@mwakalingalusajo80546 жыл бұрын
Janga Magili mnanionyesha njia
@restustakapinga19285 жыл бұрын
Hizi zilikuwa nyimbo zenye ujumbe
@alawihalidi52613 жыл бұрын
Unanikumbusha marehemu mume jamani!!
@omarbadru2068 жыл бұрын
kila leo yanatokea. muogopeni mungu.
@maganyarobert70082 жыл бұрын
Tuweni na hofu ya Mungu haya mambo tuyaache haki ifatwe jamani
@japharyabdul76564 жыл бұрын
Haswa hizi ndizo nyimbo za kusikiliza hata mbele ya wake na si "NIKIKUONA NA BANWA NA HAJA" wana cha kijifunza
@kamwelaedwin577 Жыл бұрын
Ddc hao bhana
@flowila8210 жыл бұрын
Aibu sana kwa wana family kama hiii, tatizo mali
@felixmagulu13838 жыл бұрын
sikia sauti ya Bichuka a.k.a Super stereo.
@khamissalum4314 жыл бұрын
Hatar kwa kweli
@togolaimbilu82614 жыл бұрын
Hii miziki iko poa sana. Kweli Old is Good, hata nyakati hizi za COVID 19 wakati tunatekeleza maagizo na maelekezo ya wizara ya afya tusisahau dawa zetu za asilia
@mamahajrah47467 жыл бұрын
napenda sana hizi nyimbo jamani dahhh sijui nitende zeze ushe
@charleslyuki6912 жыл бұрын
Eka kuonga
@princelausnicholaus54048 жыл бұрын
Mnanionyesha njia. sikiliza hio solo sasa ni balaa babaake haina mfano
@Balingilaki5 жыл бұрын
hilo saxphone
@venancemwahimba4214 Жыл бұрын
Sikinde wababe wa muziki wapinzani halisi wa msondo
@hashymharun93372 жыл бұрын
Mbona mmesahau ya kua Mali hiyo haswa ni ya watoto na msimamizi ni mm mama yao ambaye leo mnanikana dah....
@Balingilaki5 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo.......nimekumbuka DDC KARIAKOO
@sunriseradiotz3 жыл бұрын
POWER NGUZO!
@majutomafiga43433 жыл бұрын
Binge la wimbo
@majutomafiga43433 жыл бұрын
Bonge la wimbo
@chumamihambo34806 жыл бұрын
in nzuri sana mafndisho kibao family chakavu
@jumbempalasinge35287 жыл бұрын
Wewe unaotafuta wimbo wa msondo ngoma kauka nikuvae muimbaji bichuka andika iyo nyimbo humu kisha itatafuta cm
@sospetermkangi7228 ай бұрын
Nyimbo zilizotungwa kwa ajili ya kuelimisha, kuburudisha, kukanya etc.
@betriceissaya61682 жыл бұрын
hizi ndyo nyimbo zenye mafundisho
@amonijustini1196 жыл бұрын
Ama kweli nyimbo za zamani zilikuwa na fundisho na maadili. Nyimbo za sasa ni visa vya mapenzi tu na sioni fundisho mimi.
@sangomamourice32515 жыл бұрын
ujumbe ueleweke bhana huu ndio muziki
@gilbertmasaki7957 жыл бұрын
Kweli hawa walikuwa wanafanya utafiti kabila ya kutungu wimbo.Mambo haya ufanyika Katika familia vile wanapoimba Sikinde.Wimbo wakutafakali.
@evanslanogwa63182 жыл бұрын
Zilizovuma. Old is Gold.
@jerolinemwangamba45503 жыл бұрын
Vyakale kweli dhahabu wimbo hauchoshi
@najmasaleh92318 жыл бұрын
Hivi wadau huwa sina majibu na celewi zamani tulikuwa na mabendi mengi na yalikuwa yakijaza watu mfano, marquiz, juwata, Bima,Mk group nk yote yalikuwa yakijaza watu leo hii Vibendi vinapiga watu unahesabu . Za kale zipo wazee wenzangu zama hizi watarukaruka tu
@omand17618 жыл бұрын
sawasawa,hizi nyimbo wamecheza baba zangu kipindi hicho hata darasa la kwanza sijaanza lkn nnavyopenda utafkiri zimepigwa wakati huu wa bongo fleva.Hizi nyimbo za karne;hapan chezea kabisa
@ayoubkomba42185 жыл бұрын
Kulikua akuna uzazi wa mpango
@mariamabdullah4895 жыл бұрын
@@ayoubkomba4218 Unajisifu na uzazi wa mpango mzungu kuweza kukuzibiti, we kweli bwege kaka
@rajabuyasin50344 жыл бұрын
Nginde au Sikinde Cosmas Thobias Chidumure maisha yanakimbia kwa kasi mno
@abdallaabdulrahman83193 жыл бұрын
Huyo ni Benovilla Antony ndani ya Nginde
@HAMISIMAKAMBA Жыл бұрын
Makamba wa mbezi kwa yusuph
@justnebagyemu15875 жыл бұрын
Madhara yake ni makubwa kwa watoto
@hamadymwasangala9077 жыл бұрын
jamani natafuta nyimbo ya msondo inayoitwa kauka nikuvae, katafute Kazi kwajuudi Na maarifa
@allymnzava38186 жыл бұрын
Sio nyimbo ya msondo bali wimbo wa msondo
@aidannzowa55025 жыл бұрын
Mbona cm yako inamaliza shida yako!?
@mussaisaac3 жыл бұрын
Mziki mtamu...hauna kelele.
@sambuomichael28815 жыл бұрын
Maneno yanayo hishi milele
@mbarakakhalid7588 Жыл бұрын
kuna kitu cha mlimani park kinahitwa chatu mkali
@FaustineMalegesiMkutta9 ай бұрын
Bonge ya Wimbo
@patrickkasonso3513 Жыл бұрын
Yakale ni dhahabu
@nicodemusngwala20793 жыл бұрын
Muziki ulipokuwa muziki ....siyo uhuni wa siku hizi ambapo hawajui kuimba kupiga vyombo hawana ujumbe ...Basi Ni uhuni na kuashiria ngono ....TU
@HappyBirdNest-kz1cb11 ай бұрын
Old is gord
@jastinbenjamin11326 жыл бұрын
yani ujumbe unafika kabisa
@zarokiwhittenburg73442 жыл бұрын
Enzi zetu
@isaackhakula54882 жыл бұрын
That intro!
@nsajigwarichard19512 жыл бұрын
imebidi nianzishe upya 😂
@nissanmarch6564 жыл бұрын
Zilipwndwa dah
@obillaezra62052 жыл бұрын
Hii Nyimbo ilipigwa kitambo’ lakini ujumbe Mkubwa ni pale Mke anapofiwa na Mumewe, ndugu huja juu” Kipindi hicho hata watu kujua Sheria na haki zao ilikuwa ngumu, hapo anaposema Hata Mila tuache Madhara yake makubwa” Je mpango wake ni kwenda kuwashitaki Mahakamani au Anawaendea kinyume Yaani kwa Waganga Maarufu ili kupata haki yake? Embu nijuzeni “
@saidahmadi87108 жыл бұрын
sikia solo ilo
@nauridhussen39585 жыл бұрын
Said Ahmadi87 sikuizi akuna watuzi kuna big jii tu oo nyege.nyege amna kitu
@paulositoya8065 жыл бұрын
Wapi obachi machoka weweee utamu tupu wandugu
@evalinemallya184816 күн бұрын
❤❤❤
@greyshayo9655 жыл бұрын
vijana jazz
@aidannzowa55025 жыл бұрын
Pole huna chako tena! Sasa watoto ni wa nani!?
@allymaseka53224 жыл бұрын
Kiukweli inauma Sana
@majutoabdallah6464 жыл бұрын
Majuto Abdallah wa Moro Duuh nimemkumbuka saana marehem baba yangu kipindi Icho tulikua na redio yetu Rasonic
@KaptenKayinga Жыл бұрын
Hakika
@HamisiMtulia-o1f Жыл бұрын
A
@immarefu20127 жыл бұрын
d
@felixmagulu61425 жыл бұрын
Tungo ambazo zinaendelea kudumu vizazi hadi vizazi, Hakika wanamuziki wa zamani walikuwa wanatoa vitu vya uhakika.