Рет қаралды 26,352
Mlinzi wa waziri Matiang'i amuua mkewe nyumbani kwao Ruaraka
Afisa huyo wa GSU baadaye alijipiga risasi na kufariki
Inaarifiwa kuwa wawili hao walikuwa wakigombana kabla ya mkasa
Hudson Wakise alimpiga risasi Pauline Wakasa ambaye ni afisa wa trafiki
Maiti wanahifadhiwa katika makafani ya chuo kikuu cha Kenyatta