Amina barikiwa sana muchungaji kwa mafundisho mazuri.
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amina
@AnnaZabron-d5p13 күн бұрын
Napenda sana mahubiri ya mchungaji huyu ana hekima ya MUNGU kabisaa 🙏🙏🙏
@shuhudazakweli340613 күн бұрын
Amen ubarikiwe
@osmoonline846013 күн бұрын
nakuona kijana wa mbweni
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen Anna
@nazamsangi993913 күн бұрын
Duuuh Geordave amevunja rekodiii daaaah Hadi mamiss kanisani sasa wenzetu wanasoma bibilia ganiiii jamani
@sylvanolufunyo877912 күн бұрын
nimeogopa Sana
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Inatusha
@TumainNdishe13 күн бұрын
nakufatilia sana Pastor Katunzi, kwa hakika uko sahihi tangu nianze kukufatilia naona Unaeleza mambo kulingana na maandiko
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen amen
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Kweli Tumaini
@Marthamodest-l7q13 күн бұрын
He! huruma sana
@Gindi-v7g14 күн бұрын
Ameen,barikiwa mtumishi wa Mungu.
@PastorDavidAlbogastTLCMWANZATA14 күн бұрын
Mungu atusaidie kwakweli....maana hawa wanatumiza unabii wa nyakati za mwisho....ee Bwana uturehemu
@PastorDavidAlbogastTLCMWANZATA14 күн бұрын
Amen ameen.....barikiwa sana mtumishi wa Bwana Yesu
@shuhudazakweli340613 күн бұрын
Amen
@gracemuthoni165812 күн бұрын
Amen Amen barikiwa sana
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen
@PerisWanjiru-z8n14 күн бұрын
Amen Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa kuhubili ukweri mtupu neema ta Yesu Chrito ikutoche
@leahemmanuel250012 күн бұрын
Barikiwa sana mchungaji
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen
@lovenesswalter665013 күн бұрын
Nmecheka et mpaka mbingun haaah
@cm4fpTemp30713 күн бұрын
Turehem Yehova
@ThomasMsigala-r1i13 күн бұрын
Nimashetani tu hao
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Aisee
@gpupinternational13 күн бұрын
MUNGU ALIE JUU AKUBARIKI SANA.Nakuunga mkono Amina.
@shuhudazakweli340612 күн бұрын
Amen
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen
@EDISATARIYE13 күн бұрын
Mungu akubariki sana kwa kuendelea kutupa mafundisho yasiyo goshiwa
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen
@YESUNIBWANA849 күн бұрын
Amen Amen MUNGU NISAIDIE kushinda dhambi kweli
@obbynomwa714313 күн бұрын
God Bless you Pastor, kwa kulisema neno la Mungu kama lilivyo
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen
@PastorJohnKagoro13 күн бұрын
Ukweli unajenga kanisa amen
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen
@Neema-m6s13 күн бұрын
Hakuna tofauti na makahaba Yesu turehemu.
@lovenesswalter665013 күн бұрын
Hii ni htr sana Mungu aturehem hukum ikianzia kanisan kama LA marekan sijui nan atapona
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amina
@VIOLETKABASHA13 күн бұрын
Maajàbu duñian
@marrypius57613 күн бұрын
Asee mpka nimecheka mie 😂😂😂😂
@cm4fpTemp30713 күн бұрын
Chineke meee
@HariytAsd14 күн бұрын
Mungu atusaidie sana
@EBENEZEREMMANUELtv13 күн бұрын
Nikweli kabisa baba heri kusema tu ukweli watu wapate kupona
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amina
@LucyMerchiorly13 күн бұрын
Hatari sana
@Living_the_present13 күн бұрын
Pastor Obed, My Pastor
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen my pastoe
@paulmathias81014 күн бұрын
Hakika cheo cha mtu hakita mpeleka mbinguni
@hildandeda334813 күн бұрын
Waaaa may LORD have mercy in this generation
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen
@mariyammariyam-y3u13 күн бұрын
Kwa kweli hii ni hatal Mungu atusaidie
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amina kweli lazima isemwe..
@ShaloMasofa14 күн бұрын
Mungu tusaidie
@PerisWanjiru-z8n14 күн бұрын
Mungu naomba utusamehe maana tumekutenda dhambi nihuzuni sana mpaka mtu anapo ona hivo mtu anasikia kulia kwajili ya hizo nafsi na vipi tumemukosa YESU CHRITO tuokoe tu Mungu wetu
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen
@EuniceShane13 күн бұрын
Waambie ukwel..wanawake wanabadilisha muonekano wao
@getrudeliyayi805013 күн бұрын
Hawa mimi husema ,John 8 :44 😢 ushetani mtupuu
@EDISATARIYE13 күн бұрын
Eeeee MUNGU turehemu sisi ,dunia na viongozi wamekua vipofu YESU turehemu sisi wanadamu
@salomemgaya124413 күн бұрын
Hivi huyo siyo Mwingila huyo ?au macho yangu hayajaona vizuri.
@gloryfidelis10213 күн бұрын
Yaani hawa wazee sijui kama akili ziko sawa,ni viongozi wa malkia wa pwani.au wanakunywa kwanza kabla na wanaongozwa sijui ni misukule
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Mungu atusaidie
@Joyceisaka12 күн бұрын
HURUMA HURUMA HAKIKAA TUNAANGAMIAA KWA KUTO KUSOMA BIBLIA MUNGU TUREHEM
@Nenolamaarifa14 күн бұрын
Amen
@HenerickKarugaba13 күн бұрын
MUNGU atupe macho ya rohoni
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amina
@bilioneatvonline833113 күн бұрын
Hiyo ni htariii
@masindemagee960313 күн бұрын
Umsema kweli mtumishi
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Kweli
@LucyMerchiorly13 күн бұрын
eeh yesu nilikuwa cjawahi kuona kwa kweli mungu aturehemu
@Magufuli.12 күн бұрын
Wachungaji wa aina yako ni wachache sana, hii ni aina ya MBINGUNI KABISA, lakini wachungaji wa aina ya Dunia ni wengi kuliko kawaida, KAZA MWENDO BABA TAJI YAKO INAKUSUBIRI💪💪💪🪚🔥
@shuhudazakweli340612 күн бұрын
Amen amen
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amina
@deniskatunz628714 күн бұрын
Ongea mtumishi wa Mungu japokuwa ukweli unauma sanaaa kanisa lipo pabaya nyakati hizi
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen
@godsfavour160314 күн бұрын
Eeh 😮😮😮huyo ni pastor ama ni dj wa club..this cant be a church but again its a church coz my church they dance the same way and i stopped going to church juu vitu nimeona 😢😢😢😢inakera na kumiza roho
@helenmdee400413 күн бұрын
Barikiwa Kwa kusema kweli mtumishi wa Mungu
@LuciaMwambingu13 күн бұрын
Mungu rehemu watu wako ktk siku hizi za mwisho. Tupe kuielewa KWELI YAKO
@ChilembMayond-z7x13 күн бұрын
Mashetani
@EmmaroseJoseph13 күн бұрын
Mh mhhh sisi ni barua hivyo Mtu atakwenda amevaa mavazi kulingana na mwonekano wa wawahusika/washirika wa kanisa hilo hata kama hajaokoka
@nazamsangi993913 күн бұрын
Ucheze hivyo mbele ya maghembe yaaan unapigwaaaa vibokooooo live
@georgekauma64327 күн бұрын
Obed hubiri injili dumu sana kuongoza watu wa Mungu kwenye njia sahihi. Huyu mchungaji amelewa michango ya watu ndio maana anadumu sana kuhamasisha watu Kwa njia zao mbovu maana huo ufalme wa Mungu sio wao.
@Robert-v8f5e13 күн бұрын
Duuu kama makahaba wa sinza, Mungu tusaidie shetani yupo kazini anavuna roho za watu Ee Mungu tusaidie
@EliaKalinga-n7e11 күн бұрын
Injili isiyo tazama uso wa mtu ndio injili iletayo wokovu wa kweli Mungu azidi kukutumia
@faustindismas10 күн бұрын
Mh!!!!!dunian!!!
@LucyMerchiorly13 күн бұрын
MUNGU atusaidie na anipe mwisho mwema
@nazamsangi993913 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 😊
@rizikibahati836413 күн бұрын
Huyo pastor niajeti wa Shetani
@elizabethchiwamba837213 күн бұрын
TUNATAKIWA KUTUBU NA KUACHA DHAMBI
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amen
@rosepeter899613 күн бұрын
Aaa..huyo pastor anaambia watu wa kanisa lake namna gani jamani🤔🤔🤔🤔🤔...hilo kanisa siwezi enda.hizo nyimbo zao nikama zakidunia....waahh...YESU atajionea mengi jamani.hawa ma pastor jamani,....eti mwingine anasema ukija kanisani na mini skirt trousers na manywele hata anahimiza wanaume kusuka.waaah....mungu na awahurumie sana hawa ma pastors na makanisa yao.
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amina
@nazamsangi993913 күн бұрын
Hakuna kungaaaa katikati ya uovuuuu bwana tusidanganyane hakuna Yesu hapoo! Hembu nitafute kanisa lenye mpango na mbingu sio na jehanamu
@alicemwaka376213 күн бұрын
Hiyo nyimbo ni gani plz mniambie
@georgekauma64327 күн бұрын
Hivi ndivyo vivutio vya kuvutia fedha na waliofungwa fahamu wataingia mkenge na watafungwa kabisa na hawatatoka labda neema ya Yesu Tu iwakumbe humo ndo watoke. Hii ni KAZI ya jezebeli mwenyewe.
@barakaelias11164 күн бұрын
Laah kila nikimsikiliza huyu mtumishi wa MUNGU napata nguvu mpya kabisa ingawa nasali katika kanisa la efatha Lakin huyu ndo.anahubir ukwel Yesu anisaidie nitoke huku aise hii injiri nimeikubali.
@angelr216513 күн бұрын
Hao wa Geordev ni special case , wapenda shortcuts, ukisasa na miujiza na huwaambii kitu... ila hawa wa Mwingira ni huruma zaid ukiwaangalia ni kama wako confused cjui hii Ministry ya Efatha ilianzaje ila imekuwa Cult na watu wameshikiliwa huko .. kwa kweli wanahitaji maombi
@Robert-v8f5e13 күн бұрын
Hapo kwa macho ya nyama tunaona kama ni watu lakini katika ulimwengu wa roho ni mapepo ambayo yako live,
@MabelKaaya-hl2je13 күн бұрын
UMEONA VEMA SANA KATIKA ROHO.
@MabelKaaya-hl2je13 күн бұрын
Asante kwa kutuombea mwema na kutuonya.
@MaryMichaelMaryMichael-i7o13 күн бұрын
True kabsaa at jo dev wao n bonge la devo
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Aminaa
@RehemaMtono14 күн бұрын
MUNGU tuhurumie wanao hivi tunaelekea wapi
@Baraka-b7u10 күн бұрын
Amina
@gidongailo717414 күн бұрын
There is no such stupidity, not even in the Pagan Roman Catholic😂😂😂
@yvonnewitandaye187312 күн бұрын
Awo niku waelewa ni watumishi wa shetani wametumwa na shetani kuja kupotosha kanisa •