No video

MNYAMA WA KWANZA KATIKA UFUNUO 13 NI UINGEREZA. ALIPIGANA NA WATAKATIFU.

  Рет қаралды 19,153

NABII ELIYA ILYAAS

NABII ELIYA ILYAAS

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@user-jz7wv2uy9c
@user-jz7wv2uy9c 10 ай бұрын
mtumishi wa Mungu bwana yesu asifiwe! lakini kwa vitabu vingi sana huyo mnyama aliyetoka baharini anahusishwa na roma empire chini ya papa, uingereza kahusikaje tena hapa?
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 2 жыл бұрын
Shusha NONDO HZO WASIO KUBALI WAKAE WATULIE TUNAO TAKA TUSIKILIZE
@hustlerchembes786
@hustlerchembes786 10 ай бұрын
Bahari inamaanisha watu wengi yani ndani ya watu wengi ndo unatoka uoutawala ambao niwa papa
@devothangonyani1597
@devothangonyani1597 2 жыл бұрын
Asante sana
@kaginaelias5390
@kaginaelias5390 2 жыл бұрын
Pole saana hio utumwa unayo erezeya siyo utumwa waNabi Eliah halisi na Kama Israel hawahusike na utumwa wa Nabi Eliah, Huwa nii muwongo mutupu.
@user-ss5te9gh8r
@user-ss5te9gh8r 11 ай бұрын
Thank pastor
@wariobaKiginga
@wariobaKiginga 3 ай бұрын
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@florencenabintu9227
@florencenabintu9227 2 жыл бұрын
Mwalimu usijali watuwa wa afrika kuelewa nikazingumu Ila isikupeta busisi tuna kuelewa endelea nakazi mungu akutie nguvu.
@hustlerchembes786
@hustlerchembes786 10 ай бұрын
Unajua maana ya mnyama au maana ya bahari ninini kibiblia
@christophernoboka4707
@christophernoboka4707 2 жыл бұрын
Amina sana mtumishi wa Mungu
@user-hw3wn8ms6j
@user-hw3wn8ms6j Жыл бұрын
Yesu akasema nakondoo wengine ni nao japo si wazizi hili nitawaleta wote kwangu kisha muwe kundi moja ktkt zizi moja. Ndiyo hao waislam, afu soma habari za ibrahim wale watoto wake wawili wote, mungu aliwabariki. 🤔🤔
@robertlyimo636
@robertlyimo636 2 жыл бұрын
Shida huyu anafundisha kwa kuangalia upepo unapoelekea
@emmanuelmutuku7434
@emmanuelmutuku7434 9 ай бұрын
Gogu na magogu umetoa wapi ni freemason na
@loraumuhire4755
@loraumuhire4755 2 жыл бұрын
Ndio unasema ukweri, nakuunga mukono huo munaona kama queen 🫅 sio mwana damu, Mungu yepeke atusaidie
@anthoniosure5438
@anthoniosure5438 2 жыл бұрын
Nashauri unapofundisha usihusianishe na kufaulu au kutofaulu kwa Wakufunzi wengine. Na usijipe wewe uwezo wa kujua tafsiri ya moja kwa moja. Be neutral kuna kitu tutapata na kuelewa na hivyo itabaki juu yetu kuamua na ku-approciate yr nature
@safaridavid334
@safaridavid334 2 жыл бұрын
Jamani, hapa kuna maswali mingi anaweza kutokeya kwa kila mtu anaye sikiliza mambo haya mutusaidie
@wilsonlugutu5747
@wilsonlugutu5747 2 жыл бұрын
Kama haujuwi unabii bora ukakaa kimya kuliko kujipalia moto wa jehanamu kutokana na huo upotoshaji wako manake unacho fundisha ni tofauti maandiko!!
@neemamalessa3449
@neemamalessa3449 2 жыл бұрын
Nena Eliya
@badruseif1318
@badruseif1318 Жыл бұрын
Huna lolote unafiq tu unakusumbua
@internationalzone4339
@internationalzone4339 2 жыл бұрын
MAFUNDISHO YAKO YANAPOTOSHA WATU KUHUSU UNABIII HAPO SIJAKUELEWA JAMANI
@johnjulius6986
@johnjulius6986 2 жыл бұрын
Hayo ni magundisho ya kisabato.
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Nondo nzito
@KiswagaAlan
@KiswagaAlan 2 жыл бұрын
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
@enockabumba7513
@enockabumba7513 2 жыл бұрын
Tukopamoja mtumishi
@wewa7329
@wewa7329 2 жыл бұрын
Sasa kwanini mnajumlishaga kila namba ukiamua kuichanganua inaweza kuleta hio 666
@wewa7329
@wewa7329 2 жыл бұрын
Hakuna ukweli apo kuna watu wamewahi had kutabiri mwisho wa dunia wakauza kila kitu lakini walichoambulia ni aibu
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 жыл бұрын
Vitabu vya dini wametuletea hao2 wametuachia sisi saizi wameamia upande wa pili hawajui kama waliacha vimelea Africa tungebaki na Mila zetu hata kuumwa magonjwa ya ajabu tusingepata
@danielharuni1800
@danielharuni1800 2 жыл бұрын
Huyu anafundisha mafundisho potofu sana hii sio tafsiri ya chapa 666 kibiblia huu ni upotofu wa mafundisho sana: huyu anaefundisha kuwa Kuwa Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo anamiliki kanisa na msikiti kwa wakati mmoja haya ni mafunuo ya Mungu yupi kama sio ya kuzimu? Tafsiri ya huyo mnyama wa ufunuo 13:1-18 sio hiyo anayoieleza huyu anayapotosha sana maandiko ni wa kupingwa akalishwe afundishwe ukweli wa neno la Mungu: Natamani mtu anikutanishe naye nimfundishe tafsiri sahii ya kibiblia juu ya jambo hili:
@januaryjohn4072
@januaryjohn4072 2 жыл бұрын
Ww ndio unapotosha watu, unabidi ufundishwe mafundisho ya biblia uelewe na sio Kama hivyo unavyokalilishwa, yesu hakuja kw ajil ya dini flan Bali akikuja kwa ajili ya watu wote ukiwa mkristo au muislam na umemkir kristo kuwa bwana na mwokoz wako umeokoka, na dini haitakupeleka mbinguni Bali Iman yako tu mtumish penda kusikiliza usikosoe bila hoja unawakwaza wengine. Bwana yesu asifiwe. Amen
@shafmbande3582
@shafmbande3582 Жыл бұрын
Ww Bado upo brain washed
@germainpennant6439
@germainpennant6439 2 жыл бұрын
mbona tanzania imetawaliwa na mwanamke? tufunilie ili nalo
@davidndaha9607
@davidndaha9607 2 жыл бұрын
Kweli unajitahidi kudadavua mambo
@bluebeampilipilikichaa9486
@bluebeampilipilikichaa9486 2 жыл бұрын
Yaan O na R zoote ni 18??
@fredrickochieng6772
@fredrickochieng6772 Жыл бұрын
So venye nilivaa mask tayari Nina alama ya 666 ya sheitani?
@loysamwel6308
@loysamwel6308 2 жыл бұрын
Sisi tunafaidi wasimamu wanaombolesa
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Kinachokupa shida wewe ni uongo wa kuchanganya mambo ya kwenye biblia na kulinganisha na kwenye Koran
@johnmwangi1131
@johnmwangi1131 2 жыл бұрын
Neno linasema 666 ni jina la kibinadamu sasa corona ni jina kibinadamu tuabie???
@habibukitwana1552
@habibukitwana1552 2 жыл бұрын
Ndy ni jina lakibinadamu siyo jina la binadamu
@annamsombe2316
@annamsombe2316 Жыл бұрын
imendikwa hesabu ya kibinadamu not jin la kibinadamu.... “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita. ” - Ufunuo wa Yohana 13:18 (Biblia Takatifu)
Uungu wa Yesu.
1:16:39
Sauti ya Uzima
Рет қаралды 3,2 М.
MAJINI NA NGUVU  ZA MUNGU
7:01
Ki home home Tv
Рет қаралды 32 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 98 МЛН
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 25 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 46 МЛН
Dr. Myles Munroe | DEVELOPING KINGDOM THINKING | Kingdom Theology In The Bible
14:02
Motivation Mastery Radio
Рет қаралды 2,2 М.
BUSTANI YA EDENI IPO KATIKA NCHI GANI?
27:41
Kapagi TV
Рет қаралды 1 М.
POMBE NA UKRISTO
12:11
Servant Ivan Kibiki
Рет қаралды 9 М.
MAJINI, MAPEPO, UCHAWI, NGUVU ZA GIZA (QUR'AN 2:102, WAKOLOSAI 1 : 13) PT 1
1:10:12
JE, YESU KRISTO NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU? PART 3B
1:26:58
NABII ELIYA ILYAAS
Рет қаралды 66 М.
FARASI MWEUPE YEYE ALIYEMPANDA ANA UTA
1:16:15
Kapagi TV
Рет қаралды 99
Thème Les vices caractéristiques des derniers jours 2. CERR-pasteur Bill KALALA ( sénior pasteur )
49:59
Centre Evangelique Reconciliation et Restauration
Рет қаралды 90
LA SORCELLERIE NE POURRA RIEN CONTRE TOI
48:08
Restauration Des Vies
Рет қаралды 18
Friday Morning Devotion
4:32:10
Phillip Carter
Рет қаралды 518
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 98 МЛН