Nabii Eliya uko sawa songa mbele na Neno La Mungu ,Nina kuombea ....
@ShamsaniOthuman-sr7khАй бұрын
Saw
@HaleMbagwa2 ай бұрын
Asante
@petermabada5628Ай бұрын
😂😂 Huyo Ni Dr sule.
@afracopmediaАй бұрын
Tunahitaji vitabu. Mbona Hamuandiki vitabu vya kuisaidia jamii
@majaliwamwibelecha2623Ай бұрын
Sauti ilikuwa sawa Ila feni ilikuwa inasikika pia thanks.
@nabiiilyaaseliya2551Ай бұрын
@@majaliwamwibelecha2623 Asante nitaweka sawa Inshallah
@HASSANBAKARI-q9cАй бұрын
mi nmekuskiliza sana jana,,,kwahiyo hutaki watu waabudu kisa ulimwengu unatawaliwa na shetan?watu wasifunge sio??wakaabudu wapi sasa?? Au wajifiche wapi??skiliza we mzee,,chochote unachokiona ni mpango wa mungu ametaka kiwepo,,,hakuna ambacho angetaka kisiwepo na kikawepo,,ata akitaka kutufunika saiv juu chini inakuwa,,acha watu wafanye ibada
@petermabada5628Ай бұрын
Funga, sali, swali, fanya maombi, nenda kanisani, nenda msikitini. LAKINI YOTE KWA YOTE AMRI 10 ZA MUNGU ZISHUKE.