Tundu Lissu : Mkakati Unakuja, Tunapigania Demokrasia na Tunapigania Kwa Njia za Kideomokrasia

  Рет қаралды 21,728

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA, anawasili rasmi katika Makao Makuu ya chama yaliyopo Mikocheni, Dar es Salaam, kuanza majukumu yake ya uongozi. Tukio hili linafuatiliwa kwa karibu na viongozi wa chama, wanachama, na wafuasi wa CHADEMA kutoka kote nchini.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 160
@WilliamShinka
@WilliamShinka 7 күн бұрын
Tanzania finest ❤ Tundu lisu,more love from kenya
@mokoenaaa-f9d
@mokoenaaa-f9d 8 күн бұрын
Tanzania finest Tundu Lissu 4:30 ✌️
@OlivaMHANDO
@OlivaMHANDO 7 күн бұрын
Kwa msada wake mora tutashinda aminaaaaaaaaa
@DennisAnthony-j5y
@DennisAnthony-j5y 8 күн бұрын
Na iwe hivyo kwa uwezo wa Mwenyezi Munguuuuui
@PolRicric
@PolRicric 7 күн бұрын
Viva #Lisu M/Mungu aendelee kukuweka wa Tanzania🇹🇿tuna imani naww na tuko pmj naww,ukigombea uraisi kula yangu ni ya kwanza ✅
@AgustnoBoaz-m4m
@AgustnoBoaz-m4m 7 күн бұрын
Asante sana Mh Lissu unajibu hayo maswali ya hao waandishi habari uchwara vzuri adi wenye kiburi na kinyongo dhidi ya uongozi wako wanapatwa na hali ya aibu! Karibu sana kazini na ofisini kwako rasmi.
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 7 күн бұрын
Hakuna kwenda kwenye uchaguzi bila mageuzi ya reform
@PaschalBoi-z8h
@PaschalBoi-z8h 7 күн бұрын
Big up lisu na heche,very well said,ccm na serikali ni mambwa tu tunawajua
@robertmhikwa8174
@robertmhikwa8174 8 күн бұрын
Tanzania is on your shoulder...Lissu for real✌
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 7 күн бұрын
Good
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 7 күн бұрын
Mwaka huu imekula ..walitaka kumweka mbowe kama boshen kumbe sasa hivi sio enzi zile za wazee vijana tumeshtuka ..na tunahasira kinoma na hili life ..mm mwenyew najitafita mbaya naona umri unasonga alafu bado ni ngozi alafu mm bado eti nimnanganie yule yule anae niahidi kila siku nakupeleka kwenye inchi ya asali na maziwa mwaka huu kunashughuli ..na sasa hivi hakuna boya hapa mm nazeeka bado viongozi ni walewale..blad fuu
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 7 күн бұрын
Lisu mungu akubariki na umeagizwa namungu uje utukomboe naulikomboe taifa liwe kwenye mkono salama
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 7 күн бұрын
Kwani. Kenya walipataje tume huru ni kwa shurut ya nguvu ya umma kwa hiyo kitaeleweka tu. Na mungu atasimama
@frankpeter4178
@frankpeter4178 7 күн бұрын
Hongeraa Rebeca kwa sprit hiyo
@bahatielias6443
@bahatielias6443 7 күн бұрын
Kabisa Yaani,Kuna wakati haki lazima tuidai Kwa nguvu
@newtonmwewa6220
@newtonmwewa6220 7 күн бұрын
Haki bila kuidai aiwezi patikana
@malikimrisho7844
@malikimrisho7844 7 күн бұрын
Lissu💪💪
@assenganews9435
@assenganews9435 7 күн бұрын
Huyu Lissu ni hatari sana
@Gloryburetta
@Gloryburetta 7 күн бұрын
Good sana tundu lisu
@hoseamwambambale3503
@hoseamwambambale3503 7 күн бұрын
Ccm wanajua kitakacho tokea wakikubali kubadilisha katiba
@ahmedjaffari9375
@ahmedjaffari9375 7 күн бұрын
Sijui ni mimi tu au hii inawatokea na watu wengine... kila mara nikimsikiliza Tundu Lissu najifunza vitu kadhaa, yaani ni kama vile nipo darasani nafundishwa na mwalimu jambo/mambo ambayo sikuwa nayafahamu kabla.
@palisa-m2k
@palisa-m2k 7 күн бұрын
Lisssuuu
@abuually7797
@abuually7797 8 күн бұрын
Mwenyekit sasa kapatikana
@AmosSniper
@AmosSniper 7 күн бұрын
Lissu ana akili nyingi sana!
@Amani_eliastz
@Amani_eliastz 7 күн бұрын
Lissu ananipa matumaini mapya
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 7 күн бұрын
@@Amani_eliastz yes angalau atatusaidi kupata kiongozi bora imara Kama Ibrahim Traore wa Burkina Faso na Assimi Goita wa Mali. Lissu anaweza kupiga debe vizuri sana na kunyoosha njia. Ili tupate kiongozi ambaye hatawachekea wala kujipendeleza kwa mabeberu wasio na huruma na nchi zetu za afrika. Wanaotunyonya tu rasilimali zetu Kama shamba la bibi halafu wanatucheka ati sisi ni masikini. Lazima tuwaoneshe tumeamka na tunachumga mali zetu kwa wivu mkubwa. Rasilimali zetu no utajiri wetu mkubwa sana. Hatutaki blabla na mali zetu. Hatutaki urafiki na Canada wala marekani wala china wala ufaransa Kama hatufaidiki na wao. Hatutaki mikataba kandamizi hapa kwetu. HATUTAKI UNAFIKI. Tumechoka.
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 7 күн бұрын
@@Amani_eliastz ilimradi asiote kugombea urais. Hapo atachemka. Urais hapana kwa kweli. Hawatendana na kina Traore sababu wao hawana mapenzi na mabeberu wala wezi wa rasilimali zao. Hawana mpango na kukopakopa na wanajenga nchi kwa speed bila mikopo. Wanasimamia tu rasilimali za taifa wao wenyewe na kujenga viwanda. Lazima tupate kiongozi mwenye mirengo sahihi Kama hiyo ili tupate afrika moja yenye uhuru bila kutegemea mabeberu au mikopo au misaada sababu sisi ni matajiri.
@Amani_eliastz
@Amani_eliastz 7 күн бұрын
@Maria-cx4kn ni kweli mimi matumaini yangu ni kwamba ataweza kuisaidia Tz kuwa na mfumo wa kumpata rais/kiongozi/viongozi ambae atashinda uchaguzi kwa haki, wazi na uhuru, yeye kugombea kutokugombea, kuwa rais au kutokuwa ni jambo ambalo sijali sana, tupate kwanza mfumo bora wa uchaguzi, tuwaache wananchi waamue wataongozwa na nani, wakiongozwa vibaya tuwalaumu wao kwa kufanya uchaguzi mbovu ili wachague mwingine anaefaa zaidi.
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 7 күн бұрын
@ yes naunga mkono
@Amani_eliastz
@Amani_eliastz 6 күн бұрын
@Maria-cx4kn 🤝hoja zako pia ni za msingi sana
@ramamahanyu9314
@ramamahanyu9314 7 күн бұрын
Hii ndio chadema sasa
@silverman6930
@silverman6930 7 күн бұрын
Intellectual curiosity
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 7 күн бұрын
✌️✌️💪💪💪💪
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 8 күн бұрын
Ni yeye
@FanuelySule
@FanuelySule 7 күн бұрын
🎉🎉
@JuliusNicodemo-t7v
@JuliusNicodemo-t7v 8 күн бұрын
Tupo pamoja
@JosephMminza
@JosephMminza 8 күн бұрын
Nothing Goes without POLITICS
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 7 күн бұрын
No without democracy
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 7 күн бұрын
@@MohdIkra-d7s Nop….without money.
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 7 күн бұрын
Lissu wwe ndo kiongozi ulienyoka
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 7 күн бұрын
Sana. Ni kiongozi shupavu mjanja asiyekuwa mwoga kukemea au kutetea. Natamani angekuwa anawawakia na mabeberu nyonya rasilimali kwa ukali huo huo kama ulibrahim Traore na Assimi Goita walivyofanya. Tena atumie utaalam wake wa sheria kuwararua wakome kabisa kitumalizia madini yetu na kwa bure bure weupe halafu wanatukebehi kuwa sisi ni masikini….pumbavu sana. Awakemee kwa nguvu hizo hizo Kama kweli anatupenda na yuko kwa maslahi ya taifa. atathubutu tumsikie
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 7 күн бұрын
Na walimu hawafai kabisa maana ni shida tu
@Zanijasy-hy7vm
@Zanijasy-hy7vm 8 күн бұрын
Ndimi mbili za Samia moja inasema 4R moja inamua Mzee AliKibao. LISSU ni SHUJAA.!
@kingj9606
@kingj9606 7 күн бұрын
Mnyika usiogope😂, hakuna kujificha kanisa catholic mbezi this time ukiona difenda zinakuja😂😂.
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 7 күн бұрын
Safi
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 7 күн бұрын
Mbowe ameingia mitini
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 7 күн бұрын
😅😅😅
@IsayahMwangungulu
@IsayahMwangungulu 7 күн бұрын
Hanaaaa!!!
@ndaimtambo8845
@ndaimtambo8845 7 күн бұрын
😮
@AdebeKabuka
@AdebeKabuka 6 күн бұрын
Chadema mmefili bora Ata mngemchagua mh Heche
@BossiLaizer
@BossiLaizer 7 күн бұрын
Viongozi wa Kenya na raia wao wanajiamini
@ndaimtambo8845
@ndaimtambo8845 7 күн бұрын
Naamini lissu no mtu sahii katika kukabiliana na hawa wakoloni weusi
@musa-v3f
@musa-v3f 7 күн бұрын
CCM ndio wana siasa za kistaharabu? kuengua wagombea, kupora matokeo, kuiba kura, kuteka na kuua wagombea wa upinzani!! hawa ndio unataka Lissu abembelezane nao? Mbowe alifika wapi alipojaribu siasa za kistaharabu?
@FaustaPaskal
@FaustaPaskal 7 күн бұрын
Tulikuwa tumesubir kwa hamu kuja kwa mwokozi wa nnchi
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 7 күн бұрын
Huo msimamo utarudisha imani ya wapiga kura
@MedardLutelemba
@MedardLutelemba 7 күн бұрын
Mwenyekiti mbona umenona hivyo umependeza sana sijui kamera au roho imerizika
@ProphetM-c9o
@ProphetM-c9o 7 күн бұрын
Naunga mkono hoja. Haiwezekani kushiriki uchaguzi ambao tayari tunajua watahijumu. No reforms no election.
@alexmkuki933
@alexmkuki933 7 күн бұрын
Chuma hicho
@richardnganya2311
@richardnganya2311 7 күн бұрын
KUNA FAIDA GANI MTU AIPATAYO YA KWENDA KUPIGA KURA ISIYOHESABIKA ? YAANI UNACHAGUA KIONGOZI ASIYECHAGULIKA !!
@makelemohuya2723
@makelemohuya2723 7 күн бұрын
Makamanda msikubali kwenda kwenye uchaguzi na matapeli CCM, hayakubaliki yanatumia nguvu na wagombea wao hawauziki hata kidogo,
@BossiLaizer
@BossiLaizer 7 күн бұрын
😂😂😂😂😂 ngoja TU nicheke , je utabaki mpka mwisho na msimamo huu au ukionjeshwa asali utasaliti!
@bahatielias6443
@bahatielias6443 7 күн бұрын
Siyo Kwa lissu weww
@dennissamora729
@dennissamora729 7 күн бұрын
Humjui Lissu bado 😮
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 7 күн бұрын
Kama muda hautoshi, uchaguzi usogezwe mpaka 2026
@kelvinmisana7924
@kelvinmisana7924 7 күн бұрын
4:45
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 7 күн бұрын
Mimi sipigi kura kama tume huru ya vyama vyote haipo
@musa-v3f
@musa-v3f 7 күн бұрын
Tatizo sio muda Tatizo ni CCM hawana nia ya kufanya mageuzi
@bahatielias6443
@bahatielias6443 7 күн бұрын
Watalazimishwa tu
@feyxalbarry4595
@feyxalbarry4595 7 күн бұрын
Eti mkapate nin lissu acha kudanganya wenzako ww ushaamdaliwa fungu ubeligiji unachukua unatia mfukoni unataka wenzako wakose nafasi naa haki zako
@Jumamtafya-ie9zp
@Jumamtafya-ie9zp 7 күн бұрын
La hakika ww ni jembe
@OscarKasalile
@OscarKasalile 7 күн бұрын
Tutakuunga mkono hata kama mimi sio chadema wewe ni mkweli
@GraceKilingala
@GraceKilingala 7 күн бұрын
Sema yote lakini muache Marehem Magufuli nje ya matusi yako. Kura utapigiwa na Watanzani. Idadi ya watanzania wanaompenda Hayati Magifuli ni kubwa sana. Kumusema unafanya chama chako kuchikiwa na watanzania wengi. Ni watanzania ndiyo wana uwezo wa kukupa madaraka HUWEZI kumuchafuwa Magu. Watanzania hawatakubali uwongo na ujinga unao ongea kuhusu MAGUIFULI, unawauudhi watanzania wengi.
@bahatielias6443
@bahatielias6443 7 күн бұрын
Hizo ni fikira zako za kimfu kabisa ,kwani magufuri alikuwa malaika?
@dennissamora729
@dennissamora729 7 күн бұрын
Nitajie tusi gani katukanwa huyo muuaji wako Magu! Kumbuka vile vile Magu ndiye aliyemtia kilema cha maisha Lissu
@ndaimtambo8845
@ndaimtambo8845 7 күн бұрын
Safari hii bampa to bampa akiimbii mtu
@JohnKipalile-e2y
@JohnKipalile-e2y 7 күн бұрын
Samahani naomba kuuliza swali, je tukichukua uamuzi wa kugoma kushiriki uchaguzi,kwa upande wetu tutapata impact gani zaidi? Maana vyama vingine vitashriki uchaguzi kasoro sisi ,
@bahatielias6443
@bahatielias6443 7 күн бұрын
Vyote vitashirikishwa na ndio maana kasema acha wakapange mikakati
@kiluiWanguvu
@kiluiWanguvu 7 күн бұрын
Tuna serikali ilio bora Africa mashariki na Africa yote
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 7 күн бұрын
Duh….! Hii Kali
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 7 күн бұрын
What? Africa? Umepata wapi hii taarifa? Hivi unamfahamu Ibrahim Traore kweli? Umemsikia? Na Assimi Goita unamfahamu? Na Yule wa Mali? Hao ndio miamba wa afrika. Wanatisha dunia. Miamba watatu wa Sahel Kama unawajua….wanatisha
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn 7 күн бұрын
Unahitaji kujielimisha. Ibrahim Traore wa a wits rais wa afrika ndiye rais pekee afrika nzima aliyealikwa na Donald Trump mwenyewe kwenyesherehe ya kuapishwa. Unajua kwa nini? Jiulize. Na mwamba hakwenda alitolea nje akabakia kujenga nchi yake nyumbani. Hakwenda. Nani angekataa?
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 7 күн бұрын
Punguza upambaf kidoogo, Mshenzi mwili mzima
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 7 күн бұрын
Awa wanakuaga mashogaa
@JohnJohn-ij4ou
@JohnJohn-ij4ou 7 күн бұрын
ila shuruti😅😅😅
@PystyBuyabara
@PystyBuyabara 7 күн бұрын
Ni manemo maneno tu. Chadema hawana uwezo wa kuzuia uchaguzi. Watajitoa kwenye uchaguzi. Hawatakuwa na mbunge wala diwani. Watapotea jumla
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 7 күн бұрын
Ujielewi ww sikiliza vizulii usisikilize na makalio sikiliza na masikio chizi ww
@JohnKipalile-e2y
@JohnKipalile-e2y 7 күн бұрын
​@@RomanMwinyiachaneni nae huyu katumwa
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
Lisu jitathmini kwenye siasa hakuna neno shurti na huwezi fanikiwa kwa style hii
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 7 күн бұрын
Punguza upambaf kidoogo Mshenzi mwili mzima
@jamesmwanakombe
@jamesmwanakombe 7 күн бұрын
kausha kuma ww watu kama nyiny chadema atuwataki k ww
@kingtheswaggerdon
@kingtheswaggerdon 7 күн бұрын
soma historia, soma vitabu .Elimika kijana.
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
@kingtheswaggerdon historia inasemaje mkuu kwenye hili
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 7 күн бұрын
Wewe chizii kauzee matako nyuma uko mabaasha wana kusubulii
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
Kwaiyo unataka kutwambia tuvunje tume tutafute watumishi wapya tuvunje katiba tuanze upya ivi kwa akili yako ao watumishi wapya wanatokea mbinguni au ni wa hapa hapa ?
@KelvinBamuhiga-f8n
@KelvinBamuhiga-f8n 7 күн бұрын
Tulia utakuja kuelewa baadae
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 7 күн бұрын
Jifunze kusikiliza na kuelewa.Mara zote alipotaja watu wale wale alisema na kwa sheria zilezile maana yake kuna vitu viwili hapo yaani watu na sheria. Hakuna muujiza kama hivyo vitu viwili vipo kama zamani,matokeo yatabaki kama zamani.
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
@KelvinBamuhiga-f8n tuje tuone pamoja nawe
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
@Joe-tr2vk kwaiyo wee unataka kutwambia nini izo sheria mtungaji nani
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 7 күн бұрын
@@RashidHaroun-c2j Tunaweza kubadilisha hata kanuni za uchaguzi na muundo wa tume tu. Kufanya mambo yaleyale kwa namna ileile na kutegemea matokeo tofauti ndiyo uchizi wenyewe.
@petermogha7025
@petermogha7025 7 күн бұрын
CDM munaogopa uchaguzi
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 7 күн бұрын
Mamayo, Mshenzi mwili mzima
@musamabura5200
@musamabura5200 7 күн бұрын
Kwa huo mfumo wa shuruti ushafeli brother 😂This is Tanzania
@jamesmwanakombe
@jamesmwanakombe 7 күн бұрын
kausha k
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 7 күн бұрын
Umesikika mpumbavu wewe!
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 7 күн бұрын
Bongo mashoga awa ishii wauzaa matako wengi kama nyinyi njoo tuku fiiiilere
@musa-v3f
@musa-v3f 7 күн бұрын
CCM ndio wana siasa za kistaharabu? kuengua wagombea, kupora matokeo, kuiba kura, kuteka na kuua wagombea wa upinzani!! hawa ndio unataka Lissu abembelezane nao? Mbowe alifika wapi alipojaribu siasa za kistaharabu?
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
Shurti inaweza kufanyika ubelgiji ila tanzania shurti haina nafasi
@AmanSabugo
@AmanSabugo 7 күн бұрын
Mbona unateseka sana kutuma msg nyingi, wee kaa utulie dawa itawaingia tu safari hii.
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
@AmanSabugo izo ni ndoto za hashuo unaota mchana ndugu yangu
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 7 күн бұрын
Kuma la mamako
@jamesmwanakombe
@jamesmwanakombe 7 күн бұрын
kuma ww we kausha una chochote cha kutwambia twachie chadema yetu na lissu wetu kuma ww
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 7 күн бұрын
@jamesmwanakombe kuma mamako alotiwa mimba baa ukapatikana
@giztony2009
@giztony2009 8 күн бұрын
Shuruti kwa nchi yetu haiwezekani mtaishia jela
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 7 күн бұрын
Akili mgando kwenye hi nchi imebaki kwa wachache sana
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 7 күн бұрын
Jela wameenda mara ngapi? Ni kitu kigeni kwao au kwako? Umewasikia wakizungumza kuiogopa hiyo jela? Hicho chama kina waliokwenda jela, waliotekwa, waliobambikiwa kesi za uongo, waliokufa....na mengineyo mengi mabaya! Kudai haki na mageuzi siyo lelemama. Hilo wanalifahamu na wasipopambana huo uhuru wa kweli na haki vinapatikanaje! Hiyo njia unayoitaka wewe imelifikisha wapi taifa hili! Unajitoa ufahamu?
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo 7 күн бұрын
Kwani kwako neno shurti una liewaje? Je, ni uhaini mpaka watu watishiwe kupelekwa jela?
@robertmwakitwange7292
@robertmwakitwange7292 7 күн бұрын
Kwani jela ni ya chadema tu hata wao watakwenda
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 7 күн бұрын
ata ww jela una enda ukiuza vizulii matako
@emmanuelnjelekela6299
@emmanuelnjelekela6299 7 күн бұрын
Umshurutishe nani we tundu labda hao chadomo wenzio😅😅
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 7 күн бұрын
Kumayo, chadema mkundu wa mamako
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 7 күн бұрын
We chiziiii ngojea dawa ikuingie matakoni uko
@emmanuelnjelekela6299
@emmanuelnjelekela6299 7 күн бұрын
@@RomanMwinyi skuiz tangu mama anawachekea mnatutukana et eee subirin operation nyamazisha mashoga itaanza soon😀🇹🇿👊💪
@RenatusMatungwa-o7c
@RenatusMatungwa-o7c 7 күн бұрын
Tupo pamoja
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 7 күн бұрын
HAKI HUINUA TAIFA. ILA DHAMBI NI AIBU KWA WATU WOTE
@musasiame6138
@musasiame6138 7 күн бұрын
Ni yeye
@yunusyusuph
@yunusyusuph 7 күн бұрын
4:45
@MmbagaMmbaga
@MmbagaMmbaga 3 күн бұрын
Tuko pamoja tutengeneze katiba mpya ndio mambo yote
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12