Mnyukano mkali juu ya Muungano, Jussa apambana na Nkuba kwenye redio ya Ujerumani

  Рет қаралды 11,533

Weyani Tv

Weyani Tv

2 ай бұрын

Katika mnyukano huu mkali juu ya Muungano, Ismail Jussa anapambana na Sweetbert Nkuba kwenye kipindi cha Maoni Mbele ya Meza ya Duara cha Redio ya Ujerumani.

Пікірлер: 52
@RashidMabrook
@RashidMabrook 2 ай бұрын
Asante kiongozi mkomavu kaka yetu Ismail Jussa Ladhu Allah akuhifadhi kwa kumsomesha Nkuba sheria ya Muungano
@StafordndongweNdongwe
@StafordndongweNdongwe 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤qqqqqqàqqà
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 2 ай бұрын
ETI TANGANYIKA IMEMEZWA NA ZANZIBAR🤣🤣🤣🤣LEO NIMEAMINI KUWA WATANGANYIKA NI MISUKULE👀👀😂
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 2 ай бұрын
Muungano ni Ukoloni wa Tanganyika , Tanganyika ni kuitawala Zanzibar , Wazanzibari hawana HAKI ya kumchaguwa kiongozi wanayemtaka, wanalazimshwa kwa mtutu wa Bunduki.
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 2 ай бұрын
Hiyo Tanganyika iko wapi inayo tawala ? Ukweli ni kwamba baada kufanyika muungano wa mchongo nyerere aliifuta Tanganyika na akafuta na katiba ya Tanganyika ili kumziirishia Karume kuwa teali wao ni Taifa moja, lakini karume akumaanisha ilo na akuwa teali kwa ilo ndomana alibaki na Zanzibar yake na uraisi wake na kufanya ivyo karume aliofia asije akatorewa mazima madarakani ndomana akuwa amefuta utambulisho wake kama alivyo fanya Nyerere Tanganyika.
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
Hii ni miaka ya shida Miaka ambayo Zanzibar inakuwa katika mdomo wa tanganyika Hatuna kauli Zanzibar, hatuna mbele ,hatuna maendeleo na hatuna kauli yoyote shida tupu kwaetu Zanzibar
@kisa6022
@kisa6022 2 ай бұрын
Utambulisho bila ya nguvu Shilingi ipi lkn huwezi kuitumia faida gani kuwepo hio shilingi
@godsonmosi8428
@godsonmosi8428 2 ай бұрын
Jusa nimekuelewa sana
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp 2 ай бұрын
Hakuna amani 1 msidanganyane, Ila sina shaka kuvunjika kwa muungano, tena watauvunja watanganika wenyewe.
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
Ww mtanganyika unatufanya sis km watoto vile unampa pipi kisha unachukuwa cha kwake yaani sis wazanzibar tugaiwe na tanganyika kisha ndio tuambiwe tunafaidika
@rahimahamad1016
@rahimahamad1016 2 ай бұрын
kuungana rahisi lakin kujitoa ni ngumu kwani kinachonganganiwa ni nini? Zanzibar tunahitaji uhuru wetu
@AhmedAlawi-rd8fw
@AhmedAlawi-rd8fw 2 ай бұрын
Nkuba huelewi chochote nyamaza zanzibar hata rais wake hatambuliki ni sawa na mkuu wa mkoa maana yake hatambuliki ni kuzugana tu
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 2 ай бұрын
TUACHE UMIMI UBINAFSI KWERI NI MBAYA SANA TAZAMA HOJA HIZI KIUMAKINI KINASUMBUA UBINAFSI
@HasaniBakari-yx5yg
@HasaniBakari-yx5yg 2 ай бұрын
Jamani tusipigizane kelele kama kweli sote tunauhitaji muungano huu uendelee basi yatupaswa kukaa chini na kurekebisha pale kwenye mapungufu hapo tu nchi mbili je ingekua Afrika nzima tuungane sindio ingekua balaa mimi nilichokiona tuondoe ubaguzi na kiongozi awe mmoja
@martinkisha6307
@martinkisha6307 2 ай бұрын
Wanao mpinga lisu hawafatii haya hata viongozi wa serikali hawayaoni haya
@HudayjumaTaalib
@HudayjumaTaalib 2 ай бұрын
Lazma uonemzur hebuivyo v2 tupeni siye half nyinyi mkae watup kama sisi
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp 2 ай бұрын
Muungano muungano, mavi tu! Muungano gani
@kisa6022
@kisa6022 2 ай бұрын
Eti Zanzibar kuna raisi Huyu ni rahisi kwa watanganyika sio raisi kwa wazanzibar
@KhamisiSalimu
@KhamisiSalimu 2 ай бұрын
Kila mtu kwao hatutak mungano tuachieni,
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 2 ай бұрын
Warabu ndio wanawadanganya wazanzibar wakati warabu wenyewe wanafiki tu wenyewe awasaidiani wanapigwa tu na wamagharib itakuwa nyinyi Zanzibar jitoeni
@leonardleoni5427
@leonardleoni5427 2 ай бұрын
Ismael jussa umeuelezea kinagaubaga muungano. Elimu sasa itolewe kwa kila raia aweze kujua manufaa na mapungufu ya muungano na pia kuwe na kura ya turufu kuangalia ni wapi wanauhitaji huu muundo wa muungano
@HudayjumaTaalib
@HudayjumaTaalib 2 ай бұрын
Jusa anajua nandomana waltaka kumuwa
@HudayjumaTaalib
@HudayjumaTaalib 2 ай бұрын
Mungano huu unatakiwa ujadiliwe mana tangu uwanze wa2 wing wameshkufa sasa kunavzaz vipya lazma mungano uwewksasa
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 2 ай бұрын
alisema shekhe ilunga ALLAH amrahamu. kua zanziba kwa sasa ni mkoa wa bara .na rais wazanziba ni mkuu wa mkoatuuu.
@eliajimmy95
@eliajimmy95 2 ай бұрын
Anayeng'ang'ania huu muungano kwa sasa ni Samia suluhu Hassan Mzanzibari mwenzenu sio nyerere tena.
@HudayjumaTaalib
@HudayjumaTaalib 2 ай бұрын
Sisi zanzbar hatuna haja namungano kwan lazma
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
Nafasi za kazi munachukuwa wenyewe ,polisi,Jessica,usalama zote ni zenu tanganyika Ubaguzi munawo watanganyika,munatubagua hatataki Zanzibar imetawaliwa na tanganyika Tanganyika haijapoteza sifa yake Tupeni sisi hayo mamlaka kisha nyinyi tanganyika chukuweni mamlaka ya Zanzibar kuwa tanganyika
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 ай бұрын
Lissu na jussa ni baba mmoja mama mmoja kwenye akili
@jamesriwatuvana9561
@jamesriwatuvana9561 2 ай бұрын
MAMLAKA TATU NDIO SULUHISHO, BILA HIVYO HAYAEESHI HAYAAAA
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 2 ай бұрын
Kama kuvaa koti nakizibabao
@bedamassawe8107
@bedamassawe8107 2 ай бұрын
Mimi sitaki mungano
@adamyussuf1678
@adamyussuf1678 2 ай бұрын
Tumechokana na muungano huu tuachanei tupumue jamaniii
@aproniamasatu5810
@aproniamasatu5810 2 ай бұрын
Mimi mwenyewe sipendi kuungana na wazanzibar na kutoka moyoni siwapendi ( na tuko wengi kama mimi )
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 2 ай бұрын
Libya walikuwa wapumbavu kama ivi sasa wanakuita ata iyo Zanzibar ikikataa muungano ndio itapata nini
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 2 ай бұрын
Nasi pia tunaitaji Rais wetu wa Tanganyika atakae ismamia na kulinda maslahi ya Wananchi wa Tanganyika pamoja na Rasirimali za Tanganyika, nasio kuifuja Tanganyika yetu kama afanyavo kiongozi wa muungano wa sasa. Kwa upande wa Zanzibar hoja zao azi make sense maana Tanganyika ndo inayo athirika zaidi ya Zanzibar kwa sababu viongozi wote wakuu ni wa muungano na wa Zanzibar tu lakini hakuna viongozi wa Wakuu wanayo iwakilisha Tanganyika kwa namna yeyote ile kwamaana ata Rais aliyopo ni Rais wa muungano na siyo Rais wa Tanganyika, ivyo nasi tunatamani kuwepo kwa serikali ya Tanganyika hili ilinde rasilimali zetu zisiwe tena mali ya muungano.
@AbdulRahmanAliy-sr7gw
@AbdulRahmanAliy-sr7gw 2 ай бұрын
Ndo mana wtu wanataka serekali 3 na iyo ndy itaeka uhuru pande zote 2
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 ай бұрын
Je muungano usipokuwepo je mtafaidika?yaani wenye nguvu wanaungana nyie wadhaifu mnapambana ili muachane
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 2 ай бұрын
Muandaaji wa "mnyukano" hakuwa makini kwa kuteua wahusika wa "kunyukana' kimantiki. Jussa anaongea kwa hoja nyoofu zinazo thibitika kimantiki. Nkuba anatoa porojo tu. Z'bar ni jirani zaidi (kimipaka) kwa T'nyika kuliko Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi?? Waz'bari ni wana udugu zaidi na Watang kuliko Wamasai, Wajaluo Wakurwa walioko Kenya/Tang?? Nkuba anasema; Z'bar inatambulika Kimataifa!! Mbona Z'bar haina kiti ktk UN na Mashirika mengine ya Kimataifa?? Lkn ni vzr Nkuba ameielewesha Dunia fikra finyu CCM ilizonazo juu ya Muungano.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
Hata yoyote, hakuna mbara hata mmoja angeweza kuvunja ukweli wa jussa
@abdalakombo1595
@abdalakombo1595 2 ай бұрын
Muungano ni wa waafrika wa Tanganyika na Zanzibar kwa hivyo kuna watu kama Jusa haumhusu
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 2 ай бұрын
Kwa nini Jussa asihisike na Muungano?? Kwani Tang. hakuna watu wenye asili ya Wahindi, wazungu nk? Ondoa fikra finyu za ubaguzi wa rangi??
@gangmore9091
@gangmore9091 2 ай бұрын
Mungano wa Africa mbona Tanganyika inakaa nchi nyingine zisijiunge na Mungano uwo hebu amkaa or Mtanganyika wewe mana ndio munatetea huu ujinga😅
@rahimahamad1016
@rahimahamad1016 2 ай бұрын
Wewe mwenyewe asili yako huijui.
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
Muungano ni dubwaa tuliloleteewa na wazungu chini ya usimamizi wa nyerere, alikuwa remoted kutoka kwa magharibi
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 2 ай бұрын
Duh bado kidg nikutukane ..kumbe ni abdala kombo🤣🤣haya
@HudayjumaTaalib
@HudayjumaTaalib 2 ай бұрын
Tatzo tanganyka hawatki kuta2a kero zamungano
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 2 ай бұрын
Ndugu jussa KUMBUKA ndege WA rangimoja uluka pamoja Zanzibar na bala ni wamoja
@mbeguofficial6646
@mbeguofficial6646 2 ай бұрын
SIKUHIZI COMMENTS ZA WATU ZIMEPUNGUA KWA KIASI KIKUBWA SANA!!!!
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
Usalama sio hoja Hatujaona vita kati Zanzibar na tanganyika Zanzibar ilikuwepo kabla tanganyika na hatajona vita kati ya nchi hizi Wanaleta ujanja wa kututalisha na tanganyika tuu
@1961nungwi
@1961nungwi 2 ай бұрын
Usalama unao ongelewa hapa ni ule wa zamani wakati wa vita baridi. Kuiacha Zanzibar ilikuwa inaleta hatari ya "Cuban Crisis" ya miaka hiyo. Kwa Sasa, hoja hiyo umepungua nguvu baada ya ukuta wa Berlin kuanguka Mwaka.
OMO ndani ya Kigoma
7:42
Weyani Tv
Рет қаралды 2,2 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 24 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 28 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 33 МЛН
ODM Leadership in Kenya Kwanza Government.
43:38
SpiceFM
Рет қаралды 5 М.
KUHUSU KATIBA KABUDI AFUNGUKA MBELE YA LIPUMBA KUVUNJA KATIBA NI NENO ZITO
13:46
Vyovyote wanavyotaka wao, sisi tuko tayari, asema OMO
56:01
Weyani Tv
Рет қаралды 7 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 24 МЛН