Othman Masoud asema 2025 uchaguzi lazima uwe wa haki kwa vyovyote vile

  Рет қаралды 37,429

Weyani Tv

Weyani Tv

10 ай бұрын

Пікірлер: 107
@MohdSuleiman-fw2un
@MohdSuleiman-fw2un 10 ай бұрын
BIG UP tu pamoja Zanzibar bila mamlaka kamili tutazidi kudhalilikaaaaa ❤ LOVE my country Zanzibar
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 ай бұрын
Mohd pole Hussein hamumuwezi aneleta Maendeleo ya hali ya juu Zanzibar
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 3 ай бұрын
Pole kwako kwakuona ujezi wa Hussein mwinyi ni maendeleo tembea ukaone maendeleo kwa wezetu pia hao wezetu na maendeleo walio nayo wanapigania uhuru na demokrasia pia huijui Zanzibar ww @@margarethpolepole7438
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi Ай бұрын
Mungu afanye wepesi ten tusha wachok ccm
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 10 ай бұрын
Huyu mzee nampenda sana ❤
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 10 ай бұрын
Mwenyezi Mungu Muumba wa vyote tunakuomba Zanzibar iwe free na itoke kwenye makucha ya hawa Matapeli wanaojiona wana Nguvu zaidi
@hafidhkhamis731
@hafidhkhamis731 9 ай бұрын
Allah awe nasi tuko pamoja an hakuna lisilokuwa na mwisho ao ccm mwisho wao utafika tu inshaaAllah
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Hafidhi hizo ni ndoto za alinacho acha kazi ufanye kazi kuishinda Ccm baada wakongwe walishakubaliana kuungana wewe wewe kidagaa una nini tena utabaki na kelele za chura hazimkatazi ngombe kunywa maji ccm oyeeeee kazi inaendelea Hussein Mwinyi chapa kazi hao njaa za kutakq utumwa zinawasumbua
@user-qo8uj1ym4m
@user-qo8uj1ym4m 10 ай бұрын
Munaamika wakuu wetu wa vyama mola awape nguvu hivyo hivyo daima
@saidjuma7915
@saidjuma7915 10 ай бұрын
Mhe omo inshalah tupo na ww inshalah kukomboa zanzibar ki ufupi tushachoka ndo hatujui la kufanya sahivi zanzibar kurudi kwenye mamlaka ni muhimu sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 24 күн бұрын
@@saidjuma7915 Ahsante sana Rais Hussein mwinyi kwa kuifanya Zanzibar njema na inapendeza kila kona wasikusumbue hao wqnaotaka utumwa kila siku na uroho wa madaraka Siasa mchwzo mchafu hawana kabila hao utashinda kwa kishindo na wewe Omo kula kuku tu Siasa mchezo mchafu Ccm oyeeeee Act Wazalendo oyeeeee Hussein Mwinyi chapa kazi
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb 9 ай бұрын
Huwezi kusherehekra mauaji ukapata neema ndani yake hili mulijue twende tu hadi tufike asante bw. Othman kwa maneno matamu na yenye faida
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
AAAA wewe mnyanwezi acha kelele wewe hiyo Zanzibar ni yako humo kuna kila sina ya watumwa hakuna hata mwenye Zanzibar yake nahisi wewe umezaliwa 2000 hujui lolote wewe ni bendera yafuata upepo hakuna mnzanzibar kamili njoo Tabora nikuobyeshe warabu wanyamwezi huna lolote kazi kubwabwanya tu
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 10 ай бұрын
Zanzibari ni nchi iliharibiwa NA ungereza NA marekani NA wayahudi kwa sababu ya uslaam wao NA wanahaki kuihifathi dini ya mungu wao NA kila mtu huko akhera moja moja peke yake ataulizwa alicho kitenda duniani NA atapewa kitabu chake kwa kulia au kushoto tutaulizwa tu umetetea dini yako umetetea nchi yako au umeunga kutawaliwa NA wakrsto
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 7 ай бұрын
Alia,usimsahau hayati Nyerere nae yumo
@MohammedEddy9
@MohammedEddy9 10 ай бұрын
ALLAH akueke!! Na atuweke!! inshaAllah
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 2 ай бұрын
Ccm,kumbukeni,mungu,hajasema,uongo,hata,siku,Moja,mazalim,mtaondoka,tu,inshaallah
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 Ай бұрын
Safi sana mkuu
@IsmailClassictz
@IsmailClassictz 9 ай бұрын
Powerful speech ❤❤❤ LOVE MY COUNTRY ZANZIBAR NEVER GIVE UP ZANZIBAR ❤❤❤
@alifoum6758
@alifoum6758 10 ай бұрын
That's significant milestone
@salyali7807
@salyali7807 10 ай бұрын
Very powerful speech... excellent job OMO
@abdikhamis3758
@abdikhamis3758 10 ай бұрын
@user-ry1pe3tu5s
@user-ry1pe3tu5s 8 ай бұрын
MH HONGERA UMEMWAGA RADHI ZA UKWELI ,,,SAFI SANA
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 2 ай бұрын
Wazanzibar,tunataka,viongozi,wanamnahii
@arthurbertluanda3390
@arthurbertluanda3390 10 ай бұрын
Mashaalah no kukata tamaaaa
@kassim1262
@kassim1262 3 ай бұрын
Ccm hawalijui hili au ndio maslahi kwnz nchi baadae duh inasikitisha wanajiita wzalendo lkn wanaiua nchi
@user-jf7is4fk2v
@user-jf7is4fk2v 10 ай бұрын
sio rahisi bila ya katiba mpyaaaaaa piganieni katiba huru na haki kwanza
@rayamgeni9772
@rayamgeni9772 10 ай бұрын
Tunakuombea kwa Allah mkombozi wetu.
@MohammedSaid-cz2od
@MohammedSaid-cz2od 8 ай бұрын
Kwa uwezo wa allah hapaharibiki kitu ishaallah
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 4 ай бұрын
ALLAH AWALAANI WAO NA VIZAZI VYAO VINAVYOKULA HARAMU.MALIPO DUNIANI AKHERA HESABU.
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 10 ай бұрын
VYAMA VINABADILISHWA KAMA CHAI. IPO WAPI C.U.F 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 9 ай бұрын
Waulize wakuu wa CCM
@kassimhaji1141
@kassimhaji1141 10 ай бұрын
Yuko pamoja mm na Zanzibar na Zanzibar na mm ewe mola tusaidie tuwe huru
@msabahaali758
@msabahaali758 10 ай бұрын
njaa hii hatuna haja ya kampeni tuko nawe OmO
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 9 ай бұрын
Zanzibar mnailindavkunann cc wenyewe tunajeshi lakutosha cc kulima tunalima kilakitu nasilazima vyakula vitoke kwenu maana hamtupi buree tunanunuwa kwapesa zetu
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 4 ай бұрын
Narudi kuwakumbusha vyama sio sulisho kwa wananchi sababu watu wamechoka na kusikiliza sera ya vyama vusivyotejelezeka watu wanaangalia mtuu ktk chama ndio maana nccr ilikufa ndio maana cuf Iko taababani sababu hakuna watu mazubuti lakini ikitikea mtuu mazubuti ktk chama basi chama hupata nguvu
@kaslali2039
@kaslali2039 8 ай бұрын
Dunia ya leo si ya kusemana Alie na mwana aombe salama Kwetu kuliroa kwao kushazama
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 7 ай бұрын
Kusemana kwa kukosoana bila matusi ni wajibu wa kila mwananchi,kwani mabaya na mazuri yaanikwe
@hamadKhamis-p6k
@hamadKhamis-p6k 4 күн бұрын
Na nyie viongozi wetu hatutaki ahad zisizotekelezeka hatutaki ten hewala km marehemu maalim huruma hailei mwana tunatk vitendo sasa apa hachomoki mtu mara hii ata kuwa mtu kanaijenga Dunia mzima hii hamna kukaa ten ccm madarakani mwisho wao ni mara hii hao
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 4 ай бұрын
Imekula kwako😊
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 2 ай бұрын
Na kwako pia tutakula
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 10 ай бұрын
ZANZIBAR YA KALE NA UISLAM 1) ZANZIBAR ilikuwa ni nchi pekee ya Kiislam kwa Afrika Mashariki na Kati. 2) ZANZIBAR ilikuwa ni Kitovu Cha Mafundisho ya Kiislam kwa Afrika Mashariki na Kati. 3) ZANZIBAR ilikuwa ni Makao Makuu ya Pan-Islamism na Islamic Modernism kwa Afrika Mashariki na Kati. 4) ZANZIBAR ilikuwa maarufu Duniani kwa sababu ya Uislam na Kiswahili, yenye Lugha ya Qur'an kwa Uislam Duniani. SASA ZANZIBAR HAINA DINI.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 7 ай бұрын
Wala maadili hamna
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 7 ай бұрын
KUPINDUA MAADILI YA KIISLAM ​@ahmedalbalooshi8518 SWADAKTA. Kwa sababu lengo la Mapinduzi sio kuondosha Utawala wa Kiarabu kama inavyopotoshwa bali Vita Dhidi ya Uislam na Maadili yake. MAPINDUZI KWA MUUNGANO 1) Misahafu ilichomwa na Mingine kutupwa Baharini. 2) Wanafunzi waliharamishwa kusoma Surah al-Fatiha na Surah al-Ikhlas kabla ya kuingia Darasani. Na wakalazimishwa kwaya ya kumsifu Mkiristo Nyerere kabla ya Darasani. 3) Mafundisho ya Uislam na taarekhe ya Zanzibar yalifutwa. Kinyume chake utaitwa "Mdini." 4) Akiwa Mgeni Rasmi Siku ya Baraza la Eid, Beit al-Ajaib Rais Julius aliwaambia Waislam wa Zanzibar kuwa Nchi Haina Dini. Hiyo ni Utawala wa Mfalme Julius kwenye Biblia. Aliwataka Wakiristo wasichanganye Dini na Siasa katika Nchi: a) Ingawa Wimbo wa Taifa unaomba Mungu aibariki Tanzania isiyo na Dini. b) Pia Wanasiasa wanawataka Mashekhe waiombee Nchi yao isiyokuwa na Dini. 5) Na Kiswahili Cha Zanzibar kinapinduliwa kwa kuondosha maneno yenye asili ya Kiarabu: a) Zanzibar kubatizwa kuwa Tanzania Visiwani. Ni tafauti na Visiwa vya Kilwa na Mafia. b) Darasa la Tisa kubatizwa kuwa Didato Cha Kwanza. WALITAKA KUBADILI QUR'AN Ali Hassan alikuwa Rais lakini Julius Nyerere Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akiwa Mgeni Rasmi Dodoma. Kwa vile Serikali ya Muungano inaongozwa na CCM, viongozi walisema Qur'an ibadilishwe😂 Lakini Waislam wa Zanzibar walipinga kwa kulinda Qur'an, walijeruhiwa na kuuliwa.😂 Sheikh maarufu Nassor Bachu alipelekwa jela na Mwandishi wa BBC Mh. Ali Saleh alitupwa jela kwa kutangaza tukio hilo. HITIMISHO LAKINI SIO MWISHO Bila shaka Maadili ya Waislam wa Zanzibar yametoweka kwa sababu ya kuacha Mwongozo wa Qur'an. (Qur'an; 25:30).
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar 8 ай бұрын
Acheni ujinga nyinyi acheni kuwafitinisha watu kwa siasa zenu
@BernadethaSimba-qi4dw
@BernadethaSimba-qi4dw 9 ай бұрын
Na ss tunaomba dua kwa M/ Mungu aepushe na ipo siku itafika hicho unachosema kitafutwa tu hata huku tunakeleka kila mtu ale chake kashiba kalala njaa shauli yake tunakuomba tuonyeshe huo mkataba wa kudhibitiwa nyie zanzibar
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 ай бұрын
OmoWewe nenepa tu hamna kitu hapo Ccm iko juu sanaaaa zanzibar kimaendeleo wewe kula tu urefu wa kamba yako Rais Hussein Mwinyi humuwezi anachapa kazi vizuri sana
@kassim1262
@kassim1262 3 ай бұрын
Tunahitaji znzbr htuhitaji kazi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
@@kassim1262 ulie tu huna Zanzibar wewe siajabu mnyamwezi msukumq mmakonde Muha nk kule kote kulikopita waarabu wewe mtumwa tu huna cha Zanzibar yetu naneno yako ya kufuata mkumbo msimsumbue Mwinyi muacheni aiguze Zanzibar kama Dubai huyo mchapa kazi mtumwa wewe usiyetaka kukombolewa kwa warabu
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 24 күн бұрын
Anachapa kazi kweli sukari 3400 mchele 2500 tumpe hongera kwa uchapa kazi huo
@AbdulNassir-jk1jf
@AbdulNassir-jk1jf 6 ай бұрын
Kama walivyo pinduwa nanyi mupindue ndo mtapata madaraka si kwa sera
@user-ok9vr5jj6r
@user-ok9vr5jj6r 9 ай бұрын
Asnte omo wape vidonge vyao hao 😂😂
@aliamour4970
@aliamour4970 8 ай бұрын
Wewe user ukitaka toa aibu za watu toa zako kwanza usojielewa
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 9 ай бұрын
Mnatupanga tu hakuna uchaguzi wa haki Tanzania
@hamadKhamis-p6k
@hamadKhamis-p6k 4 күн бұрын
Ccm Hana njaa Wala Hana shida haya ni mwanachama Gani huyo wa ccm anaesaidiwa kwenye shida mtu pa kukaa Hana ama wew ni ccm hebu waangalien ccm Wana shida Wana njaa zindukeni nyie wenzetu tuungane tuwe kitu kimoja tupiganie haki kwanza tuishi vizur hatuna Raha maisha magumu mtu akiamka Cha kukila Hana ama wew unajiita ccm umjinga wew
@MuhidiniMohamedi-rx9gb
@MuhidiniMohamedi-rx9gb 10 ай бұрын
Seemababa
@user-su6kn2xo1b
@user-su6kn2xo1b 8 ай бұрын
Jino kwa jino haki
@C-uj4np
@C-uj4np 6 ай бұрын
Sawaaaaa 🎉❤😂😊
@emilbocco5895
@emilbocco5895 10 ай бұрын
Sawa Zanzibar kamili na Tanganyika kamili we are ok with That, jitayarisheni kuanzisha jeshi lenu maana tunatumia pesa nyingi kuilinda zanzibar, pia mjifunze kulima maana chakula kinatoka bara, pia mjifunze kulipa umeme maana smz ina madeni makubwa ya umeme kutoka bara
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 9 ай бұрын
Kwani kabla ya muungano waZanzibari walikuwa wakilala na njaa?.Waache wenyewe watatafuta mbinu za kuishi.Nyie musishuhjulike
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 9 ай бұрын
Umeme tutafuta,kuanzia tutatumia taa za asili,usijale kaka.
@alijuma7674
@alijuma7674 8 ай бұрын
Huyu jamaa anaakili za mende ,mana hafahamu historia. Tanganyika haikuwa na serikali bali Zanzibar Alitawala kote huko lkn la pili ni kichwa maji .Zanzibar haikuanza 1964 ,ipoooo years and year ni dola kongwe sana
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 8 ай бұрын
Tokea awali ,Zanzibar haikuwa na jeshi,kwa sababu nyingi,moja wapo ni kuwa hawakuwa na adhma ya kuvamia nchi jirani,na ukiongezea hapo,wananchi wake walikuwa wa amani na upendo.Kwa upande wa chakula, wana uwezo wa kujilisha kama walivokuwa wakila hapo awali.Usisahau mamilioni ya fefha za kigeni zilizochukuliwa na kuhamishwa huko kwa waporaji.
@emilbocco5895
@emilbocco5895 8 ай бұрын
Muungano una ubaya wake pia una uzuri wake, kama hutaki kurekebisha mapungufu unataka uvujike sisi hatuna shida. Ila hata ndoa lazima mapungufu yatokee, huwezi vunja kabla ya kujitahidi kurekebisha huu ni muungano wa nchi na watu si muungano wa vitabu,
@user-qp8rs7yu9f
@user-qp8rs7yu9f 10 ай бұрын
Hata ushinde hawakupi hawa labda upindue
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 10 ай бұрын
M.mungu ndio atawapindua kwa Allah hakuna kisichowezekana na wala hakuna Cha milele isipokuwsa Allah ndio wa milele iko siku
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 10 ай бұрын
​@@kinkybanjukome217naaam 🙌🙌
@muzneali4747
@muzneali4747 10 ай бұрын
TATIZO LENU KUSHINDWA HAMKUBALI HATA UCHAGUZI UWE WA HAKI VIPI MADHALI MKISHINDWA MTASEMA UCHAGUZI HAUKUWA WA HAKI HAMUWEZI KUKUBALI KUSHINDWA
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 10 ай бұрын
Lini mlishinda ?? Kenge wewe
@muzneali4747
@muzneali4747 10 ай бұрын
@@cath-ef7wd HAPO NDIO MWISHO WAKO WA KUFIKIRI SIWEZI KUKULAUMU MAANA KWENYE AKILI ZAKO NDIO KUMEKAA MAVI NA SEHEMU YA MAVI NDIO ZIKO AKILI ZAKO KWA HIYO SEMA UTAKAVYO
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 9 ай бұрын
Sujui kama uluwahi kumsikia Ali Karume,mtoto wa hayati Rais wa kwanza wa Zanzibar,alitamka hadharani kuwa CCM hawajahi kushinda toka 1995 huko Zanzibar.
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 9 ай бұрын
KWANI UNASEMAJEEEEEEE
@muzneali4747
@muzneali4747 9 ай бұрын
@@ahmedalbalooshi8518 YUKO WAPI HUYO BA ALI YEYE CHUKI YAKE HAKUUPATA URAIS HIVI ANGEKUWA RAIS ANGEYASEMA HAYO?? MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI HIVI KIPINDI HIKI CHA UTAWALA WA RAIS HUSSEIN MAENDELEO HAMUYAONI?? CHUKI BINAFSI HAZIFAI UKWELI USEMWE
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 10 ай бұрын
😂😅😅😅😂😂😂 ILE 2015 NDIO KINGEELEWEKA ILA HUKO MBELE KELELE TU😊😅😅😂😂😂😂
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 9 ай бұрын
Fakih,ingeeleweka vipi wakati Wabara walikwisha teremsha majeshi ambao walipewa amri ya kuhakikisha CCM washinde,kwa hali yeyote.
@user-gv9st4eg6h
@user-gv9st4eg6h 4 ай бұрын
Mfupa uliomshinda fisi nani atauwezaa, ccm hamuwezi kutuyumbisha ,tutadumu hadi maishaa
@wakwetu2444
@wakwetu2444 10 ай бұрын
Hizi ndoto za mchana tumezisikia sana.
@ibniabdalla4817
@ibniabdalla4817 10 ай бұрын
Pole yako
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 10 ай бұрын
UNASEMA NINDOTO ZA MCHANA KWELI NDUGUYANGU! RUDI KWAMUNGU HATA WAZUNGU WAMECHOKA AFRIKA MAGHARIBI HUWAONI WEWE !
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 9 ай бұрын
Hizi sio ndoto ni mauno ya wazawa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 ай бұрын
Nyie wasaka tonge Urais hampati kamwe wee kaa na maridhiano tu nyie ni ccm namba 22 kuleni ruzuku tu maana ni sheria ya dunia kuwa upinzani ni lazima kuwa chama chochote kilichopo mdarakani pale kinapokosea kisahihishwe nchi za Ulaya zinaweza lakini kwa Tanzania wapinzani wote ni wasaka tonge tu
@msabahaali758
@msabahaali758 10 ай бұрын
jidsnganye sisi tunasonga mbele
@salimsharif6493
@salimsharif6493 10 ай бұрын
Mbwa ww
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 ай бұрын
@@salimsharif6493 mbwa mwenyewe nshenzi kabisa
@muzneali4747
@muzneali4747 10 ай бұрын
Kazi kutia watu chuki mioyoni mwa watu
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 10 ай бұрын
Wewe unamaradhi ya BT
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 9 ай бұрын
Hizi sio chuki bali ni ukweli,labda kwa umri wako huyafaham
@omarissamashaallahpresiden2920
@omarissamashaallahpresiden2920 7 ай бұрын
Una banduliw
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 7 ай бұрын
Kwa kuwa unajaza kapu lako la tumbo ndo mana unasema hivo.Anasema ukweli...chuki mtu hatiwi inakuja kutokana na dhulma anofanyiwa.Acha ujinga
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 7 ай бұрын
Chuki twaziona zikitekelezwa na zaidi ifikapo vipindi vya uchaguzi.Wananchi hawasahau hayo kwani ni majaraha yanayo toneshwa mara kwa mara.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 10 ай бұрын
Tanzania nzima sijaona upinzani wa kuishinda ccm Navona wapinzani njaa tuu
@salyali7807
@salyali7807 10 ай бұрын
Kakojoe ukalale huna mpango
@yussuphsaleh767
@yussuphsaleh767 10 ай бұрын
​@@salyali7807huyu jamaa vipi kwani ccm inshinda uchaguzi? Hebu mwambie ukweli kila mwaka wanapora huku mukiwauwa watu
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 10 ай бұрын
​@@salyali7807😅😅 akalale
@user-ml9sv2kr5e
@user-ml9sv2kr5e 9 ай бұрын
WEWE OTHUMAN MASOUD MUONGO HAYO MANENO YAKO DHAMANA UNAYOIJUWA WW KUOA WAKE WENGI NA KUACHA BILA KOSA HUNA MPANGO WOWOTE
@salyali7807
@salyali7807 9 ай бұрын
Jamaa umechanganyikiwa ?
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 8 ай бұрын
Hebu taja aibu yako
@RajabJuma-qx6ry
@RajabJuma-qx6ry 5 ай бұрын
Madhila si unayafanya wewe Othman unakula neema za seif baada ya yeye kufa ACHA kuwa miongoni mwa waongoza dola ndo utakuwa msafi au ndo unakula kwa urefu wa kamba Yako?
@MohdSuleiman-fw2un
@MohdSuleiman-fw2un 10 ай бұрын
BIG UP tu pamoja Zanzibar bila mamlaka kamili tutazidi kudhalilikaaaaa ❤ LOVE my country Zanzibar
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 10 ай бұрын
Afu nashangaa nyie wazanzibar hiki ndo kilikuwa kipindi chenu cha kuwa na mamlaka kamili angalia ss Raisi wetu uku tanganyika ni mzanzibar alitakiwa ahakikishe ana andika historia ya kutupatia katiba mpya maana ni faida kwake yeye kma mzanzibar rakini namshangaa
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 10 ай бұрын
​@@faustinebahenobi3412mhhh kenge kenge tuu
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 10 ай бұрын
​@@cath-ef7wd😅😅
@hamadKhamis-p6k
@hamadKhamis-p6k 4 күн бұрын
Hao wanayoitetea ccm njaa km sie tu nyie
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 474 М.
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
Serikali ya Dk. Mwinyi yafanya yale yale kwa Wapemba
8:28
Weyani Tv
Рет қаралды 11 М.
Wabunge waja juu kuambiwa Zanzibar ni sawa na mkoa
17:05
Weyani Tv
Рет қаралды 38 М.
Vyovyote wanavyotaka wao, sisi tuko tayari, asema OMO
56:01
Weyani Tv
Рет қаралды 7 М.
KAMATI YA MARIDHIANO SIX JUSSA JUSSA JUSSA 14 APRIL 2014
29:33
Kamati Ya Maridhiano
Рет қаралды 142 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН