Muheshimiwa mo umeitoa Simba mbali sana unastahili kupongezwa, wachache wanaokukwamisha naomba dili nao papendiculer; Simba ikikwama sisi wapenzi tunaumia sana, Bora kumi waondoke Mia tupone, Simba itabaki kuitwa Simba tu mungu akuongezee ujasiri wa kuendelea kuilea simba
@ldngowo Жыл бұрын
Bold underlined and firm statement . Yes lets go for new strategy. Mo is 100 pc firm invester with firm passion. Tunataka wachezaji bora. Scouting team na bodi wawe serious na jambo hili. Wanatûmiza mashabiki. Kwanini best players tunaowataka wanaenda yanga.? Bravo. MO
@francisrobert9652 Жыл бұрын
vema umelijua scouting poor wachezaji zaidi ya watoto wakigeni hamna kitu tafuta kamati ya usajiri watu wa mpira na wewe ufanye utafiti kama Gsm alivyomkabidhi eng herse upigi na wapo watalaamu kocha ni mzuri sana mpeni majukumu la sivyo yanga watatuliza kila siku sisi tunabaki na historia haitusaidii kitu kabisa sioni kama kuna bodi ya ushindi hapo mo washirikishe wakina Rage kibadeni na wengine wazee kama Dalali uone ahughuri itakavyokuwa nashangaa try again kabadilika wakati yeye anaijua simba
Hongera sana MO ni kweli kuna watu wanakukwamisha usikate tamaa BOS
@AboubakarLabu Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu broo toa fukuza hao ambao wanaikwamisha club
@nurumigeyo4625 Жыл бұрын
Nakukubali sana brother Mo Dewj Mungu aendelee kukupa moyo huo huo usikatishwe tamaa tunajua umuhimu wako sisi kama Wana Simba tupe furaha tuondoe stres na Simba yetu na Mungu wa Mbinguni akubarki.
@petermsandawe9336 Жыл бұрын
Shenz shida n kumleta kocha kpofu Wampe tim mgunda kabla hatujacheza Mechi ya mtowano
@youngpozze Жыл бұрын
Mimi ni yanga lakin mo amenifurasha sana big up sa mo
@RajbearyJuma-xb2nn Жыл бұрын
Your really boss broo umetoa nice speech
@KosovoKosovo-vf2gr Жыл бұрын
Safi Sana kama umegundu wapigaji simba wengi wataje na tuwafukuze
@SamweliKigola4 ай бұрын
Pangusa viongozi wote tajiri wanasimba wote tunakutegea baba
@edsonmbwate612 Жыл бұрын
Mawazo yako yatekelezwe kwa usahihi Go ahead
@dominickiungulia1016 Жыл бұрын
Mo ana mapenzi makubwa na Simba! Apongezwe.
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
USAJILI SIMAMIA MWENYEWE SIMBA INAPIGWA SANA UONGOZI MBOVU NA KAMATI YA USAJILI
@ldngowo Жыл бұрын
THAMPS UP TO MO DEWJI
@felixlaislais6561 Жыл бұрын
Hongera BOSS wetu
@dicksonmawinda Жыл бұрын
Boss wetu wa mnyama leo umesema ukweli kabisa lumber umetambua
@loishiyesamwel1374 Жыл бұрын
Mo wewe ni wa Thamani kubwa sana ndani ya Simba yetu. Futilieni mbali hao Wababaishaji wanaotuletea Wachezaji km Watara, Akpan, Okwa na wale wengine waliopo bench.
@roseshayo2120 Жыл бұрын
Shida ipo kwenye viongozi wa usajili pashuhulukiwe
@thabitmgeni8775 Жыл бұрын
MO BABA TENGENEZA SIMBA KUNA WATU AM SO WANAKUCHANGANYA DUA LAO MOJA ASUBINA LWAH WANEMAL WAKIL
@AmaniKasekwa-uw8hp5 ай бұрын
Sisi mashabiki tuna kuamini hawa wanao tukwamisha tuna omba uwa taje waachie ngazi
@elishajonas8159 Жыл бұрын
Kamati yaueajili Simba wapo hapo kwajili yamatumbo yao pigachini hao
MO UNAFANYA KAZI NZURI SANA ,TATIZO WATU WEUSI NI MAJIZI SANA, KAMATI YA USAJIRI NI WEZI VIBAYA ,WANATUKETEA SAWADOGO KWELI!,BANDA,WATARA WA NN.
@lukaszakaria8404 Жыл бұрын
Endelea na moyo huo bro
@jelemykasakuz Жыл бұрын
Wataje 2 tuwajue
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
SAJILI WALE WALIOKO KWENYE TIMU TATIZO LA SIMBA MNAWATAJA WACHEZAJI BORA MNAWAACHA WANACHUKULIWA NA TIMU NYINGINE. NYIE NUNUA WALIO BORA MO FUKUZA HAO WAPO HAPO KUPIGA HELA ZAKO TUU.
@officialkilaga3608 Жыл бұрын
Safi sana
@sharifwilly8466 Жыл бұрын
Bro huna baya simba nguvu Moja Hilo ni onyo wakiludia wataje
@neemabanigwa5596 Жыл бұрын
Nahitaji Mixon luiz
@dianabright1438 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 mixon ndo nani
@hermanmfinasoka9871 Жыл бұрын
Simba nguvu moja ❤
@radynnyagaly3692 Жыл бұрын
Kwanini uwataje si uwatoe tu kwenye nafasi zao.
@magneticfootballtz1607 Жыл бұрын
anaweza akawa hana mamlaka ya kuwatoa ndio maana anasema atawataja mashabiki na wanachama waamue
@KiondoMashaka-dn4fy Жыл бұрын
Mo ni mwanasport na tajiri pekee Tanzania,kuna timu inategeme viongozi wa serikali Yani wanachukupesa ili waipatie hyo timu niyao simba waishushe ktk ramani ya soka
@levislwamba9626 Жыл бұрын
Acha kuongea ujinga wewe,kama huna Cha kuongea si ukae kimya
@dismasimsele Жыл бұрын
Waitara mwita
@ChituThomas-oq6cj Жыл бұрын
Achaungo mo sis wanasimba siyo wajinga wewe tuibia iliuendelee kua kijan tajili lakin kumbuk mpila kwa sas nimaish ya watu