No video

MO DEWJI HELA NILIZOWEKEZA SIMBA NINGENUNUA NDEGE/SIMBA KWANGU NI HASARA/HAKUNA FAIDA

  Рет қаралды 51,477

JEMBESPORTS

JEMBESPORTS

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@davidkabungo1192
@davidkabungo1192 5 ай бұрын
Mungu akupe nguvu ya uvumilivu na akubariki.
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 4 ай бұрын
Inauma aisee,anaongea kwa uchungu mwingine hawezi kujua uchungu anaopata Mungu akucmamie ktk yote 💚💛💪💪💪jipange tafakari,chukua hatua
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s 2 ай бұрын
Mwekezaji anaapa kwa jina la mama yake mzazi kwamba walipofungwa na Raja alilia🤣🤣🤣🤣🤣
@molenicharles9107
@molenicharles9107 Жыл бұрын
Wachezaji...nyinyi akina sakho..Banda nk...kazeni matako boss anaumiiaaa🤓🤓😭😭
@FatnaAlly-hp7kw
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Allah ni mjuzi wa yakini
@ruseremagu7823
@ruseremagu7823 4 ай бұрын
Hama uingie yanga
@kulandera2020
@kulandera2020 Жыл бұрын
Ndugu yangu Mo chagua watu wanaoweza kupoint wachezaji Bora . Kuna watu wanakudanganya kwamba nakupakazia mabaya I'll wasipate nafasi ya kupoint wachezaji safij hata viongozi wa Zamani wanaweza kusaidia club kupata wachezaji safij kuwa macho na happy was karibu.yako
@nsubiraphael8514
@nsubiraphael8514 Жыл бұрын
B,1 ni pesa ndogo bahi hapo ni mchezaji mmoja tu you so misery toa pesa nunuq wachezaji la sivyo iache club huna target za maana wachezaji manzoki mil450,wewe ni geugeu huna mapenzi ya dhat
@elizeusmbaga8568
@elizeusmbaga8568 Жыл бұрын
L
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s 2 ай бұрын
Anasema anatoa pesa ili kuwapa furaha madunduka na sio kufanya biashara ili apate faida hapohapo anasema anapata hasara...halloooo!😅
@user-uf8ng7bc5o
@user-uf8ng7bc5o 3 ай бұрын
bos mo watu ao wapo.kingine bos mtu sahihi kwako ambaye anaweza akatumia ela zako unazo toa kwa jili ya usajili ni babra.ao wengine wapigaji tu.mludishe babra
@user-ej6sw7go1n
@user-ej6sw7go1n 4 ай бұрын
Hauna kazi timu imekushinda
@user-jc4mm7vs9x
@user-jc4mm7vs9x 3 ай бұрын
HIYO PESA BODI YA USAJIRI SIMBA NI WEZI WABAYA SANA,ACHA KUTOA PESA WEKA WATU WAMINIFU AU NUNUA WACHEZAJI KWA KUSHIRIKISHA KAMATI YA UAMINIFU.
@abdallahkassim8600
@abdallahkassim8600 5 ай бұрын
Nakama unatoa pesa hupati faida basi ungeliachana simba ww kwli ule hasara ubaki nayo sio kwli
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 4 ай бұрын
Jamani msichukulie poa kuendesha timu nyiee,chunga sna usiombe yakukute,usilolijua ni sawa na ucku wa giza
@molenicharles9107
@molenicharles9107 Жыл бұрын
Kwa Hali hiyo... boss unapigika kibabae😭😭😭
@hawamohammed6939
@hawamohammed6939 Жыл бұрын
Kama Unapata Hasara Wacha Fanya Mambo Yk Waachie Simba Yao Wameshindwa Watu We Utaweza Kajenge Msikiti Toa Kwa Mayatima Wajane Wazee Wekeza Kwa Mungu Usiwekeze Simba
@JenniferNgata-gy5pc
@JenniferNgata-gy5pc Жыл бұрын
Nasisi Tunakupenda na tunakuamini
@maase2023
@maase2023 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni fix sana anapata pesa nyingi simba na kutangaza biashara zake bure Kisha anadanganya eti anapata hasara
@abdallahkassim8600
@abdallahkassim8600 5 ай бұрын
Badoo kuapa kw kiapo cha mama yk hicho hakijakua kiapo ungeliapa na Mwenyez imungu hapo negekuami
@mishlay8164
@mishlay8164 9 ай бұрын
Wewe Mo ndiyo tatizo maana huwa huaminiki , na hauko kwaajili ya kuisimamia Simba . Kama ni kweli unasimamia hi klabu ya simba , kwa nini usiwe kama GSM ??
@abigailnyaki1235
@abigailnyaki1235 11 ай бұрын
Mmmmh 😢
@tzasafaritv9937
@tzasafaritv9937 Жыл бұрын
Kwenye hili la kuendelea kuwekeza huku unafahamu fika unapata hasara, inahitaji mjadala mpana sana wa ripoti ya mapato na matumizi kuthibitisha hili, lakini kiujumla/uhalisia ni kwamba Ni MTU mwenye mapungufu ya akili pee ndiye anayeweza kuendelea kufanya biashara huku akitambua biashara hiyo anapata hasara, imethibitishwa na analysis za kiuchumi, kisayansi na hata kiutamaduni wetu
@dennisngonyani1795
@dennisngonyani1795 Жыл бұрын
Hivi huyu ni Mo.... au Mudi!!!!!!!!..... Kwa kiswahili anachopiga atakuwa Mudi tu huyu ... Huwezi kukuta Mo ye yote duniani anaongea kiswahili au analialia kwenye gari 1. Mo Ibrahim 2. Mo Salah na 3. Mo Naniliu.... Hawa wote hawalilii...na ukiwahoji hawakwambii awakwambii waliwahi kulia Lia ndani ya gari
@zitarobert
@zitarobert Жыл бұрын
Kweli bosi wewe unaipenda simba kwa dhati
@hawamohammed6939
@hawamohammed6939 Жыл бұрын
Wekeza Kwa Allah Usiwekeze Simba Zinduka Wacha Ujinga Ukiwekeza Kwa Allah Utayakuta Ukiwekeza Simba Utaingia Motoni Fiinar Jahhanam
@ackleylabel
@ackleylabel Жыл бұрын
Wanapga kisawasawa
@sanda960
@sanda960 Жыл бұрын
Fanya utafute scout wazuri wakutafutie wachezaji. Bila Hivyo utaenelea kupoteza
@AndrewKomba-on8hh
@AndrewKomba-on8hh Жыл бұрын
Mo ujanja ujanja angalia GSM anavyo fanya kimya kimya lakini maneno mengi timu hamna kitu maneno mengi badilika mkuu aibu
@ephesongailo8564
@ephesongailo8564 Жыл бұрын
Zike 85 B zlikua za mchongo? Leo 50 B duuuu? Ila hata hivyo una moyo maana hata ingekua zingekua milioni 100 n nyingi.
@leonardwluchagula9818
@leonardwluchagula9818 Жыл бұрын
Xix mashmbki 2naumia kwa matokeo hay ya kila sik
@pendolingi9055
@pendolingi9055 Жыл бұрын
Msimlaum mtu tatizo kocha
@AminaSelemani-ps4uk
@AminaSelemani-ps4uk Жыл бұрын
Utafa na makolo
@ackleylabel
@ackleylabel Жыл бұрын
😅😅😅
@hawamohammed6939
@hawamohammed6939 Жыл бұрын
Bora Pesa Hizo Ungejenga Msikiti Kesho Kiyama Utaulizwa Utajiri Wako Uliutumiaje Unajibu Nilikuwa Nnawafadhili Simba Ww Fiinar Jahhanam
@KulwaMasaka-br5wf
@KulwaMasaka-br5wf 9 ай бұрын
Utoketu wewe taperi kamamataperi wengine t tokaa
@magrethcostantine9223
@magrethcostantine9223 Жыл бұрын
Nyoko pesa ya mo inakuhusu?kaza mapumbu yako, achana na simba
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 Жыл бұрын
Sasa Kama Ni hivyo ninani anayeivuruga Simba ??
@jamesmohamed4612
@jamesmohamed4612 Жыл бұрын
Wal hoi mn mneno meng kw boss
@leonardwluchagula9818
@leonardwluchagula9818 Жыл бұрын
Iche timu kama hupati faida wew muogo 2
@user-tb7ho4ct7f
@user-tb7ho4ct7f Жыл бұрын
Mnafiki humor
@AndrewKomba-on8hh
@AndrewKomba-on8hh Жыл бұрын
Kama unapata hasara ni ripot Gani imefanyika aa unaboa sana
@amanisewando529
@amanisewando529 Жыл бұрын
Acha timu kama unapata hasara acha kung'ang'ania
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 52 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 46 МЛН
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 19 МЛН
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00