Msokua busy na kusali wallah 💔💔mwatuaibisha dada zetu wakiislamu ata sjui ulimwengu unfikiapi😭😭💔💔
@Ruqqayah-r5y4 күн бұрын
Wanawake wa kenya, wengine mumezidi jamani, badili mshindane na kutoa mawaidha na kuuliza maswali za kiidini za kislamu, yenu ni mambo ya pono tuuu kila kukicha, bac Ramadan iko karibuni lnshaallah, subhaallah
@AtifaIslam-t6g4 күн бұрын
Wapumbavu sana yani haki midomo mipana kama mashimo ya vyoo.jinga sana na uyu amali yuajionasana ajapatikana haki walio liliwa pesa walimchekea upuzi wote awaongei.mambo mengine upumbavu tu na kusambaza ujinga wabara wafanya maendeleo nyinyi ypumbavu
@saidasaleh64514 күн бұрын
Kweli maneno yako sisawa mwanamke wa kiislamu kujiweka kwa mtandao muogopeni mungu kifo akiagi
@ZainabOmar-z5w4 күн бұрын
Subhanallah
@Ruqqayah-r5y4 күн бұрын
tumechoka kusikiza video za pono,zikiwa kwa mtandao,jamani sahi twataka kusikiza maswali zikiulizwa wa2 wakijibu wakipewa zawadi,acheni kuaimbisha nchi ya Kenyan na habari za pono, mnatia masheikh zetu aibu,
@virginiamutisya62164 күн бұрын
KUNANI MOMBASA
@Ruqqayah-r5y4 күн бұрын
Wenye hizo video za pono, watajua wenyewe cku ya kiyama, na matendo zao maovu,ni wa2 wazima hao,kwani hawajui kma ni aibu, kukicha habari ni za pono tumechoka jamani na aibu