Best rapper in Bongo kwa sasa. Au East Africa kabisa?
@podinkonline86399 ай бұрын
Kwa dunia anashika namba kumi
@phinaphina32013 ай бұрын
Hii ngoma kali sana
@phinaphina32018 ай бұрын
This that shit. Nimeiskiza over and over again. A hood classic.
@karimmakinda1029 ай бұрын
Khaligraph alishawaambia kuwaambia kuwa Bongo HipHop imelala.. wakakurupukag Marapper kibaao kumpinga alaf wakalala tena.. Broo Umewaamsha tena na wew na wewe ni wa ndani ya border coz Khali walisema ametukosea kwakuw alivuka mipaka.. Nagojea atakae anza kuijibu HipHop_is_Dead na yey tumsikilize mpk tumuelewe we ushaeleweka.. #Moni_Centrozone 🤝🤝
@johnrichard54829 ай бұрын
Siku hizi Wanao-hit ni WANNA MAN GANG...✍️😎😎😎 #monicentrozone 🎤🎵 #Workhard 💪💪💪 Kwa UFUFUO WA HIP HOP BONGO
@revocatuserasto29739 ай бұрын
Wasanii wa. Hip hop Waapa bongo mwamba namkubar Sana namwelewa kinyama🤜
@75Hunchomusic9 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉mfalmee mwenye ufalmee wakee duniani na MITAANI ...#domcirtbro
@audimakongoro9 ай бұрын
HipHop ni dude flani kubwa hivi: unaweza ukasikia HipHop imekufa alafu ukaenda msibani akakuta HipHop ndio inapokea wageni na kuwafariji wafiwa na mpaka ikasoma wasifu wa marehemu.
@Qaiser2779 ай бұрын
😂
@vitusmfumya7 ай бұрын
What a comment.
@siasazaafrikanaburudani17127 ай бұрын
😂
@nikkimbishiunju24029 ай бұрын
Hip Hop sio muziki ni culture bro.
@stapinuswilliam8609 ай бұрын
#hiphop is live
@danielkenedy43579 ай бұрын
For real
@ShaqueeBlackrapper9 ай бұрын
Hapo amechemka HIPHOP n vile tunaishi Rap n vile tunafanya, LABDA angesema Rap music is dead na imedead kwake...
@brianmshanga80799 ай бұрын
Word
@bongeone9 ай бұрын
😂😂😂😂
@MkuyuMasanjo-ib6pn9 ай бұрын
Hip hop kama hip hop napenda sana izi ngoma respect sana malume
@Torono_959 ай бұрын
Hata hii ngoma imekufa pia...sababu pia nayo ni hip hop
@hassanihussein27319 ай бұрын
Home boy malume daaaaaaah Hatari sanaaa
@anoldkivuyohiphopmc19579 ай бұрын
True say media nyingi nowadays amapiano tu ,hiphop inabidi wasanii wenyewe mu ogarnize show zenu maana bila kuwa kitu ki Moja mtakufa maskini bila kuacha legacy,
@godblessluvanda98089 ай бұрын
Wapiiii DIZASTA VINA,,,,sio Vase 🎤 3,,,,ni mwendo wa dk15,,,,,,,, hip hop 🎧🎤 for life
@The_Mad_Philosopher6 ай бұрын
Dakika 20 😂😂😂😂
@kennethbenjamin2759 ай бұрын
Hiphop haifiii Nyie endeleeni kujiona mpoo
@antonymodestus28729 ай бұрын
Hip hop never die brother akili yako mbovu kama ulivyo mbovu kwenye muzik inanipa wasiwasi wawezua mtoto sio ridhi
@GwamakaMwandeko-qk7hy9 ай бұрын
🙌 kwa wasio wana hiphop hamwez elewa alichokisema brother Moni na ndio ukwel kama unabisha muulize hata Khaligraph Jones na hii sio bongo tu ni dunia nzima. Lkn tuliozaliwa nayo tuitunze tu hii ndio asili yetu ukwel usemwe tu. Much respect bro @monicentrozone
@Thedonrboysuper_tz9 ай бұрын
Respect for you manigger mon nakubali sana hip hop is dead🔥🔥🔥
@N0RBETHMPOLOSI9 ай бұрын
Hiphop haijafa waimbaji wa Hiphop ndo wamekufa na wewe ukiwemo
@chenge32239 ай бұрын
Ukiacha coniboi na chin bees huyu jamaa nomaa
@dostovan51429 ай бұрын
Chin bees hamna kitu
@pedebway9 ай бұрын
Hii itawafanya wasanii wa rap wakumbuke ni wapi wanafel salt moni kwa ngoma kali🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sudiwambili37319 ай бұрын
Hip hop is more than music ..know that hip is knowledge hop is movement..
@Jamal11-t7r9 ай бұрын
cjui nn niseme kuhusiana na uwezo mkubwa wa moni🔥, broo noma sana
@Shifourlunya999 ай бұрын
Majengo soko sana kaka umetish hip hop for life 🌟
@abrahamagapith46649 ай бұрын
Hip hop is not dead shida nyinyi wenyewe watu wa hip hop usela mwingi😂 hata shoo hamuandai za hip hop
@starlonelwila25969 ай бұрын
Likee zanguu kwa malumeee
@bakari-si1pw9 ай бұрын
Dah noma sana Yeah true👂🔥🔥🔥🔥🔥
@barackmzuru25269 ай бұрын
naqubr wakukaya ukweli lazima usemwe tu, show love kwa malume❤❤❤❤
@mavindu139 ай бұрын
Love from Kenya, will be playing this on high rotation
@fredysanura54129 ай бұрын
Hip hop ni utamaduni Ina misingi na Nguzo ila elimu ya wasanii wengi bongo wanazani hip hop Ni kuchana tu 😂😂😂😂 Wana hip hop tunawajua bhana
@BundimnyamaBm9 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 NDIIIO BLOOD
@abbythebrain70439 ай бұрын
Hip hop haiwezi kufa utakufa ww ww ni rapper sio emcee arafu hip hop ni culture hujui kuchana
@Mpongobhivadenga9 ай бұрын
Wewe mwenyewe baaada TU ya kutoka huwezi Tena na hutaki ata kuja kutuchania majengo kwanini unachangia kuuwa hip hop
@zerobudgetemcee83639 ай бұрын
Msenge kweli wewe yaani HIPHOP inakufaje mfano hebu nitajie kifo chake
@perfectbarschapter70519 ай бұрын
Mdogo wangu kumbe Ganja unazokula zinakutia uchizi tu....unatafuta kiki
@hevyjuma75899 ай бұрын
For real Kwa Kuangalia trending, uwekezaji na streaming hip hop is dead
@WaragaTz9 ай бұрын
Uko sawa vichwa panzi miaka mia hawawez jua utambuzi pia nikipaji
@mosesabdallah81669 ай бұрын
Kazi nzuri wazo zuri Umetembea poa pia kwangu nakubaliana na wew ❤❤❤
@nwntz9 ай бұрын
Magang yanaua sana sanaa, hip hop rapers dead, but hip hop still alive
@AmaniDaudi-d9j9 ай бұрын
Naombeni mkaskilize nyimbo ya Roho 7 nakupenda hiphop
@severinkiria5919 ай бұрын
Motra sio kuchana tu anaonekana anajua adi ngumi ilaa ajawahi shika ata milioni kumi😂😂😂
@3malis9 ай бұрын
Haha! Self defence
@chibo6669 ай бұрын
Mon hii ngoma kali sana kaka Goodluck sana❤❤❤ Skuiz wanaotrend ni wana man gang* hili pini kaka🚀🚀🚀 Muacheni ajisifie mdogo wangu mbuzi🚀🚀🚀🚀
@aligomatumla29309 ай бұрын
Bro we wamaxkan xema nnn hip hop iwezi kufa milele imetutoa ujiga xan watt wamtan naww apo ukiwepi Koo zigatia itifaki Kaka tuwamshe xio ule uchoko kisa teali Mia miambili. Unazi xio kweli bro nyie ndo walim wacc watt wamtan tulio kataa Tama zigatia man
@cosmastitus11659 ай бұрын
HIP HOP NI MSINGI bro Kama ujui kamuulize HASHIM MDOGO
@guzmankweka11089 ай бұрын
majengo sokoni ni 🔥 📛 👩🚒
@stanleymartin29439 ай бұрын
Kweli imepotea kabisa
@acraba75689 ай бұрын
Black saint is gonna break this down in this week......we boys don talk bout nothing ....we never dead .u are dying Centro Moni mm ndio central T.😢BUT NO HARD FEELING NA WALA HAITOKUA DISS TRACK N ZAWADI KWENU MNAOJIONA MAINSTREAM
@swaggerizedninjagoseprocom85239 ай бұрын
Mtu Kama montra sio kuchana tuu anakua mpaka Nguni,ila sura yake inaonekana hajawai shika hata 10M.😅😅😅😅😅😅😅
@andrewmbwiga13899 ай бұрын
Wambie baba 👏👏👏👏
@YohanaPetro-xv9tp9 ай бұрын
Ukweli Ingawa utapingwa Ila Na Wewe Ulikuwa Wapi Make Na wewe ni HIP HOP kabla Ya Hii ngoma Ulio Itoa
@paulolujuo61009 ай бұрын
ANAYE TAKA KUJIBU HII AJE NA VERSE 3🔥🔥🔥
@Nuhduke-zc2zj9 ай бұрын
Hip hop is not bout business and trends!! Hip hop imekufa rohoni kwako broh... njoo mitaani kwetu uone jinsi Hip imekuwa culture kila kona ni @ dizastavina @conboi @songa @stereo @nikki mbishi na underground artists kibao jinsi mtaa unawapa sikio na sio media zenu uchwara!! #HipHopisstillalive #Tamadunimuzik
@atenionesmo_A108 ай бұрын
oy umeongea fact
@kasimukasembe46869 ай бұрын
Hata kwenye mkwanja HIP HOP IS DEAD
@albartdastani34129 ай бұрын
Oyiiii majengo sokoni
@JoelIsack-c4q3 ай бұрын
Hapa tumpinge moni hip-hop haijafa like 👍
@singasinga26639 ай бұрын
The most underated rapper..Moni we mnyama sana
@ramadhanhija2299 ай бұрын
Malume dom town🤛
@fredrickkakila93928 ай бұрын
tatizo kila mtu anaye rap watoto wanahisi ni mwana hiphop, wengine ni vipandikizi tu,real hiphop is not on radio,hiphop is culture,
@gun60jgt409 ай бұрын
Umeua sana majengo sokon ❤❤❤❤
@georgeisrael54679 ай бұрын
Hip Hop haiwezi kufa maana hata wewe umeikuta
@buruanisaidi24119 ай бұрын
Hatujui kingenge tunamsakazia wakazi
@Pure-life2559 ай бұрын
Always malume #watoto wa mjini wanaelewa
@johmakaya77499 ай бұрын
Umeuwa kimaku 🔥🔥
@EspoirMubalama-jy4lf9 ай бұрын
Nakubali🔥🔥🔥
@malane74249 ай бұрын
Real talk 🚀💰✌️#hiphopisdead
@Aidansimwanza9 ай бұрын
Mtoto huyu anamtafutaga Roma,, Roma ni another level son
@isayajoseph149 ай бұрын
Kila mtu Ana ladha zao ila mm nampenda sana huyu
@joackimmbonde41259 ай бұрын
Talk Talk home boy.
@derevamsomi9 ай бұрын
tunamsiba ww busy na hiphop
@amphotericktanzania88119 ай бұрын
Tatizo ni KITAULO kikamponza Diarra
@kelvinaron97679 ай бұрын
This hits hard🔥
@montanablaww16649 ай бұрын
Kweli hiphop is dead😂🙌🙌🔥🔥
@MiaTheLathini9 ай бұрын
Nakujibu soon😎
@tamimumzamilu27269 ай бұрын
Anaepinga hii bc ni fala....... Ukweli mtupu
@rogerslwitiko39159 ай бұрын
Keeping good content alive 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Bandugu-b5p9 ай бұрын
Hapa kachokozwa Motra the Future, hii vita itakuwa mbaya sana 😂
@trendingfootshorts9 ай бұрын
mnaojiita new rap is no maandalizi ndoomaana mnaishia dakika 10 maangamizi🔥🔥🔥
@MiltonTsuma-ml8ei9 ай бұрын
Chamizinga hadi chakazi jua LA utosi😂😂😂
@felixgasper9 ай бұрын
Malume🙌
@aimarmacaveli9 ай бұрын
Usione maisha kama punishment, Na sio kila pesa nd'o umepata ni ya wasichana....HIP HOP ND'O HII kzbin.info/www/bejne/rnbdZKSGfsuoiLMsi=Hx16oN47XORLmdjf
@SadatHassan-b7c9 ай бұрын
Woyoo woyooo woyooo!
@CbmCannabino9 ай бұрын
Wewe ndo unaua hip hop may be
@sadiquemajuto64359 ай бұрын
EAST ZOO THE CAPITAL IT'S IN YOUR HANDS GANG ❤
@Daudigamingtz9 ай бұрын
Everyday lazima nimsikilize #maleme na #Dizastavina ❤❤❤🎉
@BabaMalcolm9 ай бұрын
Moni hauna kituuu 😂😂
@remmybrown18549 ай бұрын
Dah! Hiingoma nikali sana Aisee
@Jacksonkutusha9 ай бұрын
Mon 🔥🔥🔥🔥🔥
@perermoshi92449 ай бұрын
Daha Malume Sikupindi🎉
@agustinopaulo84169 ай бұрын
Kumbe usina mahala miyangu
@youngrapaboy9 ай бұрын
Malume fuego
@dmoreviva53149 ай бұрын
ATI ngosha wanamann😂😂😂😂
@hamzanambole73889 ай бұрын
Hiphop haiwez kufa we dogo kenge
@AmericanoTZ9 ай бұрын
some of us few keep it real
@BenjiePerfect9 ай бұрын
East zoo ipo mikono salama homeboy #Malume
@EmanuelBlassy-uz4gm9 ай бұрын
Imekufa kwako na redio zako mbao wee dogo
@charleschanjarika93099 ай бұрын
Hip hop ni maisha halisi ya wewe , mimi na yule sasa ukisema Hip hop imekufa sikuelewi au unamaanisha dunia imeshaisha 🤷🏾♂️
@aaronb_2559 ай бұрын
GB bukuuu😁🏆
@Travis_lainer9 ай бұрын
Umri ni mdogo ila ki upeo NALETA MCHANGANUO
@mailonitz49019 ай бұрын
Mlimkasirika omollo alivyowaambia ukweli leo mnajisemea duh
@kwapuboy9 ай бұрын
My Brother Malumeee👑🔥
@noelphilipmollel63559 ай бұрын
Umekufa wewe....nyimbo yenyewe mbovu...husikilizi mara mbili...