Moses Moses nalia hakika nalia machozi sana!! Niseme tu yakwamba nakupenda hukohuko ulipo naam ni Mbinguni!! Haleluyaaaaaaaaa mpaka dunia yote isikie. Ameeeeennn
@WitnesMumbulu14 күн бұрын
❤ hallelujah mungu ni mwema ❤nimeipenda iyo
@floradavid5216Ай бұрын
Amen Mungu naomba kufanana Yesu Amen
@MarthaNgwina8 ай бұрын
Nakupenda Yesu, asante kwa kuniokoa, daaa naikumbuka hii siku nilikuwa uwanjan
@VeronickaJanes11 ай бұрын
Akika MUNGU ni mkuu Kwa wale wote wanaomtumaina amen
@elisantennko82225 жыл бұрын
Shukran Sylas tv ku repost, ili mradi tunawafikia wengi.Ubarikiwe.
@Werema37603 жыл бұрын
Jaman nampenda huyu mzee japo hayupo
@sophiamogitu5583 жыл бұрын
Jamani mpaka Raha, nasikia vizuri
@ShorasticaSalanje9 ай бұрын
Nmebarikiwa sana
@DanielMbenaАй бұрын
Watumishi wa MUNGU waliotutangulia mbele za haki 🙏
@gospelsuppoterstanzania32729 ай бұрын
❤ utukufu kwa Kristo Yesu
@helenbahati80382 жыл бұрын
Hallelujah sifa kwa BWANA
@Dumelanyanimweusi5 ай бұрын
❤❤❤
@biblianenolaukweli56163 жыл бұрын
Mungu nimwema kabisa afu ninasikiya furaha sana
@bonncharles31122 жыл бұрын
Napenda sana huyu mtu wa mungu..
@anthonyzambi44154 жыл бұрын
Bwana Yesu Mwema, mwaka gani iyo ilikuwa?
@priscadaniel74 жыл бұрын
Nataka kufanana na we we ✌
@ushindimwakipesile19695 жыл бұрын
Asante Yesu, ni nataka kufanana na Yesu maisha yangu yote.