@officialactwazalendotv BAADA YA UKIMYA WA MDA MREFU Ndg MANSOUR YUSSUF HIMID AONGEA MAZITO

  Рет қаралды 5,839

Vuga Online Tv

Vuga Online Tv

Күн бұрын

Join this channel to get access to perks:
/ @vugaonlinetv
#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Channel Rasmi ya Chama Cha ACT Wazalendo Habari zote kuhusu Act Wazalendo utazipata kupitia channel hii
Usipitwe na Habari Moto Moto Kutoka Katika Chama Chet Cha ACT Wazalendo makala Tofauti Tofauti Habari nyengine nyingi Kuhusu Chama Chetu Utazipata Hapa
#actwazalendotv, #siasatz #zittokabwe #jussa #mazurui
Chama cha ACT Wazalendo kilianzishwa mnamo mwaka 2014 na ni chama kinachoendelea kukua kwa kasi nchini Tanzania. Sisi ni vuguvugu lenye lengo la kutengeneza Tanzania huru, yenye maendeleo na mafanikio ambayo misingi yake itakuwa ni uhuru, uwajibikaji, na uwazi.
Dira yetu ni kwa Tanzania kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kupitia:
1.Kujenga uchumi shirikishi unaoshamiri na wenye kukua na kuweza kutengeneza ajira.
2.Miundombinu imara inayochochea sekta zote za uchumi unaokuwa.
3.Upatikanaji wa elimu bora.
4.Upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wote.
5.Kujenga taasisi ya polisi huru na inayozingatia taaluma ili iweze kuwahudumia na kuwalinda watu wote.
6.Muungano wenye kuweka maslahi ya watu wa pande zote mbele, wa haki na wa usawa utakaowekewa msingi wake kwenye Katiba ya watu.
7.Vita dhidi ya rushwa na aina zote za ufisadi.
8.Utoaji wa hifadhi ya jamii iliyobora kwa wasiojiweza, masikini na watu wengine wasiojiweza.
9.Makazi ambayo watu wanaweza kuyamudu, na kupatikana kwa wote.
10.Upatikanaji wa maji safi na salama kwa watu wote.

Пікірлер: 19
@AllyFaki-w6b
@AllyFaki-w6b 2 күн бұрын
hongera viongozi wetu tuko pamoja ila mara hiii tufe sote lakini na ccm isibakie ife tuuu
@solomonadams6337
@solomonadams6337 5 ай бұрын
Wambie tunaeka roho zetu kwa kuvigomboa visiwa vyetu,Ameen🤲
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 ай бұрын
Hongera kwa kuzungumza kwa Ushupavu.
@HalimaSaid-jl5hq
@HalimaSaid-jl5hq 4 ай бұрын
Huna jipya mansour,mpk umeota mvi ktk ndevu
@JumaMkiji
@JumaMkiji 4 ай бұрын
Atawewe utaota mvi vilevile
@hamudseif
@hamudseif 5 ай бұрын
Uyu mwamba simskii kutaka uongozi ktk chama
@JumaMkiji
@JumaMkiji 4 ай бұрын
Wewe nikiongozi jasili
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 5 ай бұрын
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kizikwe Kama Afro-Shirazi Party.
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 ай бұрын
Kumbe ndio ajenda yenu hiyo hahha kuiua CCM duh
@abuubakarjuma3230
@abuubakarjuma3230 5 ай бұрын
Napenda kuliza kwann tunatumia jukwaaaa la siasa kwa kudai mamlaka ya zanziba hivi tunadhani tunaweza kufanikiwa
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 ай бұрын
Waambieni Wanaoletwa kutoka DODOMA, kuwa WAZANZIBARI wanataka nchi yao, hawawezi kutawaliwa na Mkoloni Mweusi TANGANYIKA.
@nassorseif7907
@nassorseif7907 5 ай бұрын
Kwanini Manaour hagombei nafasi za juu za chama?
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 5 ай бұрын
Mansour anafuata nyayo za babu yake.
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un 5 ай бұрын
Lengo-ni-kuigomboa-nchi-na-sio-kugombania-uongoz
@abuubakar7594
@abuubakar7594 5 ай бұрын
Ukifika muda anaotakiwa atagombania inshallah
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 ай бұрын
Huyo anaitwa Mansuri Youssuf Himidi Nb :Huyo ni CCM nipo paleee nakuskilizieni Mjuba
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 ай бұрын
Sasa Mnasema mnataka kuiua CCM heh !!!Sasa hiyo inaonyesha kuwa mkipata Serikali itakua aje
@MusyangiMatoti
@MusyangiMatoti 5 ай бұрын
Kwa Kauli hii utagundua lipo jambo gumu sirini, HEKIMA ITUMIKE.
@saidmakombeni5155
@saidmakombeni5155 5 ай бұрын
HUYU NDIO AWE MGOMBEA URAISI , omo mwepesi
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 4,3 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
"Surrender or Starve": Israel Weighs Plan to Liquidate Northern Gaza
13:45
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 60 М.
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН