MPINA AMNG'ANG'ANIA TENA BASHE/AMTAJA MWABUKUSI KUMUONGEZEA NGUVU MAHAKAMANI

  Рет қаралды 15,739

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 2 ай бұрын
Mungu akulinde Mpina ❤❤
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 2 ай бұрын
MPINA MTAM JAMANI MPINAAA WE LOVE Y MAN OF GOD.❤❤❤
@hornpesa
@hornpesa 2 ай бұрын
Unafaa kuwa Rais kiongozi wetu!
@masambullajamessamson2546
@masambullajamessamson2546 2 ай бұрын
Mpina mungu akutagulie utafka mbali mungu akusimamie tk1
@OwenShoo
@OwenShoo 2 ай бұрын
MUNGU akubariki broo ww ndyo pekee mwenye akili huko
@yahayaramadhani6418
@yahayaramadhani6418 2 ай бұрын
Ukweli Mpina hakutendewa haki, Spika alikurupuka kwani Bashe sikiongozi mwadirifu ila analindwa lakini nimpigaji tu huyo nasisi huyu mbunge wetu tunamuunga mkono sana, japo wanampania kuja kumkata jina lake kwenye vikao vya Chama wakati wa uchaguzi, nasi tunamuombea Mungu tu kwani Ccm niyakwetu wote.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 ай бұрын
Sina uhakika kama mahakama itasimama na haki wananchi, ama chama cha CCM Tunangoja kujionea
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 2 ай бұрын
Safi sana Mpina Mzalendo wa kweli sema ma CCM men zako majizi yaani aibu kubwa kwa serikali ya ccm hadi Bunge lilitetea huu ufisadi ccm😢
@winstonmwalukasa831
@winstonmwalukasa831 2 ай бұрын
Huyu mpina ndo moja ya mfano wa anavotakiwa kuwa mbunge ndani ya bunge,watz wana imani na Mpina
@abrahamsamweli-wg8ck
@abrahamsamweli-wg8ck 2 ай бұрын
Nakuelewa sana
@selemsigala4771
@selemsigala4771 2 ай бұрын
Mpina Mungu akutangilie na kukulinda dhidi ya majizi na mafisadi wazalendo tuko nyumayako naamini Mungu atasimama nawe 🙏
@sultanNassor-c3v
@sultanNassor-c3v 2 ай бұрын
hongera mwana halisi
@barakakafurike2011
@barakakafurike2011 2 ай бұрын
Mhuu
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Mahakamani ya tz hakuna haki maana siasa imeingia ndani
@bakaribakari167
@bakaribakari167 2 ай бұрын
Siasa TU, lkn unatafuta kuingia kwenye mfumo TU huna lolote mpina kwanza hawakujui umewadhulum wavuvi mali zao na mafaini ya ajabu , ungekuwa hujawa kiongoz sawa
@SilahMasima-pi7bn
@SilahMasima-pi7bn 2 ай бұрын
Pamoja sana luhaga tumechoka na wanafiki
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 2 ай бұрын
Yani tungekuwa na wabunge 100 kama mpina hii nchi ingenyooka ila kwa stail ninayoiona sasa hv nchi inavyoongozwa duu kama.kina job ndugai wanashangaa ambao washakuwa ndani ya mifumo ina mana nchi imeoza ni basi tu hatuambiw mara chadema wanawekwa ndan anapigwa huku tunadangangwa kuna R nne za rais jaman sis so wajinga bana tuna akil ila iko siku si mmeona kenya anzeni kutia maji
@AbdMohamedi
@AbdMohamedi 2 ай бұрын
Bashe Hana huruma na watanzania
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 2 ай бұрын
Mi namwelewa mpina TU!
@gerevasliyunga9831
@gerevasliyunga9831 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@FedyKafyulilo-iz2nw
@FedyKafyulilo-iz2nw 2 ай бұрын
Mpina ni mbunge mzuri sana
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 2 ай бұрын
Tanzania tunambunge mmoja tu Luhaga mpina
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Mpina hama Ccm huko kumeoza hat bungeni si umeona
@josemalley1691
@josemalley1691 2 ай бұрын
Wewe na mwabukusi nawaelewa saaaana
@ernestamani4568
@ernestamani4568 2 ай бұрын
mpina anatafuta umasikini ulipo kana kwamba hawajui ccm michezo yao
@aloycesamba998
@aloycesamba998 2 ай бұрын
Mh.mpina huwa nakuelewa sana maana huwa huyumbishi maneno pokea 🥀🥀 yako mapema
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Syo bashe tu na mwigulu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Kweli
@barakakevela245
@barakakevela245 2 ай бұрын
MPINA HONGERA SANA HUYO BASHE NI MWIZI TUU
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237 2 ай бұрын
Watanzania wengi hawajui kabisa unyeti na ukubwa wa sugar scandal. Afrika Mashariki yote bei ya sukari Tshs 1,500/= Watanzania tunauziwa Tshs 4,000/= kwanini? Itaagizwaje sukari toka nje wakati ipo ya kutosha hapa nchini? Matokeo miwa ya wakulima hainunuliwi wananchi wameingiwa na umasikini. Kodi ya sukali iliyoagizwa haikulipwa/imesamehewa, iweje wananchi wauziwe shs 4,000/= kwa kila? Hii ni hujuma mbaya sana kwa Watanzania hakika.
@DAVIDJOSEPH-u8r
@DAVIDJOSEPH-u8r 2 ай бұрын
Ndugu hizo wanapiga wakuu wanch
@YassinRajabu
@YassinRajabu 2 ай бұрын
ukitaka kilimo mpe msomali 😂😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Yassin rajabu wee😂😂😂😂
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Ooh allah angalia mola wangu kila pente haki itendeke
@AllyFaraji-r4y
@AllyFaraji-r4y 2 ай бұрын
Umeshinda kesi yupo mwabukusi uyo mtu siyo mtu mzuli ktk kudahi aki
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 2 ай бұрын
Mzalendo tz mkweli
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Kwani kuna kiongozi alie juu ya sheria? Wacha Wenye haki walindwe na Mungu
@rejobu9723
@rejobu9723 2 ай бұрын
Mpina kwa ccm inatosha maana ni chama ambacho kimechoka kwa sasa tunahitaji nguvu mpya
@EmmanuelStephano-xz6zh
@EmmanuelStephano-xz6zh Ай бұрын
Bashe usiwe MN afki
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Mpima ukweli utkuweka huru kaka
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Kaka Gombea uraisi mimi nakupa kura zangu wewe ni mtetezi wa wanyonge tena kama mwigulu chemba mshughulikiwe
@nyembobea7285
@nyembobea7285 2 ай бұрын
Mawakili hata wangekuwa milion mia moja kinacho angaliwa huwa ni hoja tu mr mkiwa utashindwa tu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 2 ай бұрын
Hakuna nchi inaruhusu sukari kuingiza sukari hovyo hovyo. Matapeli Kenya waliingiza sukari hovyo hovyo,, sukari isiyo 😅kuwa na viwango.
@AbdMohamedi
@AbdMohamedi 2 ай бұрын
Mpina na sisi wakulima wa mbaazi tunazulumiwa na Bashe tunaambiwa tukauze galani tusaidie baba
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 2 ай бұрын
Apite bila kupingwa
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 2 ай бұрын
Kwa nchi yenye viongozi wala rushwa utasikia tu
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Ujue ni biashara ya viongozi kwa nini nitz bei ysukari
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 2 ай бұрын
Sasa kweli eti kilimo kiendelee wizara anapewa msomali!ujinga mtupu,
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 2 ай бұрын
Kaka mpina sulut kaka
@froma3732
@froma3732 2 ай бұрын
Sasa havai kijani tena
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 2 ай бұрын
Mdogomdogo atahamia huku kwa wenye akili siyo wakijani,
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
​@@IsayaSosolo-nx8zk😂😂😂😂😂 umeonae
@dorismkongwe4140
@dorismkongwe4140 2 ай бұрын
Hii sare yacheo gani
@umlaith5202
@umlaith5202 2 ай бұрын
Huyu Mbaya sana., pia anachoyo sana., Mroho wa madaraka😂😂😂
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 2 ай бұрын
Tunashuhudia anguko kubwa la mpina kisiasa insha allah mungu atamuangamiza
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
Utaangamia wewe na watu wenye akili kama zako. Amina
@sifamwakaniemba443
@sifamwakaniemba443 2 ай бұрын
Unatumia akili za ny**a au basi maana nakuona akili zako hazina akili hata 1
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Kwa kosa gani
@jumaomari3842
@jumaomari3842 2 ай бұрын
Mpina unacho fanya ni kufeli kwako kwa maisha unacho kipambania ni swa lakini mlango ulio fungua sio kwa sababu ni nyingi .kwanza ni kanakwamba wewe huna madili ya chama chako chengine wewe waonyesha uko na chuki na uwongozi ulio kuepo najua tunao umia.ni sisi watu wa ali yaachini tena tuna teseka sana lakini mpina wewe ni kiongozi wa siku nyingi kwaiyo hiyo ndio njia ulio amua kupita
@HamzaHeri
@HamzaHeri 2 ай бұрын
WEWE MPINA TUACHIE WAZIRI WETU KAMA UNASHUKHULI ZAKUFANYA NJOO HUKU CHUNYA TUCHIMBE MADINI CHOKO MKUBWA
@JafethTully-h2m
@JafethTully-h2m Ай бұрын
Wewe ndo choko kbsaaa huna akili
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 2 ай бұрын
Mpina akina mwabukusi anakudanganya hakuna kesi yoyote uhuni mtupu tu
@Justinamwakajumba
@Justinamwakajumba 2 ай бұрын
Nilitaka kushaangaa usipinge ?wewe
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
​@@Justinamwakajumbaakili Yake no mbovu sana
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,9 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 51 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,9 МЛН