Hongera Mpina. Hiyo ndiyo Kazi uliyotumwa na wananchi. Hao wengine wote wanafanya kazi ya chama na wala sio wananchi, wanapigiana makofi na kuupiga mwingi tu. Inatukera sana wananchi. Ikiwa itakuwa kura ya haki naamini wabunge wengi wa ccm hawatarudi Bungeni. Yaani heri upigie kura andazi kuliko wabunge wengi wasiojali hali ngumu ya maisha ya wananchi waangalia matumbo yao tu.
@ProsistaTarimoАй бұрын
Magu mpya huyoooooo.big up brother pigania taifa lako watetee wanyonge hawana mtetezi bungeni. Wabunge wote wamekuwa kama mazombi
@terevaelswai7575Ай бұрын
Mpina.uko vizuri tena makini kutetea raslimali za nchi.Wabunge muungeni mkono Mungu akulinde
@awardkilave178Ай бұрын
Mwamba umerudi Wamo wabunge zaidi ya wabunge 10 ndani ya MMOJA Tukipata wanaojielewa Kama wewe watano nchi itaenda mbali sana
@andrewmaiga4331Ай бұрын
Hongera sana Mpina , wewe ni mzalendo wa kweli.
@HancymtemboАй бұрын
Safi sana mpina , wewe ni mzalendo.
@gracemima5234Ай бұрын
Kwa sasa serikali imetekwa na cartels. Wabunge wote kimya. Hawahoji. Hatuna wapinzani wakuhoji. Waziri wa fedha anasema bandarini kuna mapato makubwa sana haijatokea. Mapato mengi ni ushuru kutoka kwa wafanya biashara wadogo. Wafanya biashara wakubwa wenye connection na serikali mizigo yawo hupita bila Malipo ama wanalipa kidogo sana.
@allyfutto8763Ай бұрын
watu wenye ujasiri waainahii ni wachache sana barani Afrika na atapigwa vita kupitia ukweli na uwazi anao uzingatia.Mungu amlinde asidhurumiwe Aamin
@peterpaschal4522Ай бұрын
Huyu jamaa natamani awe Rais wa nchi hii baada ya Mama kumaliza muda wake nitapoga kura
@joycmsokile9220Ай бұрын
Anafaa sana
@MashakaMagesaАй бұрын
Hana lolote huyo anatafuta kiki tu akiwa waziri wa uvuvi enzi zile alifanya Nini ambacho kinakumbukwa Hadi leo
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Mpina chapa kazi upo vizuri na mkweli daima hapendwi Mungu toa jibu Mpina Mzalendo wa kweli anaetetea Asilimali za Wstanzania wamechoka asilimali zao kuchukuliwa na Waarabu hatuwataki
@AndreaNzunda-f7oАй бұрын
Mungu akulinde mpina
@selemsigala477128 күн бұрын
Mungu aendelee kukupigania zidi ya vita ya kupambana na majizi yanayo tunyonya watanzania Mpina mmoja ni anashinda thamani mamia ya ote walinyonyao Taifa.
@mosesimsalaba29 күн бұрын
Mpina hongera sana
@kuntimartinАй бұрын
Mungu ni mwema
@EdwardKwiyangaАй бұрын
Hakika mpina ni miongon mwa wakombozi ktk nchi ya Tanzania
@JosephatMsukumaАй бұрын
TANZANIA KUJIFUNZA Hatuwezi p.LUMUMBA wa kongo aliuliwa ishu kama ya mpina lakn hapa kajitoa wengne wanatukana NCHI NGUMU SANA HII😂😂😂
@BlangetiMasajuАй бұрын
Uko vizuri sanamh
@hadijatwahadossa29 күн бұрын
Maisha yanabadilika zama za kudanganyana zishaisha...zamani wasema uongo walipendwa..lakini siku hizi watu wameelimika...ukiwa msema uongo watu wanakuchukia...ukiwa msema ukweli watu watakupenda..hongera mpina endelea kuwa msema kweli...Mungu na sisi tunaochukia uongo tupo pamoja na wewe
@EdwardMazuriАй бұрын
Hongera sana mh.Mpina
@AndrewNtahena-j7rАй бұрын
Beautiful, carry on.
@kisinza6077Ай бұрын
Nakuambia Mpina, ikitokea sisiemu wamekukata; hama chama uendelee kutumikia watanzania. Nammiss sana Kunjombe. Namuona Comrade F. Kunjombe kupitia wewe. Hiyo escort hapo inaitambulisha profile Yako Kwa Watanzania. Big up Bro don't give up! 💪💪💪💪
@christopherkanyalakc8941Ай бұрын
You're to good 👍
@VolvoMwamakula-ci2weАй бұрын
Pole sn mpina
@moseskita4251Ай бұрын
Mpina wew n chaguo la wananchi wengi hata ambao hatupo jimboni kwako tuna appreciate sana uwepo wako kama mbunge
@mwaamwetahussain9947Ай бұрын
Maneno ya kukuombea nakuongea ni Mengi sna na Mh Mpina Mungu akulinde na akuhifadhi
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Wewe ni Mzalendo mzuri katika maisha usikate tamaa chapa kazi
@SamwendaKodiАй бұрын
Hatari sana
@nyerere1259Ай бұрын
Huyu mwamba anajiamini sana.
@AndreaNzunda-f7oАй бұрын
Asante mpina we n mzalendo kweli kweli
@GerrardLaizzerАй бұрын
Asante mzalendo
@djgravityreu_for4906Ай бұрын
Naked truth in it's naturality 🙏🙏🙏
@musagugaАй бұрын
Kumeanza kuchangamka
@barakashuma923929 күн бұрын
Naona MUNGU anataka kuja kurudisha heshima ya nchi yetu
@GREGORYHAULEАй бұрын
kazi mungu yupo nawe
@BARAKAJOSEPH-j4uАй бұрын
Bilion 200 mbona àta muwekezaji mdogo sana wa ndani angeweza duh hapo Kuna share ya watu karibia watu 40 nilkuwa najua kwa miaka mitano atawekeza ata trillion 2 maana kama kwa miezi kwa mwezi mapoto bilion 600 sawA na bilion 200 duh
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Chuma kimerudi upya Bubgeni ichemshe Serikali vizuri pale iinapokosea usiwe Chawa wala Mbunge ndiyo kosoeneni vizuri Ubunge ndiyo umezidi sana na Uchawa
@ludovickmutalemwa4915Ай бұрын
Chukua form ya urais 2025 nikotiali kukupigia kampani ata kama sina chama kwa uzalendo huu nimekuelewa sana Mungu akubalik sana
@AbuuMtamikeАй бұрын
Mungu wetu yu mwema kwn hakuna gumu kwake ni mda tuu
@CafeJohn-n9oАй бұрын
Mwamba huyu apa
@joycmsokile9220Ай бұрын
Mpina unafaa sana
@simonmalegesi414Ай бұрын
Kaza mwamba
@shedrackphilipo7410Ай бұрын
Nimekuelewa
@GodwineMuchunguziАй бұрын
usiogope ukubwa wa samaki uliza beiii
@JoelKarulemaАй бұрын
Tupambanie watanzania tunakuamini mungu akusimamie tunapelekwa kama kondoo tumeinamiswa vichwa tusione mbele kunann
@CharlesElias-zh5hzАй бұрын
Mbugenwa ukweli karud. Mtetes wa wote. Mpina uko vema sana. Lakin mkataba ushafungwa Dunia hapo mkataba feki
@AndreaNzunda-f7oАй бұрын
Mpina piga kazi
@alumonkisinda4574Ай бұрын
Kama unaamini huyu jamaa akishika hili taifa Kuna watu watajinyea huyu hapendi wezi istoshe anajua Mambo mengi Sana ya Siri
@joshuarose6756Ай бұрын
Dah hatuna nidhamu na katiba old we need NEW
@ViniciusOfficialtzАй бұрын
Mpina Kwa hiz nondo unazo zitema, itoshe tuu kusema sisi tulikupenda,😢
@emmanuelndotela9412Ай бұрын
Unataka kusemaje? Kwamba kwa hizi nondo mwamba huwenda akapoteza maisha?
@edsonnelson4464Ай бұрын
Jaz fomu ya urais mwakani
@stephanokaaya1881Ай бұрын
Urais wa mpira au Tls
@edsonnelson4464Ай бұрын
@stephanokaaya1881 wowote unaoona yeye unamfaaaaa
@NenoFrenkАй бұрын
Tuko pamoja na wewe mzeee
@hamisimwinzagu6624Ай бұрын
Chukua form ya uraisi mwakani maana waliokuwepo wanatupeleka siko
@JohnMpesa-b3kАй бұрын
Ok
@hashpappi3830Ай бұрын
Mwamba huyu hapa
@jerome3143Ай бұрын
je watakuelewa unacho zamiria ndani ya moyo wako
@MiriamAziz-z5tАй бұрын
KOMREDI MPINA....WEWE NI MBUNGE WETU WA 'TAIFA'....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
@EliaMangwelaАй бұрын
Kwanini unasema Mpina ameanza vurugu zake baada ya kufika bungeni? Sentence hii iko kinafiki ,kimbea mbea sana. Media hazipaswi kuwa biased...
@Mima-cl2imАй бұрын
Kwanini kuna usiri mkubwa sana kwenye huu mukataba wa bandari? Watanzania wana haki ya kuuona. Kama hakuna cha kuficha si wauweke wazi waukaguwe? Inaonekana nchi imekamatwa na watu wachache. Wabunge wetu ni wachache sana wenye elimu ya kuelewa wizi mkubwa unao endelea kwenye taifa letu. Kuna watu Tanzania wanaishi kama wakimbizi. Na kuna watu Tanzania wanaishi kama wafalume kwa mali za watanzania.
@PatrickNgwaulanga-x2uАй бұрын
Masisiem huyawezi mpina waambie mpira ndio watakuelewa
@salmanmagwe2612Ай бұрын
Mhh ila kumuamini mwana siasa inahitaji roho ya pakq,wengi wao ni waongo na wanajua kuwatumia wananchi ili wajinufaishe.
@habibukitwana1552Ай бұрын
Ww uza uchi tu waache watu waongee
@mndambokilavo2502Ай бұрын
Yaani huyu jamaa anachokiongea kina thamani vikao vya miaka 10 bunge liliko kama bunge halitajibu hizi hoja jamaa basi litakuwa ni kijiwe cha kahawa
@elioimer8423Ай бұрын
Unasema analeta vurugu au ana hoja ? Jibuni hoja zake yana mashiko. Hivi Watz mnampenda kuibiwa? Mtu anajaribu kuwaambiwa mnaibiwa cha ajabu mnamkosoa.
@MwatijaFikotiАй бұрын
Mpina wewe ndio mbunge wa ccm unayejitambua wengine ni hasara tu.
@HamisiSheka-lr4vhАй бұрын
I see hata ungekua peke yako kaka humo bungeni inchi ingeku tajiri na sioni wabunge wengine wanafanya Nini humo buneni
@IbrahimKasambala-ts8reАй бұрын
Mpina nimefurahi kurdish kwako bungeni inchi wote ni madereva wote ni makondakta wote ni Abiria haha twende
@allysalumu812518 күн бұрын
Co vurugu
@saidnoumani7244Ай бұрын
Ni muda wote mpina anakwenda pembeni....hayupo makini saana na hoja zake.pia kesi zake zote mahakamani zitapiga mwambaa!
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Pole sanaaaa kumbe na wewe Chawa huyo anapendwa sanaaaa Mahakama zote zimeshikwa na mwenye nchi lakini sisi wananchi tunapenda haki itendeke Mpina yuko vizuri tumechoka na Wabunge ndiyo na Michawa mingi bin Kunguni wewe huoni nchi kila siku vitu vinapanda bei toka zako na uswahili wa upambe
@user13375Ай бұрын
Elim ndogo no vigumu kumwelewa Chuma😂😂😂😂
@nicolauswandao8988Ай бұрын
Ww ni Trump soon tutampa kiti
@saidmakombeni5155Ай бұрын
Naona hakutaja mashekhe au katumwa na jamii fulani tu?
@user13375Ай бұрын
Kama hawakuwepo Sasa ataje vipi😮😮
@josephpetro2968Ай бұрын
Kama mashehe hawataki kwa hofu flani awalazimishe kwani wao hawaoni Kama katiba ya nchi inakiukwa na watu walioapa kuilinda katiba basi wasiwe wanaitamka katiba katika viapo wanapopewa nyazifa mbalimbali wamtaje Anayewaapisha kwamba watafata maelekezo yake
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Mchemshe haswa mwizi mkubwa anamharibia Mama huyoooo
@zariadunia6328Ай бұрын
Huyu ana matatizo ya akili afya ya akili inamsumbuasio bure
@MalandoJilalaАй бұрын
Wew ndo huna akili kwa hyo anachokiongea ni ubaya au vipi,nyie ndo wez
@philiponyangusi9579Ай бұрын
Mavi yako
@JosephatMsukumaАй бұрын
Hata p.lumumba wa kongo alipowaambia wabelgiji ukwel weusi wenzetu kama wew tulimuona n bwege hana akil 😢😢😢 pole
@williamkeita1519Ай бұрын
😂😂😂😂unadhan we ndio mwenye akili kweli, chizi huamin cye ndio vchaa