This song came to my mind after the death of Pombe Magufuli. Pole sana watanzania....mungu amrehemu na amlaze mahali pema peponi. Watanzia mungu awatie nguvu nduguzanguni. Ni uchungu ulioje???? Uchungu usio na mfano. Love from diaspora🇫🇷🇫🇷🇫🇷🇫🇷🇫🇷🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Can't control my tears....I can't
@AbdiMohamed-px9yf10 ай бұрын
Who else visited 2024?
@godfreykirway43245 жыл бұрын
Bado nausikiliza ,bado nasikitika!!Nenda ndugu ,nenda...kama na wewe bado unasikiliza twende pamoja
@jayyahaya60865 жыл бұрын
Alikuwa jasiri kweli
@ummytz71454 жыл бұрын
Bad natoa machoz nikiona picha ya ruge 😭😭😭
@eldertollag56376 жыл бұрын
Siwezi Kamwe Zuia machozi yangu.....hata sasa nalia! Najifunza sana umuhimu wa kuliishi kusudi Mungu analokuitia duniani. Ahsante Mjomba Mrisho kwa kumwimbia Rafiki wa Wengi, Rest in Peace Ruge.
@winfridakasindye96185 жыл бұрын
Ntaendelea kuusikiliza huu wimbo mpaka. Mwisho wa maisha yngu
@BIKORADING5 жыл бұрын
Clouds Media Group should set up an award for journalists in Tanzania in honour of Ruge Mutahaba.I respect Ruge i was to work for Clouds Media Group then i was offered another job here in my home country -Kenya but i still love Tanzanians.
@agesag.m24764 жыл бұрын
Waaaaa huu wimbo unaliza kweli.... listening from Kenya 2020. Rest in peace bro Ruge, a man of the people"Nenda Salama".
@margarethsaramaki11006 жыл бұрын
Asanteni kwa huu wimbo na kila mara ukiusikiliza unalia tu so sad, We will miss u.RIP Ruge
@vickiemarco67656 жыл бұрын
nenda ruge na sisi tunakuja hukohuko tutaonana tena mpendwa wetu tulikupenda ila mungu amekupenda zaidi ruge
@clariceimali33086 жыл бұрын
Mrishi mpoto this is a great peace ,may God fulfill your broken hearts ,poleni sana ndungu zetu.
Kifo ni kitu kibaya sana....pôle Sana ndugu zetu Watanzania.....May his Soul Rest in Eternal Peace
@hamadahmad9171 Жыл бұрын
Who's still here 2024🎉
@catherineburure76428 ай бұрын
Me !
@esterabonga79476 жыл бұрын
😭😭😭😭 Mungu wangu eeeh kifo kwann uliubwa yaani mtu unajikuta unamlilia mtu usie mjuwa . R.I.P RUGE 😭😭😭
@maggiechipepe60916 жыл бұрын
😭😭😭😭😭...waah duniani matembezi kweli..nyimbo inaliza ...rip Ruge...mbele yako nyuma yetu
@teophorymbilinyi87656 жыл бұрын
I can’t stop listening to this. Mpoto you did it!
@kimarohuba74416 жыл бұрын
Ohooooo god 😭😭😭😭😭yako ni makubwa tupe subra maan ruge ni wetu sotee😭😭😭😭😭😭😭😭😭rugeeee
@ibrahimjobu91414 жыл бұрын
Maneno yako ni hai Mrisho Mpoto. Ni ngumu kuijua mpya ingali ya zamani hujaimaliza.
@anibarikimsigwa-qm1pl Жыл бұрын
God will remain a god no one cancompared with you ruge byee
@BintiyakeDaudi4 жыл бұрын
blessed your memories Ruge Mutahabwa! you would have been 50yrs May 1st 1970 when Mr and Mrs Mutahabwa beheld you as their first strength Glory to our God. we bless God for your life. you was a blessing to Tanzania. we thank our God for you sir....Ruge Mutahabwa!
@henryford15715 жыл бұрын
2019 mwaka mbaya zaidi,mwaka nmempoteza kaka yangu mpendwa kabs,nyimbo inatugusa wengi,R.I.P Ford Mwamunyange,Ruge na wengine woote waliotangulia
@shamimuukufula37375 жыл бұрын
Pole klaa nafsiiii itaonjaa umauti
@abadanwar20814 жыл бұрын
Amiin
@mtanzaniamwenzangu18111 ай бұрын
Hii nyimbo 🎉
@hamzanasry80113 жыл бұрын
Nimeukumbuka uyu wimbo baada ya kifo cha rais magufuli leo nenda salam 😭😭
@michaelrambo62073 жыл бұрын
Ni masikitiko makubwa ambayo si rahic kuelezea 😭😭😭😭
@lucynthigai5783 Жыл бұрын
I had not meet Ruge but he was a statesman and a great man travel safe
@deuskusekwa43965 жыл бұрын
Sitasahau kamwe ile siku nilivyopata taarifa za genius kuwa hayupo tena kwenye ulimwengu huu.nitakukumbuka milele daima RUGE
@wazarendotv79666 жыл бұрын
NURUELI you kill it, its so emotional even tears flow without know because of your voice
@wambulamwita9144 жыл бұрын
Utalia Sana Kwa uchungu
@bensonmusembi20162 жыл бұрын
The best artiste of the year
@solomonogonjisuju56166 жыл бұрын
poleni sana wa tanzania condolences from Kenya.
@jrmsagati35425 жыл бұрын
Solomon Ogonji together
@issaibony34744 жыл бұрын
2021 bado naudhuni sana huwa ctaki kuamini kabisa Nenda kapumzike salama kamanda rouge mtahaba 😭😭😭sote njia yetu nimoja my brother 😘🐦😭😭😭
@mikeondhowe14403 жыл бұрын
mrisho this was great for our great ruge kifo haina huruma wanaofanya vyema wanatuacha ,may their souls rest in peace my fellow contrymen and women wa muungano wa tanzania poleni sana RIP RUGE,RIP JPM
@hidayaabubakary82506 жыл бұрын
Nenda salama ruge nenda salama salama dah nyimbo imentoa machozi rip kaka mungu akupumzishe kwa amani
@Christianjack6 жыл бұрын
Steve nyerere ndio siku ya kwanza kumuona mpole gonga like apo jini
@zaynsalma34666 жыл бұрын
Unanini Lkin 😂😂😂Niache Bhn Wee sina Mudi Ykuchek
@amosamos19685 жыл бұрын
Poleni watanzania. Mungu awape nafuu.
@zakayoeliah90845 жыл бұрын
Uende salama ukafanye nn
@tojaschlimbach6976 жыл бұрын
Kipenzi cha Watu , gone too soon. R:I:P Ruge . Much Love from Germany . We shall Miss you .
@kasangamrisho3405 Жыл бұрын
KATIKA MISIBA YA MA SUPERSTAR HUU ULINIGUSA SANA NA WA KIBONDE AISEE HAWA WATU NIMESHINDWA KUWASAHAU KILA SIKU R.I.P MA LEGEND
@alexkapkoyo81656 жыл бұрын
R.I.p Ruge.....mjomba mrisho mpoto I feel this song so much it reminds me my late two brothers
@nurumwakipesile90905 жыл бұрын
Bdo nipo nasikiliza daa ulinitoa choz Wewe baba
@michaelkiligi38604 жыл бұрын
Daah huu wimbo unaumiza sana,,, kwel, nenda salam Ruge😭
@naomiwilliam94194 жыл бұрын
Sana
@georgesiga5085 жыл бұрын
Big up brother nuru weli,,. Ila mlisho mpoto unapiga keleletu huna hisia za msiba,..,kelele utafkili tupokarume kwenye mitumba,.utafkili koinda wa bais LA gons,kivukoni umealibu wimbo,.. Unaingiza siasa ,. Umefulia,,. Big up NURU WeLL ,,.big up Tanzania house of talent. R.I,p brothel ruge
@nishidibrazza55405 жыл бұрын
A'm on the mounless mood ,gone ruge ur contribution will never die till end to this world
@mikeondhowe14405 жыл бұрын
poleni sana cloud fm watanzania familia marafiki na jamii tumepoteza mchapakazi,shujaaa mentor and great brain in Africa Rip Ruge
@johnrichardwasafi52506 жыл бұрын
Dah nyimbo inatia huruma Mungu atutie nguvu
@neemaswai44826 жыл бұрын
Mungu ipumzishe roho ya ruge mahali pema peponi.
@Afya_michezo6 жыл бұрын
hakika Mungu ampuzishe kwa Amani
@allyhakizimana88156 жыл бұрын
😔😔😔😔
@jayyahaya60865 жыл бұрын
Sana
@sulemanmahrouk17826 жыл бұрын
Dahhh nalia tu na ninaurudia huu wimbo kila wakati
@amossemela2615 жыл бұрын
suleman mahrouk sina la ksema ila nenda mwamba
@rehemashafi48095 жыл бұрын
Yan km mm hii nyimbo dah
@bnsofficial2552 ай бұрын
Champ, Your Legacy will live forever
@alphahaule41285 жыл бұрын
Nuruell Ur da baddest bro very emotional ase
@benchris86715 ай бұрын
Rip ruge ila mpoto fundi waspo shusha bendera ya nchi nusu mlingot bas ntashusha bendera ya chama moja wapo😢😢😢
@mamachris68116 жыл бұрын
Nimemuona Steve kwenye misiba mingi,sijawahi ona akilia hivi R.I.P RUGE
@conrado.5 жыл бұрын
RIP...I LIKE MPOTO SHAIRI...FROM NAIROBI KENYA
@genelozalukambaiga57245 жыл бұрын
Nenda salaam jasiri
@francosemmy5 жыл бұрын
R.I.P Ruge stil we remember u😢😢😢😢
@eliaamosnyantebu52206 жыл бұрын
Nenda salama ruge,R.I.P brother RUGE MTAHABA umewaliza wengi
@mathayomkumbuchile15694 жыл бұрын
He was my roll modal and it remains so. It was a touching moment when I heard about his dearth a weak before defending my research proposal. But I remembered his courage that don't cry celebrate I did it well
@chistenmwafula10465 жыл бұрын
😭😭😭 tunalia luge mtahaba pumzika kwamani umewaliza watanzani mungu awenaweww
@shukurumlangi79662 жыл бұрын
Mungu alaze roho ya marehemu mahara pema peponii
@zuhurambonde75996 жыл бұрын
Mna moyo wa shukrani sana kwa mtu wenu mmemsindikiza kwa wimbo mzuri sana sio kwa ruge tu muwe na umoja kwa wasanii wote poleni na hongereni kwa wimbo mzuri.
@amosimusso75895 жыл бұрын
Mwenyezi mungu mpumzishe mahara pema pumzika baba
@sakinaomar3016 жыл бұрын
Rugeee umetunyoosha pumzika kwa Amani Ruge
@happynes1exuperius2325 жыл бұрын
r.i .p Ruge mtahaba
@janemajuma69975 жыл бұрын
Condolences from Kenya😪😪rip ruge
@pascalkanyoe81636 жыл бұрын
Frm +254 rest in peace bro song ina gusa xana tz poleni sana
@nunuuali53165 жыл бұрын
Ruge Jaman hunifaham sikufaham ispokua kukuona kwenye fursa, we kaka nenda hakika umejua kutuliza wengi. Ruge nina Imani upo pazuri, Mungu asante kwa kutuazima kiumbe wako huyo ila tumelia jaman na bado tunalia. RIP bro😭
@hamzarumela17845 жыл бұрын
Duh mjomba hizi nyimbo zako zinaumiza wallah
@janenduta64095 жыл бұрын
I love your creativity
@genovievkisaka18603 жыл бұрын
I miss him i am watching it again today
@mambostephen47253 жыл бұрын
Me too
@NabiiAmoh Жыл бұрын
Listening to this send off!
@juliuswamahiga22866 жыл бұрын
Well done guys keep it up and may Our father God bless you all:)
@attumwakyoma94745 жыл бұрын
HBD CLOUDSMEDIA sijasahau bado nimerudi kuangalia safari yako ya mwisho R.I.P Ruge mutahaba
@kenmatiba14883 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi ruge
@rehemamshiko67532 жыл бұрын
Video hii napenda sana kuiyona Sasa machozi hayawahi isha
@lonardhumbu18784 жыл бұрын
Mungu akulinde uendako imeni fanya nilie
@nshomamayungu23265 жыл бұрын
Mungu akupumuzishe kwa amani ruge.tumekumiss ila siku moja tutakuja kuonana.
@mariammgeni88305 жыл бұрын
Majonzi yamevikwa Taji dhidi ya Dua Nenda Ruge
@rehemashafi48095 жыл бұрын
Dah ihi nyimbo Inaniliza sana yan 😭😭😭😭
@emmolgachristakay47776 жыл бұрын
Too emotional song.. Daaah! Nenda salama Salama salamaaa Ruge 😭😭
@georgettetiemele82206 жыл бұрын
What sadness,why God, why, please protect they children and family, accept kebonde and his brother ruge in your paradise. 🙏😢 from 225.
@sponsor78826 жыл бұрын
VERY GOOD MESSAGI.
@margarethsaramaki11005 жыл бұрын
Uwa haipiti cku bila kusikiliza nyimbo hii, tujifunze WaTZ kwa hili la kuwashika mkono wanao hitajika.10.4.2019
@venamlowe35565 жыл бұрын
What a beautiful tribute RIP Hero!
@amoclucas87945 жыл бұрын
nenda mpambanaji
@kwanzaleo19326 жыл бұрын
Hii nyimbo imenikumbusha kama dunia tuna pita kbs😢😭.🙏🙏
@stephenjilala36835 жыл бұрын
Rest in peace brother Ruge Mutahaba
@marymwacha9956 жыл бұрын
wimbo huu unatia uchungu Sana.😭😭😭😭😭 REst in peace kaka ye2 mpendwa RUge. Tulikupenda ila Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi, pumzika kwa amani kaka.
This song than by strong people who believes in #Ruge sprint and hop God shall give strength to all tht members and He shall appoint someone else to represent mr Ruge
@emanuelfrancis97884 жыл бұрын
Salute
@George-w7v2t6 жыл бұрын
Mpango wa Mola hauna kasoro.Nenda salama Ruge
@johnhosea13215 жыл бұрын
Dahhh... Ruge
@fikiryhamees58586 жыл бұрын
poleni sana ndg zangu tungeweza kuuzulia mazish ila sisi watu wa mikoan tunapata shida sana juu ya usafili.. Ila mkizika nyie tumezika ss
@faudhiamakombe79565 жыл бұрын
faudhia makombe sitasahau kipindi cha msiba waruge nilikuwa nashindwa kula mungu ampe pumziko LA milele
@lizdestiny66253 жыл бұрын
Kweli mauti yamevishwa taji dhidi ya dua,nenda sarama mjomba Magufuli,😭😭😭😭
@miltonemusumbah25446 жыл бұрын
This is so emotional
@mfaumeh.rissasi2265 жыл бұрын
Asee hii nyimbo ukiisikiliza kwa makini kama hutolia basi machozi yakulenge!! RIP
@eddyroy2 жыл бұрын
Gets me teary all the time
@zainaanzuruni12476 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭☝️☝️💪💪Nenda salama RUGE Rip baba pumzika kwa amani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💪💪💪💪☝️☝️