iii simulizi n noma ongera felix n simulizi mix familly ngesa n more fire
@leopoldmujaki61207 күн бұрын
My brother Felix Mwenda mimi hongera zako nitakupa siku zote hakika simulizi mix inanoga kwa uwepo wako, hujawahi kukosea ktk usimuliaji wako kila nikikuta umeweka kigongo kipya haijalishi kikoje ila kwa kutambua nyuma ya mike upo wewe naenjoy sana, hakika Mungu amekupa kipawa cha kipekee unaijua kazi Mungu azidi kukulinda na kukubariki tuendelee kuburudika na kujifunza kupitia simulizi zako big salute to you my brother naomba wote tunaomkubali na kumuelewa Felix Mwenda nione like tafadhali.
@SimuliziMix7 күн бұрын
Shukran sana Mkuu FM
@AishaOthumani-xq4ec5 күн бұрын
Waoooh asante Emmanuel kway kwa kutuletea muendelezo wa davina na silent killer❤❤
@suzanlucas949313 күн бұрын
Oyoooh kitu nkipendachoo Ahsante sana ❤❤
@aminah955713 күн бұрын
Wooooow kitu kipya ndani ya mjengo🎉🎉🎉🎉na philexy mwenda
@user-ez6cy4pj8z7 күн бұрын
Woouuu!! Shukuran Felix . Kway tuko hPa kwako
@salomewandya725713 күн бұрын
Dah hatari mtunzi wa Davina❤❤🔥🔥
@ahmedhamisi-jc2hs12 күн бұрын
Yap yap nice one simulizi mix
@FatumaJumanne-p4d13 күн бұрын
❤❤❤
@mariamMilha-st3qu12 күн бұрын
Felx Felx 🎉🎉🎉🎉 lakini muuaji wa kimataifa hatukuona final iyi usituwace njiani💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽Ebu muyeeeeee mweshimiwa kipenzi Cetu Felx yikonyuma🎤
@chantalmavandu495012 күн бұрын
Moto kweli kweli 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🏽
@margepeter669712 күн бұрын
Felix mwendaa unakitichako mbinguni,,, golden voice🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@emilyadhiambo454013 күн бұрын
Sauti niipendao shukran sana kakaetu kipenzi
@rosykeny688913 күн бұрын
Much love Felix 🎉🎉 Acha nichangamke
@husnaally8673 күн бұрын
Felix Mwenda❤
@Djay4.113 күн бұрын
Ebwana eeh mandonga yupo humu ndan
@maseleenaesleen814913 күн бұрын
Waaaah Emanuel uko juu baba yani devina na muuaji wakimataifa ni yy ndio mtunzi 🌹🌹🌹🌹 achukue tu maua yake
@godblessandrewshoo289713 күн бұрын
Edgar mbogo na Patrick CK
@furahankunzimana42512 күн бұрын
Anaweza kweli tena na tena jamani maua ni yake 🎧
@furahankunzimana42512 күн бұрын
Anaweza kweli tena na tena jamani maua ni yake 🎧
@DoroteaKavivya-uv8pn11 күн бұрын
Cyv@@furahankunzimana425rdrß5rdr
@AnastasiaKilonzi13 күн бұрын
Ngesa mungu akutangulie
@zenaathumani814413 күн бұрын
Wakwanza jamani kwa simulizi hii mpyaa 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao wote wanafamily wa Felix
@zenaathumani814413 күн бұрын
Asante sana Felix umenifuraisha saaana umetupa 2 kwa mpigo oyeeeee Felix 🌹🌹🌹🌹❤❤😂😂😂😂😂
@twinssauditwinssaudi724811 күн бұрын
Nimefika duuh❤❤❤❤
@fatimhussein233412 күн бұрын
Emmanuel we ni zaid ya genius 😊😊 big up bro 👌
@aminanimbona186112 күн бұрын
Hii ni moto wakuotea mbaliii 😊😊hii simulizi nilisubiri kwa hamu kubwa wallah hatimae mmetuletea asante simulizi mix 🥰🥰🥰
@StellahWamalwa-n3f12 күн бұрын
Team ngesa lazma tuende Dubai manzee tupumzikee ❤❤❤
@AnastasiaKilonzi13 күн бұрын
Masikini gesa mungu atakutagulia
@ZAINABUZAI-v3o13 күн бұрын
❤❤❤❤nimecherewa
@aishamukandanga689213 күн бұрын
Kitu cha moto
@Clarice-rg3ib12 күн бұрын
Moto wa kuotea mbali 🔥😅😅
@TeklaNdekeja13 күн бұрын
❤❤mmin nipo mapema san🙏🙏🙏
@maseleenaesleen814913 күн бұрын
Hi my dear
@user-dw6fp4lu3k13 күн бұрын
Wawooooo
@lonakirao527513 күн бұрын
Wanasema kawia lakin ufike 😂wale wakuchelewa ndo sisi,shukran sana Kway na kaka Felix ❤❤❤
@MaryMary-kq3nh10 күн бұрын
Asante sana Felix mwenda❤❤❤🎉🎉🎉
@godblessandrewshoo289713 күн бұрын
Hii ni muendelezo wa Davina 😅 i like it
@AnastasiaKilonzi13 күн бұрын
Asante felix mwenda
@Feisalmatandula13 күн бұрын
Asante sanaaaaa mwenda tuliboweka🎉🎉🎉🎉🎉
@suzanlucas949313 күн бұрын
Ametuliza mioyoni yetu asee
@Feisalmatandula13 күн бұрын
@@suzanlucas9493 🤣🤣😂😂
@aminamhina912913 күн бұрын
Nice
@KhadijaDija-ir2hq13 күн бұрын
Felix ata kama simulizi ni mamba basi lazima utaitegea sikio 🎉
@godblessandrewshoo289713 күн бұрын
Usimsahau na Oen
@ataamansi89413 сағат бұрын
@@KhadijaDija-ir2hq hakuna anayeweza kwangu mimi kama Felix Mwenda, anajua sana tena sana,ana kipaji kikubwa sana Mtu huyu . Kumbe nimeoa huko jina NGESA na karanje, ktk comment za wanazengo msiniambie ni mambo ya Davina yanaendelea humu, endelea kwa raha zenu, hakika hiyo simulizi sikuwahi kuipenda 👌 vurugu tu hazina uhalisia, ngoja nisubiri kama watatuliza kichwa na kutoa kongamoyo, ubrudishe ifurahishe, isiyo zidisha hofu haina utulivu mwanzo mwisho
@ZaicuteZaicute13 күн бұрын
Tunaanguka nae na hii🎉🎉🎉❤😂😂😂😂😂😂😂
@hasamsaid457813 күн бұрын
Kitu kipya tuna anza nayo 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤pamoja sana bro felix
@fatumamatano821613 күн бұрын
Safi sana kitu kimranza na utamu wake mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@RitaannyManegabe13 күн бұрын
Asante sana kwa simulizi zuri ❤❤
@swabrinamwaka243713 күн бұрын
Mpyaaaaa❤❤❤🎉🎉
@AnastasiaKilonzi13 күн бұрын
Veronika raisi una utu ❤❤
@Djay4.113 күн бұрын
Hiv nan yupo live anaskiliza kwa utulivu hapa , unapata msisimko wowote. , like
@user-zs3jf3uz9c13 күн бұрын
Mungu bariki mtunzi wa simulizi ingawa imekaa sana tanhu felex alipo tupa to kiojo hatimae nashukuru imefika
@ibraibra176113 күн бұрын
Nimewahi ❤
@radhiaomary559111 күн бұрын
Ukoo wa karanja bado unasumbua nchi 😢😢chefuu
@hadiaali551713 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@maseleenaesleen814913 күн бұрын
Oyooo vile leo nimeshinda kuboeka😢❤❤
@espererancesudi760013 күн бұрын
To be continued
@SofiaCharo-uo1ox12 күн бұрын
❤
@AishaOthumani-xq4ec5 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@medinahsamita398112 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Djay4.113 күн бұрын
Ooh wow that's great shavu kwako Mr ferix ❤️❤️❤️
@samsonphilipo715311 күн бұрын
Msihofu Davina yupo atalifanyia kazi
@AAa-it7nx13 күн бұрын
Ngesa karudi tena wabe wabe wabeeeeeee😅😅😅😅
@aminasuleiman497213 күн бұрын
Ngesaaaa,davinaaa🔥🔥🔥
@user-gj7rb5zd7i11 күн бұрын
Uuhi chuma hicho
@nurafedrick37813 күн бұрын
Kitu kimyaa na kaka felex amini kaka ila kaka siku ingine sema simulizi yetu inaazia kule kenyaa likoni ferry na ss kenya tusikie rahaaa😂😂😂
@AAa-it7nx13 күн бұрын
😂😂😂
@MwanaMpole-mo5di9 күн бұрын
I was absent boss
@mtotowamanka13 күн бұрын
Bora hata kwend umekuja, maana yupe mlevi doe, kidadk ni kalomo m2pu, haelewek😅
@Pretty2275012 күн бұрын
🤣🤣🤣nilichelewa wp kwa mapigo ya mbio yanaenda moyo kuwasili nikiwa ningali bd
@ataamansi894113 күн бұрын
Looo hakika japo sijaifungua hii simulizi, kuona tu msimuliaji ni mwamba wa sauti Felix Mwenda jamani jamani nimefurahi sana, pia mwandishi Nimesikiliza simulizi zake 2 love boy na ile ya Ahamed, Kassim, hizo story zilikuwa na uhalisia 89% japo story ya kina Ahamed haikwisha vizuri kwa upande wangu, love boy haijaisha sioni mwendelezo, asifanye hivyo kutoa nusunusu simulizi isipotoka kwa wakati inapoteza ubora, Kway maliza love boy,ndipo niendelee na hii. Natamani sana kuifungua baada ya kujua msimuliaji na mwandishi pia, sasa tatizo isije kwama kama gobore la urithi ya Edgar Mbogo, jamani tulisubiri hadi ikapoteza mvuto kabisa kwangu wala ilifika mahali hata sikuihitaji tena, maana unakaa mpaka unasahau ilipo ishia.. jengine nimeoa kuna story imezuliwa kutoa maoni MATESO NDIO JINA LA SIMULIZI, na msimuliaji ni mwamba wa sauti Felix Mwenda, mwandishi wa hiyo simulizi iitwayo MATESO ni dhahiri hajiamini, labda haina uhalisia, anahofia kurekebishwa, sisubutu kuifungua nikajutia,. vya kusikiliza ni vingi haswaa ripoti ya leo na Veronica Frank nyingi zinamafunzo, ripoti mbili tu kati ya nyingi sana ndio niliona ni za uwongo,.***SASA HII KISU MFUPANIHADI IFIKE MWISHO NDIO NIIFUNGUE, ISIJE ISHI NJIANI KAMA LOVE BOY , laiti mngejua ni kero kiasi gani wasikilizaji walivyokerwa na viporo vya simulizi,mngetoa kwa wakati, badala yake unatoa nyengine,hivi ni akili au😇🧰🔩🔧haipo
@fa7m7l1012 күн бұрын
kumbe kuna mambo matam
@Djay4.113 күн бұрын
Shabik wa mandonga mpooo 🤣🤣🤣
@StellahLivogah11 күн бұрын
😂😂yn mandonga hanaga msaada msaada 😂
@mariamsaid633412 күн бұрын
Mhh hii simulizi imerudiwa imebadilishwa jina tu au ni wenge langu tu
@Didah00213 күн бұрын
Derik ngesa amekuwq kwenye simulizi gani huko nyuma nimesqhau hebu nikumbusheni
@uwinezaleillah687913 күн бұрын
Davinaaaa
@Didah00213 күн бұрын
Aiwaaah😂😂😂@@uwinezaleillah6879
@user-yl1ho8nv8f13 күн бұрын
Muuaji wa kimataifa
@khadijangoro993212 күн бұрын
Davina,, muendelezo wake ni muuwaji w kimataifa,,, muendelezo wake ni kisu mfupani na ndo hii unayoiskiliza
@nurafedrick37812 күн бұрын
Yani ndo simulizi inaaza tuuu ngesa davina wamekufaaa 😮😮iwetuu kifo fake mana huyu jamaaa namjua hajawai kukubali kufaa😂😂😂😂.huyu ashiraf hata bure simtaki mana nishetani yani bora niwachee chuo niokoe rohoo yangu
@Djay4.113 күн бұрын
Mr ferix Tuliomba mwendelezo wa Ngesa Sehem ya 3 Vp mlejesho
@SimuliziMix13 күн бұрын
Ndio Huu sasa.
@Djay4.113 күн бұрын
@@SimuliziMix🤣🤣 aaah so kweli
@Djay4.113 күн бұрын
Hapa sasa tabasam limerud , Kaz nzuri na jitihada za hali ya juu , focused za uhakika, Ngesa ndan ya mjengo ☺️☺️☺️
@fatimhussein233413 күн бұрын
Wow 😊😊kumbe ni mwendelezo wa davina
@Djay4.113 күн бұрын
@@fatimhussein2334ww acha tyu Hawa jamaa wanaijua Kaz Yao karibu tuenjoy