Asante bwana kwa kuona siku ya Leo sii kwa uwezo wangu bali ni kwa uwezo wako amiina
@marykongaАй бұрын
Ee Bwana naomba mponye bint yangu atembee nimiaka Sasa hawezi kutembea miguu Haina nguvu mponye naomba Mungu wangu
@PeterBenezeth7 күн бұрын
Si vyema mbele za Mungu;watumishi wa BWANA kusemana kama hivo angali ya kuwa pasta PT ajawahi kumjibu mtu vibaya (pastor pt popote ulipo MUNGU azidi kukutia nguvu)
@prospermmasi529211 ай бұрын
Mwenyeenzi MUNGU akubariki nimebarikiwa na maombi ya hasubuhi ya leo. AMINA.
@dicksonmasukuma45192 ай бұрын
Amen napokea maombi haya kwa jina la yesu na damu ya yesu kristo
@aminarajab10458 ай бұрын
Asante mungu maana umenilinda mimi na familiy yote uchumiwanhu mashambayangu watoto wangu nasema asante mungu narudisha sifa nautukufu kwako Ameeen
@SmilingCap-hy9di7 ай бұрын
Amen baba Naamini mungu bado anaendelea kututendea yalio mema
@Gracemkuya-c8yАй бұрын
Amen baba mungu akubaliki
@MwanaidNkuruvi-wj1ti8 ай бұрын
😢Amen nashukuru kwa maombi ya asubuhi hii naamini nimebarikiwa sana
@Mourine-v3h4 ай бұрын
Asante mungu kwa kunilinda mm na familia yangu tumeona siku nyingine njema utuongoze utupe hekima na maarifa uwe pamoja nasi hati jioni tutasema Asante jina lako liinuliwe na lipewe sifa katika jina la yesu nimeomba amen
@umuhozamarienoelle62027 ай бұрын
Amen Amen Amen, Asante 🙏🙏🙏Mungu wangu kwa baraka zose umunipangiya siku ya Leo. Napokea katika jina la Yesu Kristu.🤲🏽🤲🏽🤲🏽 ❤️❤️❤️❤️
@BabuNdimba8 ай бұрын
Nashukulu mungu Kwa kuniamusha salama Mimi na family yangu
@LydiaNasimiyu-h1n7 ай бұрын
Bwana Yesu Kristo uinuliwe mwokonzi Yesu niongoze na Nuru Yako alelluyah
@HappyAlpineVillage-zz5bc8 ай бұрын
Asantee Mungu nimelala sarama nimeamka sarama Asante Mungu akunataarifa mbaya
@CharmanteMustafa-u9sАй бұрын
ASanté yesu christo kwa kuilinda famille yangu nasema jina lako liimidiwe mi lele katika jina la muokozi wetu yesu christo Amen 🙏🙏🙏
@LydiaNasimiyu-h1n9 ай бұрын
Nashukuru kwa maombi Bwana Yesu akubariki sana pamoja na family yako baba
@LydiaNasimiyu-h1n11 ай бұрын
Ameeeeeen pstr barikiwa sana ❤❤❤
@ALESIACHIJOKA13 күн бұрын
Asante kwa muongozo wa kutuasa kuomba mungu kwa uchaji mkuu mwenyezi MUNGU akubariki KATIKA yote AMEN ❤❤ Amen 🙏🙏🙌
@irenmendez8 ай бұрын
Asante sana Mungu wangu Hakika wewe ni mwema🙏
@lucyauma154711 ай бұрын
Amen asubuhi njema. Bwana yesu asifiwe
@bertilashirima343810 ай бұрын
Haletuya Asante kwa maombi naamin nimefunguliwa na kubarikiwa amen
@elishamafulu10610 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@Kagehaijanira9473Ай бұрын
Asante kwa maombi ya asubui nimepokea katika jina la yesu Amen 🙏🏽
@Christianchazinho3 ай бұрын
Asante Mungu umenilinda na kuniamsha salama pokea sifa na shukrani katika jina la yesu kristo Amen 🙏
@hillarimtambo482Ай бұрын
Nakushukuru Mungu wangu kwa ulinzi ulio tujaali na family yangu amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@agnesspaul18666 ай бұрын
❤ Asanteeee Muñgu kiniamsha Mimi na familia yangu tubaktegemea wewe tu håtuna msaada mwingine zaidi yako Mubarak mtumishi wako Asante Yesu nikiamini upo pamoja nasi
@HappyBoatLake-ex9qy3 ай бұрын
Amen baba Asante mungu kwakuiyona cku ya leo cyo kwa nguvu zangu wala kwa ujanja wangu bali nikwa neema yako mungu wangu 🙏🙏🙏🙏
@VolontésKyalwahi23 күн бұрын
Asante mungu kwaku nilinda usiku muzima sikwa nguvu yangu Ila nikwanguvu zako baba endeleya kulinda familia yangu🙏🙏
@waleedbahar52755 ай бұрын
Amen ubarikiwe Sana mtumishi Kwa maombi MUNGU akubariki sana amen
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Asante sana Mungu Kwa uzima umenipa kuiona siku jema tena Asante sana sifa na utukufu ni zako Mungu waku
MUNGU Asante kwa sababu umenilinda Mimi na familia yangu, Amen
@SakinaWanjemu6 ай бұрын
Asante mungu kwaupendo wako uwalinde watoto wangu kila Watembeapo yasini najunior
@EvetherLucas3 ай бұрын
Asante baba Mungu kwa kuniamsha vizuri mimi na family yangu.ni kwa neema yako tu
@HabibaPazi14 күн бұрын
Asant mungu kwakuniamsha Salam selekali yako ishuke kwangu na ufalme wako uje kweny kazi yangu katika jina la yasu
@LydiaNasimiyu-h1n4 ай бұрын
Asante sana Mungu Kwa ulinzi wako Kwa maisha yangu asande sana Mungu
@BarakaAron-y1b6 күн бұрын
Amina na imekuwa ivo baba heshima na shukurani tumrudishie yeye muumba wa mbingu na nchi
@RuthMwalusamba3 ай бұрын
Asante Mwenyezi Mungu kwa kuniamsha salama Mimi na familia yangu
@marymbeu100713 күн бұрын
Asante Mungu kwa ulinzi wako wa ajabu mm na familia yangu
@victoriamalemba88532 ай бұрын
Asante mungu kwakuona siku hii ya Leo Mimi na family yangu nashukuri Sina Cha kukupa ilanasema Asante🙏
@UmaziSalim5 ай бұрын
Asante mungu Kwakuniamsha asubui ya leo umenipa kibali na neema nakuomba siku ya leo ikawe ya baraka nibariki Kwa kazi ya mikono
@ConsolataMwakibete5 ай бұрын
Asante Mungu Kwa ulinzi,na umenipa afya njema nimetambua nafac na thamani ya kazi Yako naamini Kila nilichoomba utatenda aameni
@LydiaNasimiyu-h1n4 ай бұрын
Mungu Asante kuniwesesha kuiona siku Ya Leo Asante sana Yesu
@AnitaMchomvu3 ай бұрын
Asante Bwana kwa zawadi ya uhai sifa na utukufu ni kwako🙏🙏
@UpendoPaul4 күн бұрын
Ameen Ameen Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mumgu
@MushShelly2 ай бұрын
Asante yesu napkkea kwa jina la yesu
@EdnaMwaisembe6 ай бұрын
Mungu baba pigana nao na wapigana mimi ktk jina la yesu
@ANTONETTBENJAMIN6 ай бұрын
Amen 🙏Asante kwa maombi ubarikiwe pia ww
@LamlathAmdani5 ай бұрын
Mungu abali sikuyangu na anifungulie milango ya lizi na kunikutanisha na watu sasa amen
@VedastinaVedasto-m8z9 күн бұрын
Asante Mungu asubuhi ya Leo pigana nao wanaotaka kupigana Nami Amina
@NakijwaNancy5 ай бұрын
Asante Mungu maana naamini kwakupitia maombi haya utatenda kitu kwa ajili yangu
@ScolahChachaАй бұрын
Asante mungu kwa uhai na uzima mm na Familia yangu
@اال-خ2ت11 ай бұрын
Amen. Amen asnde san. mtumi shi wa mu ngu. Amen. Mtu shi wa mungu nataka kuJihu nga na maombi. kufu nja mikosi mm ni Ann lngabi mm ni mukenya iaki ni nko saudia. Maombi yana ni Linda san. Mungu akulide san Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@SaidAliSaid-r1s4 ай бұрын
Asante mungu kwakuwa unipakibali chakuiona siku yaleo naomba baraka zangu ziwenami
@EvalineEvalineslaa4 ай бұрын
Mungu naomba unirehemu Mim mwanao
@happymassao60443 күн бұрын
Amina nimepokea kwa jina la yesu
@emiliananyamwasaАй бұрын
Amina napokea maombi haya kwa jina la yesu
@RehemaMsosa2 ай бұрын
Nashukur Mungu wa mbingu na nchi kunifanya kuiona siku ya leo kupitia jina la YESU ailie hai mwana wako pekee naomba na kuamini,Ameee
@EinotyAbelАй бұрын
Ameeen ,Barikiwa sana Mtumishi
@sulehyanajma33992 ай бұрын
Mungu asante kwa kuniamsha salama mm na familia yangu
@lucianguma455214 күн бұрын
Asante Mungu kwa haya maombi nimeaka salama
@NaZ1-o5k11 ай бұрын
Amen naomba mungu ulinde kila mahali niendapo niwe pamoja nawe.
@jacintamutua2572 Жыл бұрын
Asante Sana mtumishi wa bwana mungu awe nawe siku zote
@monicahkariuki79262 күн бұрын
Thank you Lord for everything
@MaeneKapinga3 ай бұрын
Asante mungu kwa kunipa Siku ingine ya kupumua ni kwa nguvu zako Nina kila sababu ya kukushukuru, Nina kila sababu ya kukuabudu ee bhnaa,,
@ponsianabyarugaba15643 ай бұрын
amina kwa ushidu ulioyo tupatia mungu awe nawe siku zote za Maisha
@Annahnekesaajuma5 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@DativaMassawe-wk2nz3 күн бұрын
Mungu asante kwa ulinzi wako
@MwanaidNkuruvi-wj1ti8 ай бұрын
😢Ameen Barikiwa sana
@virginianjeri34948 ай бұрын
Asante Mtumishi na shukrani kwa Mungu kwa kutupenda sisi
@margaretmumby24119 ай бұрын
Asante yesu..anza nami yesu
@farajinyaindi64674 ай бұрын
Ahsante kwa siku hii ya leo ❤❤❤
@JoyceGeorge-l1t14 күн бұрын
Asante yesu kwa upendo wako
@NizereOrnella4 ай бұрын
Barikiwa sana❤❤❤
@julyjuly-ik9er Жыл бұрын
Amen mhubiri na Mungu akupariki 🙌
@devothamwashiuya35915 ай бұрын
Asante yesu kwa neema yako
@SinarubanjeLambertАй бұрын
Asante mtumishi kwamaombi ya asubui ubarikiwe saana
@dfkcic318411 ай бұрын
Amen Mungu nilinde pamoja na familia yangu
@issakaandulea691912 күн бұрын
Asante yesu kwa kuniinua
@Mourine-v3h2 ай бұрын
Amen and amen thank you God for waking me up
@FaridaKessy9 ай бұрын
Ameni asante mungu kwa kwakuamka salama🙏🙏🙏🙏
@vmns4914 Жыл бұрын
Asante mungu kwa kuniamsha salama🙏🙏🙏
@irineirine7583 Жыл бұрын
Amen amen amen 🙏
@BarakaAron-y1b6 күн бұрын
Amina imekuwa ivo baba
@JkJk-z1p5 ай бұрын
Amen,naomba,mungu,snifunulie,mlango,ya,ndoa
@thea-i4f4 ай бұрын
Sifa na utukufu NI vya mungu milele na milele Amina
@MarieMakiwa5 ай бұрын
Asente mungu kwa kutuhamusha salama
@naninana13346 Жыл бұрын
Sante baba ubarikiwe pia
@aminakubutanobenda40935 күн бұрын
Asante mutumishi wa mungu
@aminarajab104511 ай бұрын
Asante mungu kuiyona sikuyaleo mimi nafamilily yangu
@NellyKombe5 ай бұрын
Amen asante sama mtumish kwa madmbi
@ambindwilemary30106 ай бұрын
Asante kwa maombi Mungu akubariki
@FranciskaMartin-n3m2 ай бұрын
Asante Mungu kwa kuwa unaendelea kinipigania
@elishamafulu106 Жыл бұрын
Asante MUNGU Kwa kuniamusha salama
@JenniferBaya-zu5cr4 күн бұрын
Asante kwa kuiona siku ya leo
@MauaRamadhan-p5k Жыл бұрын
Asante bwana Mungu, Kwa kila Jambo
@MoosaMd-h6b2 ай бұрын
Asante Mungu kwa uhai na uzima siku ya leo
@FatmaAbdul-q9e9 ай бұрын
Asante mungu kwakuona sikuyaleo asante bwana
@NasriHasan-tv7vy8 ай бұрын
Asante mungu kwakuiona siku nyingine tena ya leo
@ANNAKAPUNGU-c3lАй бұрын
Asante mungu kwakuiona siku hii ya leo🙏🏼
@IreneMatoke9 ай бұрын
Asante pastor mungu akubariki na mungu asifiwe amen