Ahsante blue kwa kutufungia & kutufungulia mwaka vizur 🔥🔥🔥 Happy new year to you ... Lyrics Mikono naitupa tu nikimwita naitupa tu (kulee aah kuleee) Ilo somo analokupa tu hayo mapenzi anayokupa duuh Shule aah shulee Ameniganda kama superglue aking'ata kama ouh Mtoto yule ah yuleee Namvunjia kibubu nikate pochi Mtoto ukale zabibu ukale misosi Kwenye mechi nacheza taratibu sipigi dochi Mtoto bado dent njoo kwa kocha nikukochi Kipindi chako cha mapenzi nakihost Napicha zetu zau...nazipost Namwaka huu bata zenj au costbeach live kwenye boti Beba swimmingcost Kama unantekenya Nako kashepu kakusengenya Inama tuone kama itapenya Njoo tucheze adiselema baby Magongo nshatupa kilema Weekend twende cinema Kama mayele nitatetema nitatetema I wanna see for you Boo boo baby boo Boo baby boo Boo baby boo Yani umenikoreza Boo boo baby boo Boo baby boo Boo baby boo Boooo Chagua we kishtobe ukalishe twiga ama ukaoge na kobe (we weee) Amua we nistoke hainaga shida ntasema tu kunatope (we) Afu so mrembo tu anarembeka (wee) Anaitika dady arabeka (wee) Anaishika nanii anaweka (wee) Anachuchu dede anadeka (aaah weka) Weka mama la mama (weka) Weka ulichorithi huko kwa mama (weka) Weka manyamanyama weka weka (aanh weka) Weka mubebe (weka) Weka alafu ijae mukebe (weka) Weka mubebe (weka) Weka weka (aaanh weka) Kama unantekenya Nako kashepu kakusengenya Inama tuone kama itapenya Njoo tucheze adiselema baby Magongo nshatupa kilema Weekend twende cinema Kama mayele nitatetema nitatetema I wanna see for you Boo boo baby boo Boo baby boo Boo baby boo Yani umenikoreza Boo boo baby boo Boo baby boo Boo baby boo Boooo
@ideagene60452 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2akpIyEnctrhck
@dottomccraney54852 жыл бұрын
💚❤️
@dottomccraney54852 жыл бұрын
💚💚❤️❤️
@Tellaaxis2 жыл бұрын
Kanyaga
@shukranisibale17392 жыл бұрын
Hatar
@silvernayzer41072 жыл бұрын
Kama mayele nitatetema nitatetema🔥🔥🔥🔥
@alexfrank53422 жыл бұрын
Chinga kaua hli ngoma aiseee umeanza mwAk vizur man appreciate 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hot song⛳📻📻
@hafidhali43362 жыл бұрын
Unyama sana. Yaani ibrah kauwa sana kwa hii ngoma kweli konde gang more fire🔥jeshiii. Km unakubali gonga like
@Wamoyothenumberone2 жыл бұрын
Kwanini wengine hawajua unasrma
@suleimanmohammedali25022 жыл бұрын
Chinga umeuwa mwana chorus mpango mzima 🔥🔥🔥
@Conshamusic2 жыл бұрын
Bonge Moja La Dude Ibrah kauwa kinoma Humu🙏🔥🔥🔥🔥🔥Byser kaumiza Na Baddest kachinja KIUFUPI Bonge la Dude like zote ni Hapa mwanzo wa mwaka na Goma letu la kwanza kali🔥🔥🔥🔥🔥
@djwilliams_2 жыл бұрын
Mistari Ya #Ibraah Ni 🔥🔥🔥 Alafu Ana Sound Kama Vile #MasautiTheKenyanBoy Au Ni Masikio Yangu...Lolololol
@TheRealAtomeec55.2 жыл бұрын
Namuona Video Queen wa Kwenye ile Ngoma ya Ibrah na Killy #Kiuno🤩😋😋
@joycemanyaza53682 жыл бұрын
noma sana I see Ibrah mr blue baddest 47 hiki moto chingaaa tutatetemaaaaaaa❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@townclerk0012 жыл бұрын
Kuleeeeeeeeh....weeeeh ambia wacheze mbali kabisa 🦸🦸🦸🦸🦸💯👑💯
@bennettbennett29152 жыл бұрын
😃😃😃😃😃 Jaman uyu chinga mnamuoanje mazeee,,,,Mtoto niatari uyu😃😃😃 Big up kwako
@stevewanga9572 жыл бұрын
Blue bado kamaintain kwa game huaga haja fail ..much love from🇶🇦🇶🇦
@princekenyan2 жыл бұрын
Ibraah on top, hiii nayo kauwa,,kazi safi
@bekadzobekadzo95872 жыл бұрын
Ngoma kali sana bro 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
@BAHATIKIBA-ul6wx Жыл бұрын
No One Like You Ibraah Nimekubal Hili Goma Hili Umehuwa💯💯💯💯💯💯💯
@mrambanyundo1172 жыл бұрын
hata mubane hii kali naipenda 🕺🕺💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💥💥💥💥💥💥💥💥💥👙👙👙👙👙👙
@blacktiger44392 жыл бұрын
Tuachane na Mr Blue coz ni legend yeye ni lazima anyooshe verse yake na rap au hip-hop...huyu Ibrah apewe heshima yake,salute🙌
@AhmedSalah-wm6tq2 жыл бұрын
Oyaaq nyani zee naona support yako kwa young generation since way bak huzeeki bayser goma kali
@abdallahamad46822 жыл бұрын
Oya kazi na nusu kumbee with nice beat🙌
@swalehmohammed44742 жыл бұрын
Tumewashaa moto tayr hatucheleweshi chinga kama chingaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️💯💯
@salehsaid45592 жыл бұрын
Ibra so proud lafudhi uliyotumia ni amazing umetisha kinomanoma
@saltycityproduction79072 жыл бұрын
Nakubali bro....keep up the good work
@abdulsijali71772 жыл бұрын
Chinga, baddest ,blue umekuwa ile mbaya xhow kal
@jackdope2 жыл бұрын
Ibraaah ume tisha sana mdg wangu 🥂🥂
@petermaseke92212 жыл бұрын
Kazi nzuri bro Baisa Mwaka umeuanza vzr 🙏🙏🙏🔥🔥
@MtotoWaJemo2 жыл бұрын
Inama tuone kama itapenya😋🔥🔥 chingaaaa🙌
@zainulabideen69552 жыл бұрын
Am happy to see kabaysa A.K.A MITXARAZO PRESIDENT, you take us back childwood.
@mirajifundi85592 жыл бұрын
Msaniii mkubwa Kaka Mr blue ukiachia kitu watu tuna taka kujuwa umeachia nini respect 😎😍
@tausitala42372 жыл бұрын
IBRA akikaa kwenye chorus cku zote anauwaga sana 😍😍
@dannyalfreud32802 жыл бұрын
DJ Danny Congo kwa kweli Ibra mwanangu nakukubali sana' iyo ngoma ni Kali sana
@jabirinangoro21802 жыл бұрын
ibraah ukikaza hivo huu mwaka umeuanza vyema maana humu ndani kuna unyama mwingi saana 👏👏💪
@directormwarabu2 жыл бұрын
Naweza sema mr blue uu mwaka umeaza na bonge ya collaboration. Salute sana ma niga
@alibinali_2 жыл бұрын
Mr Blue wa moto respect the Legend
@bilalyahya64182 жыл бұрын
The king ibraah n moto wa kuotea mbali snaaaa
@nicholusngumbao36872 жыл бұрын
Ngoma kali,video kali then ibrah amemaliza kila kitu.congrats to the whole team.
@sahawelachunya74582 жыл бұрын
Killing my brother ibra nyani zee umetisha sana mzee 🔥🔥
@binthkhamisi10972 жыл бұрын
Wangap wameirudia zaid ya 10 kwa ibra ..buuu bby.... bby buuuuu
@thomasipaulo14662 жыл бұрын
Ooooohhh buffffffffffffff💥💥💥💥💥💥💥💥💥 ibraaaaa 🙌🙌🙌
@nonymassmusic19372 жыл бұрын
Kwanza kabisa kazi kuu...ilo combination ndilo Zaidi ningependa Baddest 47 apatane na Bada Best wa Nairobi
@williamsblessing42162 жыл бұрын
Iyi song Kali sana 🔥🔥 Africa wake up
@davidkauki14972 жыл бұрын
Fire sanaaa🔥 naludia Ludia .... Ibraah umeuwaa💯
@aboilangababathuma2 жыл бұрын
Ngoma mambo bad sio utani🔥🔥🔥#Mr Kabyser aka nyani zee upoi leo bro keep the good music high
@samwelenjuma33122 жыл бұрын
Team ibraah anatisha sana love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@yohanatulito11822 жыл бұрын
Kama mayele nita tetema 🔥🔥🔥🔥🔥 ibra ume ua sanna
@trapnondo8732 жыл бұрын
Hivii ndio tulianzaa mwaka...🙏🙏🙏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥
@gabrielgovi78912 жыл бұрын
Chinga the killer,,,chorus iko wagwan sana. Big up Ibraah
@aishaissa25122 жыл бұрын
Bonge la chupa kila saa naisikiliza 🔥🐘💙
@blackpkusa2 жыл бұрын
Untouchable Byser👊👊👊 ww n Icon broo💯💯💯 twakupenda sana💪💪💪
@surusuru19942 жыл бұрын
Ooooh pappppppppa Meuwa 🕺🕺🕴️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇴🇲🇹🇿
@marionex94132 жыл бұрын
King of new school 🔥👑 AkA CHINGA ❣️He is the Best...he nailed it that chorus
@yuslaelias9532 жыл бұрын
Vijana wameuwa🔥🔥🔥🔥🔥 wakiongozwa na baba yao# Mr blue
@nestorassani54612 жыл бұрын
conde gang family tujuane hapa 💪✌
@MTALIITV2 жыл бұрын
Blue ameanza hii ngoma vizuri mpaka nikatamani ingejirudia tena huko mbele ila basi tu🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌....Shuleee eh!😂😂😂😂🔥🔥
@husseinabdikadir57392 жыл бұрын
Biizzy babilon 🔥🔥🔥🔥🙌 #Goat 💪
@johnndegwa672 жыл бұрын
Ibraah kijana Bomba, Ngoma kubwa na Moto Sana 🩸🩸
@pacomezouzoua91752 жыл бұрын
Ibraah mnyama sana Konde ganG worldwide🔥🔥
@alphonceshija15882 жыл бұрын
Nooo doubt legend Ila ibraaaah kamalizaaaa Weedeerr
@eunicemwaiki97762 жыл бұрын
Ibraah, the king of mistari😋🥰🥰🥰
@augistinmumbere30712 жыл бұрын
ibraah umeuwa sanaaaaa🎶🎼🎼🔥🔥🔥🔥
@mtemi2 жыл бұрын
My 1 to 3, 1 Being The Top 3 Bottom. 1. Blue 2. Chinga 3. 47. Sema huyu Dogo Chinga Ni Wakumuangalia Sana ni 🔥🔥🔥
@kingmonte36002 жыл бұрын
Woza wooza Atari sna mwanangu bizzy maupendo from Kenya such a vibe you killed it 🔥🔥🔥
@luthermbio18652 жыл бұрын
Bongo nzima hajawahi tokea rapa mkali wa muda wote kama blue,,naposema wa muda wote muelewe ukibisha ww hujui muziki
@MTALIITV2 жыл бұрын
Hitsong🔥🔥🔥254 tushapitisha🔥🙌🙌🙌
@zezenature2 жыл бұрын
Chingaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥Ibraaaaah amekill hiyo chorus kinyama
@cmk_football2 жыл бұрын
The king of new school ameua, Kondegang for everybody 🇰🇪🇹🇿
@salimkombo22232 жыл бұрын
Mushaliza ubishi chinga na blue nyani zee 🔥💯 Kenya tuko on 🇰🇪🇰🇪
@Dira-902 жыл бұрын
Konde gang imewakilishwa vyema 🔥🔥🔥
@bachii25492 жыл бұрын
Mbona huwa sipati likes Kwa Ngoma za Blue byser 🇰🇪🇰🇪
@jumaamohamed28152 жыл бұрын
Oyiiii Wana tuendelee kutazama goma letu hili kwa speed lifike# trending no.1 mwanenu nshaanza kuitwa mbwa coz nlitabiri tunafika 1 na saiz tuko 11 oyaa Wana msiniangushe jmn
@charlesngombo16162 жыл бұрын
Blues Collabos are always Unpredicted...Fire sana
@moussababanla3992 жыл бұрын
👑👑👑
@leskaryjoram88322 жыл бұрын
Huyu bro ni hitarii apoi
@ideagene60452 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/i2akpIyEnctrhck
@directorkakoso2 жыл бұрын
Kama hii ngoma umeisikiliza mala mbili gonga like aisee blue anazeeka na utamu wa mistali mipya ila sikuwahi jua kama ibra ni mtam kwenye choras japo kahari u hapo kwenye mayele😂
@alimkumba94592 жыл бұрын
Byser kama Byser never disapoint brother ngoma ni unyama sana