MRADI WA BARABARA ZA LAMI MZUNGUKO WA NJE DODOMA SEHEMU YA KWANZA KM 52.3 WAFIKIA ASILIMIA 70.28

  Рет қаралды 4,459

TANROADS HQ

TANROADS HQ

6 ай бұрын

Пікірлер: 14
@OmaryBurra-og6fb
@OmaryBurra-og6fb 6 ай бұрын
Hongera sana kijana wetu waziri bashungwa ktk usimamizi wa miradi ya kitaifa na pia tunampongeza sana kaimu meneja wa tanroad dodoma injinia Colman Gaston Kwa uzalendo wake wa kujituma kusimamia miradi hii ya kitaifa Kwa weledi mkubwa hongera sana Kwa kweli waziri bashungwa anapaswa kumuangalia huyu na kijana na kuwa meneja kamili badala ya kaimu Ili kumpa motisha na Ari ya kufanya kazi
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 6 ай бұрын
Bashungwa atolewe tu anakugharimu mama samia
@bezalelmbijima8182
@bezalelmbijima8182 5 ай бұрын
Angepewa Nyanza bila shaka mradi ungeshaisha tena kwa kiwango
@eddechriss2664
@eddechriss2664 6 ай бұрын
Tuonyesheni pia picha za mradi ulipofikia sio maneno pekee
@kikalarashid9003
@kikalarashid9003 6 ай бұрын
Barabara ya mzunguko dodoma imefikia wapi??
@bezalelmbijima8182
@bezalelmbijima8182 5 ай бұрын
Unasomewa tu risala kama amelipwa kwa nini mradi uwe asilimia hizo? Tembea na wataalamu wako mheshimiwa ujionee mwenyewe mbo mzunguko mdogo tu.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 6 ай бұрын
Katika wazir mzigo ni huyu mama kwann unamlea bashungwa utendaji hamna kitu kila siku yupo mitandaon kutuma video barabara zinapigwa zipo chini ya viwango
@victorjames3730
@victorjames3730 6 ай бұрын
Mbona hatuoni picha ya mradi wenyewe 😢
@AbduliMaulidi
@AbduliMaulidi 5 ай бұрын
Jinga hawa
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 6 ай бұрын
Na balabala za watembea Kwa miguu mbona Hakuna na kuwekwe lakini ya baisekeri na Pikipiki
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 6 ай бұрын
Bashungwa atolewe hajielew
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 6 ай бұрын
Wewe ndiye unayefaa kwenye hiyo nafasi Kama akitolewa😮😮
@dullahomar6377
@dullahomar6377 5 ай бұрын
Wewe ndio hujielewi
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 5 ай бұрын
@@modestwenceslaus9 mirad mingi ya barabara imemshinda wakandarasi wanafanya wanavyotaka
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 26 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 16 МЛН
HALI YA UPATIKANAJI WA MAJI KWA JIJI LA DODOMA
5:02
DUWASA
Рет қаралды 248
"RUTO ALIONA GIZA AKAITA RAILA AMSAIDIE!" FUNNY JUNET MOHHAMED SAYS IN TURKANA
8:04
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 78 МЛН