MRADI WA MAJI WA BILIONI 520 ARUSHA ULIOKWAMA KUJADILIWA NA MAKONDA,DKT.BITEKO NA WAZIRI AWESO

  Рет қаралды 41

Dream Online Tv

Dream Online Tv

Күн бұрын

MAKONDA, DKT. BITEKO NA AWESO KUUJADILI MRADI WA MAJI WA BILIONI 520 ULIOSHINDWA KUTEKELEZEKA.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amepanga kukutana na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa nishati nchini Tanzania Dkt. Dotto Biteko na Waziri wa maji Jumaa Aweso kujadili juu ya gharama kubwa za uendeshaji wa mradi wa maji, unaotekelezwa kwenye jiji la Arusha, maarufu kama mradi wa Bilioni 500.
Mhe. Paul Makonda amefikia hatua hiyo leo Jumamosi August 17, 2024 wakati wa kikao kazi na maafisa wa Mamlaka za Maji mkoa wa Arusha na kuwaomba uvumilivu wakazi wa jiji la Arusha wakati huu ambapo ameahidi kutafuta suluhu ya kudumu ya mradi huo wa maji.
"Hili jambo lazima tulikalie kikao na tulitafutie ufumbuzi wa haraka kwa kukubaliana kwa pamoja kwamba tuiombe Wizara yetu ya Nishati ituingize kwenye watoa huduma na tutoke kwenye Unit moja ya watu wa viwandani kuja kwenye unit moja ya watu wa makazini ili kusaidia kupunguza mzigo wa uendeshaji wa mradi huu" Ameongeza Mhe. Makonda.
Mhe. Makonda ametumia nafasi hiyo pia kuwataka wataalamu mbalimbali ndani ya mkoa wa Arusha kuongeza umakini kwenye usimamizi wa miradi hasa katika hatua zake za awali za usanifu ili kutokuwa na miradi isiyotekelezeka na yenye gharama kubwa za uendeshaji suala ambalo limekuwa likiwaumiza walengwa wa miradi hiyo ya maendeleo.

Пікірлер
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Mwananchi Digital
Рет қаралды 8 М.
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 33 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 215 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29
UCambridge AI Medicine Keynote CCAIM24 Summer School   Manolis Kellis
1:09:43
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН