MREJESHO MREMBO MSOMI AANZA KUTEMBEA MWENYEWE BILA KUSHIKILIWA

  Рет қаралды 17,025

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 118
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 4 жыл бұрын
Mungu ni mkuu...mimi ni mkristo bt nimejua waislamu ni watu wa upendo sana. Watanzania kwa jumla hongera kwa upendo wenu. Mungu awazidishie. From Kenya
@maximumtvonline
@maximumtvonline 4 жыл бұрын
Saaana Wana upendo wa ajabu na moyo wa kusaidia sana
@CuteFlora
@CuteFlora 4 жыл бұрын
Haya jamani kidogo tulichonacho ...sadaka sio lazima kiwe kikubwa ila pia sisi waislam tunasema ukitoa ujue unajiandalia amali Njema leo na kesho akhera...hata una mia 5 toa jaman huwezi jua kesho na wewe utaamkaje...tu muombe allah atuepushe na maradhi na awaponye wote aliwapa mtihani wa maradhi🙏🏾
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 4 жыл бұрын
Amiiin
@hjhj6230
@hjhj6230 4 жыл бұрын
Amiin
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
Amiiiiin
@dottnatt7110
@dottnatt7110 4 жыл бұрын
Amiin inshaaAllah
@salamazuberi7298
@salamazuberi7298 4 жыл бұрын
Asante mungu
@azizajimmy4739
@azizajimmy4739 4 жыл бұрын
Alhamdulillah mwenyez mung atakufanyia wepes Inshaa'Allah penye nia pana njia kikubwa subra na uvumilivu. 💖
@nailasaid4918
@nailasaid4918 4 жыл бұрын
Asalamu alaykum warahmatuAllahi. Mashallah, Mashallah nimependa sanaa imani yako M/Mungu akuzidishie Imani na iwe ponyo yako yarrabbi. 💞
@maryamahmed2453
@maryamahmed2453 4 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR, SUBHANALLAH,Jana I tujifunze kwa dada yetu kwa kumkumbuka ALLAH.Tuombe maghufira daima.
@zitoniebrahem3174
@zitoniebrahem3174 4 жыл бұрын
mungu azid kumfanyia wepes aweze kupona
@sulemohd4812
@sulemohd4812 4 жыл бұрын
Utapona tu amini mungu yeyendioatakuponyesha
@sabahhassan7167
@sabahhassan7167 4 жыл бұрын
Masha allah mpenz mng azd kukutangulia
@rahiyaomari9585
@rahiyaomari9585 4 жыл бұрын
Mashallah Allah ni mwema kwa waja wake Allah azidi kukuafu in shaa Allah
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 4 жыл бұрын
Asante BABA wa mbinguni kwa kumuona mwanao BABA ukazidi kumtendea akapate kufanya shughuli zake mwenyewe 🙏🙏🙏🙏
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Dada tembelea nabii geordavie yuko kisongo arusha kanisa litwaalo ngurumo ya upako,kwani kwa Mungu yote yawezekana,usiangalie dini bali angalia uponyaji tu,akuombee na utapokea uponyaji@Kenya
@mrsliverpool4235
@mrsliverpool4235 4 жыл бұрын
Alhamdulillahi Mungu ni mwema. Barikiwa maximum TV
@maximumtvonline
@maximumtvonline 4 жыл бұрын
Amen..
@sarahadam4535
@sarahadam4535 3 жыл бұрын
Kwani ugonjwa wake umegundulikani nini?..MSA?
@kassimukipingu5343
@kassimukipingu5343 3 жыл бұрын
Nimekupendea tu umesoma hata dawa unazitaja ipasavyo.
@hamidajuma3909
@hamidajuma3909 4 жыл бұрын
Kwajili ya Allah utapona inshaallah
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 3 жыл бұрын
On call plus ni ya diabetes
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 жыл бұрын
Dada atumie na dawa ingine mzuri sana itwayo kama oestocare, ni nzuri sana na viungo kama joints tena ni supplement na ata chuchumaa kiraisi sana na ni bei rahisi tuu .
@ukhtymwana4998
@ukhtymwana4998 3 жыл бұрын
Allah atazidi kukuwezesha utapona
@omarsharifa5606
@omarsharifa5606 4 жыл бұрын
Zahir Allah akufungulie milango ya pepo kakangu mungu akulindee akupe umri insha'Allah 🤲🤲🤲🤲🤲
@maximumtvonline
@maximumtvonline 4 жыл бұрын
Amen..Asante sana
@yvonnemhadu3698
@yvonnemhadu3698 4 жыл бұрын
Huyu dada nahisi Kama hajaridhika kwakweli na Kama itakua ni kweli nafsi yake haijakubali matokeo basi atazidi kujiuma Ila zaidi tunamuombea kheri tu mungu ampiganie amuinue
@faridaessa7844
@faridaessa7844 4 жыл бұрын
Mungu mkubwa utapona kwa uwezo wake
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 жыл бұрын
Ameen yaraab alamiin
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 4 жыл бұрын
Amin
@zaynabhadoso4783
@zaynabhadoso4783 4 жыл бұрын
Alhamdulillah mungu ni mwema
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 4 жыл бұрын
Hongera kwa improvement. Nadhani angeenda hospital ya serikali gharama ingepungua aghakhani ni gharama kama huna uwezo. Napaamini sana Muhimbili.
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 жыл бұрын
Mungu ni mkuu,Amina@Kenya.
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 4 жыл бұрын
Home Team
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 4 жыл бұрын
Daktari hawez kuprove kupona ni wewe imani yako ndio itakupona dada weka imani sana doctor ni binadamu kama wewe sasa usimtumain doctor bali mtumain na kumwamini Mungu pekee
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Maa shaallah mungu mkubwa🤗
@saadiaali5609
@saadiaali5609 4 жыл бұрын
Mifupa haina maji ndio inasuguwana kwahio kunywa supu za mifupa hasa ukipata ya mbuzi itakuwa vizuri sana na mboga za mchicha na mabenda
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Alhamdulillah, mungu atakuafu inshaallah
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 жыл бұрын
Kua na imani asilimia zote utapona kwa uezo wa Allah kwake hakuna nishindikanalo mdogo wangu 🙇☝
@abumoyo5341
@abumoyo5341 4 жыл бұрын
Mashallah Mungu yupo pa1 na ww dada
@akilamussa3724
@akilamussa3724 3 жыл бұрын
Pole utapoa inshaallah
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 4 жыл бұрын
Asaalam alykum waramatulah wabarakatul. Sweety dada vp mambo. Alhamdulillah Allah Akbar, Insha Allah utapata nafuu kwa uwezo Allah . 💕💕❤😍
@rukiaosman8416
@rukiaosman8416 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah Alhamdulilah Allah atazidi Kukupa afya yaarabi My ❤️ sister
@rukiaosman8416
@rukiaosman8416 4 жыл бұрын
Utapona inshallah Jikaze dadangu utapona Kwa uwezo wake Allah inshaallah
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 4 жыл бұрын
walykum msalam waramatullah wabarakatu Alhamdhulilah
@getrudamantakara2701
@getrudamantakara2701 4 жыл бұрын
Iiii
@getrudamantakara2701
@getrudamantakara2701 4 жыл бұрын
@@rukiaosman8416 kkko
@saadiaali5609
@saadiaali5609 4 жыл бұрын
Apate zunguo kwa shekhe atapata hata dawa za kujipaka miguu na allah atamponya
@aishahajji9461
@aishahajji9461 3 жыл бұрын
Nikweli kuna mafuta yakujipaka
@sabahhassan7167
@sabahhassan7167 4 жыл бұрын
Nimekupenda bure vile unaiman dhabiti inshaa Allah naamin utapona kwawezo wa Allah iman yk ndio kupona kwko my.
@gmwanaabc7492
@gmwanaabc7492 4 жыл бұрын
Allah atakusaidia utakua sw inshallah
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
hebu nenda kwa wachina pigachuku
@mwahijura7353
@mwahijura7353 3 жыл бұрын
pole sana dada allah atakuponya kwa uwezo wake usikate tamaa inshallah
@asdxsa1008
@asdxsa1008 4 жыл бұрын
Pole sana dada mungu yuko na wewe
@olivaluvanda4524
@olivaluvanda4524 3 жыл бұрын
Dada tumia mafuta na maji ya upako ya kwa mwamposa usiangalie dini hakika utapona
@felistaseleki720
@felistaseleki720 4 жыл бұрын
Mungu akuponye mdogo wangu.
@faridaessa7844
@faridaessa7844 4 жыл бұрын
Usijali tupo pamoja mdogo wangu
@gftonesmo8311
@gftonesmo8311 4 жыл бұрын
MUNGU wew hujawah kushndindwa
@zawadikasimkasim5502
@zawadikasimkasim5502 4 жыл бұрын
Usijali utapona zidi kumuomba mungu
@estherponda790
@estherponda790 4 жыл бұрын
Utapona tu dadangu we endelea kusali,halafu usikose kujisugua na mafuta ya karafuu
@evasaimon2101
@evasaimon2101 4 жыл бұрын
Iyo meza ya tv imenikumbusha mbali enzi ya akina bishanga Dr cheni bi ambiliki
@zakwani885
@zakwani885 4 жыл бұрын
Alhamdu lillah M mungu atakupa shifaa
@evasaimon2101
@evasaimon2101 4 жыл бұрын
@@zakwani885 pole Sana mpendwa wangu Kama nimekukwaza naomba unisamehe sana
@neemadangote4061
@neemadangote4061 4 жыл бұрын
Pole Dada
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 4 жыл бұрын
Allah azidi kukupa nguvu
@mamuually5579
@mamuually5579 4 жыл бұрын
Jamani mungu na mithihani yani uwe unatembea kisha ghafla urudy mtoto uanze kufanya dee,,,,,yarab tuongoze waja wako
@maryharold838
@maryharold838 4 жыл бұрын
Mungu mkubwa aisee
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 4 жыл бұрын
Insha Allah my
@salehkhalfan1473
@salehkhalfan1473 4 жыл бұрын
Mqzowezi yakutembea kwa miguu ndio mazuri zaidi
@ains1122
@ains1122 4 жыл бұрын
Mimi mkenya ila nawaomba wa Tanzania smami3ni huyu Dada jameni tumeiona jezi za yanga na simba Ile Hali mlivyo zinunua 30000/- huyu Dada akutumia elfu 10 tu kiasi ya kiwanja kimoja mbona atapata matibabu jameni tumshikeni mkono
@mamukassim4075
@mamukassim4075 4 жыл бұрын
Ndio mazoez mazuri lakin jitaid na mazoezi ya miguu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 жыл бұрын
Utapona mamy kuwa na subra
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 4 жыл бұрын
ALLAH atazidi kukusaidia dada angu eka iman utapona hakuna ajuae sir ya Allah jitahid kuvuta nyiradi na kusoma Quran sura unazo cjui nampnda sanaa uyu dada kazur Maa shaa Allah
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 4 жыл бұрын
Allah atakupa takhfifu inshaa allah taala
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 4 жыл бұрын
Mungu yupo utapona Ameen
@جنيتكينيا
@جنيتكينيا 4 жыл бұрын
MashaAllahu .Allahu akibaru mungu azidi kukupanguvu inshaAllah
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Pole mrembo mwenzangu utapona🙏
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 жыл бұрын
Mtihan pole mpendwa
@rehemaaithumani3076
@rehemaaithumani3076 4 жыл бұрын
Pole Sana Allah akufanyie wepesi inshaallah utapona
@husnanyamvula2372
@husnanyamvula2372 4 жыл бұрын
Mungu yupo pamoja nawe utakuwa Sawa daa
@jamilarajabu99
@jamilarajabu99 4 жыл бұрын
Asante mungu ila mtangazaji upo vizr unajua kuongea na mtu yani kunamuandishi anaweza kumuoji mtu mpk ukashangaa 💪💪💪💪💪
@roseatieno6691
@roseatieno6691 4 жыл бұрын
Pole dada utapona katika jina la mwenyezi Mungu . Hebu jaribu pia na dawa ya oestocare inaongeza fluid kwa viungo sana sana magoti ikisagana yaani ni supplement, dawa hiyo itakusaidia and it's very cheap . Hii ni testimony yangu mana mi pia niliumwa hivo nikatumia madawa na matibabu ya gharama kali sana , sasa ikabaki niende operation lakini dactari mmoja aliniambia nisikubali kwenda sasa aliniandia hizo dawa , kwa sasa niko sawa nachuchumaa chooni , natembea vizuri niko sawa kabisaaaa .
@zainaramadhan7769
@zainaramadhan7769 4 жыл бұрын
Mungu mkubwa inshaaallah utapona kwa nguvu zakee
@manahiljamal8053
@manahiljamal8053 4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah Allah azid kumuongoza
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 4 жыл бұрын
Alhamdulilah
@halishmwarua2957
@halishmwarua2957 4 жыл бұрын
Mashallah mungu hakupona in sha Allah subra daa na dua na kuswali Allah hataleta shufaa Amiin
@zitoniebrahem3174
@zitoniebrahem3174 4 жыл бұрын
innshallh
@ahmedalrahbimmmh2849
@ahmedalrahbimmmh2849 4 жыл бұрын
Tafadhali tunaomba maendeleo yayule dada mweny mimba na mdoqo ake jomn yule alokua anajiuza
@maximumtvonline
@maximumtvonline 4 жыл бұрын
Tunamsubiri ajifungue..
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 4 жыл бұрын
Alhamdulilah Rabbil Aalamiin Mwenye Enzi Mungu azidi kukusaidia zaidi allahumma ameen yaarab
@ashahaji6786
@ashahaji6786 4 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah Allah azidi kumpa shifaa
@shoarimahege2755
@shoarimahege2755 3 жыл бұрын
Mungu atakuponya yote mapito
@rehemaothman2185
@rehemaothman2185 4 жыл бұрын
Mwenyezi mungu atakujaalia utapona Dada
@nasranassor6796
@nasranassor6796 4 жыл бұрын
Dadangu huo ni ugonjwa wa bardi na umechelewa kupata tabibu mwenye kugundua dawa za hospitali zitakuletea madhara mengine.hayo mafuta ya dawa ndio yatakudaidia kueka viungo sawa.
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 4 жыл бұрын
Anazipatajee sasa
@haskao77
@haskao77 4 жыл бұрын
Hukuona video ya kwanza, amehangaika mpaka kwa waganga. Sasa afanyeje? Bora atumie hizo dawa za hospital maana zinamsaidia
@nasranassor6796
@nasranassor6796 4 жыл бұрын
@@haskao77 niliiona ndio nikasema hakupata matabibu wanaojia huo ugonjwa Huo c ugonjwa wa waganga Wala c uchawi huo ni ugonjwa wa bardi unataka daktarijuzi wa miti shamba Kama kwetu uswahilini kuna madktari wa magonjwa Kama hayo tu ya mifupa kupooza.
@nasranassor6796
@nasranassor6796 4 жыл бұрын
@@haskao77 na huu ugonjwa wa bardi uko Mara 2 unaweza kupooza viungo ama mdomo ukaenda upande sasa huku kwetu mtu akiona dalili Kama hizo haraka anakimbia kwa tabibu anapewa dawa za mizizi za kuchemsha Kisha anakunywa na mafuta ya kujichua yaliochànganya na dawa Kali za bardi na sumu ya ugonjwa huu ni kuchomwa sindano. Sasa yy hakupata anaeujulia akashuhulikiwa mapema amepata waganga tu matapeli.
@nasranassor6796
@nasranassor6796 4 жыл бұрын
@@haskao77 na pia ugonjwa huu ukianza kutumia dawa zake kuna baadha ya vyakula unazuia usile maana vinazidisha Kama nyama ya ng'ombe,kondoo,maboga na venginevyo mpaka upone kabisaa.
@reginamjema1739
@reginamjema1739 4 жыл бұрын
Wow my God is gudoooh
@yasintaswahasni4747
@yasintaswahasni4747 4 жыл бұрын
Mashaallah mungu atakujaalia utapona kabisa
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 4 жыл бұрын
Mungu mkubwa
@aishahela1735
@aishahela1735 4 жыл бұрын
Polesana habibty
@agnesgervas8070
@agnesgervas8070 4 жыл бұрын
Mungu n mwema utapona t sali sana hakuna linalomshinda yy
@aminaally9156
@aminaally9156 4 жыл бұрын
Kwan bila kuandika huo urembo wala usom hapati msaada achen hizo hkn binadam mbayaa
@sabihasalim942
@sabihasalim942 4 жыл бұрын
Ma Shaa Allah... May Allah reward you Zahir. 🇬🇧🙏
@maximumtvonline
@maximumtvonline 4 жыл бұрын
Amen Lol Lol
@winfridakaaya2758
@winfridakaaya2758 4 жыл бұрын
Kaka tahir mungu akubariki sana
@maximumtvonline
@maximumtvonline 4 жыл бұрын
Asante sana winfrida
@fatmaissa3877
@fatmaissa3877 4 жыл бұрын
Mungu atakuwafu inshallah.
@saadiaali5609
@saadiaali5609 4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@ahshbsbx2991
@ahshbsbx2991 4 жыл бұрын
Allah akusimamie dada etu
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 4 жыл бұрын
ماشاءاللہ😍
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 34 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,3 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 26 МЛН
Ujenzi unaendelea Dar
2:41
Jiver Kasigara
Рет қаралды 929
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 34 МЛН