Hicho la tatu si ndiyo Iluminate, ushetani huo! Freemason hiyo!
@yohananyamaruri9105Күн бұрын
😅😅😅Hakuna jambo liliosirini au lililofichika ambalo halitawekwa wazima Luka 12:2 Soma , mwisho Dunia ni hii hii kwahiyo tutakuwa ujinga anaofanya huyu Jamaa na kudanganya watu, huku wakiua na kutoa makafara ya Binadamu 😢😢😢
@KINGABUMEKARКүн бұрын
UONGOO JAMANII UYOO DADAA ASIANZEE KUDANGANYAS WATUU JAMANII KWENYE GROUP LA CHIEF GODLOVE NI UTAPELIII MTUPUU JAMANI KILAA ALIYEJIUNGA KULEEEE AMETAPELIWAA JAMANIII NIAMININI MIMIIIIIIIIII HUYU DADA ANATAKA NA NYINYI MJIUNGE ILIIII MTAPELIWEEE AKILIIII KICHWANIIII MWENUUUU
@swaumuabdallah6886Күн бұрын
SWADAKTA YAN UTAPELI MTUPU
@Baira240Күн бұрын
Wewe wangapi walio jitokeza na kusema wametapeliwa?
@SMsemwaКүн бұрын
Duuuh
@GodwinMathias-co1ihКүн бұрын
Sister elimu yote ila bado huelewi madhala ya shetani daaaaa😢😢😢, tumekukosa
@Yness-vh4yy9 сағат бұрын
Ndo matatoa kafara mama zenu
@josephjohn2114Күн бұрын
Ni sawa na yule dada tapeli wa pesa za chatu. Ogopa matapeli.
@AbiaWilliam-s1sКүн бұрын
Ondoka uko dada hapo ni sehemu hisiyo sahii
@AbdallahGokwe2 күн бұрын
Nataka kujiunga
@danielmgonja9906Күн бұрын
Freemasons wapo kazini
@JoyceMkiniКүн бұрын
Unatoa kafara utamaliza ndugu wote kwaajili ya utajiri
@samwelnestory87162 күн бұрын
Mmmh🎉😊😊
@GodwinMathias-co1ihКүн бұрын
😂😂😂😂 Ametukosaaaaaaaaa
@frankanthony63082 күн бұрын
Wa kwanza mm
@janethmwihumbo1289Күн бұрын
Hatari inatisha!!?
@JoyceMkiniКүн бұрын
Ni uchawi huo wewe imepotea jicho la tatu tena utaviacha ukisoma tu masharti imekuwa kwako