Hongera kwa kujiamini, maaana hizi shughuli za Tiba za Asili na Tiba za Jadi wengi huwa hawapendi kujitambulisha maana baadhi ya, dini hizi zilijaribu kushawishi waaafrika waachane na tiba hizi wakisema ni mambo ya kishetani na ukiendekeza huko unaaambiwa huendi mbinguni, especially wa umri kama wako
@zabibubashiri30344 ай бұрын
Doreen kiukweli dawa zako ni nzuri sana kiukweli zinasaidia mnoo
@ClarahMwase4 ай бұрын
Dawa zake ni nzurii sanaa sanaa..😊
@JELSONMAUKI4 ай бұрын
Sawa shuhuda 😅😅😅😅😅😅
@jasmintemu72384 ай бұрын
Kweli huyu ni ndungu na Nandy babake na mfaamu❤
@surusuru19944 ай бұрын
Mash Allah kumbe wakwtu kwmama❤
@JELSONMAUKI4 ай бұрын
Kweli kabisa nazidi kuona utofauti ya kuwa na elimu na kutokuwa na elimu. Kashamaliza degree yake lakin akaona hili hili afanye kazi ya ndoto yake akaona asome vi Short course lakn angekuwa hana elimu hasiongeona haja ya kupata elimu kuhusu tiba asili angeimgia mazima mazima 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@ChristineElias-bn4dw4 ай бұрын
Sio mbaya kwani kuwa mganga ni ajabu xnaaaa kaah
@JELSONMAUKI4 ай бұрын
Hyo kaah 😅😅😅😅
@christinewomanoffaith54794 ай бұрын
Shida ya dawa ya asili,walio wengi,myuma yake kuja spirit/roho(nguvu za giza) Mungu ametuumbia mimea vzr,ila adui ametumia mawakala ili kuzitumia na nyuma yake kuna mashart wakati Mungu hakuweka mashart
@miaduana4 ай бұрын
Wana damu kali, wanafanana balaa
@vibetz99914 ай бұрын
Tiba asili is the best
@Keyjop4 ай бұрын
Mmmh ..nyie wanaume wanaponaje Kwa style hii 🤣🤣🤣🤣
@jinnahsameer4 ай бұрын
Kaka kama hutojali naomba namba yako
@christinewomanoffaith54794 ай бұрын
Wamefanana ,warembo kwao
@mwajumamohamed64264 ай бұрын
tutampata vipi
@elizabethwanjiku78314 ай бұрын
Ni binamu tuu. Wacheni kumuingiza Nandy
@elizabethwanjiku78314 ай бұрын
Madhabahu ya kishetani na nguvu za kuzimu. Heri upande wa Mungu
@edsonnelson44644 ай бұрын
Upi, kwani huo siyo upande wa Mungu? Kwani nani aliyeiumba mimea hiyo na kuiweka duniani?
@JELSONMAUKI4 ай бұрын
@@edsonnelson4464. Shida ake kasoma kichwa cha habari hajasililiza interview hyo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅. Amin hicho 😅😅😅
@fortunataangelo55754 ай бұрын
Jamani Instagram anatumia nani?
@KideNetworks4 ай бұрын
She is a Virgoo
@auntiemylee31574 ай бұрын
Weee wazii tena
@mrsanna78204 ай бұрын
Kwanini hiyo Instagram account amukuandika apo kwa screen?
@Shafikimanga74 ай бұрын
Aliye edit ndio aliyepiga picha hizo?
@ashakisongela18914 ай бұрын
Ni dada yake mtoto wa baba yake mkubwa anaitwa doreen au zuhura
@Catherine-mh8sw4 ай бұрын
Ni mwislam au naona anaitwa zuhura
@MariamKichawele4 ай бұрын
Wanavyokataa utadhani Nandera ni malaika kashusha hvy hana ndugu,hawakawii kusema hata baba ake sio baba ake jamani
@channyanjen90474 ай бұрын
Njoo anampa Nady madawa
@LoveAron4 ай бұрын
Mh!!!! 😳😳😳
@AfricaQueen4 ай бұрын
@@channyanjen9047 umezoea matunguri ndio maana wayasema haya wacha chuki weweeee mkosa riski Na muwaza uchawi sikiliza kwa makini hii sio tunguri unaelewa maana ya dawa ya asili wewe🫵🏾pumbavu kakojoe ukalale 😏😏😏🫵🏾🤪
@elizabethwanjiku78314 ай бұрын
Kiki tuuu
@nancyg86644 ай бұрын
😂😂 kama wewe umezoea kiki peke yako, wengine hawana izo mambo
@aishaabrahaman99574 ай бұрын
Anatumia jina gani Instagram
@AishaOmaromar-w2t4 ай бұрын
Uyu sio dadake Nandy akome
@christinewomanoffaith54794 ай бұрын
Ila wabongo sa unabisha nn😂 Ushaambiwa ni dada yake mtt wa baba yake mkubwa
@Nuru95684 ай бұрын
Ni dada ake kweli Mtto wa baba ake mkubwa
@anethonesmo63904 ай бұрын
Punguza makasiriko Nandy n binadamu wa kawaida kama ww na anandugu kibao
@nancyg86644 ай бұрын
kwahyo nandy hana ndugu au unataka kusemaje
@hellendaniel38094 ай бұрын
Unajikuta unajua watuuuu😂😂😂😂. Unachekesha
@anifamickidard45554 ай бұрын
Sio Dada yake aache kutafuta Kiki
@christinewomanoffaith54794 ай бұрын
Wanafanana kabisa Umemsikiliza ? 😅ni dada yake, mtt wa mkubwa na mdogo
@svt34 ай бұрын
Ni dada yake baba zao mkubwa na mdogo kama Idris Sultan na Lulu diva, kama mke wa Barnaba na Dully Sykes
@Ms_Nuuh4 ай бұрын
Wew ndo unatafuta kiki
@nancyg86644 ай бұрын
😂 kwan nandy ni mdudu ata asiwe na ndugu binadamu baadhi mpoje nyie
@hellendaniel38094 ай бұрын
Kibuyu kweli wewe😂😂😂😂tena cha Kimasai
@MagomaPato4 ай бұрын
Ndio sababu Nandy amejoin Alikiba na Harmonize kwenye uchawi...kuroga youtube account za Wasanii wa WCB...Aibu Tz😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
@elizabethwanjiku78314 ай бұрын
Udaku utakuua. Hayo umetoa wapi
@israeluronu99584 ай бұрын
@@elizabethwanjiku7831😂😂😂😂
@RonnieBertin4 ай бұрын
Wewe akili zako haziko sawa. You need medical attention
@nancyg86644 ай бұрын
sometimes kuna comments zinashangaza jmn uwenda anaecomment ni mgonjwa wa akili so tusishangae