Mrisho mpoto Ft Hamadai - Hatuna deni na mama ( SAMIA ) official audio

  Рет қаралды 6,537

MrishoMpoto

MrishoMpoto

Күн бұрын

Chama Cha Mapinduzi [CCM] kupitia Mwenyekiti na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani.
Wametimiza ahadi na mipango walijiwekea kwenye ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020. Miradi mingi ya Kiserikali imetimizwa na imepata nafasi ya kuwa sehemu ya nyimbo hii na imeelezwa kwa taarifa kamili na data husika
Sikiliza kwa makini utaona kwa namna gani Tanzania kama nchi inazidi kupiga hatua kwenye kutekeleza miradi ya maendelea kwa wananchi walioko mijini na Vijijini. Wimbo huu ni sehemu ya kuakisi yale mema yaliyotekelezwa na serikali ya Mama Samia Suluhu Hassani
Karibu kusikiliza wimbo huu.

Пікірлер: 180
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Hatuna deni na mama
@mdlovetz
@mdlovetz 22 күн бұрын
Mambo yamekuwa moto sasa mjomba hana baya mpaka sasa hii ngoma kali sanaaa
@GavanillahTz-c1z
@GavanillahTz-c1z 22 күн бұрын
Kuna wajomba zenu halafu kuna mjomba wetu sisi jembe kabisa mama akosei mama anaupiga mwingi sanaa hatari
@tonydancer1111
@tonydancer1111 23 күн бұрын
Hakika mjomba ni jembe kweli umetisha sana katika hili mama samia mama
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Ni nomah snaaaa
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Ninnzuri snaaa
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Nyimbo ni kalii
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Mama samiaa huyooo
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Nyimbo ni kali snaaa
@johnkerrysibomana9062
@johnkerrysibomana9062 23 күн бұрын
Kutoka kuwa mwanaharakati mpaka kuwa chawa,Mpoto unavyozeheka unazidi kujishushia heshima
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Mama anaupiga mwingi
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Ninnomah snaa
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Ninnomah anaaa
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Nyimni ni jali xana
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Nikali snaaaa
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Kazi nzuri
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Tuna mpenda mama
@brandley8040
@brandley8040 22 күн бұрын
Mapinduzi ya Kifikra na kauli zenye kutukuka katika sanaa kifikisha ujumbe kwa mama salute kwako mjomba mrisho mpoto mama mitano tena hakuna kuacha hata kidogo
@JOMWENOMKAL-i9s
@JOMWENOMKAL-i9s 22 күн бұрын
Tuna imani na mama tangu alipo apishwa ndio kipenzi cha wengi amesimamia irani na t Katiba ya chama cha mapinduzi hakika sisi tuna deni kwake na mwaka huu tutakulipa mama samia hongera mjomba kwa ujumbe mzuri wa kutanabalisha maono ya mama .
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Mama aishi milele
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Mama kazi iendelee
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Unajua kaka
@JosephThomasMaduka-v3n
@JosephThomasMaduka-v3n 19 күн бұрын
Wasanii wa TANZANIA wote michawa tu , Wanacho jali ni kuangalia matumbo Yao tu , Wala hawanamda na maisha ya watu, Sasa subirini oktoba na huyo mama yenu
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Ni kali nsaaa hii
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Tumuombee mama
@MungoPessa
@MungoPessa 23 күн бұрын
Navutiwa zaidi na mpoto wa miaka Ile c uyu nilie msikia leo
@maximiliankadawiibalaja2198
@maximiliankadawiibalaja2198 18 күн бұрын
Mrisho Mpoto wa Nikipata Nauli siyo huyu wa leo
@thomaslandwhale
@thomaslandwhale 18 күн бұрын
Muombeeni Mungu ampe umri...make Dua'a for her.
@officialliyaahtz
@officialliyaahtz 22 күн бұрын
Unyamaa ni mwingi katika hili aiseee hatari
@usumanezana1775
@usumanezana1775 22 күн бұрын
❤❤❤ baba mrisho mpoto wee ni fundi ❤❤❤ Mungu aendelee kumlinda kiongozi wetu raisi mpendwa mama samia ❤❤
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Kaka unajua
@officialliyaahtz
@officialliyaahtz 22 күн бұрын
Yamesemwa mengi ila hii nyimbo imegusa kila sehemu hakika mama wa hili taifa kafanya vitu vikubwa
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Nakubali
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Ni nyimbo nzuri anaaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Mama anatudai sisi kabsaaa
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Upo vzuri mamaaaaaamitano tnah kwa mmaaaaaa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Ni nzuri snaaa hii
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Nyimbo ni kali snaa hiii
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Fundi snaaa huyuuu
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Fundi snaaaaaaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Huyu ndo mama samjaa sasawew ni mamaaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Aseee mama anaupiga mwingi mama ety
@brandomonstar9443
@brandomonstar9443 19 күн бұрын
Mjomba noma sanaaa humu
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Hatari
@JESSEINNOCENT-n1v
@JESSEINNOCENT-n1v 23 күн бұрын
Ushaili wa kiufundi sanaaa
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Tumpeni mama kura
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Sisi atuna deni na wew mamaaaaa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Nyimbo ni kali mnooo
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Ni top sanaaa hii
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Fundi sanaaa huyuuu
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Chuma cha uakika
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Ni kali snaaa hiii
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Sisi atuna deni na wew
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Ni kali snaaa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Mama samia anajua snaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Mwaka huu ni wa mama
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Mama samiaaa anaupiga mwingi
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Ni kalo snaaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Mitano tnah kwa mamaaa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Ni kali snaaa hiii aseee
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Mama wew ndo unatudai
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Mama anajua anaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Nyimbo ni kaliiii
@esseevodius
@esseevodius 6 күн бұрын
Nzuri sana
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Mama anajua sanaaa
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Samiaa huyu ndo mzuri
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Nyikbo kali snaaaa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Afya kwnza
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Mama anatudai sisi
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Hakuna kama samiaaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Miaka mitano kwa mamaaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Mam samiaa anaujuaa sanaaaa
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Safisana
@charlessungura786
@charlessungura786 18 күн бұрын
Sisi hatuna deni nawee
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Ni top snaaaa
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Upo vzuri mamaaaaaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Ni kali
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Balaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Mama anajua
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Mama anaupiga mwingi
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Na mwka huu tutakulipa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Wew ni mamaaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Ndugu zangu watanzania
@daninila1239
@daninila1239 22 күн бұрын
Hana deni mama❤
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Top artist
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Huyu ndo mama samjaa sasa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Hela za kutosha kabsa izo
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Mama sanaaaaa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Daaah mama ameweza sanaa hii ni kubwa kuliko
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Kali sana
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Mama etu anaupiga mwingi
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Mwaka huuu
@brianvichendwa
@brianvichendwa 23 күн бұрын
Kenya 🎉❤
@YutubeOne
@YutubeOne 22 күн бұрын
Nyimbo kali
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Bwawa la mwalim nyererw
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Congoooooo
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Mama ameupiga mwingi
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Mwaka huu
@NyorokaNyenge
@NyorokaNyenge 22 күн бұрын
Mnyonge mnyongeni lakin, samia anahitaji muda mwingine amalizie aliyoanzisha
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Mama samiaaa
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Na wema
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Nyimbo kaliii
@Trixter1696Trixter
@Trixter1696Trixter 23 күн бұрын
Uakika
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Nn Congoooooo
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Kali
@TheofreyMligo-u1v
@TheofreyMligo-u1v 23 күн бұрын
Makini
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Miti aseeeee
@anthonyogwaro5468
@anthonyogwaro5468 22 күн бұрын
Umeniaibisha kama mfuasi wa mashairi yako yaliyobeba taswira ya ukombozi. Iweje ukawa kibaraka na janadume la kuhusudu Suluhu. Nkt
@YutubeThree
@YutubeThree 22 күн бұрын
Mma samiaa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Mama samia
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Mam kama maamaaaa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Mama anajua snaa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Nyimbo ni kali snaaaa
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
Funsi mnoooo
@YutubeFour
@YutubeFour 22 күн бұрын
No. Ah nsa
Exposing ties between MIT and Israel's army, with Prahlad Iyengar and Michel DeGraff
1:04:03
Кровавый лидер #сталин #китай #мао
00:55
Послезавтра
Рет қаралды 3,5 МЛН
Blind Boy Saved by Kind Girl ❤️
00:49
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 49 МЛН
NERF TIMBITS BLASTER
00:39
MacDannyGun
Рет қаралды 14 МЛН
BALAA LA MRISHO MPOTO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
11:17
MrishoMpoto
Рет қаралды 61 М.
Mrisho Mpoto - Asanteni Kwa Kuja (Official Song) - Waite
6:40
MrishoMpoto
Рет қаралды 291 М.
PRAISE MODERN SONG MAMA SAMIA SAFI (OFFICIAL AUDIO)
3:25
Praise Modern
Рет қаралды 115