MSAHAFU HUU HAUNA MAKOSA BALI UMEANDIKWA KWA VISOMO VYENGINE.

  Рет қаралды 1,595

 Faidika na Mwanamke Muislamu

Faidika na Mwanamke Muislamu

3 ай бұрын

Пікірлер: 17
@hawakiza6067
@hawakiza6067 2 ай бұрын
Wekeni msahafu uliozoeleka
@user-rq3mj2mz7k
@user-rq3mj2mz7k Ай бұрын
Mmh!kuna viraa hatukatai lakini hiyo hati iliyoandikiwa hiyo mas haf ni kati ya hati zipi katika hivo viraa? Muitazame vizuri hiyo mas haf, kosa ya hiyo mashaf imeandikwa kwa hati ya lahaja ya kimoroco na wala si kwa hati ya warsh. Niwaombe t na nyie mukarejee vizuri aina za viraa na khatwi zake halafu muje mutuelimishe tena.
@samirhumud7408
@samirhumud7408 3 ай бұрын
Wew soma dini mbona misahafu hiyo ipo kibao nchi tofauti ,imeandikwa kwa kiraa cha Arshi.Tatizo tz tunasoma misahafu ya aina 1 tu
@AbumndhualijumaAbumndhua-vu8bx
@AbumndhualijumaAbumndhua-vu8bx 2 ай бұрын
Dadahuyoakasomeasikurupukeasivamiemamboyawatudinisiyompiraasomemamboyaviraaelimusioujanja
@AbumndhualijumaAbumndhua-vu8bx
@AbumndhualijumaAbumndhua-vu8bx 2 ай бұрын
Someniacheniujanjakwenyedinimsioyajuayaacheni
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 3 ай бұрын
Ni bora iondolewe kuliko kuwepo
@hawakiza6067
@hawakiza6067 2 ай бұрын
Bora waweke. Ilio zoeleka
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 ай бұрын
@@hawakiza6067 kabisa maneno yako
@abdullahjuma3926
@abdullahjuma3926 3 ай бұрын
Maalim hio lengo kubwa ni kizazi kijacho ili kianze kujikonfuse wenyewe kwa wenyewe ili lengo Lau la kuchafua lifanikiwe. Jiulize mbona lugha Yao haina vitu kama hivo?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 3 ай бұрын
Kukomfyuz vipi wakati hivyo visomo vipo tangu enzi za mtume saw
@samirhumud7408
@samirhumud7408 3 ай бұрын
Kwani kuna kizazi hawaruhusiwi kusoma ?
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 3 ай бұрын
Maswahaba walisoma Quran iliyoandikwa kwa hatyi ya wapi? na kwa nini tusifuate hiyo?, mnatuchanganya na usomi wenu, maana ukijiuliza maswali mengi hauingii akilini
@mwanamkemuislamutv9369
@mwanamkemuislamutv9369 2 ай бұрын
Tatizo elimu..mtu akielimika basi hawi na mshangao kama huu.
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 3 ай бұрын
Inayo makosa Kwa sababu misahafu yote ina juzuu 30 mbona huo una juzuu 60
@samirhumud7408
@samirhumud7408 3 ай бұрын
Soma dini acha kukurupuka.Hamna kosa 60 ni hizb na wala si juzuu.Juzuu 1 ina hizbu 2.
@mwanamkemuislamutv9369
@mwanamkemuislamutv9369 3 ай бұрын
Ikiwa unajuzuu sitini hebu twambie ni juzuu ipi na ipi imeongezeka na sura zipi zimeongezeka ndani ya hizo juzuu 30 nyengine??
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 3 ай бұрын
@@mwanamkemuislamutv9369 tuwa ulize wao walio sema ina juzuu 60
ASITOLEWE KATIKA DINI WALA KUTUKANWA BALI ANASIHIWE.
5:38
Faidika na Mwanamke Muislamu
Рет қаралды 351
FATWA | MJAMZITO AMEFARIKI, JE ANAZIKWA NA MTOTO WAKE? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY
7:41
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 12 М.
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
哈莉奎因以为小丑不爱她了#joker #cosplay #Harriet Quinn
00:22
佐助与鸣人
Рет қаралды 9 МЛН
Siku ya Arafa ni Lini .Ust.Mbaraka Ahemed Awesi
40:01
Faidika na Mwanamke Muislamu
Рет қаралды 392
NAMNA YA KUSWALI SWALA ZA USIKU KWA UTARATIBU
3:47
al-imam media
Рет қаралды 38 М.
Sheikh Mziwanda na Historia ya Almarhuum Sheikh Adam Ahmad
7:45
Masjid Riyadhwa - Kwa Mnyimaki
Рет қаралды 210
Hukumu ya talaka tatu kwa mara moja Sehemu ya pili.
4:44
Faidika na Mwanamke Muislamu
Рет қаралды 1 М.
SUNNA ZA KUSIMAMA AL-MUZDALIFA
8:03
Faidika na Mwanamke Muislamu
Рет қаралды 102
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45