Kuna washamba wanamsifia msauzi hawaujui moto wa mwakinyo au alivyompiga twahaa mnajua hat mwakinyo ni levo za kina twaha mwakinyo apewe heshima acheni ushamba wa kumfananisha na watu WA ajabu
Mwakinyo tarabu tu subrn aje kujb hapa sababu nying tu lengo lake kukimbia bodia tz hapa twaha tu maana ndio anaye kabr miki yote kwanza Mwakinyo ajawahi mpigq bodia yoyote hapa tz zaidi yakuchaguwa mabondia walio choka choka wakampa jina amalize hapa ndan kwanza kuna watu wanamta leo kesho kz tarabu nyingi kwel
@damianmcba952517 күн бұрын
Waandishi wa bongo hivi wanashindwa wapi kusoma lugha lkn? Yani aibu anaanza kufikiria kiswahili ndio abadiloshe kwa kingereza sio kuflow ile automatic
@alfanboblice915021 күн бұрын
Huyu ni noma kwa mabondia wenu wasio jua Mwakinyo sio bondia wakumfananisha na viumbe vingine muachen kabisa
Pius mpenda ni mzuri sana ila nimeona pambano lake na yule mjerumani inaonekana assehmale atatumia tactics kama zile za kumkwepa na kumchosha,inabidi awe anabadilika sababu muda wote yeye harushi jab bali cross tu na mtu kama assehmale huwelijk kumpata kwa ngumi kama hizo sababu ni mjanja sana
@farajibuteta625820 күн бұрын
Ifike mhara tuseme ukweli mwkinyo hawezi kwa jamaaa .....na akipigana akashinda hata kwa point basi ntamuaminia
Sidhani kama mwakinyo amejibu chochote mana hii post ni ya Jana tu, ila mwana wa kwa madiba mkali hatupingi uwezo wake.
@bakarimwishehe21 күн бұрын
Yuko vizuri ila kwa mwakinyo patachimbika sio kinyonge Kam walivyopigwa kina Sele na mtoto wa morogoro Twaha wakaoteshwa vinundu uso mzma
@MohamedMtunda17 күн бұрын
Kitu msicho Kijua mwakinyo ni bondia anae penda kutoalibu sivii so hatokubali kupigana na machampion wakali km hawa, so anacho kifanya nikutafuta bondia ndizi nakuwapiga
@thegoldenpoint554823 күн бұрын
Hilo ni pambambano la pili nini alilopigwa kidunda???? Au kutoa suluhu na kidunda ndiyo kidunda kapigwa???
@HamadiSaidi-fd6yl19 күн бұрын
Mtieni ujinga uyo mwakinyo wenu apasuke uyu jamaa ninoma sana namjua vizuri sana tena namjua vizuri kweli kweli uyu jamaa anapiga
@MohamadHamza-hb2qv17 күн бұрын
Unamjuaje vizuri Mana umerudiarudia kumjua vizuri,wote tunamjua kwa kumuona kwenye fight zake mbili za hapa bongo.ila ww inamjua vizuri zaidi😮
@HamadiSaidi-fd6yl17 күн бұрын
@@MohamadHamza-hb2qv wao walihama jionazbeg wakahamia pirtoria nidogo ambae nafaham tena sana mama yangu alivohamia pirtoria nikakua mamuona onatena kwenye ngumi yupo sawa sana yule mwekinyo hajui chochote kwanza hajulikani anacheza mfumo gani
@amisiSalumu-u2q22 күн бұрын
Binafsi ngumi hazina mwenye kwaio anacho kitaka ata kipata
@BellainoBravo21 күн бұрын
Mfupa alio ushindwa Fisi paka usile atavunja meno (mwakinyo paka) akiona bondia mkali mwenye uwezo anaweka sababu zisizo na kichwa wala miguu ili Alinde Brand yake
@wazirisaid832622 күн бұрын
Huyu tutampa mrembo Mobeto amalizwe Kama Azidi Ki😂
@SaidiMuna-q1m22 күн бұрын
Huyu mtu apewe mwakinyo asiendelee kuzalilisha taifa.
@mudhihirIbrahim-hb7ry21 күн бұрын
Mpeni mwakinyo huyu hatokuja tena tz
@omarmwabege22 күн бұрын
Kijana anasema anaziua nguvu zakiume ,,ili awe imara ulingoni
@brownschmidt453222 күн бұрын
Of course we have good boxers to compete him, but not mwakinyo. Mwakinyo is always fighting with weak boxers.
@JumaIddi-o6f22 күн бұрын
Mwakinyo hana uwezo wa kucheza na huyo 😅😅 asijcganganye
Sasa mwwkinyo atampiga huyu mwamba kwa akili yako hata kama hujui kusoma hata picha uoni
@HamadBashir-bs5wo20 күн бұрын
Mwakinyo atacheza kichapo
@douglashaule817821 күн бұрын
Hamuwez mwakinyo alikutana na mabondia hawatumii akili
@saidimussa820023 күн бұрын
Mtangazaji he didn't beat Kidunda it was droo
@EmmanuelKanga-u8x22 күн бұрын
Kidunda walitoka droo alaf mwakinyo asilimia za kutoboa kwenye hili pambano la huyu dogo ni ndogo zaidi ya pilton tutazidi kuaibisha Taifa tu kwenye ulimwengu wa masumbwi.
@timetravellor536722 күн бұрын
Mwakinyo KAZI iyo
@AyubuKibengu22 күн бұрын
Ukweli huyu dogo yuko viziri mwakinyo Asimchukulie poa kama Atapata fait
@MohamediIddy-d3l21 күн бұрын
Kwa mwakinyo mchumba tu
@MohamediIddy-d3l21 күн бұрын
Huyu kwa mwakinyo asauz anakaa
@d1535523 күн бұрын
Tusidanganyane mwakinyo hana uwezo wa kupigana na huyu,halafu mwakinyo amekuwa muoga mno kwenye kuchagua mabondia anawachagua wale waliochoka choka ili asipigwe siku akithubutu kuugusa moto huu amekwisha
@sefoo808422 күн бұрын
Mashabiki zake watakutukana sasa hivi 😂 we subiri tu
@benedictinelusambo06922 күн бұрын
So mbaya kikubwa bando unalo😂😂
@zuheorsalim775922 күн бұрын
Nakuunga mkono mzeee😅
@Anthonyzombie-d2s22 күн бұрын
Ww unawez kumpiga nan mbwa ww
@d1535522 күн бұрын
@@Anthonyzombie-d2s funga bakuli lako nyau wewe kafiri mkubwa nenda kwenu kale nguruwe shetani khabis wewe
@mohamedihashim742022 күн бұрын
Huyu mchumba tu kwa mwakinyo
@abubakarmpole400022 күн бұрын
💪
@RamadhaniMsenda22 күн бұрын
Mwakinyo mwenyewe anachagua huyo mtoto hawezi kukubali pambano na huyo dogo
@CharlesMbise-hc2sz22 күн бұрын
Huyu msauzi atapigwa na Pius mpenda mtaona
@zuheorsalim775922 күн бұрын
Toa ktk akili yako
@EyshaAlly-bo6fn22 күн бұрын
Aaaaa uyu kwamwakinyoo atapata shida
@MasoudSaid87Tz22 күн бұрын
Jamaa yuko poa
@Bboy-ek8vn23 күн бұрын
Yaan kama kidunda alimshindwa huyu jamaa cjui nani atamuweza tena
@lucasmgalula802222 күн бұрын
Daaah hata Mimi Nina mashaka maaana niliamini kidunda atalipa kisasi ila wapi huyu kweli kashindikana
@StevenMwasamboma22 күн бұрын
Mwakinyo atoboi
@FrankRwechungura22 күн бұрын
KWAN KIDUNDA ALIMPIGA?
@Saidyomarybakary22 күн бұрын
Alidroo hyo demu si shobo kwa msouth anajitongozesha
@ShabaniShauli23 күн бұрын
Ngoja ukutane na chuma sasa
@hamidudigogo586323 күн бұрын
Huyu njaaaaaa sasa yatafute promota yaweke pesa za kutosha kama anamwitaji mwakinyo mbona jambo dogo mwakinyo anataka hera tu
@KisaMax23 күн бұрын
Mwakinyo mchumba tuu
@timotheothadeomgassa492922 күн бұрын
Mwakinyo muoga
@ItsFrankKAPANDE22 күн бұрын
Ni hela, sio hera
@hamidudigogo586321 күн бұрын
@ItsFrankKAPANDE Wana kufira wewe
@Tzn25522 күн бұрын
You can’t fight with someone. You fight someone
@simbokagalalo993723 күн бұрын
Hakumpiga Selemani Kidunda au kuna pambano la pili walilocheza? Nakumbuka wamecheza pambano moja na kutoka sare Hii kusema kampiga Kidunda ni kwa pambano lipi?
@ramadhanmohammed544423 күн бұрын
kwan ww ukuona dogo alifanyiwa kma yanga kwa mamelody
@BINGALUMWAITA23 күн бұрын
Hilo moja kwamtazamo wako unaona nani alipigwa
@ogdosho9323 күн бұрын
This guy needs nobody but mwakinyo..
@Mohamedi-y1j22 күн бұрын
Kitunda alipigwa acheni uongo
@Mohamedi-y1j22 күн бұрын
Kidunda alipigwa
@mohamedihashim742022 күн бұрын
Huyu mchumba tu kwa mwakinyo
@MarcellySumaye-bv5lh22 күн бұрын
Ngumi unazijua au boxing unaijua vizuri na kama unaijua huwez kuropoka kama mkulima wa tukuyu
@joeledson386222 күн бұрын
Apewe nafasi mwakinyo chochote kinaweza tokea .
@MohamediIddy-d3l21 күн бұрын
Kwa mwakinyo mchumba tu
@ZairiSaid-w4u19 күн бұрын
Natamani sanaaaaaa iliwatanzania wajue mwakinyo hanampizani kwa tanzania