VITASA MWANZA | Twaha Kiduku apigwa na Asemahle Wellem - 29/07/2023

  Рет қаралды 378,269

Azam TV

Azam TV

Жыл бұрын

Tazama pambano lote kati ya Bondia Mtanzania, Twaha Kiduku dhidi ya Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini.
Wellem amemshinda Twaha Kiduku kwa pointi kwenye pambano la raundi 12.

Пікірлер: 591
@maxsolutionstz
@maxsolutionstz Жыл бұрын
Huyu m south kapigana mapambano 6 kashinda 3 zote 3 ni ko na hajapoteza mchezo hata 1 inamaana 3 ali suluhu huyo jamaa kidogo anaweza cheza na Mwakinyo gonga like Team Mwakinyo
@dominicrobert266
@dominicrobert266 Жыл бұрын
Matatu kashinda kwa points, matatu ko.
@rashidgogo5558
@rashidgogo5558 11 ай бұрын
Huyo akutane na Ibrahim class mechi itakuwa tamu sana
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 11 ай бұрын
Kabisa na mwakinyo ajipange
@abrahammtimatuku9367
@abrahammtimatuku9367 11 ай бұрын
Uyo bad mtoto 2 kwa mwakinyo
@planbmauwezo4853
@planbmauwezo4853 11 ай бұрын
good
@qutubimohamedi864
@qutubimohamedi864 Жыл бұрын
Hapa ndio naamini mwakinyo ndiyo champez wa Tanzania na Afrika, gonga like hapa kama unamkubali mwakinyo the champez
@husseindumwala3431
@husseindumwala3431 Жыл бұрын
ka pumzi yake kisoda sasa kwa champeee si ndio atakaa mapemaa wamuachee bana ..mwakinyo as stil champion
@oscarunju7068
@oscarunju7068 Жыл бұрын
Champion gan haingii kwenye ring nyie, huyo n muimba mashairi tu
@PriscarMwakarindile
@PriscarMwakarindile Жыл бұрын
​@@oscarunju7068wivu tu
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Ni. Bora kiduku. Apigwe. Tu
@rajabukimweri5893
@rajabukimweri5893 Жыл бұрын
Mkijua Ngumi vizuri na michezo kwa ujumla mtarudi kufuta comment zenu uchwara , Twaha ali deserve kupigwa hatukatai but still ni champion na hv ndio kuta mjenga azidi kupambana
@user-lh1zc4sy2n
@user-lh1zc4sy2n 11 ай бұрын
Twaha yupo vizuli kapambana hongela Kaka sema mchezo ndo ulivo unamatokeo matatu usikate Tama endelea kujiimalisha❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@RobertmkundaMkunda-ne4dx
@RobertmkundaMkunda-ne4dx 11 ай бұрын
Na awe na misimamo twaha cio wanalia na chapizi
@user-ru8kc6wf1g
@user-ru8kc6wf1g Жыл бұрын
Hakuna bondia tanzania zaidi ya mwakinyo waliobaki waigizajitu
@salamamohamed9519
@salamamohamed9519 Жыл бұрын
Mbona hata yeye anapigwa tu
@ibrahimsalim7247
@ibrahimsalim7247 Жыл бұрын
@@salamamohamed9519 Yeye kupigwa no labda auze pambano😂😂
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 11 ай бұрын
Kubeba machuma sijui kuvuta magari hayo ni manguvu tu hayana mana , mazoezi ni kupiga punch , kukwepa , kuwa mwepesi pamoja na pumzi .
@sabihiyahaya7966
@sabihiyahaya7966 Жыл бұрын
Huyu Twaha kwa Mwakinyo bado sana! Haya bondia wenu pendwa kakalishwa
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Жыл бұрын
Bado mwakinyo ni best tz
@kobakimanga6580
@kobakimanga6580 Жыл бұрын
Uzito wa mwakinyo sio wadula watanzania tujielewe bondia anaepiga na mwakinyo kiduku apigani nae na anaepigana na kiduku mwakinyo awezi kuweni waelewa kwaiyo kila mtu mfananishe na lenk anaecheza nae
@kobakimanga6580
@kobakimanga6580 Жыл бұрын
Kwasababu uzito wa kiduku ni namba moja kwa tanzania unaelewa apo
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 11 ай бұрын
Mwakinyo njoo uwafundishe ngumi watoto Hawa anaekubali ngumi ipo Tanga like hapa#
@alexanderfausitin3194
@alexanderfausitin3194 11 ай бұрын
Mwakinyo ni super ,,Twaa jifunze kwa mwakinyo !!
@gman3245
@gman3245 4 ай бұрын
Outstanding performance to Wellem just love his boxing skills and courage! no doubt he's next African mayweather. 😅😅
@bakarisaid2023
@bakarisaid2023 Жыл бұрын
Halafu ooooh namtaka mwakinyo viazi mtakuja kufa ulingoni
@AbdallahChingua-fg5ml
@AbdallahChingua-fg5ml Жыл бұрын
mamba moja ni seleman kidunda ndyo bondia number 1in tanzanian
@moudys
@moudys Жыл бұрын
Nafikiri sasa atafunga mdomo wake kwa mwakinyo
@kipupwefedede7130
@kipupwefedede7130 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kashafunga
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 Жыл бұрын
Kabisa😂😂😂😂
@abyolafadhili5734
@abyolafadhili5734 Жыл бұрын
Wakiambiwa washinde mapambano yao hawataki wanataka warogane tu hapa bongo, Nadhani kwasasa watamuelewa Mwakinyo
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj Жыл бұрын
Upo correct
@feisalomar-hr3hq
@feisalomar-hr3hq 7 ай бұрын
Twaha syo bondia mzur sana hajui kushambilia anakubali kufuata mchezo wa mpzani wake
@rajabukimweri5893
@rajabukimweri5893 Жыл бұрын
Twaha ame deserve kupigwa kwenye hili pambano ila rai yangu kwake azidi kupambana na kumuomba Allah coz bondia hajui ngumi mpaka astafu ndo anajua , Twaha wa zamani sio wa sasa hata wakina Pacman na Maidana wali anza hv ila now days wapo fiti na record zao # Allah first pambana broo
@nassoadamu
@nassoadamu Жыл бұрын
Kiduku hamna bondia ndugu zangu ✊👊
@yonasytitusy337
@yonasytitusy337 11 ай бұрын
Kama unamkubali mwakinyo gong like
@patrickmkunda3666
@patrickmkunda3666 Жыл бұрын
Kwa kweli Twaha ni boxe mzuri atqfika mbali. Ajitahidi zaidi na asikate tamaa. Pia tunapita nchi heshima.
@philipphanuel9558
@philipphanuel9558 Жыл бұрын
Jamaa anakumbatia
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
@@philipphanuel9558 Kukumbatia ni moja ya mibinu katika masumbwi
@hamidaabdillah5190
@hamidaabdillah5190 Жыл бұрын
Hakuna bondia wa kupambana na mwakinyo apa...
@user-rc3lg7ko4x
@user-rc3lg7ko4x Жыл бұрын
amjalibu kidunda aone moto
@emnanuelimtui1805
@emnanuelimtui1805 Жыл бұрын
Angekuwa mwanaume asinge chagua wakupigana nae
@petermsangi2701
@petermsangi2701 Жыл бұрын
Huyu bondia ni bora mno ,speed nying na technics ,twaha endelea kujifunza
@kipupwefedede7130
@kipupwefedede7130 Жыл бұрын
Kajamaa kanapiga kama kamemuoa na kakamlipia mahali 😂😂😂😂😂😂 jaman mi ni timu MWAKINYO.
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj Жыл бұрын
Jana mzulu ametufungia mdomo 🤣🤣🤣
@kipupwefedede7130
@kipupwefedede7130 Жыл бұрын
@@JeremiahMyrosse-qb1yj 😂😂😂😂😂
@dabaamina2230
@dabaamina2230 Жыл бұрын
​@@JeremiahMyrosse-qb1yjtanga moja hiyo😂😂😂
@balljmushi9599
@balljmushi9599 4 ай бұрын
Hahahahaaaaaa,,,wee nomaa & hyo msg ykooo
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Nilikuwa nakazalau haka kasauzi kumbe si mi nyama boxer
@halfanhaji2907
@halfanhaji2907 Жыл бұрын
Hakuna kama mwakinyo Africa
@abdallahamiri8527
@abdallahamiri8527 Жыл бұрын
Kazi ya kuvuta magari2 ngumi hajui
@mdungimdungikhamis7779
@mdungimdungikhamis7779 Жыл бұрын
Mwakinyo Bado atakua champion tu
@suedahmadi9091
@suedahmadi9091 11 ай бұрын
Acheze na huyu kwanza
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 11 ай бұрын
Tz ushinde tu ukishindwa Unalaumiwa hadi ujute jaman Kwenye kupambana kuna matokeo matatu msisahau kunakushinda kushindwa na Kudroo acheni zalau jaman kushindwa kwa Kiduku ndyo kujifunza kwake
@hilarynatai
@hilarynatai Жыл бұрын
Saivi asivute Tena IST avute scania yenye Tani 30😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@wilsonsanze388
@wilsonsanze388 Жыл бұрын
Cio kila mchezo mtu anaweza kushinda everyday ,kuna kupoteza ,Twaha kiduku tunakukubali ucikate tamaa..🎉
@bakarimakame4694
@bakarimakame4694 Жыл бұрын
Watamkumbuka mwakinyo
@salamaswahibu5
@salamaswahibu5 6 ай бұрын
Mwakinyo akipgana mnaona anabebwa haya angalieni bondia wenu anavyoingia kama kifaru hana hata skills nzur
@afrahamohamedi6301
@afrahamohamedi6301 4 ай бұрын
😂😂😂😂 yaani nimecheka kama nyati
@festopaul7549
@festopaul7549 11 ай бұрын
Twaha Bado ni bondia Bora kupoteza mchezo ni kawaida
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 11 ай бұрын
Sana uyu sio twa ni Tyson wa bongo
@salehabood7140
@salehabood7140 Жыл бұрын
Kiduku anapigana Kwa style Moja tu bado sanaaa anatakiwa afanye mazoezi msimfananishe na mwakinyo
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 Жыл бұрын
Jamaa yuko vizurii sanaa.....msauth Africa 😂😂
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x Жыл бұрын
Tatizo bondia wa tanzania wanafanyamazozi magum saana kuliko teknik wanavutamagali kwakiuno badala yakuhesabu ngumi chache au nyingi za pwent kidunda umli tuh ila bonge wa bondia bongo na mwakinyo
@husrisanchez9781
@husrisanchez9781 Жыл бұрын
Fact 😢😢
@VeronicaTimoth-pw5jt
@VeronicaTimoth-pw5jt 11 ай бұрын
Twaha yupo vizur sana ila huyo msouth urefu unamsaidia big up bro
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 11 ай бұрын
Inatakiwa asikae nae mbili
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 11 ай бұрын
Hongera mdogo wangu, japo umepoteza ila umepambana. Kupigana na mtu usiyejua anapigana VP ni issue
@aloycesimon1371
@aloycesimon1371 Жыл бұрын
Aliyepanga Kidunda ni namba 3 Tanzania Mungu anamuona huyu kwa Kidunda hata round ya 6 asingefika
@StanleyGeorge-be8rd
@StanleyGeorge-be8rd Жыл бұрын
Kiduku ubadilishe kocha hauna technical
@gervasbeno5589
@gervasbeno5589 Жыл бұрын
Miguvu mingi mbinu hana ndo maana likawa linachezeshwa kama begi😅😅😅
@messaabbas739
@messaabbas739 Жыл бұрын
😂😂😂😂ety twaha anaongea lugha gani?🙊wee mtangazaji bhana 🤣🤣🤣any way twaha big up broo you did a good job,, love from 🇰🇪❤️❤️❤️ but congrats to you wellem
@omaryrupia2631
@omaryrupia2631 Жыл бұрын
Nimefurai sana jana mabondia wanawake wote jana wamepigwa alafu mwamtaka mdigo atawapakuwa
@YuuuHhhho-zu6ym
@YuuuHhhho-zu6ym Жыл бұрын
Oy acha zalau unamuitaje boy mwezio mwana mke
@jaybee3429
@jaybee3429 Жыл бұрын
hii orhordox ya ASEMAHLE ni hatarii anapiga triple jebu alafu anazunguka anaaweka angle anapiga triple jebu...uyu jamaaa ni classic boxer ...amedeserve kuwa bingwa wa WBF
@Tzn255
@Tzn255 Жыл бұрын
Kabisa
@user-im9nf4cy1g
@user-im9nf4cy1g 11 ай бұрын
Blo kwel unafatlia ngumi
@sangaomar8944
@sangaomar8944 Жыл бұрын
Leo nimejua tofauti ya mwakinyo na kiduku ...
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Жыл бұрын
Akili na nguvu vitu viwili tofauti sana,msouth anatumia sana akili Twaha nguvu nyingi sana
@mussambyana1035
@mussambyana1035 Жыл бұрын
halafu dogo kacheza amacha muda mrefu saana
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Жыл бұрын
@@mussambyana1035 umeonaee
@user-tc6hl5ko1r
@user-tc6hl5ko1r Жыл бұрын
Jaman siyo kila sku jumapili♥️♥️
@abedisalimu772
@abedisalimu772 Жыл бұрын
Kiduku wew bado San kw mwakiny😂
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 Жыл бұрын
Nimefurahi Tanzania wametenda haki maana mara kwa mara wamekua wakipewa ushindi wasistahili kisa waTz sasa nimefurahi wametenda haki🙏
@duncankipendaroho8833
@duncankipendaroho8833 11 ай бұрын
Wangepindishaje kwa hali ilivyokuwa? Wangeweza kufanya figisu lakini hii ingekuwa wazi mno
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 11 ай бұрын
@@duncankipendaroho8833 kwa kweli yani kiduku alizidiwa sana
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 11 ай бұрын
Wabongo mmenuna
@mashakamahunda8834
@mashakamahunda8834 Жыл бұрын
Uyo ndo anamtaka mwakinyo mh tuandae machela
@ayoubomary9336
@ayoubomary9336 Жыл бұрын
watangazaji kuweni na ukweli sio ana target nzuri kazidiwa kila kitu jamaa akili nyingi sana
@ChejoBuchejo-mm8bb
@ChejoBuchejo-mm8bb 10 ай бұрын
Kwa ngumi hizi kiduku hatoboi round 4 kwa mwakinyo
@suedahmadi9091
@suedahmadi9091 6 ай бұрын
Mpime mwakinyo na huyu jamaa ndo urudi uongee kauli yako
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 11 ай бұрын
Well done. Brother. Usmalle. For. Doeng. Well
@aminizegega
@aminizegega Жыл бұрын
Hapo twaha ajipange Bado Sana sijaona ngumi yure wa Tanga wewe anajua sana
@Tzn255
@Tzn255 Жыл бұрын
Ili umfananishe mwakinyo na Twaha. Ni pale mmojawapo atacheza ktk uzito wa mwenzake. Hapo muongelee kidunda na Dulla mbabe na akina misumali ndo Super middle weight. Ukimuona mfaume kacheza ovyo ndo umuongelee Mwakinyo maana mfaume ndo anacheza ktk super welter na Middle weight
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Walimu muwafundishe mabondia wetu TECHNIC sio kwenda kupiga tu'.....Twaha Hana Technic, ..kama hivi kakutana na bondia mzuri kakosa njia MBADALA ya kushinda pambano..!
@S.A_media1
@S.A_media1 10 ай бұрын
Mwakinyo alindwe 😂
@digalo373silentkiller7
@digalo373silentkiller7 Жыл бұрын
Ebu huyu msouth africa agewe selemani kidunda tuone inakuaje naamini selemani kidunda anaweza kumkalisha huyu jamaa msouth, harafu game itakua ni nzuri sana
@user-si5ey4kd8r
@user-si5ey4kd8r Жыл бұрын
Wamtafutiege twaha mizoga mabondia kweli watamuua
@hamisiyangakozwe147
@hamisiyangakozwe147 Жыл бұрын
Alf eti namtaka mwakinyo na mtaka mwakinyo😂😂
@frankomary3888
@frankomary3888 Жыл бұрын
Twaha is the best,kwani kuna bondia gani mkubwa duniani hajawai kupigwa.
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 11 ай бұрын
Terrence craffod, flod myweither .
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 11 ай бұрын
Terrence craffod mapambano 40 hajapoteza hata moja na jana kashinda kwa tko ubingwa wa dunia .
@daudimagendero4694
@daudimagendero4694 Жыл бұрын
Ushauri wang waalim msifundishe kwa uzoefu .fundishen kwa kubadlisha mifumo..twaha anavamia syo kupgana tusiwe waongo mchezo wa twaha unasomeka mapema ...maana ni stlyle 1tu
@user-fs6kw5wv6w
@user-fs6kw5wv6w 11 ай бұрын
Hao ndo mabondia ambao tunataka waje sio mnatuletea ubwabwa
@ramadhanirashidi4175
@ramadhanirashidi4175 Жыл бұрын
Hukukosea mwakinyo Hawa ni viazi
@user-br3si2jf4t
@user-br3si2jf4t Жыл бұрын
Mwakinyo Namba 1 Tz
@user-np3xn4jo9l
@user-np3xn4jo9l Жыл бұрын
Mzito cn twaha bado cn
@jomwenomkal
@jomwenomkal Жыл бұрын
Twaha kiduku wewe Bado ni mwamba tu ,,kaza mdogo wangu Wala ucjali mana hata Mike Tyson,,amepoteza sana mapambano tena Kwa knoucort nyingi lakn hajawai kusikiliza maneno ya wapinzani ,,,,mako dinda,mako stamina 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Ww mpe moyo uyu ngis au gimbi
@petrofabian4523
@petrofabian4523 Жыл бұрын
Duuuuh,kiduku leo amezipata za kutosha
@hassaniibrahimu-zo4si
@hassaniibrahimu-zo4si Жыл бұрын
😅😅ajali kazini
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Kwa ngumi hiz umtake mwaknyoooo ngis umepigwa kiboya
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 11 ай бұрын
Leo. Kiduku. Umepatikana. Huna. Chakufanya. Kipigo. Kinakuhusu. Tu
@robinisack8092
@robinisack8092 Жыл бұрын
Ndio bondia namba moja wako sio Watanzania#Kinyoboy
@jastinmkandala5620
@jastinmkandala5620 11 ай бұрын
Jamaa anajua Kama mwakinyo,akili nyingi Sana ,
@fredgonga
@fredgonga 11 ай бұрын
Duh! Speed ya huyu amapiano ni hatari.. twaha apunguze kula
@trillionthamani
@trillionthamani Жыл бұрын
Mashabiki wakitz ni waajabu sana.Twaha kafanya kazi ya kikubwa coz huyo bondia hakumsoma
@gervasbeno5589
@gervasbeno5589 Жыл бұрын
😂😂twaa hana akili ata moja 😅😅 na hajui ngumi tangu zamani tu😅😅😅
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj Жыл бұрын
@@gervasbeno5589 Bora we umesema mkuu
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 11 ай бұрын
Sasa unataka kila mtu akubaliane na wazo lako?🤣🤣🤣🤣
@bakarisaid2023
@bakarisaid2023 Жыл бұрын
Sijasikia vp bado anamtaka mwakinyo na mandonga nae anamtaka mwakinyo😊😊 pambaneni kwanza na hali zenu
@Tzn255
@Tzn255 Жыл бұрын
Ili umfananishe mwakinyo na Twaha. Ni pale mmojawapo atacheza ktk uzito wa mwenzake. Hapo muongelee kidunda na Dulla mbabe na akina misumali ndo Super middle weight. Ukimuona mfaume kacheza ovyo ndo umuongelee Mwakinyo maana mfaume ndo anacheza ktk super welter na Middle weight
@rubeneustarch
@rubeneustarch Жыл бұрын
jmaaa anajuwa yani anapumuzi halafu ngumi zake nihatr
@fadhilisabihi5943
@fadhilisabihi5943 Жыл бұрын
Kwa fight hii ndio umtake mwKinyo utauwawa hassani ni no1
@jacklineobadia7629
@jacklineobadia7629 11 ай бұрын
kumbe jamaa wa kwaida apigane na mwakinyo
@JosephBruno-gl2pe
@JosephBruno-gl2pe 11 ай бұрын
Kweli mwakinyo chpn tz.
@stupendous1
@stupendous1 Жыл бұрын
Huko nyumbani, una body advantage, weight advantage, una Tittle nyingi, then you loss the fight just like that ? You can't be serious. Huyu guy from South Africa is very well trained and professional
@saimongilala8938
@saimongilala8938 Жыл бұрын
Yan Hawa hawawez kucheza na mwakinyo kabisa ni watoto
@bobelichi7721
@bobelichi7721 Жыл бұрын
kbixa
@emnanuelimtui1805
@emnanuelimtui1805 Жыл бұрын
Uwo ni Usha biki
@Mpakauseme
@Mpakauseme Жыл бұрын
Ushabiki umekutawala
@testarguy8609
@testarguy8609 Жыл бұрын
Dogo kaupiga mwingi kitaalam,Twaha badilisha style ya kucheza hio ya polepole wamekusoma alaf jifunze na kutanguliza mguu wa kulia
@universitylink
@universitylink 11 ай бұрын
Twaha mzuri sana ukizingatia jamaa mrefu sana
@livinuclucac2344
@livinuclucac2344 Жыл бұрын
Mwakinyo ataenderea kuwasema Kila siku awa mapafu yapaka
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 5 ай бұрын
Unajua Tuache Ushabiki Jammany Mwakinyo Kwenda Kupigana Njee Ya Nchii Imemuongezea Kitu Kikubwa Sana Shughuli Ipo Kwa Hawa Ndugu Wa Ndani Kuletewa Mabondia Ukiwaambia Wabishii
@abdallahamiri8527
@abdallahamiri8527 Жыл бұрын
Dogo mwenyewe wakawaida Sana🤣🤣😂😂Hana ngumi Za hatari ,,,twaha Hanna kitu ngumi hajui.
@hassanbaoma8798
@hassanbaoma8798 Жыл бұрын
Kiduku leo kapigika kihalali sana
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 11 ай бұрын
Twaha nakukubali sana ulichozidiwa ni tecnick tu ila ajakupiga tunakuamini sana you is number one fighter tz
@magigeruanda6032
@magigeruanda6032 11 ай бұрын
Mi namuomba mungu kidunda amuite Hy mbwa mwitu Ili apigane nae HP Sasa atarudi kwao akiwa kwenye machela mbwa sana Hy hawezi kuja huku na kumpiga ndg yetu hivyo
@jimmymbella997
@jimmymbella997 11 ай бұрын
@@magigeruanda6032 kwa seleman kidunda mjeshi hatoboi huyu hata kwa ngumi hizo, mmmhhh!!! atadundwa balaa kidunda anasipiid na mbinu nyingi sana,
@user-gf2yj1vw2i
@user-gf2yj1vw2i Жыл бұрын
Bondia n mmoja tu Champeeez Harseeeen Mwakinyoooolll
@otitokinyaha2292
@otitokinyaha2292 Жыл бұрын
Twaha anakinundu kwenye jicho, SA guy win
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Wabongo. Mmeziwea. Kupewa. Point. Za. Dezo. Leo. Mambo. Magumu. Kwenu
@kervinijosephu3164
@kervinijosephu3164 11 ай бұрын
Hicho tu ndicho kinacho waponza wanaacha kufanya mazoezi wakijua mbeleko zipo sasa leo mbeleko zenyewe zimeshindwa kutumika .
@user-gi9fq9pe8p
@user-gi9fq9pe8p Жыл бұрын
Mmenyooxhwa hao
@cleartzboy
@cleartzboy Жыл бұрын
Nmeamin ngumi sio mwil kama sambusa
@universitylink
@universitylink 11 ай бұрын
Round 12 kapigwa ngumi moja na twaha si nzito sana na jamaa alikuwa anakimbia sana
@abdimakame7929
@abdimakame7929 Жыл бұрын
Leo nimeamini Maneno ya Champez Mwakinyo awa kwali ni wanawake😃😃 Mnapigwaje nyote Tena ndani ya Nchi yenu mnashindwa kuieshimisha Bendera yetu ya🇹🇿🥲🥲🥲 Bondia kama awa ni Bora wafukunze kabisa na kamisheni ya ngumi%
@user-dr2fg6gx8p
@user-dr2fg6gx8p 11 ай бұрын
Huy akicheza na mwakinyo anazikwa
@salimabdallah6632
@salimabdallah6632 11 ай бұрын
🎉kama uyuu ni namba mbili south wa kwanza si balaaaaaaaaa kbsaaaa m KUANZIA Leo ni shabiki yakeeee anajua mpka anakeraaa hahaha 😅😅😅😅😅😢😮😂🎉
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj 11 ай бұрын
Twaha hata a rematch tena anakula kipigo
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Nilimzarau sana huyu jamaa walivyo pima uzito lakini kweli wembamba siugonjwa
@theodorycharles
@theodorycharles Жыл бұрын
Muulizeni Bado Anamtaka Mwakinyo
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf
@RamadhaniallyMavumbi-gb9hf Жыл бұрын
Mwakinyo hawezi kutia pua Yake hapo
@Parttz
@Parttz Жыл бұрын
Nahapa ndo wanatakiwa wamueshimu Mwakinyo maana kafanya makubwa kuwazidi awa waropokaji wanatumia mdomo kupigana
@sharifasaid2320
@sharifasaid2320 Жыл бұрын
Mbona mwakinyo alipoteza uk
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb Жыл бұрын
Msouth urefu wake anautumia vzri sana
@alabastapha9175
@alabastapha9175 Жыл бұрын
mwakinyo babalaoooooooo pig mbwa huyo
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 Жыл бұрын
Mwakinyo hapo anasubir
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr Жыл бұрын
Well. Done. To. You. Men. From. South. Aftica
@zackmioso
@zackmioso Жыл бұрын
Shida kubwa nimeona ya kiduku nikufunguka Sana anampa mwenzake ruksa ya kumpata uso. Cha pili anakawia Sana akisubiri target ivyo mwenzake anatumia nafasi hio kumpa pigo rika yake
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 11 ай бұрын
Hata huyu m south African arudi mara 20 twaha bado sana ila amejikaza sana twaha
@magigeruanda6032
@magigeruanda6032 11 ай бұрын
Hakuna kitu km hicho ngoja atarudi Hy Tena hlf mtaona
@pascalgasper403
@pascalgasper403 Жыл бұрын
Sasa Huyu Jamaa Ndio Amateur,, Alafu Mwakinyo Ni Professional Tuacheni Dharau Jamani
VITASA | Twaha Kiduku alivyomtwanga Dullah Mbabe - 20/08/2021
23:03
Salama Na MWAKINYO Ep 44 | VITASA OVERLOAD Part 2
29:53
YahStoneTown
Рет қаралды 259 М.
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 32 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 128 МЛН
VITASA | Ibrahim Class vs Xiao Tau Su | #UlingoWaMoto 28/10/2023
39:01
Amiri Rashidi Matumla. Akiwa kwenye sparring 🥊
4:51
Gerald The Boxing Coach
Рет қаралды 2,4 М.
KINGWENDU AKATWA VIDOLE ZIMBABWE 🇿🇼  AZULUMIWA PESA 🤣
21:01
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 1,5 МЛН
Claressa Shields vs Christina Hammer FULL FIGHT
35:10
Detroit Brawl
Рет қаралды 789 М.
LAMBA LAMBA (Part 01)
11:55
ASMA COMEDIAN
Рет қаралды 1,7 МЛН
Стань Роналду 🤯
0:27
MovieLuvsky
Рет қаралды 481 М.
this picture 🥶 #cr7 #edit #football #trollface
0:22
FOAR7
Рет қаралды 5 МЛН
МОЛОДОЙ КАЗАХ ПОДАРИЛ СУЛЬЯНОВУ ШАПКУ
0:49