Bwana YESU,naomba uachilie neema yako ndani yangu ya kuomba ktk roho mtakatifu, nimejaribu kutumia akili yangu nimeshindwa Sasa, bwana yesu, I surrender kwako 🛐🙌 yesu nibadilishe .
@shalletnguma33752 жыл бұрын
Yesu naomba unionndolee kila kitu ambacho kinanizui kufanya mapenzi yako.nisamehe makosa yangu yote nikuhitaji Yesu.kila Pando lisilo kuwa laku Katika Maisha yangu niondolee Yesu.nataka niwe na wewe Yesu.nisaidie Yesu
@hellenmwenda49712 жыл бұрын
Yesu niondolee kila ambacho hakisitahili katika maisha yangu neno lako liwe mwalimu katika maisha yangu
@faustamumbee91602 жыл бұрын
Amen....Ee Mungu wangu nifanye upya nibadilike nifate njia insyokpendeza ww
@gracekunambi74382 жыл бұрын
Mungu naomba unisaidie nikue kiroho zaidi, ili Roho Mtakatifu aniongoze. 🙏
@victoriasanga49102 жыл бұрын
Yesu naomba nibadilishe, nikuishi wewe, ondoa masengenyo, hila, kila aina ya uovu, nisaidie Mungu wangu
@hellenmwenda49712 жыл бұрын
Bwana yesu nirehemu naomba toba na rehema Bwana nitakase niongoze katika neno lako
@neemakarisa1496 Жыл бұрын
Amen Amen 🙌🙏
@مريمم-غ3س2 жыл бұрын
Amen 🙏 roho mtakatifu naomba uniogoze katika njia zako
@winfridaadam79512 жыл бұрын
Najiungamanisha na Madhabaahu hii Mungu Nakuomba kilaa ambachoo simupango wako kikafutike ktk Jina La Mwanao Yesu Kristo Ameeeen
@dadaveronica71782 жыл бұрын
Naomba mungu uniemishe katika njia zako usinachalie baba
@sally20142 жыл бұрын
Amina Amina asante Yesu Kristo. Mungu akubariki zaidi Mtumishi wa Mungu
@prettyalecky69142 жыл бұрын
AMEEN,,Mungu tusaindie sana 🙏🙏 Asante mtumishi kwa kutufunza,,be blessed 🙏🙏
@aminakesi37402 жыл бұрын
eeeh bwana nisaidie usiniache, nijalie na hofu yako bwana, nikakuabudu katika roho na kweli amen. barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏
@shalletnguma33752 жыл бұрын
Nisaidie Yesu sitaki kukusikiza kimazoea.
@victoriamachunde43652 жыл бұрын
Barikiwa na Yesu Kristo kwa somo zuri
@perisriziki22992 жыл бұрын
Mungu anisamehe haki na aniondolee kile kisichostahili ndani yangu
@lovenessminja55452 жыл бұрын
Amen
@hdhdhdhdhdh32642 жыл бұрын
Lord forgive me,for the salvation of my soul
@jemimafrancis34982 жыл бұрын
Amen mungu wangu badilisha maisha yangu
@gracedamas5883 Жыл бұрын
Ameni
@jackiemaggy24842 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeen man of God
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Ameen❤ barikiwa sana
@etonaabwe5318 Жыл бұрын
I want jesus christ to transform my life through holy spirit.
@marymaria654410 ай бұрын
Sylvia amen mungu nisaidie nmekubali kubadilika na kuhitaji yesu 🙏
@shaphats24372 жыл бұрын
Halelluya. Neno lenye utajiri mkubwa na maarifa. Nisaidie Yesu wangu.🙏
@tabithampinga46062 жыл бұрын
Amen... nashukur Mungu kua katika madhabahu hii kwakwel nimesaidika sana.....Leo nimeota kua nimekupigia sm nlikua na changamoto mtumishi umeniombea sana na pia umenituma kusoma zaburi 57:2 Nlivyo shtuka moja kwa moja nimeenda kusoma hapo ..jina la Bwana lihimidiwe.
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
amen.Roho Mtakatifu amekuongoza kufanya hivyo na zaburi hiyo ndiyo jibu lako. tafakari kwa makini mstari huo "Nitamwita MUNGU Aliye Juu, Mungu anitimiziaye mambo yangu. Mungu atakutimizia unayoyahitaji
@tabithampinga46062 жыл бұрын
@@sirizabiblia5276 Ahsante sana mpakwa mafuta wa Bwana ikimpendeza Mungu na iwe hivyo" amen.
@kenyanprincess45622 жыл бұрын
Naomba kuingia qwenye group YA maombi
@sirizabiblia52762 жыл бұрын
Nitumie meseji Whatssap +255 758708804
@etonaabwe5318 Жыл бұрын
How can I worship God in spirit and truth, help me out with that.