OMBEA FAHAMU ZAKO

  Рет қаралды 48,829

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Пікірлер: 263
@fatumasandra6375
@fatumasandra6375 Жыл бұрын
Nashukuru MUNGU wa mbinguni Kwa ajili ya Iyi Chanel ya Siri Za biblia
@sarahyusuph3269
@sarahyusuph3269 2 жыл бұрын
Amen napokea kufunguluwa kufahamu wangu kupitia madhabahu hayo kwa Jina LA Yesu 🙏
@paulmwangi294
@paulmwangi294 2 жыл бұрын
Amen amen amen hallelujah
@BazilMjungu
@BazilMjungu 5 ай бұрын
Napokea katika Jina la Yesu Kristo ufahamu wangu upone na nijue ufahamu wangu, Mungu anisaidie
@MosesMichel-s9g
@MosesMichel-s9g Ай бұрын
Amen Amen 🙏🙏Na pokeya ufungulivu wa ufahamu wangu
@jescajulius-ps1uz
@jescajulius-ps1uz Жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@mordekaikiwango3600
@mordekaikiwango3600 Жыл бұрын
Yesu Fungua Fahamu Zangu
@FrolahMbije-ev3jz
@FrolahMbije-ev3jz Жыл бұрын
Ameni napokea napokea
@maurindeus
@maurindeus Жыл бұрын
Napokea kufunguliwa ufahamu wangu kwa Jina la Yesu 🙏🙏🙏
@OmanOman-yn2zj
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
Ameeeen ameeeen. MUNGU akibariki sana dady 🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤
@wilsonheba1469
@wilsonheba1469 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@mariamjuma7939
@mariamjuma7939 2 жыл бұрын
Ameen mtumishi wangu napokea kufunguliwa fahamu zangu kwa kila hatua na pande zote za maisha ya gu
@marieclarissangani4006
@marieclarissangani4006 Жыл бұрын
Amen napokea kufunguliwa vifungo vyote ktk fahamu zangu Kwa damu yako YESU KRISTO Alie hai niwe huru ktk maisha yangu yote ameeeeeeeeeeeeen Amen Amen 🤲🤲🧎🧎🙏🙏🙏🙏❤️🥰
@mishikazungu8028
@mishikazungu8028 2 жыл бұрын
Amen 🙏 naomba mungu unifunguwe fahamu zangu kuwa jina yesu Christ Amen 🙏🙏
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 Жыл бұрын
Ameeen 🙏🙏 Mungu Tusaidie Tunakuomba
@rahmamlanzi2895
@rahmamlanzi2895 2 ай бұрын
Amen 🙏🏾 Mungu Naomba urudishe ufahamu wangu.
@gracedamas5883
@gracedamas5883 Жыл бұрын
Ameni 🙏 ameni Ameni napokea kufunguliwa ufaham wangu kwa jina la Yesu
@arafakidang1084
@arafakidang1084 Жыл бұрын
Ameeen napokea kufunguliwa ufahamu wang na mtt wang kwa damu ya YESU
@dorahisinika7576
@dorahisinika7576 2 жыл бұрын
Amen IJN 🙏🙏🙏
@juliethozil6610
@juliethozil6610 2 жыл бұрын
Ameen🙏🙏
@BazilMjungu
@BazilMjungu 5 ай бұрын
AMEEN 🙏 Napokea uponyaji wa Ufahamu wangu, Mungu anisaidie
@hawasolisi6674
@hawasolisi6674 Жыл бұрын
Amina
@paulmwangi294
@paulmwangi294 2 жыл бұрын
Amen napokea kufunguliwa ufahamu wangu kupitia maombi ya madhabahu haya katika jina la yesu kristo.
@SamuelWangari-ro9nh
@SamuelWangari-ro9nh Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 kweli pastor wasema kweli
@MedrineAnyango
@MedrineAnyango 5 ай бұрын
Muniombe kwa sababu mangano ya kwetu inafuta nimejaribu ❤ mm pia naendelea kuomba mungu anisaidie mm pia❤
@telesphoryphocusy3032
@telesphoryphocusy3032 2 жыл бұрын
Ameeni mtumishi
@katherinasamwel3937
@katherinasamwel3937 2 жыл бұрын
Amen Amen
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Ameen barikiwa napokea ufahamu wangu kwa jina la yesu maan kwake yote yanawezakana hakika barikiwa sna mutumishi wa mungu nafunguka mahali❤
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 2 жыл бұрын
Ameeen sana,,, ubalikiwe mtumichi wa mungu
@careenallyally3668
@careenallyally3668 2 жыл бұрын
Ameen
@garoz4editingskills215
@garoz4editingskills215 Жыл бұрын
Amen amen amen kwa kina la muumba wa mbingu na inchi.
@anastanciaomusula3738
@anastanciaomusula3738 2 жыл бұрын
Amen damu ya Yesu imetosha kwa maisha yangu. Ninafungua fahamu zangu Kwa jina la Bwana Yesu amen. Barikiwa mtumishi wa mungu
@Charlesgoggins07
@Charlesgoggins07 2 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@Christina-dk9dn
@Christina-dk9dn Жыл бұрын
Asante Mungu
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 11 ай бұрын
I receive I receive I receive I receive
@judithenock2640
@judithenock2640 2 жыл бұрын
Yesu fungua ufahamu wangu na akili yangu uliotekwa na adui chochote ninachoona hakiwezekani kwangu Leo hii iwezekane Ameeeeen
@dorisbosibori8126
@dorisbosibori8126 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙌 amen ✊🙏
@jocelineshayo7962
@jocelineshayo7962 2 жыл бұрын
Amen napokea kwa damu ya Yesu
@AmuriEzekiel-bb1kc
@AmuriEzekiel-bb1kc 10 ай бұрын
Ameeen kabisa nafanikiwa kupata ushindi katika fahamu zangu mambo yangu yote yanafunguliwa kupitia madhabahu ya SIRI ZA BIBLIA kwa jina la YESU KRISTO.
@inessclara1250
@inessclara1250 2 жыл бұрын
Amen jina labwana libarikiwe
@agathemichelle238
@agathemichelle238 Жыл бұрын
Amen amen napokea kwa jina la Yesu 🙏🙏
@dieudonnemarcel
@dieudonnemarcel Жыл бұрын
Napokea kwa damu ya Yesu wetu Christo
@MagdaleneMagdalene-rz1sp
@MagdaleneMagdalene-rz1sp Жыл бұрын
Amen napokea kufunguliwa fahamu katika jina la yesu
@oilaskaberiaMuthee
@oilaskaberiaMuthee 7 күн бұрын
Amen mtumishi wa mungu naomba nipate fahmu zangu
@catherinekwagilwa9051
@catherinekwagilwa9051 2 жыл бұрын
Ameen!
@fatumakitwara4793
@fatumakitwara4793 Жыл бұрын
Asante Mfalme kwa kunikomboa na kuniweka huru 🙌🙌🙌💯💯💯🙏🏽🙏🏽🙏🏽🧎🏽‍♀️🧎🏽‍♀️Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA
@NaumiBaya-wr7ri
@NaumiBaya-wr7ri Жыл бұрын
Amen 🙏🙌 amen
@MpoliaKitainda
@MpoliaKitainda Ай бұрын
Ameen ahsante mungu wetu ❤❤
@evalikothobias586
@evalikothobias586 2 жыл бұрын
Aminaaaa
@rosekomba8324
@rosekomba8324 2 жыл бұрын
Amen
@gracedamas5883
@gracedamas5883 Жыл бұрын
Napokea kufuliwa fahamu zangu kwa jina la Yesu Ameni 🙏
@angelamoshi8013
@angelamoshi8013 2 жыл бұрын
ameen napokea kufunguiwa
@barikimatabishi3544
@barikimatabishi3544 2 жыл бұрын
Mungu ni saidiye unipe mawazo mema.
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen asante yesu kwa ajli ya mtumishi wako
@samuelabonifas5441
@samuelabonifas5441 Жыл бұрын
Yesu funguwa fahamu zangu nikujuwe wewe peke yako asante mtumishi ubarikiwe mwenyezi mungu azidi kukutia nguvu uzidi kutufundish Ameni
@MariahOmar-r8q
@MariahOmar-r8q 3 ай бұрын
Asante Asante+ Ye🎉su . Asante yesu
@AnithaMkulasi
@AnithaMkulasi 2 ай бұрын
Mungu naomba kufungu famuzangu nikujui ww na familia yangu pia tukujue ww mungu
@RafinhaSiraombeni
@RafinhaSiraombeni 8 ай бұрын
Amen napokea napokea
@devotamwambola8303
@devotamwambola8303 2 жыл бұрын
Ameniiii
@JustinaKambimbi
@JustinaKambimbi Жыл бұрын
Mutumishi wa bwana yesu aksanti sana kwa mafundisho yote amina
@ramadhanianderson6518
@ramadhanianderson6518 2 жыл бұрын
Amin🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@KSA-hu5he
@KSA-hu5he 7 ай бұрын
Amen napoea ufahamu wangu Kwa Jina la yesu
@agnesmgina2232
@agnesmgina2232 2 жыл бұрын
Mungu akulinde sana mtumishi
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 6 ай бұрын
❤❤❤❤ Aminaaa
@RiseImanueli
@RiseImanueli 10 ай бұрын
damu ya YESU ipite kwa ufaamu wangu nifunguliwe amena
@IreneDldm
@IreneDldm 10 ай бұрын
Napokea kufunguliwa faham Zang katik jina la yesu Krist amenn
@delphinekerubo3974
@delphinekerubo3974 Жыл бұрын
Amen nimepokea kuvunguliwa fahamu zangu
@LydonLydonmuriki
@LydonLydonmuriki 9 ай бұрын
Amen napokea kubarikiwa katika jina la yesu
@CatherineLorry
@CatherineLorry Жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa maombi ubarikiwe sana...ameeen
@MpolyaPaulo
@MpolyaPaulo Жыл бұрын
Fungua fahamu zangu nafamilia yngu Eee bwana kwa jina la yesu🙏
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 11 ай бұрын
Amen napokeya kufunguliwa vifungo vyote ktk fahamu wangu kwa damu yako YESU kristo Alie hai niwe huru maisha ni
@alphakigosi7035
@alphakigosi7035 2 жыл бұрын
Ameni
@nishimweneema2378
@nishimweneema2378 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen 👏 👏 👏
@paulmwangi294
@paulmwangi294 2 жыл бұрын
Napokea ufahamu kutoka kwa yesu kristo kutoka kwa madhabahu haya.
@Dhore-jb5pb
@Dhore-jb5pb Жыл бұрын
Thank you Jesus amen 🙏
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 11 ай бұрын
Damu ya YESU
@lusilusi8687
@lusilusi8687 2 жыл бұрын
Amen be blessed mtumishi
@felisterndunge5860
@felisterndunge5860 2 жыл бұрын
Amen napokea kufunguliwa kwa kazi Yangu imbalikiwe Aiendelei poa
@estaraberd1245
@estaraberd1245 2 жыл бұрын
Napokea kufunguliwa ufahamu Wang,katka jina la layesu kristo🙏🙏
@kabakamaerick9037
@kabakamaerick9037 Ай бұрын
Ameni nafunguliwa ufahamu wangu
@florencekwekwe1993
@florencekwekwe1993 Жыл бұрын
Asante bwana kwa ukombozi, hallelujah 🙌
@SunguraShabani
@SunguraShabani Жыл бұрын
Amen praise The Lord Jesus Christ
@ElizabethMaduhu-g5g
@ElizabethMaduhu-g5g Жыл бұрын
Amen napokea kufunguliwa fahamu zangu kwa jina la yesu
@fabiolamuhagama-fk4gf
@fabiolamuhagama-fk4gf 9 ай бұрын
Amen nimefunguliwa fahamu zangu kwajina la Yesu
@alicekadzotsofwatsofwa8618
@alicekadzotsofwatsofwa8618 2 жыл бұрын
Amen ninaimani nitafunguliwa fahamu zangu Kwa jina la yesu
@stellah9402
@stellah9402 2 жыл бұрын
Amen Amen nimepona
@christineasinga2720
@christineasinga2720 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@bilalsuleiman6504
@bilalsuleiman6504 2 жыл бұрын
haleluya Amna mumgu nimwema azidikuktyanguvu
@JoyceJohn199
@JoyceJohn199 2 ай бұрын
Yesu fungua ufahamu wangu na akili yangu nisaindie Mungu naitaji nikujuwe wewe
@BabyConstble
@BabyConstble 10 ай бұрын
Shalom shalom, MUNGU akubariki na kukutunza Mtumishi wake kwa kukubali kutii na kutufunulia siri hzi
@paulmwangi294
@paulmwangi294 2 жыл бұрын
Napokea kwa jina la yesu kristo wa Nazareth ufahamu kufunguliwa 24/7 kutoka kwa madhabahu haya.
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Napokea kwa jina la Yesu Kristo
@ImeldaMyinga
@ImeldaMyinga 5 ай бұрын
Ameen ameen ubarikiwe mtumishi
@winnyelias1043
@winnyelias1043 2 жыл бұрын
Ameeen napokea 🤲 kwajina la yesu
@termankalendo1439
@termankalendo1439 2 жыл бұрын
Amen glory to almighty God 🙏🙏
@aberygeorge
@aberygeorge 10 ай бұрын
Ameen🎉
@consolataanyambililemwakib1111
@consolataanyambililemwakib1111 2 жыл бұрын
Ameen nakiri kupokea kufunguliwa ufahamu wang katika madhabahu hiyo.
@rodaeliass6730
@rodaeliass6730 2 жыл бұрын
mwenyezi mungu anisaidie kupokea ufaham wangu kupitia jina la yesu alie hai ameni
@jacklynwanjala6969
@jacklynwanjala6969 2 жыл бұрын
Amen amen amen 🙏🙏🙏,Mungu akubariki Sana Kwa nguvu zake.akuzidishie ni Kwa ajili ya kila mmoja,asikiae kutoka madhabahu ya SIRI za BIBLIA.🙏
@sarahndumbu4090
@sarahndumbu4090 2 жыл бұрын
Amina Amina. Mungu nakushukuru kwa kuieka huru nafsi yangu kutoka kwenye mitego ya watesi wangu
MAOMBI MAPYA,TUMIA MAMLAKA ULIYONAYO {YOHANA 15:1}
17:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 44 М.
MAOMBI YA ASUBUHI | BWANA pigana nao
6:05
Maombi Ya Asubuhi
Рет қаралды 309 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
JIFUNZE KUZUNGUMZA NA MUNGU
16:47
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 80 М.
#LIVE:MAOMBI YA KUIOMBEA JANUARY 2025 // DAY 01
2:10:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 1,7 М.
UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA
37:41
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 103 М.
Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako
14:55
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 95 М.
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
mpoki jafari
Рет қаралды 24 М.
HATUA 6 ZA KURUDISHA NGUVU YA KUOMBA NDANI YAKO
12:37
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 59 М.
KWANINI UNAPOOMBA, VITA VINAONGEZEKA? - Innocent Morris
59:27
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 46 М.
UCHUMI HAUKO KWENYE VITU, UCHUMI UKO KWENYE NYAKATI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
11:06
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 148 М.
UKWELI ULIOCHELEWA KUUJUA // USITESEKE TENA,OMBA HIVI
15:01
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 50 М.
SOMO : NGUVU NA MATOKEO YA TOBA || EV DANIELY JOSHUAN
1:22:05
RGC MINISTRY
Рет қаралды 13 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН