NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU

  Рет қаралды 253,166

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Пікірлер: 721
@JoyceJohn199
@JoyceJohn199 24 күн бұрын
Eee bwana mm si mwema hata kidogo nimekuwa mkosefu katika maisha yangu yate katika jamii na watu wanao nizunguka mungu naomba nisamee sana mm mtoto wako 🙌🙌😭🙇‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️
@costakabamba8108
@costakabamba8108 Жыл бұрын
Ubalikiwe mtumishi
@esthermwikali5403
@esthermwikali5403 Жыл бұрын
Naitaji Roo mtakatifu katika maisha yangu yote
@fridakipingu
@fridakipingu Жыл бұрын
Mwaka 2016 alinisemesha kuhusu eneo la biashara na mtu atakaye nipa eneo Mungu akubariki mtumishi Iko faida kubwa sana
@RosemaryShayo-y3b
@RosemaryShayo-y3b 8 ай бұрын
Holy spirit I know I don't deserve to walk with you due to my uncommitment but please right know ive decided to be yours please be with me
@SamiraMponela
@SamiraMponela Жыл бұрын
Roho mtakatifu komboa watoto wangu
@Lovekalisti-b8w
@Lovekalisti-b8w Ай бұрын
Mungu naomba nipate upeo wa kumsikia roh mtakatif
@JustineGabriel-y5v
@JustineGabriel-y5v 3 ай бұрын
Eee bwana mimi si mwem hata kidogo nimekuwa mkosefu katika jamii na watu wanao nizunguka bwana wangu niguse tena niwe wako mimi sina bwana mwingine🙏🙏🙏
@kabwefrancine99
@kabwefrancine99 3 ай бұрын
amen baba 👏👏
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 2 ай бұрын
Amen 🎉🙏
@VeronicaPaul-k2l
@VeronicaPaul-k2l 2 ай бұрын
Najihis pia mm nmemkosea sana Mungu naogopa hata kukanyaga kweny nyumba ya Bwana
@imaminja9934
@imaminja9934 Ай бұрын
Hallelujah
@EstherGoodwell-jb5wq
@EstherGoodwell-jb5wq 11 күн бұрын
Amen and Amen Asante Sana eee Roho wa Mungu niongoze kwa kila hali ya Maisha yangu
@franciskemba8722
@franciskemba8722 3 ай бұрын
Ee Roho mtakatifu naomba kusikia sauti yako masikioni mwangu Amen
@AIKABAHATI
@AIKABAHATI Жыл бұрын
Naomba unitumie sala ya kumwomba Roho Mtakatifu nijue lugha Nipo ulaya najifunza lugha lakain inabid nimshirikishe Roho Mt.
@NaomiBahat-bz6ri
@NaomiBahat-bz6ri 5 ай бұрын
Mungu naomba inisaidie niweze kumsikia loho mtakatifu
@RebeccaAntony-g9o
@RebeccaAntony-g9o 4 ай бұрын
🙏
@lulupeter-xf9gs
@lulupeter-xf9gs 7 ай бұрын
Roho mtakatifu ananitia nguvu mpya kila siku amen 🙏🧎.
@sophietashily4521
@sophietashily4521 Жыл бұрын
Amen🙏🙏 huo ushuhuda umenipa hope ju nimekua nikiomba sana Mungu anijalie fethaa za kununua vitu za kanisa nina imani Mungu atajibu🙏🙏🙏 Mungu akubariki sana
@FausterLawrence
@FausterLawrence 15 күн бұрын
Amina karibu Roho mtakatifu uniongoze sana maishani mwangu
@sophietashily4521
@sophietashily4521 14 күн бұрын
@@FausterLawrence Amina Amina🙏🙏🙏
@lilianmusau-bn3ww
@lilianmusau-bn3ww Ай бұрын
Amen Amen Amen Haya mafunzo yatanisaindia katika Jina la Yesu
@AbigaelMasangwa
@AbigaelMasangwa Ай бұрын
Mungu nisaidie nikusikie roho mtakatifu🙏
@peninabensonpen870
@peninabensonpen870 Жыл бұрын
Ameen Ameen naomba roho wa MUNGU aniongoze katika maisha yangu Amen
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 Жыл бұрын
Kwel kuna faida ya kumsikiliza Roho Mtakatifu tena huwa anazungumza kwa sauti ya upole sana. Mungu ni mwema kila wakati 🙏🙏🙏
@EdwardPeter-bh3vd
@EdwardPeter-bh3vd Жыл бұрын
Amen kweli Rm anazungumza lakini tumeshindwa kutofautisha aina ya sauti
@SalumDigale
@SalumDigale Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana na uzidi kutufikishia elimu hii juu ya roho mtakatifu
@SalumDigale
@SalumDigale Жыл бұрын
Ameni
@AudreyNininahazwe-uu3wc
@AudreyNininahazwe-uu3wc Жыл бұрын
Asante Sana mungu awabaliki sana🙏🙏
@SerahMuchina-n3x
@SerahMuchina-n3x 11 ай бұрын
Thank u paster God bless
@MaseaKerry
@MaseaKerry 15 күн бұрын
Amen Amen 🙏🙏🙏🙌🙌
@Pacificah-n9x
@Pacificah-n9x 2 ай бұрын
Roho Mtakatifu wewe ndiwe msaada wangu karibu uniongoze ktk kusoma neno la mungu
@faridabalibonera5969
@faridabalibonera5969 7 күн бұрын
Mungu tu jalie Baba🙏
@MlasiKolamu
@MlasiKolamu Жыл бұрын
Naitaji Roo mtakatifu anijie rooni mwangu mile ame
@suzanne9517
@suzanne9517 Жыл бұрын
Mungu naomba roho wa mtakatifu aningoze ktk maishani mwangu
@RachelAnney
@RachelAnney 4 күн бұрын
Amen Ameen
@barack2692
@barack2692 Жыл бұрын
Amina napokea kwa jina la yesu kristo
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 2 ай бұрын
Ee mola kaa nami naomba nisikie sauti yako angslau kwa siku hata moja naamin amen🙏🙏
@angelitapaulo
@angelitapaulo Жыл бұрын
Amen naamini hivyo itakuwa roho wa MUNGU niongezee nashukuru nimeipata kitu
@mlishohadija6923
@mlishohadija6923 2 күн бұрын
Amen and Amen ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@Sarahchristian-p2p
@Sarahchristian-p2p 3 күн бұрын
mungu akubariki mtumishi mmejifunza k2 Leo🙏🙏🙏
@Mary-z5i1s
@Mary-z5i1s 21 күн бұрын
Amen amen amen and amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤️❤️
@richardkalinga230
@richardkalinga230 22 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@SabrinaMsuya
@SabrinaMsuya 26 күн бұрын
Karibu yesu moyoni mwangu
@ZunghwajeYombo
@ZunghwajeYombo Ай бұрын
Roho mtakatifu anisaidie niingie jerusalemu
@chriskgs0130
@chriskgs0130 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na Neno Lako Kaka angu
@IsaacNdayisenga-u7j
@IsaacNdayisenga-u7j Жыл бұрын
Naomba Mungu aniongoze Ili niweze kumtambuwa
@FatumaShabani-k6x
@FatumaShabani-k6x 3 ай бұрын
Naitaji kusikia sauti ya roho mtakatifu aniongoze katika maisha yangu roho mtakatifu 🙏🙏🙏🙏
@RydiaChittoza-br5zb
@RydiaChittoza-br5zb Ай бұрын
Mungu nisaidie nimusikie roho mtakatifu
@sesy-y3y
@sesy-y3y 3 ай бұрын
Ee mungu mwenyezi naomba roho mtakatifu aniongoze katika maisha yangu❤❤
@esthermwathi4972
@esthermwathi4972 Жыл бұрын
Amen...Naomba roho mtakatifu aniongoze katika maisha yangu
@BossBaby-m6o
@BossBaby-m6o Ай бұрын
Ewe Mungu naomba unisaidie kusikiliza roho mtakatifu na kutii sauti yake🙏🙏
@UpendoKivuyo-z9y
@UpendoKivuyo-z9y 2 күн бұрын
Mungu akutumie kutufundisha ili tuelewe zaidi.
@ZunghwajeYombo
@ZunghwajeYombo Ай бұрын
Amina mungu anisaidie niokoke kikamilifu
@RosetteMaarachi
@RosetteMaarachi 3 ай бұрын
Mungu n'a taka niku sikiye usiku wa Léo baba mungu wangu roho mutakatifu 🙏🙏🙏
@JoyceKimario-r5g
@JoyceKimario-r5g 3 ай бұрын
❤❤ Naomba roho mtakatifu kwenye maisha yangu
@MagdalenaKilimo
@MagdalenaKilimo 5 күн бұрын
Ameen.
@DevidikaWilliam-s4g
@DevidikaWilliam-s4g Жыл бұрын
Somo zuri mno barikiwa mtumishi wa MUNGU
@ChristopherAndrea-rh6yw
@ChristopherAndrea-rh6yw 4 ай бұрын
Roho mtakatifu uniongoze siku zote za uhai wangu
@GlorySiriwa
@GlorySiriwa Жыл бұрын
Amina 🙏🙏
@DorahAthanasio
@DorahAthanasio 4 ай бұрын
Roho mtakatifu sema nami nikuelewe kile unachosema nami Amina
@prosperpuro1712
@prosperpuro1712 3 ай бұрын
Asante kwakuni funulia aya Amen Amen Amen 🙏
@AnnaMundia-d3o
@AnnaMundia-d3o 4 ай бұрын
Nampenda Yesu natamani kujazwa na roho mtakatifu. Mtumishi ubarikiwe ..Amen
@FrankHastrida
@FrankHastrida Жыл бұрын
Asante pasta nimekuelewa sana naamini kuanzia Sasa nitamruhusu roho mtakatifu afanye KAZI ndani yangu.
@winifridabilali8120
@winifridabilali8120 Жыл бұрын
Ahsante mtumish wa mungu
@mudrickandrew6052
@mudrickandrew6052 Ай бұрын
E bwana yes nipe utii wa kumsikiriza roho mtakatif
@ernestbutagalala
@ernestbutagalala Ай бұрын
Baba nipe neema ya kumsikia roho mtakatifu na mm aniongoze kwenye maisha yangu
@ElikaMsenga
@ElikaMsenga 4 ай бұрын
Mungu nomba nisaidie niwezekumsikiliza roho mtakatifu
@SevAl-p9k
@SevAl-p9k Ай бұрын
Sylvia amen karibu roho mtakatifu ndsni yangu uniongoze🙏🙌♥️
@MinaniAchel-fs5ng
@MinaniAchel-fs5ng Жыл бұрын
Ubarukiwe mtumishi wamungu
@Hafidhi-k9l
@Hafidhi-k9l 5 күн бұрын
Amina ubarikiwe sana baba
@FurahaGasparMasawe
@FurahaGasparMasawe Жыл бұрын
Namuitaji Sana roho mtakatifu maishani mwangu 🙏
@henrysizya239
@henrysizya239 Күн бұрын
Amen! Katika sehemu ambayo bado inanifanya niwe darasani mpaka sasa ni jinsi ya kumsikia Roho Mtakatifu ili iwe rahisi kwangu kuishi kulingana na maelekezo yake. Mungu wangu naomba unisaidie kwasababu Kitabu cha Warumi 8:14 inasema kuwa "anaeongozwa na Roho wa Mungu ndio mwana wa Mungu "
@FrankJamesy
@FrankJamesy 4 ай бұрын
Eeeeh.....Roho Mt.naomba unisaidie niweze kusikia sauti yako maishani mwangu
@lilianmusau-bn3ww
@lilianmusau-bn3ww Ай бұрын
Hakika bila roho mtakatifu hatuwezi Holy spirit teach me to listen your Voice
@ZuenaMkuye
@ZuenaMkuye Жыл бұрын
Ni kwel kabisaaa barikiwa sana
@jacklineelias3091
@jacklineelias3091 4 ай бұрын
Mungu naomba roho mtakatifu anitembelee kila wakati
@Michaelsmasase-ye9eh
@Michaelsmasase-ye9eh Жыл бұрын
Amina mungu akubaliki kwasomo zuli
@ElizabethGoodfley
@ElizabethGoodfley 25 күн бұрын
Amen amen
@pacificshuli5415
@pacificshuli5415 Жыл бұрын
Amina saana Mtumishe wa Mungu ❤❤
@MwajabuHamis-s6x
@MwajabuHamis-s6x 2 ай бұрын
Eewe Mungu wangu nimesikia neno lako ninakushukuru Dana Kwa wema wako unaonitendea
@GlauryHaule
@GlauryHaule 21 күн бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi wakati Roho mtakatifu anajibu kwa nyimbo unasikia wimbo ndani yako mi hua nauangalia huo ujumbe najua ni Roho amesema nami
@Brainy585
@Brainy585 4 ай бұрын
Mungu mwenyezi naomba unisaidie kumsikiliza roho mtakatifu ndani ya maisha yangu
@BonfasJanuary-vr5tm
@BonfasJanuary-vr5tm Жыл бұрын
Amin mtumish
@aewinnghongolo2374
@aewinnghongolo2374 Ай бұрын
Ameeen
@GraceAwino-ty4wf
@GraceAwino-ty4wf 15 күн бұрын
Kwa kweli nimefaidika Sana kiroho ASante sana
@jenikayuni3704
@jenikayuni3704 Ай бұрын
Mungu akubarki mtumishi wa Bwana nimependa darasa la maarifa ya kimbingu
@EliasLukumay-w3r
@EliasLukumay-w3r 7 ай бұрын
Amen 🙏 eeh MUNGU unisaidie
@lilywei2967
@lilywei2967 Жыл бұрын
AMEN naamini nitapokea roho mtakatifu
@sidaryotv8821
@sidaryotv8821 Жыл бұрын
Amen mtumishi
@winifridabilali8120
@winifridabilali8120 Жыл бұрын
Nataman sana sana ,aniongoze
@UpendoEmanuel-cu5zu
@UpendoEmanuel-cu5zu 7 ай бұрын
Amina nmmepokea kwa neema ya roho mtakatifu.
@GRace-hm9ek
@GRace-hm9ek 23 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@mariammake5298
@mariammake5298 2 ай бұрын
Amen 🙏 roho mutakatifu naomba uniongoze
@AgnesLinus-vb9uj
@AgnesLinus-vb9uj 4 ай бұрын
Barikiwe sana mtumishi
@dorothyronald2445
@dorothyronald2445 5 ай бұрын
Assnte Yesu kwa neno lako,asante kwa mtumishi wako.nipe neema ya kumsikiliza Roho Mtakatifu
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 7 ай бұрын
Amén Amen Amen Ni Muhimu Sana Kuwa Na Roho Mtakafu Kwa Kuwa Roho Mtakatifu Ndio Mwongozo Wetu.
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 28 күн бұрын
Eeeh mungu naomba niweze kumskia roho mtakatifu
@DulayoPunyero
@DulayoPunyero 2 ай бұрын
Roho mtakatifu akawe mwongozo wa maisha yangu❤❤
@OshiriFloatexchange
@OshiriFloatexchange 3 ай бұрын
Naomba nijibiwe kwa mujibu wa maandiko
@TheresiaMoses-g7w
@TheresiaMoses-g7w Жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu naamini atafanya ,naomba Roho Mtakatifu uniongoze katika maombi yangu
@nyafurugoma2749
@nyafurugoma2749 Жыл бұрын
asante kwa kunipa maarifa juu ya Roho mtakatifu hakika nimepata jambo jipya Mungu akubariki
@JolleetNiaze
@JolleetNiaze 12 күн бұрын
Ameneeeeeeeeeeen
@AsheriMajengo
@AsheriMajengo 4 ай бұрын
Amen mtumish Mungu akubariki sana
@leoniapaulo7752
@leoniapaulo7752 Жыл бұрын
Asante kwa somo mtumishi barikiwa sana.
@VeronicaPaul-k2l
@VeronicaPaul-k2l 2 ай бұрын
Roho wa Mungu naomba uendelee kukaa ndan yang ili niweze kukaa uwepon mwa Bwana
@JulianaJuliana-m4v
@JulianaJuliana-m4v Ай бұрын
Amen naomba roho mtakatifu awe maishani mwangu.
@simonimbena
@simonimbena 3 ай бұрын
Mungu naomba unipe roho mtakatifu na nguvu zake
@MamaTee-bm2en
@MamaTee-bm2en 5 ай бұрын
Aloooo Kuna kitu nimepokea Ameen nmekua mpya
@byusaajumapili6750
@byusaajumapili6750 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
@graceurio6673
@graceurio6673 Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@Dounglaskailiba
@Dounglaskailiba Жыл бұрын
Amen
@rizikiochai7581
@rizikiochai7581 Жыл бұрын
Amen.Ni kweli pastor mm hulalamika Sana Kua Mungu hanijibu,Asante mtumishi Kwa Sasa napokea mwelekeo
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 47 М.
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 876 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,7 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 93 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 22 МЛН
SAUTI YA ROHO MTAKATIFU NDANI YAKO
15:14
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 22 М.
JINSI YA KUSHINDA ROHO YA KUKATA TAMAA
1:44:01
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 112 М.
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 01/09/2022
33:34
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 52 М.
JIFUNZE KUOMBEA NDOTO UNAZOZIOTA KILA SIKU // DAY 7
35:50
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 26 М.
MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris
3:14:49
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 133 М.
LIVE: MAOMBI YA USIKU WA MANANE // MBINGU ZINAFUNGUKA
1:12:54
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 150 М.
JINSI YA KUTAMBUA SAUTI YA MUNGU NA KUIFATA.
1:05:48
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 225 М.
ROHO MTAKATIFU(SEHEMU YA KWANZA) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:27:16
Reality of Christ Church
Рет қаралды 70 М.
HUWEZI KUOMBA? TAMKA MANENO HAYA NA MUNGU ATAKUSIKIA
16:05
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 261 М.
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН