MSHILI MKUU WA WAMERU ATOA TAMKO LA MAWE "SERIKALI HAIWEZI, TUTALIMALIZA KIMILA"

  Рет қаралды 20,372

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 46
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
kumbe Tz kuna wameru pia waaah uchawi wa ajabu haitawaiisha Africa 🙏🇰🇪🇪🇺
@davidkitomary5174
@davidkitomary5174 2 жыл бұрын
Ndugu muandishi, next time salimia Mshili kwa heshima tafadhali.
@amanimusenyi8217
@amanimusenyi8217 2 жыл бұрын
Kabisa asee
@mc-shaulinsingeristmsomi3903
@mc-shaulinsingeristmsomi3903 2 жыл бұрын
Inaskitisha sana pale ambapo waafrika wasiojielewa kuita asili zao uchawi na kuzilaani ,,,iih inaonyesha kwa kiwango kikubwa watu ni watumwa wa kifkra,,,amkeni waafrika msijifanye mnajua sana dini wakat zimeletwa na meli tuh...
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Ninamshukuru MUNGU SANA, mzee Sumari!! Umesema serikali haiwezi KUJUA tatizo la Mawe! KUMBUKUMBU ya mgogoro ha Elerai. Kuna MTU analia!
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
Afrika tushakuwa watumwa,yaani imani za asili zinaitwa "ushirikina" na imani zilizoletwa na wageni tunaziita "dini", kwanini mnapenda kushusha thamani za imani zilizokuwepo toka jadi??? Ina maana mababu zetu walikuwa washirikina???? Kwanini nazo msiziite "imani za jadi"
@mankambise2000
@mankambise2000 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana yaani nachukia sana watu wanavyochukulia tamaduni
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
@@mankambise2000 kurushwa mawe pasipojulikana siyo tamaduni !! na kama ni tamaduni ni tamaduni ya nani !!??
@chrismassawe326
@chrismassawe326 2 жыл бұрын
@@ayububakari9942 hahaha ni tamaduni ya kurusha mawe mbona hujiulizi unaweka vocha kwa simu unapiga kwa mtu yupo mbali kwa nn sio uchawi pia ..ila hayo ni full uchawi tofauti ukisasa
@Worldunite
@Worldunite 2 жыл бұрын
@@ayububakari9942 yawezekana kuna miiko/matambiko fulani ya jadi yamepuuzwa ndo maana, sbb huenda ni mizimu ya mahala hapo yamekasirika
@chazy7ya216
@chazy7ya216 2 жыл бұрын
Iyonimilatuu kituinakwishaaa
@timboxlee919
@timboxlee919 2 жыл бұрын
Safi Sana mkuu wa wameru,umeongea vzr Sana
@emmanuelmaige2212
@emmanuelmaige2212 2 жыл бұрын
Saboko maila umefika mbali MUNGU hutenda kwa wakati wake, hawahi Wala hachelewi.yeye hafananishwi na kitu chochote
@emilianannko139
@emilianannko139 2 жыл бұрын
Wazee wakishakutana kwny mringaringa mambo yataisha tuu.....tatizo meru dhuluma za ardhi zimezidi ....au wapasue chungu ila watu watanyooka
@jullymshashu856
@jullymshashu856 2 жыл бұрын
Chungu c watu wataisha ata wasiohusika
@scolajoseph840
@scolajoseph840 2 жыл бұрын
@@jullymshashu856 na ndo chenyew wanavyosema mpka kweny tarh 15 asipojitokeza mtu imekula
@jullymshashu856
@jullymshashu856 2 жыл бұрын
Lkn naonaga matangazo ya kuvunja chungu kabla ñgoja tuone
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 жыл бұрын
Hata mimi nilisema itakua itakua mtu kamzulum mwenzie hamjui wameru nyie weeee
@sabokomaila1827
@sabokomaila1827 2 жыл бұрын
Aiseee dah
@mwanadamtz1298
@mwanadamtz1298 2 жыл бұрын
Mwamposa ukowapi inamaana husiki vilio vya watuu. Gwajimaaeee tafadharii. Oyaaa KUHANI MUSSAA EHEE TWENDEZETU KULE UKA NYOOSHE MAMBO. Ila bebeni Element
@chazy7ya216
@chazy7ya216 2 жыл бұрын
Akunakitu apo iyonimila tuu mawe yanatoka aridhini yenyewe
@MtuSafi
@MtuSafi 2 жыл бұрын
😀😀Iman kitu kibaya sana sasa hao uliowataja si wasanii tu..{wapigaji wa ushirikina} Labda kama mnataka waganga mana wale wanatumia nguvu za giza hawana upako hata mmoja wao pale.
@mc-shaulinsingeristmsomi3903
@mc-shaulinsingeristmsomi3903 2 жыл бұрын
Iyo ni Mila ya muafrika amna ataeweza kuzuia zaid ya wazee wa mila
@ombenianton3611
@ombenianton3611 2 жыл бұрын
Mshili umetoa maelezo mazuri mno " fukyeng nungu varwa"
@mc-shaulinsingeristmsomi3903
@mc-shaulinsingeristmsomi3903 2 жыл бұрын
SAwa kabisa ayo ni mambo ya mila
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Si mawe yameshakemewaa na mchungaji mkuu
@sabokomaila1827
@sabokomaila1827 2 жыл бұрын
Nikweli Hili swala lipelekwe kimila yesu kashindwa
@jesusiscomingback4896
@jesusiscomingback4896 2 жыл бұрын
Pole wewe ndio umeshindwa!! Yesu hajawahi shindwa kamwe katazame kaburi lake kama yupo Ila mwanadamu aka Mila aka waganga mpaka Leo hamjawah shinda Mauti poleni.. Yesu NI yeye Yule Jana Leo na milele mawe sio kitu hata alitembea juu ya maji sembuse mawe
@sabokomaila1827
@sabokomaila1827 2 жыл бұрын
@@jesusiscomingback4896 Africa tushakuwa watumwa yesu hakuwepo henzi za mababu wetu walifanya mila zao kwa mambo yao na walifanikiwa kwa nini kaenda mchungaji kashindwa nakapigwa mawe
@MtuSafi
@MtuSafi 2 жыл бұрын
@@jesusiscomingback4896 tulia na wewe sasa muite yesu wako akamlize..Kwani aliekwambia mila ni uchawi ni nani?
@ankotemba7369
@ankotemba7369 2 жыл бұрын
Mpuuzi sana
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣EtyesukShindwa ww mchokozi😂😂😂
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 2 жыл бұрын
Kwahy hayo mawe sio nyumb moja mtaa mzima
@bujoratv9987
@bujoratv9987 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hYHYi51tiLaKj68 FAHAMU MALIKIA QUEEN ELIZABETH HUSHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA MARA MBILI KWA MWAKA..
@mamachris6811
@mamachris6811 2 жыл бұрын
MALIKIA QUEEN 😳🤔
@smfkingdom9944
@smfkingdom9944 2 жыл бұрын
Ka🌴 pomnbee kzbin.info/www/bejne/e6C4f61-j9SqfLs ,
@Bayothomusic
@Bayothomusic 2 жыл бұрын
Angalia hii kzbin.info/www/bejne/rZ-looumfd6BotE
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
BREAKING: ALLY KAMWE ATANGAZA KUJIUZULU YANGA SC
2:01
Millard Ayo
Рет қаралды 19 М.
Blood Supply to Brain | Circle of Willis | Neuroanatomy
1:39:36
Dr. Najeeb Lectures
Рет қаралды 752 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 12 МЛН