MSHTUKO! Marehemu Aibuka Nyumbani! Baada ya Kuzikwa, Ndugu Walithibitisha Mwili Kabla ya Maziko

  Рет қаралды 20,463

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SUBSCRIBE NOW: / uwazi1
NI mshtuko! Hicho ndicho kilichotokea kufuatia tukio la hivi karibuni lililojiri Kinondoni jijini Dar, baada ya wanandugu kuhakiki mwili wa aliyedaiwa kuwa ni ndugu yao ( Lutavi Michael Joseph) ukiwa mochwari na kuthibitisha kuwa ni yeye na baadaye kumzika kwa heshima zote DESEMBA MWAKA 2016, lakini kwa namna ya kushangaza,miezi michache baadaye, ‘marehemu’ anaibuka nyumbani na kuzua taharuki.
“Wakati wa kuaga mwili, tuliamua tusiufunue kwa kuwa alikaa hospitali muda mrefu, hivyo ndugu wengine hawakupata nafasi ya kumuona kisha tukamzika kwenye Makaburi ya Kinondoni.
“Cha ajabu siku ya Jumanne (JULAI 2017), Lutavi akabisha hodi, akaingia na kunikumbatia, watu wote tulishtuka, lakini baada ya kumhoji tunaamini ni yeye, tuliyemzika siye.
Bibi wa ‘marehemu’ huyo anasimulia.
Ni kisa cha ajabu lakini ni kweli! Wamehojiwa na Kelvin Shayo wa GLOBAL TVONLINE, babu,bibi na mchungaji wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
FACEBOOK: / globalpublishers
TWITTER: / globalhabari
Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .

Пікірлер: 17
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Nyie mna maajabu sana.kuna mkristo anaezikwa bila kuagwa?
@adyaa8922
@adyaa8922 6 жыл бұрын
Hii ni atari sana
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
Sasa kuondoa msalaba sawa, kwanini lisifukuliwe kaburi na jeneza litazamwe labda maiti ni mtu mwengine aliezikwa ?
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 2 жыл бұрын
Nahujaona kweli
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 2 жыл бұрын
Nyie mochwari viherehere vyenu vya kutaka kuchangiwa rambirambi"na mlikuwa mnajua sema maisha yalikuwa magum"mlichukua mwili wa mtu mwingine ili kupata rambirambi za watu.acheni kuleta janja yenu
@juliethjustus5424
@juliethjustus5424 2 жыл бұрын
Hiyo Huwa inatokea
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
Mmmmh! ni sheeeedah!
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 2 жыл бұрын
huo ni ujanja wenu kutaka rambirambi za watu"kwanini wakati wa kuaga mwili haukufunuliwa?na nyie wakristo ni lazima wakati wa kuaga sura ionekane"nyie msitumalizi bando"rudisheni rambirambi za watu.
@roseatieno6691
@roseatieno6691 2 жыл бұрын
Walizika mtu sio wao . They baried the wrong body that was unclaimed .
@zainabuyohana3780
@zainabuyohana3780 2 жыл бұрын
Unakuta unapenda mochwali kumsitiri nduguyako unasikiwaingie wawili tu nyie kaeni mbali
@hamidakondo4579
@hamidakondo4579 3 жыл бұрын
Kumbe hakufa aliwnda kufata makuma
@saidseleman5838
@saidseleman5838 7 жыл бұрын
duu
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 3 жыл бұрын
Mh... majabu ya mwaka
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 7 жыл бұрын
hii fufukafufuka hii hatar sana
@ilhamsimai4459
@ilhamsimai4459 7 жыл бұрын
Mnzava Chris 😂😂 mtihani
@dianachiduo9899
@dianachiduo9899 6 жыл бұрын
MH kazi hiyo
@حليمةتنزانيا
@حليمةتنزانيا 7 жыл бұрын
alima amisi wewemsukule
AIBU YA MWAKA! Baba Mzazi Anaswa Gesti na Binti Yake Live
38:44
Global TV Online
Рет қаралды 619 М.
MAPYA YAIBUKA: Mchina Asababisha  Mazito kwa Mama na Mtoto!
29:04
Global TV Online
Рет қаралды 330 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 12 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 65 МЛН
KIFO CHA PATRICK: Baba HALISI, Dada wa Muna Wafunguka Mazito!
36:22
Global TV Online
Рет қаралды 595 М.
LIVE: INASIKITISHA SANA! Mjane Aliyebomolewa Nyumba Dar, Amlilia Lukuvi
29:49
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 12 МЛН