Mungu akueke msingwa uyu mama cjui anamatatizo gani yani
@hermanimahenge67266 жыл бұрын
Sema babaaaaaaaaaa wambiieeeeee
@eliajimmy51286 жыл бұрын
Thanx Msigwa.
@jumagawani16945 жыл бұрын
HONGERA MSIGWA
@fadhilimlingi61926 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@fadhilimlingi61926 жыл бұрын
Mihemko ni kitu kibaya Sana that is true
@salumngongono76696 жыл бұрын
Karibu njoeni tufanye mazoezi
@fadhilimlingi61926 жыл бұрын
Lisu jmn duh
@consolatamaarufu67626 жыл бұрын
good
@kapingageorge76356 жыл бұрын
hahahahaha muda wote yupo Twitter kamaa nani ..............?
@davoo25556 жыл бұрын
Yaani haka kamama kanakoitwa Jenister Mhagama ni kama kameolewa na CCM atapaka mafuta mpaka ujinga maadamu tu amekitetea chama, Uchama haufai katika maendeleo ya Nchi wala hautusaidii sisi wananchi. Hovyo sana huyu mama
@wiza23096 жыл бұрын
watu wanampotezea mtu mtiririko wa points kwa taarifa zisizo na mshiko
@charlesmkomwa20706 жыл бұрын
nmekuelewa mkuu funguka
@lucky92856 жыл бұрын
Waambie Mh.Msingwa👏👏👏
@nurukwawote47166 жыл бұрын
Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?
@tinagrace70106 жыл бұрын
hizi taarifa ziwe znazuiwa maana hazina maana. mtu anaongea kitu cha maana anakatishwa na taarifa stupid things.
@charlesmkomwa20706 жыл бұрын
waambie ukweli
@ashuraatanas59676 жыл бұрын
Wa tz siasa hamjailewa tena cha ajabu hadi wabunge wenu bado wajinga wajinga tu huleta siasa hadi bungeni taarifa za kijinga upuuzi mtupu maendeleo kwenu mwiko
@hamadshein9356 жыл бұрын
AHAA.MIE HTA CELEWAGI.KABISAA.
@davoo25556 жыл бұрын
Msigwa umenifurahisha sana......!!! Mizuka imezidiiiiiii sababu ya kutafuta kiki kwa Wananchi, na sisi wananchi tumewachoka hawa CCM waondoke wakafiee uko mbali kabisa