Masha'Allah, shukran jazirah Allah amlipe malipo mema mfalme aliyojitoa kwa ajili ya Allah.
@suleimanalkindy57312 жыл бұрын
Tusimsahau JPM. Alimuomba mfalme wa Morocco hadharani ujenzi wa msikiti huu. RIP JPM
@hilalkhalfan14522 жыл бұрын
Kwa bahati mbaya haimsaidii kitu jpm.
@annasolomon98552 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 wew sio Mungu Kaa kimya
@hilalkhalfan14522 жыл бұрын
@@annasolomon9855 KWA MUJIBU WA QUR-AN NDIO NIMEJIBU MUNGU NDIO KASEMA HIVYO. yule aliomkufuru na kumkataa Allah sw na Mtume wake basi hakuna malipo akhera ila atapewa ya duniani tu. Sasa Mungu aliotaka msikiti kamkataa ila kaomba msaada ujengwe msikiti basi atapata watu hapa duniani kwasababu kawataka kuwaonesha watu na sio kwaajili ya ALLAH SW. ukifanya jambo jema kwaajili ya kujionesha basi huna malipo yoyote kwa ALLAH SW. AMRI YA KWANZA KULIKO ZOTE KWA SASA. NI KUMUAMINI MUNGU WA PEKEE NA MUHAMMAD ALIEMTUMA. Kipindi cha waizraili waliambiwa. WAMUAMINI MUNGU WA PEKEE NA YESU ALIEMTUMA
@annasolomon98552 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 we wasema,, hkuna lolote hizo ni propaganda za nyie malaika wa hapa Duniani... ( Mafarisayo)
@annasolomon98552 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Yesu akawaambia ,, watu wote wametenda dhambi na kupungikiwa na utukufu wa Mungu.. Bado akawaambia hakuna awaye yote chini ya jua Aliyetakasika ila Mwenyezi Mungu pekee,, watu wataokolewa kwaNeema na Mungu na si kwa ajili ya Neema Mungu tu.
MaashaaAllah Jazaakumullahu khairan Allah amuhifadhi na mabaya mflme huyo Na Amzidishie kheri na Barka Tele
@simbakilimanjaro77872 жыл бұрын
Aamiyn Yaa Rabbi Dua iwe Qabul kwetu sote Waumini
@telaamtauta22272 жыл бұрын
Aaamiin yaarab
@hamisimuhammad62252 жыл бұрын
Naam mashaallah yarabbi jaalia umoja namaendeleo ktk uislam jazaka llah lkhayra mfalme wa moroko nawote wenye kuutakia heri uislam
@lmi3384 Жыл бұрын
Morocco mashae Allah ❤️
@telaamtauta22272 жыл бұрын
Shukrani sana mfarme jannat firdaus ndio iwe makaziyako napiya mwenyezi mungu mlazemahali pema.peponi kipenzi chetu magufuli ndio aliye omba hadharani kujengewa mskiti mkubwa nakumbuka mpaka aliulizwa nahuyo mfarme kwani wewe ni mwaslaam akasema hapana lakini katekeleza shukrani sana basiì hapoo patajaa fitna hapoo watu watagombanaa hapoo watadharaulina hapoo waislaam tuweni wamoja
@mariamali18872 жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah Allah barik
@abubakarnabahani49942 жыл бұрын
Mh,Magufuli tutamkumbuka pia kwa jambo hili
@eshasalim54962 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH. ALLAHU AKBAR, ALLAHU AKBAR, WALILLAHI AL HAMDU
@D-Man.B-Free2 жыл бұрын
MashaAllah kama Madina 🕋
@rehemamarwa64202 жыл бұрын
Maanshallah
@abdul-azeezmagram49732 жыл бұрын
Mashallah mskiti mzuri sana shida hiyo mibao yakuwekea misahafu imetoa show ya msikiti wote wangetafuta utaratibu wakutoa hiyo mibao
@kambugarakim48402 жыл бұрын
Hakika tumeumbw kwa kutokulizika mmejengewa msikiti kwa gharama za watu bdo mnatoa kasoro tu
@palestine74562 жыл бұрын
مناشدة من ام فلسطينية من قطاع غزة 🇵🇸🇵🇸🤲🇵🇸للقلوب الرحيمة وفاعلين الخير لوجه الله تعالى😢🤲🤲 انا ام لأطفال ايتام اناشد القلوب الرحيمة اناشد اهل الخير والكرم انا لديا اطفال ايتام وليس لدينا معين انا واطفالي الحياة صعبة وظروفي سيئة وأحتاج المساعدة للضرورة القصوى وعليا ديون كثيرة للكهرباء والمياه والبقالة والصيدلية بسبب العلاجات وانا لم أستطيع سد اي شي من الديون و كل يوم مشاكل وهموم الله اعلم فيهاانا واطفالي نريد السترة والعيش براحة وامان ولكن الزمان جار عليا وعلى اطفالي وانا باستنجد بفاعل خير يرحمنا 😢😢🤲 انا بأرفع يدي لله لرب العالمين بالدعاء ان يرسل لي ابن حلال اخ او اخت ينجدونا من الفقر والظلم والذل اللي احنا فيه والله وربي شاهد عليا لا اريد غير الستر بالبيت بمأوى شو ما كان لي ولأطفالي والله ما النا مكان نطلع عليه وضعنا كتير سيئ والله اطفالي فاقدين كل شي ومحرومين كل شي لا حياة ولا عيشة متل الخلق وانا مش طالع بأيدي اي شي اعملو وحاولت كتير اعمل بس للاسف ما ساعدني الحظ بأي شي 😢😢🤲 وباطلب من فاعل خير يساعد اطفالي ويسترنا بالبيت انا واطفالي ويعتبر اطفالي اولاده او اخواته بالله ويحميهم من الشوارع ويسترنا الله يرضى عليكم ويوفقكم ويرزقكم من واسع فضله 🤲🤲 اعملو الخير بما يرضى الله مساعدة عائلة محتاجة الله اعلم بحالها وبظروفها ارجومسامحتي لطلبي 😢😢🤲واتساب (00970598089540)🤲🤲😢 الظروف اصعب منى وحسبنا الله ونعم الوكيل بكل من كان سبب لوصولي لطلب المساعدة بهذه الطريقة ☝ للتواصل.الرقم أمامكم بالصور☝
@OfficialA836402 жыл бұрын
Maashallah
@dezainermedia10352 жыл бұрын
Machallah
@bebisheni43802 жыл бұрын
Mashallah
@BinoAmosАй бұрын
Bakwata wao wamekaa upande wa faida tu hawajengi ila wanamiliki Allah atusameh
@mwanaimaabdallah78252 жыл бұрын
تبارك الرحمن
@munatwalib28082 жыл бұрын
Mashaallah
@sharifaabdullah68252 жыл бұрын
Masha allah
@yahyagonga2 жыл бұрын
Hapa sasa kiwe kisima cha Elimu. Bakwata hapa ndo mtihani wenu sasa kutuonesha ukubwa wenu
HATA UKIMKUMBUKA MAGUFULI HAIMSADII CHOCHOTE WAKATI KAFARIKI SI MUISLAMU NA KWA KUWAMBIA WAARABU WAJENGE MSIKITINI LAKINI HAKUSILIMU NA SAWA NA ZIRO CHINI YA ZIRO
@thauriayetu61592 жыл бұрын
INNAL MASAAJIDA LILLAH
@jumaally51402 жыл бұрын
Uko wapi Msikiti huu mzuri xana Allah amlipe Kila alikua ni sababu ya kisimama msikiti huu.
@fayeezomar93532 жыл бұрын
Kinondon muslim
@jamuhuraly12382 жыл бұрын
MahashaAlha
@ahz69072 жыл бұрын
Tunataka wajenge madrasa na schools kwa ajili ya waisilam waelimike elimu dunia na akhera. Maana misikiti ipo mingi tu na waumin hawajai vya kutosha.
@kyakagoro65842 жыл бұрын
Msikiti kati Dini yetu ndio chimbuko la kila maendeleo ukitumika vizuri mengine yanakuja baadae baada ya kuwa na Imani Thabit
@saidimpako51862 жыл бұрын
Huhuo msikiti ni chuo na madrasa kila kitu hapo sematu kwakua tunaishi kwa mitizamo ya maadui zetu ndo shida
@fatnasaidi30272 жыл бұрын
kwaiyo watakaje
@sayman1582 жыл бұрын
Kuna hadith gan mtume alijenga madrasa na shule...msikit ndo kila ki2 wewe..soma dini kwanza
@aboubakarahmad2342 жыл бұрын
Msimsahau kumuombea magufuli
@yusufmohamed88742 жыл бұрын
Magufuli musjid
@sofiamussakimaro40182 жыл бұрын
Pia dua zetu tuzielekezeni kwa mfalme wa morroco
@hassanndauka9685 Жыл бұрын
Huu msikitini una kila kitu sio maktaba tu
@sss3s8672 жыл бұрын
Eee MASHALLAH beyt llah masjid. Lakin watu wqmaongoza msikiti huu wawe watu wa kisawasawa. Kwa.elimu na sheria . Wasiwe wazushi wakaleta mambo zao za kuzuwa ktk dini. Biddaa ndani au nje mitaani. Na pawe na silabas ya chuo kama mfano wa schools za kisasa Kwa elimu Bora Pawe na maktaba . Wasimamizi wasitegemee sadaka kuendesha msikiti. Wala wasile sadaka zinazotokana na msikiti huo. Pasifanyiwe Harambee za mchango wowote
@mybabyarchive21042 жыл бұрын
Sasa Syllabus si ndo Uzushi wenyewe?
@hilalkhalfan14522 жыл бұрын
MAMA SAMIA OYEEE
@annasolomon98552 жыл бұрын
Kwa lipi?
@hilalkhalfan14522 жыл бұрын
@@annasolomon9855 KWA kuwa achia mashekh wa kiislamu waliodhulumiwa na jpm kwa kuwekwa jela bila makosa.
@hilalkhalfan14522 жыл бұрын
@@annasolomon9855 na kutufungulia msikiti kwa awamu yake kama ndio aliokuwa mshauri na Sasa umekamilika ushauri wake
@hilalkhalfan14522 жыл бұрын
@@annasolomon9855 najua wewe chuki zako kwa mama ni ukafiri wako tu na kwasababu ya kuchukia kwakuwa muislamu
@annasolomon98552 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Wew upo ulimwengu wa wapi acha kumsingizi a JPM... Tena fyata jaribu kuuliza taratibu Tena kwa Makini , aliowafunga mashehe ilikuwa ni uongozi wa kikwete na Wala sio JPM.. Mungu anakuona usimsingizie au una Hila nae Nini?
@abdulazizhemed99672 жыл бұрын
Kwan huu msikiti ushafunguliwa
@zuhuramuhanga54002 жыл бұрын
Huu msikiti ndo alio uomba marehem magufuli wajengewe wa islam kwa yule mfalme ?
@rahimkarim23062 жыл бұрын
Nahisi ni kama hivyo aliomba msikiti na uwanja wa mpila naona msikiti ndio huu. Ila ngoja wajuvi wengine waje wanaweza kutuweka sawa kwenye hili.
@saidnkusa13262 жыл бұрын
Nimeangaliya mpaka mwisho sijaona maktaba naomba kujuwa msikiti unamaktaba ya vitabu au hapana?
@ahmedalkiyum75922 жыл бұрын
Fika offc za msikiti kupata tarifa kamili
@cholomsury15482 жыл бұрын
Ushaanza kuswaliwa??? Mana ulishaishaga muda lakini haukuwa wenyewe kutumika
@halimali27402 жыл бұрын
Mashaallah
@alimbarakmselem84672 жыл бұрын
Masha Allah
@hilalkhalfan14522 жыл бұрын
Mashallah
@khamishassan662 жыл бұрын
WAJENGE NA MADRASA ILI WATANZANIA BARA WAPATE ELIMU YA MAKATAZO MAANA UTAONA MUISLAMU KAMUOA MKRISTO NA MKIRSTO KAMUOA MUISLAMU NI UKOSEFU WA ELIMU
@hilalkhalfan14522 жыл бұрын
@@khamishassan66 👍👍👍👍👍👍100%. Na huo ni wajibu wa kila muislamu maana ni tatizo sugu. Na ndoa wanafunga kanisani utawafanya nini na wanaambiwa Wana uhuru. Wajitahid tu