Inshallah M/Mungu anatuona na. anasikia kilio chetu Mungu c Ashmani
@bintsalimalbimany93737 жыл бұрын
Inshaalla maalim Allah atakulipa kwa kuitafuta haki yetu na ishallah tutaipat nchi yetu
@jumakapilima729510 ай бұрын
Hahahaha,,,,kwani nchi yenu imekwenda wapi?
@shuwehaharunaomariikwena2337 жыл бұрын
safi mzee mwenye busara
@abmeleckjuma80147 жыл бұрын
Ana thamini wazungu
@gabrielmugabo92236 жыл бұрын
Duh mzee huyu sasa ni choka mbaya
@metalcombat44707 жыл бұрын
Rangi ya shari hiyo...Nyekundu..
@titonkwabi74306 жыл бұрын
Huna jipya wewe,wadanganye hao hao!
@mamarama63607 жыл бұрын
huyu mzee vp tena
@rashidsleman55457 жыл бұрын
Tanganyika haiwezi kujiongoza mpaka waombe na wanataka kuitawala Zanzibar
@abdichichichokia78836 жыл бұрын
kweli baba mkombozi znz
@rashidsleman55457 жыл бұрын
Tanganyika mnatutia dhiki na ufisadi wenu
@abrahammtegeta6357 жыл бұрын
Maalim Seif lazima ufunguke ujue kuwa nchi haiendelei kwasababu ya misaada, sana sana misaada ndio inayoturudisha nyuma. China haifanikiwa kwasababu ya misaada, bali imefanikiwa kwa nguvu zao. Kama wewe unataka uingie madarakani ukitegemea kuendesha nchi kwa misaada wewe hufai hata kidogo. Hiyo misaada unapewa na inailipa pamoja na interest ambaya inawafaidisha nchi hizo za ulaya kuliko nchi zetu. Ifike mahali tujitegemee bila kuombaomba. Hizo barabara Magufuli alizozifungua amezijenga kwa mapato ya ndani ya nchi wala sio hao wahisaniiii. Eti wazuie pesa za kujenga barabara kwaajili ya Seif??? Kwani huyo Seif ni nani hata wamsikilizee?? Msidanganywe Watanzania hizo ni siasa. Kwani huyo Seif alitawala lini hata wakampima wakajua ni mtawala mzurii?? Kwa karata hiyo sahauni kabisa kumchelewesha Rais Magufuli sanasana mnamuongezea speed afike haraka kwenye nchi ya viwanda.
@issaabdallah5017 жыл бұрын
Penye nia pana njia usichoke mzee wetu subra ndio kila kitu haki haipotei nchi itapatikana tu,
@abmeleckjuma80147 жыл бұрын
Huyu mzee ka poteza direction hivi kutokupata pesa kwa taifa ni sifa sasa yeye anatutakia mema Tanzania kweri afadhari MUNGU alituepusha na hili janga
@ahmedjamal50847 жыл бұрын
we mzee huna issue.ina maana unaona furaha watu kupata taabu
@mwebraniaonline70017 жыл бұрын
huyu mzeee sikama babayo tu
@oali77747 жыл бұрын
Ahmed Jamal hata bado namba mutaisoma
@metalcombat44707 жыл бұрын
Ni yeye kweli, Ahmed Jamal? Ame changia tu vile ni mwana siasa but kuna ma Concord hasa ndo walikula kiapo cha ibilisi kutesa binaadamu wenzao kwa gia ya umasikini wa nchi iliyo jaa madini, mito, maziwa. bahari, misitu, wanyama mwitu, na hatimaye nafuta.. achilia mbali ardhi yenye rutuba sana!
@amosmoses78005 жыл бұрын
Wanaozuia MISAADA ni hao wazungu. Maalim hana uwezo wa kuzuia kitu. Wazungu wanajua kila kitu kinachofanyika na kinachoendelea huko TZ. CCM hawawezi kbs kuwadanganya wazungu . CCM wamezoea kuiba kura na kudhulumu haki za raia na kuminya DEMOKRASIA
@amosmoses78005 жыл бұрын
J
@destiny4life4396 жыл бұрын
maisha magumu wtu wako wa pemba pesa zote wametoa chamani kwa kutaka serikali halafu hakuna liwalo
so why are u talking about it..if u can do it then do it. Uswahili wa Zenj is damn sheet
@jovaswai15877 жыл бұрын
MZee mwehu uyu
@kilimanjarogeorge95837 жыл бұрын
Natamani Tanzania tusiipate iyo misaada ili itusaidie kujiongeza zaidi hakuna jambo baya lisilo na uzuri wake, kazana mzee Seif, hope tusipopata misaada tutajua namna ya kujitegemea,
@mussasaid55347 жыл бұрын
tanganyikaa ndo tatizo
@mkakatimaluhwago747 жыл бұрын
Mzee Seif ninaye mfahamu mimi ndiye huyu anayepigiwa makofi anaposema Tanzania haiwezi kupata fedha kutoka kwa wahisani mpaka ikubali kuwa yeye ndiye Rais wa Zanziba. Nimeona wengine wakimtukana, lakini niwaombe vijana msitukane bali muwetayari kuanza kujua kwamba mfumo huu wa sayansi ya jamii isiyokamilika ni batili. Kwasababu nchi inatawaliwa kwa mawazo na kila fundi wa kufikiri anafikiri kisha anasema hatakama mawazo yake hayatoi picha sahihi ya maisha kuanzia ya mtu mmojammoja mpaka jamii kisha Taifa aweza kusikilizwa na kuaminiwa. Hata kama hiyo haitoshi nani asiyejua kwamba mzee Seif ndiye mwenye ushawishi mkubwa kisiasa Zanzibar? Aidha nani asiyejua kwamba Ali Moohamed Shein ndiye Rais wa Zanzibar? Tujiulize ni nani anae weza kuipokea kwa makofi kauli inayoshabikia nchi yake isipate mikopo ya maendeleo? utase ni mwendawazim tu, japo siyo jibu bali ni mtu aliyetengenezwa na mlaghai. Kwahiyo tusiwatukane wazee wetu hawa maana si wao bali wametengenezwa na tumetengenezwa ndio maana kila anayesema asikikike anawashabiki.